Hakika MUNGU azidi kukukweza viwango vya juu zaidi ya sasa kaka mkubwa barikiwa sana
@rodemsemo9430 Жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua zaidi Joshua ndauka 🙏
@rodemsemo9430 Жыл бұрын
🔥🔥🔥❤️
@Barkonny Жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua🙏
@evandaga Жыл бұрын
🎉🎉
@sedekiakiza Жыл бұрын
🙌🙌bwana akafanye njia kwenye hii ibada
@Joshuandauka Жыл бұрын
Neema ya Mungu wetu imeshuka tena na sasa tuna ibada hii nzuri ambayo Mungu ameianda. Ni maombi ambayo hayatakaa yakome maishani mwetu kama watu walio katika safari hii ya wokovu. Karibu uhudumiwe na Mungu kupitia ibada hii na ni maombi yangu uisikilizapo na uitazamapo Mungu akakupe hatua zaidi ya wokovu na akupe kiu zaidi ya kumjua yeye na ushirika wako ukaimarishwe zaidi kwa jina la Yesu, AMEN 🙏 Zaburi 42:1 kama ayala aioneavyo shauku mito ya maji. vivyo hivyo nafsi inakuonea shauku eeh MUNGU 🙏
@aloysalex9 Жыл бұрын
I can't stop worshipping when listening to this hii ni ibada yangu kila siku, be blessed a lot minister Joshua kwa huduma hii njema Mungu akuinue sana sana
@AbigailMoris-kj8vo Жыл бұрын
Na haya daima ndio maombi yangu...kuwa na ushirika na huyu Yesu zaidi ya jana na leo..Mungu akubariki sana kunirahisishia maombi yangu...kwani daima huu ndio utakuwa wimbo wangu...
@mrsloganthevoiceofinspirat4982 Жыл бұрын
Nakuona far saana from MAGOMA kijana 💪💪🙌🙌
@AbigailMoris-kj8vo Жыл бұрын
Haya ndio maombi yangu kila siku....very nice relevant song...be blessed Minister Joshua Ndauka.
@jinomoko5510 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, ukainuliwe zaidi kwenye huduma yako...