Uwekezaji wa Hisa | Elimu ya Awali | Ezekiel Kuhoga | Mindsetting Initiative

  Рет қаралды 1,415

Mindsetting Initiative

Mindsetting Initiative

Күн бұрын

File lililotumika kwa presentation linapatikana hapa:
docs.google.co...
*************
Ikiwa wewe ni mpya kabisa katika eneo la uwekezaji wa hisa, session hii imelenga kukupatia taarifa ya awali kabisa kuhusu uwekezaji wa hisa.
Ili kupata taarifa zaidi kuhusu uwekezaji huu, tafadhali angalia video hizi pia:
• Uwekezaji wa Hisa na H...
• Analysis of A Stock Ma...
• Mpango Mkakati | Uweke...
• Wekeza Sekta Ya Benki ...
• Mwanzo Wangu Wa Uwekez...

Пікірлер: 11
@LightnessAloyce-vg3bi
@LightnessAloyce-vg3bi Ай бұрын
Shukrani sana.... Naomba kujua zaidi 🙏🙏🙏
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Ahsante sana Lightness kwa kufuatilia na kunipa mrejesho. Endelea kufuatilia hasa mijadala ya uchambuzi ambayo inafanyika kila Ijumaa live saa moja jioni. Naamini utajifunza mengi.
@rehemawalters8226
@rehemawalters8226 3 ай бұрын
Asante sana kwa elimu brother
@rehemawalters8226
@rehemawalters8226 3 ай бұрын
Na mimi naomba nikutafute Kwa namba yako
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 3 ай бұрын
Nashukuru sana Rehema kwa kufuatilia session na zaidi kwa mrejesho.
@MaishaNiKuthubutuPodcast
@MaishaNiKuthubutuPodcast 3 ай бұрын
ahsante sana kwa elimu ya wali kuhusu uwekezaji wa hisa na hatifungani nimekuelewa vema. naendelelea kupata msasa ili niwe boa eneno hili kiundani na nianze kuwekeza kwenye hisa na hatifungani, tayari nimeanza kufanya uwekezaji utt amis plc
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 3 ай бұрын
Ahsante sana na hongera sana. Hilo ni jambo jema sana.
@jaybreeze1237
@jaybreeze1237 6 ай бұрын
Brother natak no yako kaka
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 6 ай бұрын
Ndio brother. Napatikana kwa namba +358 41 75 78 763
@Binamclassicwear
@Binamclassicwear 4 ай бұрын
🙏🙏
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 4 ай бұрын
@@Binamclassicwear 🙏🙏🙏🙏
UWEKEZAJI NA MANUFAA YAKE: UTT AMIS WANATOA UFAFANUZI ZAIDI
22:47
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,4 МЛН
Fahamu Kuhusu Soko La Hisa Dar-es-Salaam (DSE)
17:49
DAR ES SALAAM STOCK EXCHANGE T.V
Рет қаралды 1,7 М.
TENGENEZA UTAJIRI KUPITIA HISA na Emilian Busara
57:11
Edmund Munyagi
Рет қаралды 61 М.
JINSI YA KUCHAMBUA KAMPUNI KABLA YA KUNUNUA HISA Na Emilian Busara
1:39:30
Episode 1 | Utangulizi | Fahamu Uwekezaji kupitia UTT Amis | Ezekiel Kuhoga
15:39
Mindsetting Initiative
Рет қаралды 1,1 М.
UWEKEZAJI WA PAMOJA KWENYE MIFUKO YA UTT Na Daudi Mbaga
50:09
Edmund Munyagi
Рет қаралды 18 М.
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,4 МЛН