Jamani binadamu! Kumbe ndivyo alifanyiwa! Pole sana Baba yangu. Mungu ambae hakuruhusu yawe waliyotamani wao hatakupungukia Daima. Yupo nawe hata milele
@m.mmarckus62985 ай бұрын
Amina
@jovanafidelis28023 жыл бұрын
Padre wetu from Zanzibar,mwenye Imani thabiti ,pamoja na kumwagiwa tindikali anaendelea kumtumikia Mungu.asante Mungu
@oliverwabwire28363 жыл бұрын
😳😳😳 oh no, pole sana... Mungu amzidishie nguvu na udhabit 🙏
@jovanafidelis28023 жыл бұрын
@@oliverwabwire2836 Asante! Kama uliwahi kusikia hii story ndiyo huyo unayemuona!
@neemataris3273 Жыл бұрын
Aisee binadamu sisi mioyo yetu ina siri kubwa sasa nini hicho jamani Mungu atuhurumie na kutusamehe wadhambi sisi
@m.mmarckus62985 ай бұрын
@jovhata mm niliskia ila leo ndonamuona😢😢anafidelis2802
@jonathanntare47873 жыл бұрын
Father wetu Zanzibar Father Mang'amba japo walikumwagia Tindi Kali lakini unaendelea kumtangaza Mungu.
@kisinza60773 жыл бұрын
Asante Baba Mwang'amba. Najua unamtumikia Mungu kwa moyo wako wote!!!
@igulampoki63129 ай бұрын
Padre Mwang'amba Mungu awatunze pamoja nautume wenu
@josephinegravasiano88603 жыл бұрын
Mungu yupo kati yenu.Amina
@igulampoki63129 ай бұрын
Fr Mwashuya hongera nimekuona paroko wetu
@filbertstephano80383 жыл бұрын
Mungu awabariki saana Mapadre wetu
@monicagabriel43884 ай бұрын
Baba Mang,amba Endelea kumshuhudia kristo kwa kwa ujasiri hadi shetani a one wivu, alichokikusudia kwako hakikufanikiwa,Utumewa Baba.
@GetrudeRabiclaud2 ай бұрын
pole baba mungu akupe maisha marefu
@furahambughi49773 жыл бұрын
Mungu awalinde mapadre wazee wetu hawa!!!
@fredjoel13503 жыл бұрын
Pole sana mzee mwang'amba naona magaidi og walitaka kuondoa uhai wako wakashindwa!
@neemataris3273 Жыл бұрын
Inasikitisha sana, Chukizo kubwa mbele za Mungu.
@CresensiaKongela-p3w3 ай бұрын
Hongera sana baba padre
@harryvice773 жыл бұрын
Paroko kutoka Zanzibar Latisha sanah Yuko na vibe usipime
@jeniphermtui95173 ай бұрын
Mungu ni mwema kila wakati
@piusnkwale3 жыл бұрын
Pamwanya nkani.huyo ndio fr Ernest Mwashiuya.😄
@cecilialucas76553 жыл бұрын
Mungu awalinde na kuwatunza katika utume wenu
@a.k.lhumble15533 жыл бұрын
Ni vizuri sana.
@patrickmuchiri74803 жыл бұрын
May God bless you guys
@mkaapwekekariakoo64173 жыл бұрын
Furaha hii kwa nyuso zao Hadi rahaaa
@shamimushittindi14183 жыл бұрын
Baba yangu fr.Mwang'amba
@evajohn51223 жыл бұрын
Amen 🙏
@ruthmaina31223 жыл бұрын
God bless you all
@LuciaMwangambaku7 ай бұрын
🙏🙏🙏🎉🎉🎉
@patrickmuchiri74803 жыл бұрын
Patrick muchiri KZbin wishes you well
@mgongolwajoseph69013 жыл бұрын
ameee i
@igulampoki63129 ай бұрын
Pamwanya nhani
@r14kgroup683 жыл бұрын
Katika maaskofu ambao wana uwezo wa kujieleza na nawakubali ni gerephas nyaisonga
@charleskimario11962 жыл бұрын
Mzee ila hahitaji mike
@a.k.lhumble15533 жыл бұрын
Le prêtre Anselme Mwangamba qui a une foi solide, malgré qu'on lui avait versé sur lui (sur son corps), l'acide sulfurique . Pour le moment il continue à faire son travail à Zinzibar. Merci
@davidmartin24043 жыл бұрын
Mbona ameacha maiki sasa
@innocentchaba33853 жыл бұрын
Askofu Augustine shao sio askofu mkuu, baba Aselmo please
@manilabonalumanula10143 жыл бұрын
Siyo Aselmo, Anselme na wewe umechapia
@jchriss42693 жыл бұрын
Pia kijana huyu ameunda bunduki mbeya..... kzbin.info/www/bejne/mnWlqIqrlKaBmpY