Рет қаралды 495
Mjomba Band, ikiongozwa na Mrisho Mpoto, iliwaburudisha wahudhuriaji katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya. Burudani hiyo ilijumuisha sanaa ya wimbo na igizo lililomuhusu kijana Innocent, ambaye aliweza kuacha matumizi ya dawa za kulevya kwa msaada wa methadone. #live #drugday2024 #methadone