Huyo Mwijaku uwa anajikengeuwa tu ila ni yuko smart sana Na msomi kabisa na Masters yake ona anavyo mwaga points 👏👏👏👏👏
@mussaelias35352 ай бұрын
Mwijaku umeongea vitu vya msingi sana baadhi ya watu wanalaumu serikali serikali imefanya kwa nafasi yake
@LucyKapinga-fg4dk2 ай бұрын
Haswaaaa
@JujuGurugu042 ай бұрын
Alafu alivyo kuwa rest anasema alionekana mjinga anawivu yule mtoto nifer anashobo mkonyogo 😂😂😂😂
@JujuGurugu042 ай бұрын
Nilisikia mdada alieponea kasema the same ghorofa ilikuwa inachibwa kwenda chini😮😮😮 jmn tamaaa hii Ona kaiwa watu
@JamesMwandoje2 ай бұрын
Sifa2.....kuoga Ahaaaa.....Niffer juuu....mungu ypo pamoja naweee....kumbka wanafiki ni wengi.....RC Chalamila....Juuu
@marthaleka2 ай бұрын
Mwijaku Mungu ambariki sana anasupport sana watanzania ...anaongea vitu vya msingi sana na anaongea ukwel kutoka moyoni 🙏
@HellenNkwera2 ай бұрын
Anapendaa sifaa uyoo babaa😂😂
@AminaMadaraka2 ай бұрын
Kweli kabisa umeongea point
@rafiaahmad1682 ай бұрын
Hapo kweny mikopo serikari kuwaombea ahuwen hadi chozi limenitoka wallah wapewe muda hata mwaka bira liba 😢😢
@aidaharuna55492 ай бұрын
Mwijaku siku zote mchawi lkn ipo siku Mungu atamuhukum kwani fitina zake
@annamussa1852 ай бұрын
Hiki kitoto kina miwasho kwanza kinamjibu Waziri ujinga eti kimesimama wima umesimama wima kwanza ni tusi akasimame wima na Og wake😅
@OmanBahla-d2p2 ай бұрын
Innallillah wainahillah rajiuun 😢😢😢poleni wanafamilia kwa kupoteza wapendwa wenu
@JAIROSMLIMILA-cl1wp2 ай бұрын
Kwa kweli wasanii wemeonyesha ubinafsi wa hali ya juu. ni jambo baya sana hili ni janga la taifa .tunapaswa tushikamane ikitokea msanii amekufa Huwa ndio sehemu Yao ya kujionyesha hata kinafki kongole kwa mwinjaku nimekusikiliza kwa makini wewe ni mtu na nusu poleni ndugu na jamaa na taifa kwa ujumla Mungu aziweke roho za marehemu pema peponi emen.
@mimasaady56382 ай бұрын
Mwijaku kaka yangu una akili sana mi nakukubali mambo mengne unatftia ugali tu lkn kitu kikubwa umesema Ila wasanii wa bongo bhana dah kweli hawaangalii hao waliokua huko ndio wanaowafanya kuonekana na kujulikana Mungu akubariki broo
@kamrudinelias39222 ай бұрын
Tunaombi kwa serikali awam6 kusitisha UBIA WA NHC na wafanyabiashara kubomoa majengo zake zenye maghorofa 3 na zaidi zibaki kama historia la Tanzania na hata kuuziwa kwa wakazi waliomo humo ndani kama wapangaji...asante MAMA....
@koletakilasa59882 ай бұрын
Siku zote wanawaambia selikali ipo macho hamsikii watu wanahangaika kuokoa watu wewe unahangaika ulipata nguvu wapi dada ungekuwa jilani nimepata hasra sanaaa😢
@AbdulmalikFredrick2 ай бұрын
Kweli kabisa mwijaku uwezi kulaum selikali ime Fanya kazikubwa sana
@HappyHiker-nz9vg2 ай бұрын
Naam sahihi kabisa mwijaku..njoo kwenye tukio😢😢
@salmam66652 ай бұрын
Poleni ndugu zetu iyo ni kaxi ya mungu haina makosa
@YohanaMathias-tf7gy2 ай бұрын
Poleni sana familia zilizoachwa
@FanyJimmy2 ай бұрын
Niffer wakati anasema atakae guswa atume Hela kwake serikali ilikuwa Bado haijatoa utaratibu Kwa wale wanaotaka kuchangia watanzania wenzetu 🙌sijui kwanini watu hawataki kuelewa Niffer sio tapeli Cha msingi atume izo pesa kwenye account ya serikali ambayo imetangazwa Basi 🇹🇿🇹🇿❤️❤️🙏🏽🙏🏽
@Chazmusic_official2 ай бұрын
Mnatetea upuuzi uliwahi ona wapi michango inafanyika online kama sio utapeli nini
@AdaMapondela2 ай бұрын
Imekula kwake,aache kiherehere😂
@SihabaAbdallah-li6dx2 ай бұрын
Fany uko sahihi 💯 hakuna binaadam alokamilika na sikuona jambo bay na mda alochangisha halikutoka Tangaz Kam Kuna bank maalum za kuchang@@Chazmusic_official
Mwijaku umeongea vitu vya msingi sana leo selekali imefanya kazi kubwa sana
@Rm2024-x3d2 ай бұрын
Lazima serikali iwajibike sio ombi ni lazima maana hao ni watu wake na walipa kodi...so ni lazima ifanye kazi
@LucyKapinga-fg4dk2 ай бұрын
Salima Wawajibikeeee wapo kwa jil8 ya wananchii
@angellomarcel56772 ай бұрын
Leo umeongea Point Mwijaku
@dorahmushi-we6ts2 ай бұрын
Kama yupo anaeilaumu Serikali anakosea! Na Serikali isingefika kelele zingekua nyingi mnoo, tunaipongeza sana Serikali na uongozi wake na watendaji wao wote.
@MelaniaYustus2 ай бұрын
nawapa pole wafiwa wote mwenyezi mungu awatie nguvu
@ThomasMmary-r7w2 ай бұрын
😢😢😢😢 poreni wafiwa wote
@nilhamkinongo72232 ай бұрын
Mwijaku nimekupenda bure leo
@BenjaminAndrew-vu2we2 ай бұрын
wasiini watazikan wao kweli kaka umeongea point
@ShaomoShahomi2 ай бұрын
Innalilah wahina illah rajiuni 😭😭
@SamweliJacob-bm2ij2 ай бұрын
Kila mtu anatafuta umaharufu kwenye tukio ili kudadek hii dunia kifo chako furusa kwamwenzie
@Kabwela7762 ай бұрын
Mambo yana utaratibu hayo tokea Tanzania kuzaliwa hawachangishi tu watu Ndio tatizo ukiwa mshamba umetoka bukoba umevamia jiji umefanya umalaya wa kihaya sasa yeye ndio mjuaji kila kitu ona sasa ametolewa noma na akatoe maelezo police 🙈🙈🙈
@JAIROSMLIMILA-cl1wp2 ай бұрын
Mwijaku kaka unaakili sana
@chandeemanuel63032 ай бұрын
Very nice mwijaku
@BenjaminAndrew-vu2we2 ай бұрын
mwijaku munguu akubalukii
@luphotopesa-j1p2 ай бұрын
mwijaku anajielewa sana
@ConfusedMicrophone-rp5ku2 ай бұрын
Polenta waliopata majanga ila naomba niffer afungwe tu kana ni mwema angeenda kuokoa sio kuchangisha hela
@samiraabdimahamed44492 ай бұрын
😮😮😮 chawa kama chawa
@JamesMwandoje2 ай бұрын
duuuu....atariiiii
@khatibmohd77562 ай бұрын
Wote poleni sana
@muhammadmpahi3382 ай бұрын
Kweli kama mtu umeguswa katoe msaada wewe kama wewe na sio kuchangisha watu bila utaratibu unaofaa
@SihabaAbdallah-li6dx2 ай бұрын
Jamani ndo hajajua
@DitramHaule-j9u2 ай бұрын
Hauna baya mwijaku
@deborahmaturu56982 ай бұрын
Mwijaku mtu jamani
@AsiaOmar-mr7bk2 ай бұрын
Niffer hajachangisha kwa nia mby musimlaumu lengo lake nikusaidia * ila km amekosea utaratibu atamalizana nao kistaarabu yataisha
@cornelphilipo29762 ай бұрын
Nimependa balozi kwa maamuzi ya silent occean kutoa msaada wa kupewa bidhaa zao bure ili kupata nafuu kwenye biashara zao
@nelsonnyamle2 ай бұрын
Msanii gani huyo tena
@happysanga68462 ай бұрын
Vyeo msibani mwijaku kuwa na akili
@bahatiludovick50822 ай бұрын
Nikwel kaka 👍
@AshfahAbdallah2 ай бұрын
Pole
@bahatiludovick50822 ай бұрын
Popote ulipo kunywa cocacola💪
@ZuwenaRashidi-c1y2 ай бұрын
Mungu apunguzie azabu yakabri mbele yao nyuma yetu
@SekilongeMishelli2 ай бұрын
Safii
@rambostalon28882 ай бұрын
Safi kaka mungu akubaliki fedha mali umaarufu vinapita
@BenjaminAndrew-vu2we2 ай бұрын
wasanii niwajnga namsba wanataka usitaa
@georgenyoni98792 ай бұрын
Serikali haitachangiwa kama huyo niffer
@jumandambai39722 ай бұрын
Serikali Ina mfuko wa mahafa ata usipochanga
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv2 ай бұрын
Huyu mwehu ndiyo kaongea point leo toka nimujue
@magrethmathayo28002 ай бұрын
Yani wewe 🤣🤣🤣🤣🤣
@AngelmackieCharity2 ай бұрын
Huyo jamaa ni ana akili balaa mfuatilie utagundua zaidi
@esthermalamsha28472 ай бұрын
@@AngelmackieCharitykabisa
@esthermalamsha28472 ай бұрын
Hua anapoint sana ni ww tu humfatilii
@Kabwela7762 ай бұрын
Huyo Mwijaku uwa anajikengeuwa tu ila ni yuko smart sana Na msomi kabisa na Masters yake ona anavyo mwaga points 👏👏👏👏👏
@HadijaMussa-cf4em2 ай бұрын
Kabisaaa
@AmedeusMbanda-gh4rj2 ай бұрын
😭😭😭
@AsaphAroko2 ай бұрын
TAPELI HUYO AKAMATWE AFUNGWE
@kmotivation11302 ай бұрын
Bora Niffer Amejitahidi coz najua niffer hana njaa, na aziweke kwenye account ya serikali apeleke mwenyewe
@LucyKapinga-fg4dk2 ай бұрын
Angeonekana eneo latukio nakutoa chake yeye kwanzaaaa nasio kuchangisha zawatyu
@anastaziamathias88612 ай бұрын
Pesa haijawahi kutosha mtu Acha kuamini watu
@jumandambai39722 ай бұрын
Nakushaur usije mjini
@jumandambai39722 ай бұрын
Nakushaur usije mjini.
@AsendeNyota2 ай бұрын
❤❤
@joshuaabell20332 ай бұрын
Cha kwanza jengo lilijeng ni hotel watu kulala sio Stores ama ghala ya kuhifadhia mizigo,mizigo mizito saana,cha pili jengo lilijengwa muda kidogo kwa standards flani sizo kikubwa khaaa mwenye jengo aliona kwamba kuweka underground maduka angetakiwa abomoe gorofa lootee akaenda toa Rushwa pengine akapewa ruksa aendelee na ujenzi siriosly? mimi naona waliompa ruhusua kujenga underground wachukuliwe hatua how comes wampe ruksa kujenga undeground kwe jengo ambalo msingi wa chini ni hafifu na dunia nzima something like that is imposible only in Bongo this is total.madnes
@athanasmagege47142 ай бұрын
Nakukupal mukali
@NeemaSamweli-t4c2 ай бұрын
Mnamuhoji mwinjanga kwenye jambo la muhimu kweli? Pumbavu sana.