Eva ulikua unasubiri Nini kusuka hizi Siku zote😊 umependeza Sana ❤
@SaadiyaMohammad-og5bg2 күн бұрын
Good bro juma nawenginia mungu atawaokowa amin
@Halima-od9fv2 күн бұрын
Jamani kama mtu hana comment atululie tu msitukere kwa kuomba like.chefuuu
@WahidaHilaly2 күн бұрын
Saaana wanachefua haswaa
@Sajdayusuf2 күн бұрын
@@Halima-od9fv waache wenzio 😆 😂 😆 😂
@AliciannaKiyao2 күн бұрын
Anita akipata mume nyumba yake hana shda kazi za ndani zote anaziweza❤❤❤
@LightnessUrio-fo7mq2 күн бұрын
Jmn like mnakula au embu tumuombeeni my wetu bwana anawasiwasi sana
@user-le4fj3wt4y2 күн бұрын
Majib negative eva nae ni mzim wa afya🎉🎉🎉❤❤ ila juma katisha
@Sajdayusuf2 күн бұрын
@@user-le4fj3wt4y Me nasema Eva mzima watu wamekazana anao hule ni mpango tu wa madam simba kumuaminisha Eva anao ili afanye kazi zake
@user-wu3ny6rh5h2 күн бұрын
❤Yani Jumma nakupenda Sana we moga umbea wote umekuishiya😂😂
@user-bf3ij2ie5k2 күн бұрын
Me nashangaa mnao tukana wanaomba like jamen kma hutaki kupeana like si upite tu mbna makasiriko
@christinagervas21342 күн бұрын
Wanaboa wanaacha kujadili tamthilia like! like! like za nyokweeee
@user-bf3ij2ie5k2 күн бұрын
@@christinagervas2134 hahaa wajua si wote wanaelewa kinachoendelea wengi wanaangalia tu siku ipite sasa haoni chakuvomment anaomba tu like jamen wapeni wafarijike nyoyo zao
@user-og3sx6th9w2 күн бұрын
Mi wa mwisho jmn jua Kali Leo nimeitafuta mpak basi imeniliza😢😢😢😢 but any way naomben like zenuu pls 🤗😂❤🎉😢😢😮😮😅😊😊😊😊😅❤❤😂
@MarthaRolland2 күн бұрын
A nn😂😂
@MarthaRolland2 күн бұрын
Za nn😂😂😂
@SaraphinaSalapionКүн бұрын
Dj acha ushamba huo mziki wa nn muda wote acha saund ya move ilie siyo makelele yako
@user-st6zv8tv7mКүн бұрын
Mi ata sijuwagi maana yake hizo like
@user-ic2py1gd1k2 күн бұрын
I wish angekuja Sofia au semen Kwa peter halafu amkute idii
@susanchebet32982 күн бұрын
Mm nikajua Sofia kiherehere kitampeleka kwa Peter, yani Lamata apo ametuacha gizani 😅😅😅
@dorahtwaha35742 күн бұрын
Ila juma pole kusubiri majibu ni kazi ngumu sana
@SaadaHaroun2 күн бұрын
Bill mbn ndo anaogopa au ye ndo ana gonjwa nn😅😅😅
@user-tt2jd4yt2uКүн бұрын
😂Jamani mi love nampenda
@nellymtambo84322 күн бұрын
Anna leo kaulamba 😂
@yasintakibasa20812 күн бұрын
Sanaaa
@mwanaeddyson59832 күн бұрын
Kapendeza kweli
@HalimaKassim-yz3we2 күн бұрын
Jumaaa😅kayakanyagaaa😅😅😅😅 mpaka kukiacha kiti na kumkalia kaka sio mchezo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤😂😂chukua mauya yako kijqna
@BrendaJimmie-hj1lf2 күн бұрын
😂😂😂😂😂 noma san
@sumayyahkalyegira1062 күн бұрын
Jamani drama za Juma 😂😂😂😂mpaka hospitalini 😂😂😂maskini ameogopa
@NotridaMpaziКүн бұрын
❤juma pole 19:34
@patoDama2 күн бұрын
Majibu ya mahii juma nimazur jaman 🙏🏼🙏🏼
@EmmaHezron-y1pКүн бұрын
Umependeza Eva
@RachelDaudy2 күн бұрын
Jamn mwajei anateseka
@EsterKiswita-wf4eq2 күн бұрын
Emb tunambien like Zina nn mbona kila mtu ataka 🥺🥺
@Sajdayusuf2 күн бұрын
@@EsterKiswita-wf4eq Afu hawasemag zina faida gan kuomba tuuu kusema aaaaah
@EmmanuelKawawaКүн бұрын
Jamani ndio maana zikiwekwa
@JessyNankonde-uk3ow2 күн бұрын
Juma🎉🎉🎉🎉😢😂😂😂😂😂😂 from zambia 💐 mpaka zambia unawachekesha
@jolierazia24322 күн бұрын
Mara yakwanza nimewayi kuitizama kwamdaa 🥰
@stellayusuph76622 күн бұрын
Mahi wetu mwajuma ndo nn sasa kukimbia majibu wakati yanaonesha negative😅😅
Jumaa kajua kunipa kikohozi😂😂😂😂😂 acha kabisa kupima ,majibu unawaachia wenyewe😅
@LisaDequte10 сағат бұрын
Jaman naomba jina la huu wimbo au aliye imba, (jua kali jua kali oooooh joto kila mahali, kila mahali ni joto) naupenda sana huu wimbo jaman
@lucybudeba65612 күн бұрын
Mbona huyu maria hataki mahusiano ya mwezie wakatii yy anamichepuko mia nakitu😅😅😅
@victorianjau88562 күн бұрын
Jamani hizo mimba ya ana 'na maria hazikuwi jamani
@user-rm7gk8ln9f2 күн бұрын
😂😂😂
@LucyJohn-wv4gf2 күн бұрын
@@user-rm7gk8ln9fyani wewe unashangaa kama mimi maana tangu mwaka jana miezi ya katikati mpaka leo
@renfridawigira88002 күн бұрын
Juma kakimbia majibu😂😂, ila kuna funzo kubwa hapa,hofu inaweza ikakuua
@trapqueen78852 күн бұрын
Ni kweli hofu ni mbaya ilinitokea mwezi wa pili hali hiyo😂
@preciouslissahparis1352Күн бұрын
Yaan Juma,hadi anataka amkalie mtu,aoni sit 😅😅😅😅
@sameraamiry38492 күн бұрын
Dj we mtu wa mana sana❤
@YvonnegipsonGipson2 күн бұрын
Jamani ivi love anaishi oficin au maana tangia juakali imeanza sijawai ona anapo kaa😂😂😂
@christinewomanoffaith54792 күн бұрын
😂
@user-jy1se7bx3q2 күн бұрын
Nipumzishe mbavu zangu😂😂😂
@EdithaNnko-fm6ph2 күн бұрын
Nilipanga Leo nisicoment kitu lkn vile Juma amenichekesha nimecoment jmn daaaah 🤣🤣🤣🤣🤣🤭
@user-et6dh3fn6hКүн бұрын
😂😂😂😂😂
@happyfihavango4151Күн бұрын
Yaani lamata akifa profesa tu angalia mwenyewe juakali
@roseraymond49542 күн бұрын
Hii mikoba ana anawekaga nini jaman mana kha
@fatumamfumia45072 күн бұрын
Mmmhhhhh hizi chapati za Eva 🤣🤣🤣
@khadijamohd5741Күн бұрын
Juma umetisha
@AlphoKag-jm5ibКүн бұрын
Jamani🎉juma wangu tuko apa tunakusapoti
@IbrahnationIbrahim2 күн бұрын
Jua kali tamuuuu sana
@NoorynMody2 күн бұрын
Juma my wangu mbonq Eva kajua kkufunga mdomo rkn majibu yko mazur nimefurah hilo
@veronicaoman87642 күн бұрын
Ina naana juma hujaona kiti chako umemkalia mwenzio hofu tuu
@agnessbahamu39312 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@preciouslissahparis1352Күн бұрын
😂😂😂
@salmazwallo59202 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kuna mtu anasutwa ilaa vivian kazidii😂😂😂😂 wanawake wa idii kwa kutabiana hiv mimba ya maria mbonaa haikuii😏😏😏😏
@christinewomanoffaith54792 күн бұрын
Eti mimba Gani haitokezei
@MonicaSamweli-yn7ew2 күн бұрын
Amekibia my wetu
@hanifahkhamiss84852 күн бұрын
Juma😢😢😢huna HIV usijali...Eva alipewa dawa na mganga kijijn kwao😢😢😢
@user-rm7gk8ln9f2 күн бұрын
😂😂😂😂
@trapqueen78852 күн бұрын
Hii imekaaje😂
@felistalwila-lm3dq2 күн бұрын
😂😂😂😂
@rodabaraka2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@MarionNangila2 күн бұрын
😂😂
@SalomeSumbizi-ll9wc2 күн бұрын
Juma weeeeee😂 upo Salam mm naamin Ivo bhn usiogope
@y5y5prime582 күн бұрын
Mim nampenda San Anith iko na mushimamo siyo Maria kiruka njia Kila miti anadodoya😂😂😂😂😂
@Zulpherramadhani-cd3loКүн бұрын
Aaaah 😂😂😂 juma leo umeniweza
@leahmwenisongole-yp7id2 күн бұрын
Anitha Leo umependeza sana
@maureenatienoochieng50872 күн бұрын
Vivian mbea kweli mweli
@user-fn3uo1wm6r2 күн бұрын
Sis ni wakiangalia viporo kweli
@preciouslissahparis1352Күн бұрын
Nunua DSTV,😅 MAHI
@felistalwila-lm3dq2 күн бұрын
Yaan leo badala ya kumuonea Huruma Juma ananifanya nicheke😂😂😂
@gladynessjerome44642 күн бұрын
Juma kuchenjua Raha kuchukua maji aaaah 😂😂😂 na negative yake
@elinethagabriely816Күн бұрын
Juma anaweza aisee
@user-yn3kg8ip2h2 күн бұрын
Anna pendapenda akiona wanaume weupe
@HadijaZabroni-pu1lt2 күн бұрын
Juma pole sana iyo nqijuia nakumbuka 2oo7 hahaha mwananyamala nilikuwa na mimba ya kwanza naambiwa kupimwa ukimwi😂😂😂😂mawazo Kila saa dokta Bado tumbo la kuraha 😂😂😂
@saummwakumbo.49262 күн бұрын
Wee eid kwenda pumzika kwa Peter. Soon fumaniz sofia usije zipeleka😂😂
@grolyqueen58332 күн бұрын
Peter alivypingia umo ndani adi mim nimeshitukaa😂😂😂😂
@user-yu1hw8mw5s2 күн бұрын
Juma kwani unanini maana nakauka tyu kucheka😂😂😂kaakwakutulia hapo hospital
@haryanyawu6402 күн бұрын
Uko kama.mm nimecheka nikajikuta nalia tena
@user-ce4ho1vv7y2 күн бұрын
Kwan juma kapewa karatasi ya nn jamani madaktar mnisaidie??
@IteritekaBenitha2 күн бұрын
Iv iddy unajifkiria nn kuus peter😂😂
@CiellaGateka-gj7ifКүн бұрын
Jamaniii kiukwelii Leo djuma kanifuraisha😂😂😂😂😂
@haryanyawu6402 күн бұрын
Juma jamani umejua kunilza😢😢😢 25:06 😢 naomba uwe salama jamani hiyo sekta ngumu sana jipe moyo mkuu😢😢😢
Amekimbia bure ametembea na mtu ambae ni muathirika lakini anakunywa dawa vizuri ndo mana hajapata maambukizi hapo kuna kitu cha kujifunza na ujumbe umefikishwa vizuri kwa jamii
@user-qo2of7km8lКүн бұрын
Mambo magumu sana kwenye majibu apo
@DiacandrianaJohn2 күн бұрын
Jamna mahi wetu kawaa mpole kaa so yeye 😂😂😂😂 chezeaa kupimaaa ww😅
@princekarani78362 күн бұрын
Juma majibu yake mazuri ila kakimbia😂😂😂😂,bado ataendelea kuishi kwa mashaka daima