Kakobe unasifia ndege, hukusoma gazeti mojawapo la leo, kwamba iko Shule moja hapa Nchini iko hoi kwa Kunguni?
@alexanderdustan88726 жыл бұрын
Kwa hiyo while ikiwa hoi unazuia kuleta ndege?
@nelsonkazaura69546 жыл бұрын
Alexander Dustan Kama wewe ni Baba ktk familia, ukaenda kununua Smart phone ya Sh.500000/- Ukijua watoto wameshinda na kulala jaa kwa kukosa ugali, basi wewe utaitwa Mwanaume-suruali!
@alexanderdustan88726 жыл бұрын
@@nelsonkazaura6954 lakin kumbuka hiyo samart. Phone inaweza ikawa nyenzo ya kupata hela nyingi sana na hata kumpleleka hyo mtoto kusoma ulaya huku akila bata mwanaume suruali ni yule ambaye hawezi Fanya lolote
@alexanderdustan88726 жыл бұрын
@@nelsonkazaura6954 Kunguni zinatokana na nn? Kwa nn shule iwe na kunguni? Hafu uone zimesababishwa na serkal kununua ndege? C kila kitu kujiona unajua brother kunguni wafanye usafi tu ndo tiba ova
@theodorychristopher47956 жыл бұрын
Unajikosha tuu wewe kakobe.
@bonifasiemanueli27086 жыл бұрын
mbona mwanzoni ulimponda,ukasema,hauitaji chai ya ikulu kwamba hiliki ya ikulu ni ile ile,
@sabastianraymond88416 жыл бұрын
Bonifasi Emanueli Magufulu,AMEMKOSHA Kakobe ndiyo sababu ya kwenda,sivinginevyo.
@mkombozikiratv.97336 жыл бұрын
Injili mkanganyiko baada ya kulewa vitisho ni dalili kuwa Mungu hana nafasi tena kwa kina kakobe. Mimi namkubali rais kwa haya maendeleo lakini unaponichanganyia injili na siasa chafu hizi nakutazama kwa kicho la mwewe. Juzi uliposimama na kweli ukawaambia uovu wao walikupima mkojo,wamekunyang'anya paspoti na kukwambia siyo raia,je wamekupa nini leo mpk uwaone watakatifu?
@sabastianraymond88416 жыл бұрын
Deus Kira Panapostahili kusifia sifia,Panapostahili kukemea kemea.MUNGU hajipingi.
@belgieboys98676 жыл бұрын
huyu si yule mcongo?
@ladislausngoyinde43846 жыл бұрын
Hahaha, unachekesha, kama yy mcongo na ww kwenu wapi? Watu mliokuja tz baada ya nyerere kufarik mna shida sana, ila mtabainika tu cku c nyngi na mtarud kwenu
@bickosteven97306 жыл бұрын
Akofu umebugi usingeenda wamekufuatilia sana tra na wewe. Leo umeenda kumfagilia umejithalilisha sana