Mzee kakobe watu wawili hawawezi kwenda pamoja wasipopatana.Haiwezekanai anayeamini na asiyeamini wakaenda pamoja.Nuru na Giza havikai pamoja.Naomba watumishi tuache unafiki,ni chukizo mbele za Mungu.Tumuogope Mungu.Tusiwafurahishe wanaadam hili hali tunamchukiza Mungu.Amen
@magellasaid284 жыл бұрын
Vitabu vimeandikwa ni lazima tutii mamlaka zilizopo je ni zipi hizo? Wanafiki ni kina mbowe na genge lake ambao wanafikiri kwa upuuzi wao wanaweza kuichezea nchi ytu tukufu hilo halipo wasahau! Sasa wajinga hawaishi mm nataka wawatii hao wajinga wenzao wanaowataka waingie barabarani kudai haki waone nguvu ya dola hii, wamechezea ruzuku ytu kwa miaka mitano mil 320 kila mwezi mbwa hawa wameshindwa hata kujenga ofisi yao wenyewe eti leo wanataka urais pumbavu zao sasa watakula jeuri yao
@magrethmwakifuna97924 жыл бұрын
@@magellasaid28 Kama hukunielewa usingejibu soma tens comment yangu uielewe,nimesema nuru na giza havikai pamoja,maana yake niko nimesema nao mambo ya imani sio ya siasa.Hapo atakae nielewa nimemanisha nini,ni mty wa rohoni maana mambo ya rohoni yatambulikana na watu wa rohoni.samahani kama nimekukwaza ila sijaongea kisiasa.
@magrethmwakifuna97924 жыл бұрын
@@magellasaid28 Ni hakija tunapaswa kutii mamlaka iliyopo maana imewekwa na Mungu,na sijaongelea habari ya kisiasa ya Bali nimeongea nao kwa habari ya rohoni.Nimesema watu wawili hawawezi kwenda pamoja wasipopatana,kuna kitu ninachoongelea kwao viongozi wanachomchukiza Mungu wanakijua.
@hjlpoi87394 жыл бұрын
@@magellasaid28 Giza + Nuru . Vibarikie vyema ameen.
@Frankgamanuel4 жыл бұрын
Nijambo jema kabisa hulicho sema nakubaliana na wewe Sasa yatupasa kupata wapatanishi hili twende pamoja imeandikwa heli mpatanishi..... Malizia Mungu atufanyie wepesi ktk hili watanzania tunapendana sana.
@gracekagoma32314 жыл бұрын
Ahsante sana ndugu yangu Kakobe kwa maneno yako ya busara.
@agnetorjohnson45574 жыл бұрын
Ubarikiwe Baba
@msangodiesel31324 жыл бұрын
Point juu ya point
@eventelias35664 жыл бұрын
Kakobe is the wise man.
@yerikocenter28204 жыл бұрын
Baba Askofu umenena. Tumshukuru sana Mungu, na tumuombe atunusuru na mchezo mchafu wa wanaounga mkono juhudi,na wanaoshinda kwa kishindo cha kushangaza wapiga kura wasio na pa kusemea. Tupendane na kutendeana haki...
@maryndunguru20914 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe mzuri
@holyfathergodford79884 жыл бұрын
Busara nzuri sana
@gabrieldenicc45024 жыл бұрын
Well say kakobeee unafahaaa sana kuilejesha amani ya Moyo sio wale wanapendelea upande mmoja lkn ww umenyoosha maelezo katikatiii
@shalomizrael6674 жыл бұрын
Merry Christmas to you daddy. nimebarikiwa.
@andreamndeme15394 жыл бұрын
TUMSHUKURU MUNGU
@muhezadc44134 жыл бұрын
ache kuwatukana watumishi wa Mungu, tumieni lugha nzuri
@maikoandrew584 жыл бұрын
Huyu Sio mtumishi wa Mungu, huyu ni mbwa mla mavi
@polycarpsilayo66783 жыл бұрын
Kakobe Ni kichwa Hana spea ,Ni wa pekeee.
@barakalucky44714 жыл бұрын
Kumpambania haki mtanzania Ni kupoteza muda wako mtanzania Ni mpumbavu wa mwisho hayupo tayari kutaka haki Kila cku nikulalamika maisha magumu, ila nahidi kutoka moyoni ctaki kusikia kimtu eti nikutane nacho sijui kiniambie ninashida ya Aina yoyote pale pale namlamba makofi haijarishi kijana au mzeee maana huu Ni upuuzi
@andrewndumbalo48884 жыл бұрын
😆😆😆 du ulikutwa na vyeti feki nn?..hiyo chuki siyo ya nchi hii😆
@emmanuelmesayi7264 жыл бұрын
Mery kristimas to you
@nindemkeremi37084 жыл бұрын
skip.... to 13:15
@edwinalexander11704 жыл бұрын
Uchaguzi umeisha kweli, ila Hiyo internet nayo irejeshwe maisha yaendelee, biashara zifanyike
@valeriananziku35614 жыл бұрын
Viongozi wengi wa dini hasa wakristo mmesahau wajibu wenu kukemea maovu kama Bwana Yesu alivyowaagiza kujikana nafsi zenu na kubeba misalaba yenu na kumfuata Yesu badala yake ni woga kujipendekeza na unafiki tu Mjue kunakutoa hesabu siku ya mwisho
@ukululegeorge93094 жыл бұрын
Kakobe umeamua kumtumikia shetani badala ya Mungu.aibu sana.
@katwigayona80414 жыл бұрын
Na wewe unamtumikia nani ,,pumbavu
@samuelzachariah39844 жыл бұрын
Wewe umeamua kutumikia UJINGA badala ya AKILI
@petersarwatt79554 жыл бұрын
Njaaa kali!
@maikoandrew584 жыл бұрын
Huyu ni njaa kali, amevimbiwa, nyani mkubwa
@jabiraxmed78984 жыл бұрын
Hamuna mtu wa mungu hapo wote wanafik watupu musimtumie mungu kwa unafik wenu muogopeni mungu nyie .anawaona
@katwigayona80414 жыл бұрын
Kwahi wewe ndiye mtu wa mungu,,jabir wewe ni mpumbavu tena koma kabisa
@victorakihanga44 жыл бұрын
Wacheni kubiishana na watumiahi wa Mungu mtakuja kujuta baadae
@samuelzachariah39844 жыл бұрын
Akili zingine bhana!
@nyabahailani31694 жыл бұрын
Mtumishi umetoka mbali angali mbele umalize vizuri
@amosngenzi47904 жыл бұрын
Kakobe mungu gan anayeruhusu wizi wa kura
@maikoandrew584 жыл бұрын
Kakobe ni punguwani
@adinanitandallah79674 жыл бұрын
Kweli maisha mapya
@geitaamb41524 жыл бұрын
Viongozi wa dini wameamua kumtumikia shetani si mungu tena wamejawa na uoga na njaa zinawasumbua
@barakalucky44714 жыл бұрын
Kabisa yaani shetani katawala
@gasparkamiliusbutama24614 жыл бұрын
Yaani wewe usihangaike kuumiza roho cha kufanya ni kitu kimoja tu Tundu alisema wafuasi waingie barabarani sasa wewe ingia ila wenzako ikiwa na mimi sioni sababu ya kuingia barabarani, maana naendelea na shughuli zangu bila shida yoyote kabisa
@andreamndeme15394 жыл бұрын
MZEE ASKOF KAKOBE UMEONGEA KWA HEKIMA
@salehabdallah41144 жыл бұрын
Viongozi wa Dini wapenda Haki,waadilifu,wakweli daima hukosa la kusema wakiwa na vingozi waovu wanaojipendekeza na serikali
@dicksondickson77514 жыл бұрын
Muovu niww uliozoea kula bure,na kuiba pesa za walipa kodi,jiandae na majibu mbele ya haki! Tunajua mnampiga vita kwa sababu amewashhika pabaya,,,vyeti feki,, wafanyakaz hewa, na wapiga deal,vibaraka waliotumbaza wakituambia tanzania ni maskini.
@jameskileo9554 жыл бұрын
Ukimsikiliza huyu mzee kwa makin na kufikiri kwa Kina ndiyo utaelewa anachokisema Hayuko upande wa Unafiki kaka
@andreamndeme15394 жыл бұрын
KUMSHUKURU MUNGU NI VYEMA
@jastinesamboto46744 жыл бұрын
Mara nyingine mtu ukiona ukiongea huwezi sema ukweli au kukemea ukweli basi ni bora utulie tu, Mungu mwenyewe atatoa hukumu na sio upambe wenu wa kinafiki
@omariramadhani99904 жыл бұрын
Tumeshaona
@josephnchunga12474 жыл бұрын
Siwezi kuandamana ni ujinga wa kuwapa umaarufu wanasiasa pasipo na sababu kwani tumesha maliza kuchagua jpm anapendwa kwa kazi sio stalehe na kupiga domo ,jpm safiiiiii
@marksonbeauty63974 жыл бұрын
We kilaza kabisa. Hakuna ccm anaweza kuandamana kwa sababu hata akili za kujitambua hawana. Ccm sasa wanaongoza kibabe na hawatakiwi na waTz
@saidmkembe74904 жыл бұрын
Ndio kweli umekwisha likani kibabe sanna
@bakarimngazija66724 жыл бұрын
Kakobe anakiri walipanga kuwavunja watu miguu dah ni mtihani mkubwa.!!
@katwigayona80414 жыл бұрын
Eti watu wamejipanga kuiona Tanzania ikipata hukumu kutoka kwa Mungu,, mtasubiri sanaaaa,,kama Mungu alimsikiliza jpm wakati wa corona na ikayeyuka , ni Mungu huyohuyo ndiye aliyeamua aendelee kuwa rais wa Tanzania ,, mtabweka sana ,na hao ni watumshi wa Mungu kweli hata kama hamtaki,,jpm juuuu zaidi na tz juuu zaidi
@frankkaiza36584 жыл бұрын
Kujipendekeza mkaacha neno LA haki na ukwer viongozi wa dini sv ni wachumia matumbo sio kondoo wa bwana tena ole wao wasiofata mandiko....!!!!
@mussaseifabdullwahid3414 жыл бұрын
Fisadi wee
@simonchristian63194 жыл бұрын
Hospital watu wanataka internet, Jana nimeenda sehemu kuhudumiwa daa,nikarudi nitaenda Tena alhamis
@harunigaitani25904 жыл бұрын
W kakobe mpuuz kabisa w ujackia vitisho va magufur wako w unaona kuna haki kwer
@eventelias35664 жыл бұрын
sasa unafikiri atafanya nini? hakuna namna
@harunigaitani25904 жыл бұрын
Kweri yale maaniko ya mungu yanayosema weeengi watataka kuingia mbingun lakini wasiingie sasa ndo ii dariri
@rodsconehenry42494 жыл бұрын
Philosopher
@katolosimon87314 жыл бұрын
Falisayo
@andreamndeme15394 жыл бұрын
MIMI HAPA VIONGOZI WA DINI NDIO MNANISHANGAZA MNAWASISITIZA WALIOSHINDWA WAFUATE SHERIA ILA WATAWALA HAMUWAMBIII WAFUATE SHERIA
@magellasaid284 жыл бұрын
Hujamsikiliza vzr hebu rudia tena
@samuelzachariah39844 жыл бұрын
Usipotulia kuelewa vzuri huwezi funguka Akili... ila jua hata Mungu hutumia Viongozi wa Dini kupitisha Viongozi... so ukiona wamemuunga mkono toka mwanzo mpaka sasa ujue hata wao Rohoni walimuona huyohuyo!! Achana na Siasa mgando!!
@andreamndeme15394 жыл бұрын
@@samuelzachariah3984 ACHA HIZO KWANI WANAOUNGA MKONO NI WOTE
@samuelzachariah39844 жыл бұрын
@@andreamndeme1539 sio wote ila wengi wanaunga mkono, Duniani huwezi ungwa mkono na kila mtu au kupendwa na kila mtu!!
@andreamndeme15394 жыл бұрын
Utavunjwamiguu kwasababu ya haki si kwasababu ya mtu
@andreamndeme15394 жыл бұрын
HIII KATIBAAA YETU ,MMMM
@mweyoms55484 жыл бұрын
Fact...!!
@gracekagoma32314 жыл бұрын
Watu wamechanganywa akili na Lissu tu.Sidhani kuwa maandamano ndiyo ishara ya demokrasia.
@ndimimaskati36414 жыл бұрын
Wanafiki wakubwa.
@gracekagoma32314 жыл бұрын
Tusonge mbele tuijenge nchi yetu
@petersume27804 жыл бұрын
unafiki
@mosesndahani2434 жыл бұрын
Hii kamati imepoteza mwelekeo kwa ukweli hawausimamii, hii ndiyo halihalisi ya giza na nuru kukaapamoja.
@magellasaid284 жыл бұрын
Ingia barabarani
@samuelzachariah39844 жыл бұрын
Wewe mwenye muelekeo unda kamati yako basi!!
@barakalucky44714 жыл бұрын
Umeongea ukweli Mungu anawaona hii njaaa
@suleimansuleiman24364 жыл бұрын
🍔🍔🍔🍞🍞🍞🍞🍔🌭🥖🧀🍗🍗🍗🍔🍔=🎤🎤🎸🎸blaablaa nyingiii
@shizoshop24694 жыл бұрын
Huyu mzee kazeeka akili kwahiyo ni bora dhuruma kuliko haki duuuh toka alivyo pokwa passport huyu mzee ni masenge tu
@gasparkamiliusbutama24614 жыл бұрын
Yaani wewe usipoteze muda kabisa kwa kuanza kutukana Tundu alisema wafuasi waingie barabarani, hivyo wewe ingia ila mimi usinilazimishe kuingia maana tayari nipo busy kutafuta mkate wangu wa kila siku
@ketabhomwita42144 жыл бұрын
Mwambie afunge mitandao yote alafu siasa na mungu wap na wap ww
@eatwell91614 жыл бұрын
Wewe kakobe kulikuwa hakuna tume na hakuna uchaguzi Tz. Mwizi akipora husemi kuwa Mungu Kampa bali unamshughulikia.. sasa Tz hakuna sheria ni wizi tu. Sasa watu wenyewe ndio wenye Mamlaka
@aljazamir16154 жыл бұрын
🙈
@mohdalkidarasa78884 жыл бұрын
Ikisema utafikiri. Imelewa gongo maneno yao ya kikafiri mungu awape lana nyie msiojielewa
@mohdalkidarasa78884 жыл бұрын
@Safricas Man of war mulaanwe nyote pamoja nawewe msiojielewa
@stivejayngoga14034 жыл бұрын
🐒🐒🐒
@luciacyprian91884 жыл бұрын
Watumishi na munaijiita watumishi acheni unafiki na kuziaki mungu mutaishia motoni
@maikoandrew584 жыл бұрын
Kakobe acha ujinga hayo kawadanganye wajinga wenzio, eti mapenzi ya Mungu, mjinga wewe