JEMEDARI WA VITA- Boaz Danken ft Gwamaka Mwakalinga

  Рет қаралды 631,879

BOAZ DANKEN

BOAZ DANKEN

Жыл бұрын

Karibu Sana Kumwabudu MUNGU pamoja nasi MUNGU Pamoja huu wimbo Ni Ibada pia ni Maombi naamini Utafunguliwa utapata Neema ya kuomba itakujaa sana na Kumtaka Bwana kwa namna amabayo hujawa kupata. Mungu akutane na haja ya moyo wako katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Amen
JEMEDARI WA VITA means Mighty Man Of War
MUNGU awabaliki Sana Watu wote waliosimama kwa Sadaka zao kufanikisha Maandalizi ya Ibada Hii Kila sehemu Mungu akiwahudumia watu kupitia Wimbo Huu; Baraka nyingi ziwafikie wote waliomuandalia Bwana kwa Sadaka ya Muda, Fedha na Maombi.
JEMEDARI WA VITA Recorded at Rock City Mall parking Area, Mwanza, TANZANIA.
Music Arranged & Directed by Jimmy Kimtuo
Vocal Arranged by Sir Jimmy Kimutuo
First keys: Sephone Sospeter
Second keys: Samwel Sospeter
Third Keys: John Ntete
Fourth keys: Augustino Batista
Drums: Baraka Ngowi
Percussion: Pastor David Silwimba
Bass guitar: Amani Victor
Lead guitar 1: Haggai Makuzo
Lead guitar 2: Erick Chitungo
Saxophone: Dickson Maige
Back Vocals From BMCC PRAISE TEAM
Event Coordinated by Kelvin Mbeveta
Translated to English by Mr&Mrs Pst.James Kalekwa
*Audio Captured and Mastered by Chosen Records Int’l #SamMboya
*Video Captured and Mastered by Cyber Pic #Sylvester
*Sound By #SoundSolution Moses Edard
*Sound Engineer: Gad Mwanga
*LED screen: Elly Jo
*Lights By Nyakalo Stage and Lighting Com. #DavidSengati

Пікірлер: 663
@ambweneobadiamwasongwe
@ambweneobadiamwasongwe Жыл бұрын
Mungu akubariki Sana mtumishi wa Mungu, kazi kubwa yenye Baraka sana ndani ya mioyo yetu
@boazdanken
@boazdanken Жыл бұрын
Asante sana kaka Utukufu na heshima kwa Yesu
@lukapastory
@lukapastory Жыл бұрын
@@boazdanken Nakupenda Sana kaka danken, YESU anakutumia, mm ni Mwinjilisti from kasulu kgoma, Nakukimbsha Uwaambie hao wadada na mke wako pia nywele bandia ni dhambi ,zmepeleka wamama watumishi wengi kuzimu, rangi mdomoni, kucha bandia , meshi, Rasta mawigi, please achen
@lukapastory
@lukapastory Жыл бұрын
Kilio changu ni kwa akina Dada , mahereni, nywele bandia , NI Mali za pepo Yezeberi, please wambie , maana ni kumkosoa uumbaji wa BWANA, Isaya 29:16, Fuatilia PROMOVER TV ushuhuda wa Esther, Recho na Rinda rika, utapata ujumbe kutoka kwa YESU
@dorcusamubi577
@dorcusamubi577 Жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu Umeniibariki sana... Naskia kunyenyekea ninaposkia wimbo huu ubarikiwe sana
@christinme4573
@christinme4573 Жыл бұрын
@@lukapastory lijue neno uwe huru☺️
@user-gu7mw8zs6c
@user-gu7mw8zs6c Күн бұрын
Amen San naamin hakuna mlima utakao baki umesimama ktk maishaa yangu napokea kwa jina la YESU👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@IsraelCiza-eq1ot
@IsraelCiza-eq1ot 4 ай бұрын
Baba Boaz mimi muimbaji Israël ciza nikiwa inchini kongo kila Niki imba nyimbo zako n'a sikia ngufu zamungu ziki ni Jana naamini mungu wako ata nipa ujasiri ni WE muimbaji maarufu Sawa nyiye
@boazdanken
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please if your Blessed this ministry kindly subscribe our channel
@jacklinemwongeli8365
@jacklinemwongeli8365 Жыл бұрын
Hakuna mlima waeza stahimili sauti yako.l'm really blessed by this from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@boazdanken
@boazdanken Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu
@ab71210
@ab71210 Жыл бұрын
God gave me this song when i needed it "Milima yatayeyuka kwa sauti yako juu,maana wewe ni Jemedari wa vita, hakuna kama wewe Mungu", na neno lako litimizwe
@worshiplibrary7157
@worshiplibrary7157 Жыл бұрын
My daughter is going thru a very rough patch right now shes only 22 years old. I listern to this song n feel the holly spirit lifting me up so that I have strength to lift her up! 😭😭😭 may the good Lord open up a better path for her!
@speranzakiragu3491
@speranzakiragu3491 Жыл бұрын
Ameeeeeen🙏
@judithabdallah4594
@judithabdallah4594 Жыл бұрын
I call upon the God of heaven, the creator of heaven and earth to come through for your daughter.... He is the great physician..God will heal her in Jesus Mighty Name.. Amen!
@brianmuriuki9271
@brianmuriuki9271 Жыл бұрын
JUSUS IS GOING TO DOMIT TRUST HIM TU...MAY HE DO MORE THAN U EXPECT
@naomiwangari4794
@naomiwangari4794 Жыл бұрын
Amen.neema iwatoshee.keep the faith
@zafaraniduguza4950
@zafaraniduguza4950 Жыл бұрын
May God come through for you
@nsikanyigwinshimpinga9132
@nsikanyigwinshimpinga9132 Жыл бұрын
Yes . Ni Jemedali wa vita nauona Mkono wa Bwana
@nandwarobai7149
@nandwarobai7149 Жыл бұрын
Kuna uhai wa Mungu kwa huu wimbo,, May God lift you to another level, you're highly anointed great servants of God
@boazdanken
@boazdanken Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu
@user-ex7es6fe3c
@user-ex7es6fe3c 5 ай бұрын
Jemedar wa vita hakuna kama wewe na Jehovah ndilo jina lako🔥
@rachelmalimbwi1748
@rachelmalimbwi1748 Жыл бұрын
Nami natamani sana kuwepo kwenye ibada kama hii lakini sipati taarifa siku nyingine natamani niwepo,kwakweli anaestahili kuabudiwa ni Kristo tuu mbarikiwe sana
@patricianyawira9553
@patricianyawira9553 Жыл бұрын
Wimbo una Nguvu sana. Mungu awazidishie Neema yake. Twa waenzi sana hapa Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.To God be the glory!
@jeffrweza4089
@jeffrweza4089 Жыл бұрын
Trully speaking I was waiting for these....nlitamani saana collaboo yako na Gwamaka...and God has done it.....barikiwa Boaz
@e-star454
@e-star454 Жыл бұрын
Milima yayeyuka kwa sauti Yako.... powerful.
@eunicedan
@eunicedan Жыл бұрын
Powerful combination 💪.....love of God kutoka hapa Kenya 🇰🇪 hallelujah 🙌
@goodluck6936
@goodluck6936 2 ай бұрын
How I'm i coming across this song a year later,aaah Jeeesus😭😭🙏❤️
@leadleaders4130
@leadleaders4130 9 ай бұрын
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu na Mungu azidi kuwatunza na kuwaonekania na kuwainua na kuwatumia
@emmanuelmtwanamanjama2265
@emmanuelmtwanamanjama2265 Жыл бұрын
Wow🔥🔥🔥Milima kwa Kwelii Mtumishi Ya Yeyuka katika Jina la Yesu. Magonjwa si Sehemu yetu (Isaiah 33:24),Madeni yotee Yameyeyuka.
@mercyprecious98
@mercyprecious98 Жыл бұрын
God is real 🙏🙌🙌Jemedari wa vita,amenipigania mahali kwingi ,siku zote nashukuru from Mombasa Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@fredmutuma1594
@fredmutuma1594 Жыл бұрын
Boaz boaz ,🙏🙌 nzambe apambola yo!! Hata nikaskia sauti ya kinanda ,yanipasha upenyo wa mungu Ngai akurathime muno ,saana ,Ntuku cionthe Much 💘 love from ameru republic ❤❤
@JohnTilya
@JohnTilya 11 ай бұрын
E mungu wa mbingun wainue watumishi na uwape maono katika huduma yao
@paulotieno2223
@paulotieno2223 Жыл бұрын
Asante Tanzania kwa umbali. Ni kweli Mungu wetu anajibu..iwas waiting for this.God bless you all and take you another level 🙏 🙌
@boazdanken
@boazdanken Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo
@mercyprecious98
@mercyprecious98 Жыл бұрын
Jesus Christ you're really "JEMEDARI WA VITA" Lord the battles you have fought for me ,I personally couldn't fight for myself,I honor and exalt your Holy name,Yeshua, Messiah,you deserve the sweet names ever.Thank you Jesus,bless Tanzania,Kenya , Africa and world at large.@Boaz Duncan,may God keep you to continue blessing generations.AMEN🙏
@davidkalinga5580
@davidkalinga5580 Жыл бұрын
Jemedari wa vita
@user-uh2we9ec3p
@user-uh2we9ec3p 3 ай бұрын
Wacha Mungu azidii kuinuwa man of God u bless me with all Ur song so powerful man of God
@isaacsimalif6185
@isaacsimalif6185 Жыл бұрын
Neema ya Mungu iwe nyanyi watumishi Kwa kazi nzuri katika ufalume wa mbingu
@akimjoseph2818
@akimjoseph2818 Жыл бұрын
As i was driving this morning we were listening to JEMEDARI WA VITA with my wife. The power of God fell upon her and she started speaking in other tongues. May God continue to give more revelation for future songs as you reach so many souls through singing. Continue Staying humble and blessed.
@newboy1995
@newboy1995 Жыл бұрын
Congratulation ! thats a testimony of Humble Heart ! Praise the living GOD !📯 YESU ! 📯
@lydiaabel-uo1qn
@lydiaabel-uo1qn Жыл бұрын
e
@Mwavipa_stev2514
@Mwavipa_stev2514 Жыл бұрын
Huyu Yesu hatokuja tokea mwingine kama yeye I'm speechless of him I LOVE YOU JESUS ❣️
@boazdanken
@boazdanken Жыл бұрын
Amen utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa wengi ukiweza
@vumiliabaraka3326
@vumiliabaraka3326 6 ай бұрын
​@@boazdankenMungu akubariki sana Baba kwani tunaendelea kabarikiwa na kuponywa na nyimbo zako hata hii 2024 Atukuzwe Yesu kwa kuondoa kila mlima maisha mwetu mwaka huu UKAWE WA BARAKA TELE kwetu 2024🙏❤️
@jofreygrace9665
@jofreygrace9665 Жыл бұрын
Ainuliwe yesu zaidi ndani ya nchi yetu
@rizikipyuzza3411
@rizikipyuzza3411 Жыл бұрын
Might man of war I worship you🙌🙌🙌🙌
@gaudenceponera6123
@gaudenceponera6123 6 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana Minister Boaz Danken
@bridgetngendo8494
@bridgetngendo8494 Жыл бұрын
Jemedari wa vita.......pigania dada yangu na mama yangu,: acha wakuone ewe Jehovah Rapha kwa maisha yao. Amen
@adv.elishaserikali1015
@adv.elishaserikali1015 Жыл бұрын
My brother Boaz, Mungu na azidishe neema aliyoweka kwako.. you are a blessing of our generation 🙏🏾🙏🏾
@boazdanken
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza
@floziekiriinya9889
@floziekiriinya9889 Жыл бұрын
Napenda vile boaz uimba akimanisha God bless you
@dennisadala787
@dennisadala787 Ай бұрын
Jemedari wa vita hakuna kama wewe milima ya yeyuka kwa sauti😭😭😭
@mankamacha4383
@mankamacha4383 Жыл бұрын
Vidonda vya tumbo vinavyonisumbua vinayeyuka mbele zako BWANA,madeni yote yayeyuka mbele zako BWANA.UTUKUKUZWE MILELE 🙏,AMEN
@DrSarahKmusic
@DrSarahKmusic Жыл бұрын
Yesu ndiye jemedari wa vita..
@salomemjema8242
@salomemjema8242 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na wimbo huu. Asanteni sana Watumishi wa Mungu Boaz Danken na Gwamaka Mwakalinga. Jemedari wa vita Hakuna kama Yeye Aliye Mfalme Mkuu, Hallelujah 🙏🏾
@stephenmuikamba7166
@stephenmuikamba7166 3 ай бұрын
Yuko jemedari wa vita...,Kila milima iliyo mbele yangu yayayuka kwa jina Takatifu la Yesu Kristo...... Amen 🙏🙏🙏
@mwende4420
@mwende4420 Жыл бұрын
Milima ya maisha inayeyuka hallelujah 🙌...it's indeed the song of the season. Uwepo wa bwana hata ofisini jameni.
@boazdanken
@boazdanken Жыл бұрын
Amen Glory and Honor to Jesus
@Betty__Sankale__Muzik
@Betty__Sankale__Muzik Жыл бұрын
Nyimbo zako zanibariki kila siku❤️❤️ Barikiwa mtumishi wa Mungu wetu 🙌
@jonathankeya854
@jonathankeya854 Жыл бұрын
Kwakweli
@helinahenry2363
@helinahenry2363 10 ай бұрын
Mlima wa kutojenga uyeyuke kwa jina la Yesu, na mmi nikajenge , nipate kibali Cha kumiliki nyumba nisingoje Tena Hallelujah
@chrispingibson7200
@chrispingibson7200 Жыл бұрын
Anointing over anointing, God is wonderful, he is who he say he is. Be blessed man of God
@boazdanken
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share kwa wengi ukiweza
@pelecymsemwa8107
@pelecymsemwa8107 Жыл бұрын
Yesu ni jemedari wa vita siku zetu zote ashukuriwe Mungu akutumiaye kudhihirisha utukufu wake na ukuu wake. Utukufu wa Mungu uwe we siku zote mtumishi wake
@mathewmwasangwale4205
@mathewmwasangwale4205 Жыл бұрын
Ipo Nguvu ya uponyaji inatembea ndani ya uwepo wa Mungu
@boazdanken
@boazdanken Жыл бұрын
Amen Glory and Honor to Jesus
@hopezawadida
@hopezawadida Жыл бұрын
Hallelujah, Jemedari wa vita hakuna kama Wewe Milima yayeyuka kwa sauti Yako tu.... Barikiweni MoG .Im deeply soaked in this song.
@winniemwangi1610
@winniemwangi1610 Жыл бұрын
This is such a powerful song🙏🔥 He is indeed a powerful God He is melting down all situations Am Blessed from Kenya 🇰🇪
@favouriteswangechi9697
@favouriteswangechi9697 Жыл бұрын
Jehovah Thankyou for raising true worshippers in these last days😭😭😭. My heart spirit body is edified. The Lord uplift you more servant of the Lord as you continue yielding 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@njerujohnson
@njerujohnson Жыл бұрын
This son elevates my spirit to another level @ Boaz God has used you to lift the spirit of worship in me may Good lord increase you bro🇰🇪🇰🇪
@ntulikapologwe6162
@ntulikapologwe6162 Жыл бұрын
what a combination of my two lovely brothers ! Such a powerful worship song, Mungu azidi kuwainua watumishi
@jojalove07
@jojalove07 6 күн бұрын
May God bless you servants of God The sound of heaven is in every lyric and melody ❤
@carolyneakal4966
@carolyneakal4966 Жыл бұрын
Milima yayeyuka kwa sauti yako Yesu🙌🙌🙇‍♀️🙇‍♀️🇰🇪
@christinetusu9926
@christinetusu9926 Жыл бұрын
Amen Jemedari wa vita yeyusha milima yote inayozunguka nchi yangu Kenya sasa hivi kwa kina la Yesu.
@fayotieno977
@fayotieno977 Жыл бұрын
Wow,what a song😢😢,,,Mungu akutunze sana mtumishi
@user-mp1ep1en5q
@user-mp1ep1en5q 3 ай бұрын
Wimbo huu unazidi kua mpya kila siku maishani mwangu kama bd tunausikiliza 2024 tuzidi kutiana moyo
@MikeONYII_
@MikeONYII_ Жыл бұрын
Hakuna kinachomshinda Jemedari wa vita🙌🙌 Listening from Kenya, blessed as we Trust God awaiting elections in 2days time
@eglahelenkikuli8354
@eglahelenkikuli8354 Жыл бұрын
Wewe ni Jemedari wa Vita,umetukuka Bwana Kila pembe,dunia yote na inyamaze kimya mbele zako...Adonai Mungu mwenye Enzi ni wewe Bwana,Milima yayeyuka mbele zako kwa sauti yako.....ooooh hallelujah hallelujah
@careendeni6580
@careendeni6580 Жыл бұрын
Utukuzwe BWANA kwa jambo linalofanywa na watumishi wako kwa jina la Mwanao Mpendwa. Barikiwa Sana watumishi.
@janethnarsis188
@janethnarsis188 Жыл бұрын
Naenda kupata hii kazi kwa jina la Yesu Jemedari wa vita zangu zote. Nitarudi kushuhudia kwa jina la Yesu
@janethnarsis188
@janethnarsis188 Жыл бұрын
I got it kwa hakika. Mungu amenishindia Mengi. Leo 31.12.2022 ninamshukuru haikuwa rahisi@2022
@FLOH9876
@FLOH9876 4 ай бұрын
Jemedari wa Vita🎉 Hallelujah 🙌 He will also give me A Job And I will come to testify like you have
@drgee4736
@drgee4736 Жыл бұрын
He is the Great King Might Man of war! 💪🏾
@boazdanken
@boazdanken Жыл бұрын
Amen utukufu na heshima kwa Yesu
@dominiclupembe8517
@dominiclupembe8517 Жыл бұрын
Uku ndo kwenye rahaa ❤🔥🔥❤❤
@boazdanken
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza
@reginagachara4363
@reginagachara4363 Жыл бұрын
Anayeyusha milima. He makes a way where there is no way. Tuyeyushue milima katika maisha yetu Yesu. Tunaliita jina lako tunakuwa salama. Am blessed from Mombasa, Kenya
@miraclesteve4793
@miraclesteve4793 Жыл бұрын
I love you Jesus!! Jemedari wa vita!!
@amonkaranja2695
@amonkaranja2695 Жыл бұрын
😭😭wimbo huu, Milima yayeyuka 😭😭asante Yesu kwa wimbo huu na mtumishi wako Boaz 🙏
@marymatenga4038
@marymatenga4038 Жыл бұрын
Hawa watu wawili ni zawadi ya Mungu kwetu..nambariki Mungu kwa ajili ya hawa watu..wabeba uwepo wa Mungu.. Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu!
@allenmushema5844
@allenmushema5844 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana 🙏🏾
@jyn3439
@jyn3439 Жыл бұрын
Oh my.....powerful worship to Him The Most High... To be honest this brother is annointed..Keep going....Blessed in Kenya
@mariashiku
@mariashiku Ай бұрын
Jemedaribwa vita vyangu hakuna kama wewe nipiganie maishani baba 😢😢
@neemanyimbi2355
@neemanyimbi2355 Жыл бұрын
Jemedari wa Vita HAKUNA Kama wewe
@rehemamercy1134
@rehemamercy1134 Жыл бұрын
Hallelujah. Milima yayeyuka kwa sauti yako tu, jemedari wa vita🙌🙌
@neemasylvianeema8685
@neemasylvianeema8685 Жыл бұрын
Jina la Bwana libarikiwe...utukufu kwa Mungu ...baba ubarikiwe asantee kwa uzima kwa Gwamaka pia...
@shaibumbwilo9938
@shaibumbwilo9938 Жыл бұрын
Mwaimba vema kwa utukufu wa Mungu,wasaidieni na kuwaonya walionyoa denge /panki,walioweka mawigi/nywele bandia vichwani mwao,mambo hayo ni machukizo kwa Bwana,na pia wasilinajisi kundi la Bwana.kama hawajaokoka wasaidieni wamjue Mungu wa kweli. Maana Mungu yule ni mwenye wivu .
@mariumngusa571
@mariumngusa571 Жыл бұрын
Jemedari wa vita hakuna Kam wewe milima yayeyuka Kwa sauti yako tuuu, ubarikiwe sana kaka Boaz hakika nabarikiwa na kazi yako ni njema sana sana
@amonkaranja2695
@amonkaranja2695 Жыл бұрын
Amen 😭🙌daima na milele tumuabudu huyu Mungu 🙌🙏nabarikiwa sana na wimbo huu 💯💯
@evakatani636
@evakatani636 Жыл бұрын
Hallelujah, Jemedari wa vita hakuna Kama wewe, milima yayeyuka kwa sauti yako🙏 such a powerful song, be blessed abundantly 🙏
@joshuakamwela4095
@joshuakamwela4095 Жыл бұрын
MUNGU awabariki kwa huduma nzuri neema ya YESU KRISTO iendelee kuwabariki na kuwainua kihuduma .
@paulosmbena2834
@paulosmbena2834 Жыл бұрын
Balikiwa Sana mtumishi kwa wimbo mkuu mno kwa sauti nzuri kbisa Toka kwako iliyowekwa na mungu kwa makusud maalum,mungu azidi kuwatumia kwa utukufu wake.
@sophiamwai9683
@sophiamwai9683 Жыл бұрын
Yes. Yesu ni jemedali wa vita.
@shimonperez6589
@shimonperez6589 Жыл бұрын
This song has a special anointing. Kila napouskiza nahisi mguso wa kipekee. Barikiweni sana watumishi wa Mungu.
@myalanity5207
@myalanity5207 Жыл бұрын
Huwa unanifanya moyo wangu kujiskia kuomba na kuabudu kila naposikiliza nyimbo zako.ubarikiwe saana mtumishi
@mercytsuma3551
@mercytsuma3551 Жыл бұрын
This worship is powerful.Mungu awabariki Watumishi for ministering to me 🙌🙌🙏🙏
@josiacharles2778
@josiacharles2778 9 ай бұрын
Mungu akuzidishie unyenyekevu ili uduma yako ikuwe zaidi, usitafute kuonekana kama waimbaji wengine acha Mungu wako aonekane Kwa watu, Mungu atakuzidisha.
@nancyhizza3790
@nancyhizza3790 Ай бұрын
God bless you mtumishi wa Mungu 🙏
@mumbielizabethan9
@mumbielizabethan9 Жыл бұрын
Jemedari hakika wewe ni mkuu kwa yote
@johnanyandwile8947
@johnanyandwile8947 Жыл бұрын
We bless You God for your anointing and for the power of the holy Spirit within these men of God, BOAZ DANKEN & GWAMAKA MWAKALINGA.
@slyviajared6214
@slyviajared6214 Жыл бұрын
Bcvvvbvbvv
@bethwelebei699
@bethwelebei699 Жыл бұрын
We Kenyan we love you Boaz....tembea adi TURKANA LODWAR leta ministry uku.
@speranzakiragu3491
@speranzakiragu3491 Жыл бұрын
Wooooooow this is great..... He's the mighty man of War.... More Grace bros .... God has won for Kenyans already🙏, he has heard our cry for the past 5years😭😭😭😭
@lydiagathuru242
@lydiagathuru242 Жыл бұрын
May God continue pouring His oil apon you search a blessing to us🇰🇪
@lillianmusembi8666
@lillianmusembi8666 Жыл бұрын
Jemedari wa vita hakuna kama wewe ......milima yayeyuka kwa sauti yako tu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️
@reginaldshirima610
@reginaldshirima610 Жыл бұрын
I glorify God for this Powerful Song. It always draw me closer to God
@felixzebedee6514
@felixzebedee6514 Жыл бұрын
Nampenda Mungu wako
@boazdanken
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many
@WinfridaSylvester
@WinfridaSylvester Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu aliye hai
@deboramalakasuka5396
@deboramalakasuka5396 Жыл бұрын
Hakika nimemwona MUNGU akifanya kazi na milima yote iki yeyuka katika familia yangu 😭😭😭 hakika unastahili sifa za moyo wangu eeh MUNGU uketie anzini 😭😭😭😭
@abelmeliu2522
@abelmeliu2522 Жыл бұрын
Nyimbo zako mtumishi wa Mungu ni za baraka sana katika mwili wa kristo. Hizi ndizo tenzi za rohoni za wakati huu na wakati ujao.
@boazdanken
@boazdanken Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu sio zangu ni za Yesu kwajili ya Kanisa. Utukufu na heshima kwa Yesu. Please share kwa wengi ukiweza
@wilkisterlusuli7084
@wilkisterlusuli7084 Жыл бұрын
@@boazdanken may God continue using you servant of God.am blessed
@user-xg8xx2eh1u
@user-xg8xx2eh1u 8 ай бұрын
Mungu awabariki watumishi wa Mungu.
@golavujoseph5703
@golavujoseph5703 Жыл бұрын
We bless your name Lord in higher barikiwa sana brother Boaz GOD keep you hadi uuone ufalme wa MUNGU
@rachelmalimbwi1748
@rachelmalimbwi1748 Жыл бұрын
Jemedari wa vita hakika ni Yesu tuu wimbo huu unanguvu za Mungu zisozo za kawaida
@judithjohn2167
@judithjohn2167 Жыл бұрын
Imo nguvu ya Mungu ndani ya huu wimbo🔥🔥🔥
@ivymwalasa4471
@ivymwalasa4471 Жыл бұрын
the first day nasikia iih nyimbo nilipata nguvu ya kuomba ya ajabu san🙏🏻🙏🏻 Mungu ni mwema asante sana
@marysrevocatus1413
@marysrevocatus1413 Жыл бұрын
Huu wimbo niliuimba sikumoja usiku mzima hakika kuna mlima uliyeyeka ,huwa nautumia sana kuniweka uweponi
@apphiaamani124
@apphiaamani124 Жыл бұрын
Mungu akubariki kakaangu.....ni furaha kuu na baraka kua na watumishi wa Mungu kama wewe! Mungu azidi kukupa neema, akufiche, akuinue zaidi. Mungu ainue wengi kama wewe mtumishi wa Mungu.
@christabibukenya4097
@christabibukenya4097 Жыл бұрын
Do what only You can do God...vita ni vyako,utukufu na nguvu ni zako Yesu.
@gracekihoti5432
@gracekihoti5432 Жыл бұрын
I love the unity and love with tanzanians artists/minsters.God bless you
@boazdanken
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza
@yusuphchankwa4759
@yusuphchankwa4759 Жыл бұрын
Natamani unyenyekevu ulionao Kwa Mungu natamani nami niwe munyenyekevu
@mercylintyra4888
@mercylintyra4888 Жыл бұрын
Jemedari wa vita,niyeyushie milima ya madeni,maangaiko,kukosa kazi usiku wa leo Amen
MUNGU KAMA WEWE HAYUPO - BOAZ DANKEN FT DORCUS AUGUSTINO
26:37
BOAZ DANKEN
Рет қаралды 258 М.
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 36 МЛН
Самое Романтичное Видео ❤️
00:16
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 6 МЛН
BOAZ DANKEN-MWANGALIE SHUJAA #GodisReal #PenuelAlbum
9:58
BOAZ DANKEN
Рет қаралды 311 М.
Patrick Kubuya - Naamini (Live Recording)
11:05
Patrick Kubuya
Рет қаралды 1,7 МЛН
Sijaona Kama Wewe
11:14
Patrick Kubuya
Рет қаралды 254 М.
Sina Wa Kutegemea - Essence Of Worship FT Boaz Danken
7:47
Essence Of Worship Ministries
Рет қаралды 284 М.
Patrick Kubuya - Sitakuacha (Live Recording )
15:53
Patrick Kubuya
Рет қаралды 859 М.
Say Mo - LIL BIT & 1 shot 2 (Waysberg Music Remix)
2:43
Waysberg Music🇰🇿
Рет қаралды 413 М.
Janona
4:09
Release - Topic
Рет қаралды 1,7 МЛН
BABYMONSTER - ‘FOREVER’ M/V
3:54
BABYMONSTER
Рет қаралды 57 МЛН