Mfalme wa mikumi. East Africa tunajidai sana sababu tumekupata weh hatari. Next president, Tz.
@sibiromallya58946 жыл бұрын
Dahhhh p,,,,j wa mitulinga umeuwaaa mzeeee baba kuanzia kichupa mpakaaaa vokoooo hatariiiiiiii
@raheemyusuph44146 жыл бұрын
Cjawahi kumpinga Mzee professor jeeeezy Kama unamkubali show 😍 lov
@eliasmpangala47516 жыл бұрын
Mwanalizombe unatisha sana, Mheshimiwa unaevunja mifupa......keep it up
@kinghenry55116 жыл бұрын
Tanzania inchi nzuri sana mmbunge msaani walahi TZ mpo juu, from Congo
@denokinus28896 жыл бұрын
komaa nazo zikikushinda njoo tukeshe......ngoma kali prof na rubby.....wangapi wana like??hayaaa twende......vunja...........
@motivationalimpactstories81026 жыл бұрын
walio itazamaaa zaidi ya mara 6 tujuane hapaa... prof j
@saumuomari66726 жыл бұрын
costantino dions mm hapa 💪🏽
@saadsalum32536 жыл бұрын
Huyu sio diamond kulegeza mdomo huyu anapasua vitu vyaukweli hem gonga like basi
@lutherking36666 жыл бұрын
Tokea bngo dar es salaam adi leo profesa jay hujawahi niangusha Salut kwako km zte Ivi
@enobyeederaider56626 жыл бұрын
His excellency Prf Jay,,,,,mkongwe mkongwe tyuuh ataah waje wangapi kumpoteza sio leo. Salutee kama zooteeh Kama umemsoma furesh gonga👍 twenzetu
@mbwanasaid82726 жыл бұрын
Professor jay Nimekubali kazi kazi.... Tunavunja mifupa..... Dah.sister ruby noma sana... good aidia
@NelmoNewsong6 жыл бұрын
Uliniinspire kuanza mziki saa hii nashukuru niko kwenye mziki wananiita Nelmo Newsong toka Kenya nyimbo mpya #JuuYaLove
@farajingwale3276 жыл бұрын
Mimi sio wa MAKHIRIKHIRI Nampa dili DOGO JANJA,,,,Kwa Sauti ya professor Jay wa mi2linga....#MzeeAzeeki #VideoAudiovyoteKONK💪
@philbetumbee74146 жыл бұрын
Ebwana ee good sana
@farajingwale3276 жыл бұрын
@@philbetumbee7414 ......😆😆😆😆😆Tisha sana mzazi 👊
@werewere21176 жыл бұрын
Bado naiskiza hii ngoma tena na tena kama mgonjwa anavyomeza dozi. Asante sana prof
@danterey6 жыл бұрын
Napenda mchano wa Pro J na sauti ya Ruby. Good work.
@bizzoodonny31896 жыл бұрын
Wangapi wanakubali kuwa ngoma ni kali... Gonga like twende sawaaaa 💥💥💥
@huseinbakari1946 жыл бұрын
J prfs Nakuelewaga sana
@kyataonline52626 жыл бұрын
beat kwa mbali kama kzbin.info/www/bejne/nWjcnJuZbdembdU
@alexkayombo27256 жыл бұрын
Kal bn
@lovemomomicpapamohamed65686 жыл бұрын
AMOSI SHENYA 🔥🔥🔥🔥
@hazardngolo27516 жыл бұрын
#mwambieni mfalme WENU siti yangu aifute vumbi#...big up Mheshimiwa toka long back you are such an inspiration
@emmanuelsamson96186 жыл бұрын
Nipeni leo like jaman sijawahi hata moja kama unamkubali mfalme wa mikumi
@stephensaitoti2296 жыл бұрын
Emmanuel Samson me too 🔥🔥
@jechamusa59586 жыл бұрын
Jecha
@bambemtz99826 жыл бұрын
gud san
@mubarakamtambo67836 жыл бұрын
Habari ziwafikie mtaa wa pili..huyu ndo legendary mwenye muziki wake.
@rosemaiko94056 жыл бұрын
Mubaraka Mtambo mwenye music wake legendary
@makungudaudmponeja14146 жыл бұрын
Prof J ni msanii ambaye anajiheshimu sana pia ni msanii mkongwe kwenye tasnia ya music namkubali sana kwa sababu nyimbo zake zina sifa ya fani na maudhui hakika hajakosea Mungu aendelee tu kukulinda na kukuongezea kipato na kipaji kingine. Unazo sifa nyingi sana
@zak50656 жыл бұрын
1:18 career yngu ya mda mrefu zaidi ya umri wa #YoungDee 😂🤣🔥🔥🔥🙆🏼♂️🙆🏼♂️🙆🏼♂️🇰🇪
@deborahjm88906 жыл бұрын
Born A Legend 🔥🔥 from 🇰🇪🇰🇪
@zak50656 жыл бұрын
+254🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@godfreykiyavilo92476 жыл бұрын
Ninoma sana kaka
@dgt63036 жыл бұрын
Hahaa namuelewaga mawe yake uyu....
@johnsonmsumali15056 жыл бұрын
"Sometime nakula bata utadhan naprint hela" vunja mifupa big up #Prof
@skteller50396 жыл бұрын
daaah ngoma kala sana AF jaman ruby ni atareeeee see uyu Dada level zingine kipajiii🎆🎆🙌🙌🙌
@hamisnjaga87326 жыл бұрын
prof jeezy hujawah kukosea mzee baba katika mziki and u have been show us how the true legend suppose 2be coz kuji-maintain miaka zaid ya 20 kweny game bila kupotea c inshu ya kitoto ni kaz ngum kulko hta ugum wenyew
@amiriramadhan77536 жыл бұрын
genius ,nakukubali sana mikumi mp ,daah hili goma Mr t touch amenipigia gita linanipandisha mizuka yakisambaa hakiamungu wallah haki yanani
@johndahil86576 жыл бұрын
Ukisikia jungu Kuu lisilo kosa madini ndo hili. Kazi safi kabisa
@bahatiomari13196 жыл бұрын
Shikamoo ×💯💯 professor jay.. Ruby kipaj ulicho nacho kikubwa sanaaaaaa
@deokareem21116 жыл бұрын
Bahati Omari
@coshineke13086 жыл бұрын
Bado prof ako sana naona the king is back
@hamdanijuma56406 жыл бұрын
Ngoma ipo njema sana daaaaaaahhh hicho kisauti cha @imrubby ni balaaa
@simonnembomadola75126 жыл бұрын
Legend..kama unaona Jay ameona siasa zinazingua bora akomae na gemu ,gonga like hapa
@habibsoud30326 жыл бұрын
professor jay..mambo sawa...rubi upo tu juu..love from mombasa
@werewere21176 жыл бұрын
Prof Jay never disappoints. Kama unapenda piga like
@fubanjenjele5216 жыл бұрын
Hapa Jay pale Ruby Daaa, Jay km kijana wa Jana anavunja bega na kubang kisasa, Pini tamu na kichuba kikali
@mohammedally85696 жыл бұрын
Wewe ni king 👑 wa huu mziki maisha yote .extra kipaji
@LUPPER.6 жыл бұрын
2:26 like kama umeona prof akishake na kuvunja mifupa..
@mwitadaniel41856 жыл бұрын
Wangapi wanaangalia comments wakiwatch vunja mifupa kama mm from Kenya
@zeesalumkibatv58106 жыл бұрын
Sasa mbona dada ruby ajaimba et
@millenmlay5266 жыл бұрын
Ngoma kareeeeeeee
@hopemuchi86896 жыл бұрын
Team 254
@allizimber65266 жыл бұрын
254 @971
@edwinmalofa68566 жыл бұрын
Mih ni mmoja wao
@herbertpeter30266 жыл бұрын
career yangu ya mda mrefu zaidi ya umri ya young D 💪💪huu unaitwa mstari kwenzi 😆😆😆😆 muacheni profesor aitwe profesor
@pigapesa10136 жыл бұрын
Prof Jay oyeeeee Ngoma kali kinyama....!
@safiaramadhan14226 жыл бұрын
Heshima Kwa MTU mzima prf j naomba liki zenu Leo nione bahati yangu #vunja mifupa
@damianboss76436 жыл бұрын
Safi sana
@chudyditozzie49696 жыл бұрын
Punchline kama zote.. Bonge ngoma mzee baba
@domydocta.6 жыл бұрын
My braza wewe ni nomaaa sanaaa ngoma ya motooooo
@D-Man.B-Free6 жыл бұрын
Nipo saana Leo ,juzi na jaana ,wanaokwambia kama wewe mkali wanakudanganya,daaah nimekuelewa
@boscotaggi70456 жыл бұрын
Songi ya kikongwe kweli..ruby haujamtumia ipaswavyoo!!kaz ya kawaida
@josephasenga23386 жыл бұрын
Unajitambua sana ktk kazi zako tangu hbs mpka choka mbaya na leo honourable mp
@lenlifechanger97366 жыл бұрын
The return of the hiphop king professor jay tz...gonga like tuvunje mfupa hapa
@fatmachambotanzania93796 жыл бұрын
Ngoma kali sana vichwa vi 2 vikikutana hakuna ku feli
@muramasuku11226 жыл бұрын
Haki ya mungu mueshimiwa hapa nimekubali kbxxxxxxxx
@ashashabani42106 жыл бұрын
weee ndo king wa rap 😍😍😍 mambo ni fire kinoma noma
@mahmoudabdul43596 жыл бұрын
Bonge la nyimbo bonge moja la kichupa we ni Mkongwe wa kweli aiseee
@fahimibrahim47586 жыл бұрын
Prof haachwi na hii game hata cku moja
@asuasu84726 жыл бұрын
Njoo tukeshe... hapa pro meno bado zipo na makali
@richardkamanya29516 жыл бұрын
Huyuu jamaaa noumahhh kweli wewe ni professional
@dominicadominica49766 жыл бұрын
Ruby lovely nice song I rilly love your voice. You are blessed nice job GOD Bless your work and protect you
@mortishavida22736 жыл бұрын
Amani na Baraka viwe kwako mzee wangu! The living Legend him self! The heavyweight MC! Professor kweli kweli bado ni Professor!! Anaendelea kufundisha Sana Kama kawa!!
@ashuraibrahim46446 жыл бұрын
Mbunge anayeongoza binadamu na wanyama #professorjay
@lucaswilliams57616 жыл бұрын
Hajawai kuniangusha na sitegemei hilo #salute sanaaa #profj
@oswinanwar53436 жыл бұрын
Rubby kipenzi change siku zoteeee....Ruby habari ya moyo Wangu... Ruby najua hunijui ila mm nakupenda sana Ruby toka moyoni....na huu wimbo nitau download kwa ajili yako
@fredrickngasa65146 жыл бұрын
Duuuuuuh wenye mziki wao wamerudi #Respect_to_U_MVP#
@ambitiousclassicofficial60776 жыл бұрын
nice song broo tayari mix on line vunja mifupa
@bryansilow94046 жыл бұрын
Siasa Ni tamu hao warembo umetoa wapi😂😂😂lakini proff uko on top of my list ..🇰🇪🇰🇪
@twalbumuungia39476 жыл бұрын
Huyu JAMAA ataniua na burudani zake yaani huniambii kitu juu ya kazi zake namkubali kinoma
@MANING416 жыл бұрын
Unanistua P Jay! Duh! Tulidhani ulipotea ukaacha game kumbe ndo hivyo unajificha kwenye siasa kwa kujitanua! Dah Mzee leta vitu! Nilikuwa nimemiss hii mistali
@chrissy_Tv7786 жыл бұрын
For sure I like the voice of Ruby plus heavy J baba.. big up my comrades.
@josephmwakalinga96406 жыл бұрын
Mheshimiwa professor yaani kila idala upo vizuri
@zabloni076 жыл бұрын
Bonge la ngoma hili kaka mkubwa, huwa nakukubali ndani nje bro!!! Unaitendea haki Hip hop kaka, salamu sana kwa Kinanda Ruby, naisikiliza back vocal hiyo.....
@humphreymasoud17256 жыл бұрын
ruby kaipendezesha sana hii ngoma... kaweka visauti sauti vya kisela tu.. ila ndo vimefanya michano ya Jay wa Mituringa ikae vyema zaid...
@deborahjm88906 жыл бұрын
Kali sana 🔥🔥from kenya 🇰🇪🇰🇪 nawakubali sana ❤️❤️
@eliamazziwa22416 жыл бұрын
Wanakupaka pilipili we unawapaka wanja noma Sana Vunja mifupaaaaaa
@mangiclaus6 жыл бұрын
Legendary asiyechuja. Love from kishumundu😁😁😁
@victustemba6 жыл бұрын
Nimekuwa naisubiria, Bonge la video..! Jay Mwenye njaa kama namwona.. 👏👏👏👏
@mwendwamjukuu94686 жыл бұрын
wanakupaka pilipili we unawapaka wanja..... kizaazi sana
@manyaramrema65316 жыл бұрын
Nakubali sana mistari yako, kweli shida tumeumbiwa daaah
@dizzobusiness30426 жыл бұрын
Nampa dili dogo janja dah noma sana mzee baba uko gd sana
@apankondadeng6 жыл бұрын
Mh. Jay. Hii kubwa tu sana 🔥 🔥 🔥
@kevorapper55842 жыл бұрын
Atary mfalme weee atary hip hop star💥💥💥💥
@maicosalumu15356 жыл бұрын
Mzee bado unaweza Vijana wajipange sana
@Joramkatana6 жыл бұрын
Bwana...si uvuke anga hadi Kenya ulete zero zinga la Show!