MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA KUPITIA 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.
@adamdaudi6191Ай бұрын
Pongezi sana Prof.Kabudi, Sokoine kiongozi wa aina yake!.
@Wastara001Ай бұрын
Huyu ndiye mwanasheria msomi asiye majigambo. Sio yule ambaye kila akisimama alalamikia kupigwa risasi kila siku.
@richardnganya2311Ай бұрын
Sokoine mkatoliki kamili mwenye wake wawili kwa mujibu wa mila na desturi za kimasaai...!! Mtu akishapotea anapambwa kuliko uhalisia !! Katika uhai wake alipigwa madongo sana na wakubwa na hata kifo chake kingali na ukakasi...!!