MUNGU Akubariki Sana Askofu Zachari Kakobe, Kwakuanza Na NENO Kwanza,, MUNGU Azidi Kukupa Ujasiri,,,,,,,
@mahamemapunda84826 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Baba Askofu kakobe kwa kunena neno la MUNGU kwa ushujaa mkubwa.
@maombitv41186 жыл бұрын
askofu ameongea vizuri sana mbele ya Raisi, pia tunampongeza Raisi wetu kwa kutambua kila mtu ni muhimu sana na kufanya vikao pamoja nao glory be to God Abba father.
@dawillygene6 жыл бұрын
Naiona Tz ya tofauti ,waooooooo baba askofu umenena maneno mazito na ya baraka baba ubarikiwe sana.
@akilimalimasala29426 жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu kwa NENO nzuri la Kujenga nchi Yetu.
@margarethsolomon98236 жыл бұрын
Askofu kwa kweli huwa uko vizuri kwa sbb huwa unaitumia nafasi yako ipasavyo bila hofu, ndio maana unaendelea kuaminiwa. Uko muwazi, unasimama vyema katika NAFASI yako ya utumishi wa Mungu.
@fundieddy91646 жыл бұрын
Askofu Kakobe, mara zote huwa anahubiri yenye mashiko. '... umaskini unaanza katika fikra...' GREAT SPEECH.
@wilsontemba72526 жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu,tuzidi kumuombea Rais wetu
@majidfrolian49048 күн бұрын
Hichi ni kichwa sana Mungu aendelee kukitunza 🙏
@manassehleonard28796 жыл бұрын
Baba yangu Askofu Kakobe nakupenda sana.
@gideonimathew64916 жыл бұрын
Nakupenda Askofu Kakobe.... Mungu akuinue zaidi
@eliakimchai89336 жыл бұрын
Amen baba Z kakobe Mungu amsadie Rais Magufuli kwa historia mpya ya Tanzania mpya ikiwezekana miaka mingi uishi raisi shujaaa
@irenejohn20253 жыл бұрын
Nakupenda na nakuheshimu sanaaaMTUMISHI WA MUNGU....MUNGU AZIDI KUKUBARIKI
@samuelndalahwa34236 жыл бұрын
Ni kweli mdomo unaumba thanks Bishop kuleta badiliko LA fikra
@SelestinoMnyema-kv1vm8 ай бұрын
Nakupenda sana Askofu Kakobe
@mkombozidrivingschool81605 жыл бұрын
Kama umemuona gwajima anasikiliza kwa makini sana tujuane kwa like tafadhari.
@abermstafa28733 жыл бұрын
Huyu mtu ni hazina watumishi wa mungu wengine wajifunze
@ashapearubart26246 жыл бұрын
Mungu tulidie Rais wetu. Wewe dio ulie tuletea.
@bonifasiemanueli27086 жыл бұрын
KAKOBE umetisha bado kumbe hujashuka kiwango,wakuangalie kwa makini na kukupa ushilikiano unaweza kuwa msaada ktk inchi hii,
@pendokatindasa22816 жыл бұрын
Kakobe. Tunashukuru, Umemaliza kazi.
@eliamwangomale72825 жыл бұрын
Ongera sana baba yetu askofu kakobe,mungu anajivunia kuwa MTU wake
@michaelnhende85056 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua baba yetu Zachary Kakobe ili Taifa lizidi kubarikiwa kwa maombi yako
@alialamoudi97294 жыл бұрын
Naam rais mungu amepa akili NA uaminifu sana hii sbabu ya kua tanzania nchi tajiri lakinl kabla kuja huyu raisi makufuli ilkua maskini hongera kwa wa tanzania pili uingi wa uslaam katika tanzania Anglau angiamka shekh moja NA aksema sh shote suali hapa ni yes kristo mtoto wa mungu NA mama yake ni marriya sasa nani aliye muoba marriya hapa ni mungu sasa itakuaje mungu anaye mtoto NA indiye aliye muoba mama yake uslaam enakanushs kabisa mungo kua ana mtoto
@adammponzi43716 жыл бұрын
Tunashukur sana mtumishi kwa hutuba yko Mungu azid kkpa hekima na busara
@akanishabani57896 жыл бұрын
Askofu Kakobe ni hazina Tanzania, nchi hii utawala wa Magufuli utakuwa wa kuigwa kwa kuheshim watumishi wa Mungu.
@mtanzaniamzalendo70016 жыл бұрын
Akani Shabani sanaaaa,kawaweka karibu sanaaaaa
@merrypaul20556 жыл бұрын
Ubarikiwe baba kinywa huumba
@mosesmanguzu26746 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi Bwn kwa hekima ya Mungu kweli Mungu anakusudi na nchi yetu ongera mh Rais JPM kwa maono hayo
@tezuramziray87006 жыл бұрын
Nimeipenda speech ya Kakobe saaana. Hongera
@maryhaule64486 жыл бұрын
Mtumishi kakobe umetulia katika bwanaaaaaaa
@richardmanyilizu84006 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi Mungu azidikukutumia
@financialloan98185 жыл бұрын
Raha kua ndani ya yesu watu wenye aman wapole wavumilivu roha mzuri daah ukiwa ndani ya yesu rahaaaa
@sylvestermsafiri43726 жыл бұрын
Yes! Neno kwanza.
@nisetameena92765 жыл бұрын
Nikiangalia sana na kutafakari uongozi wa Magufuli huwa nafurahi mpaka nalia, asante MUNGU kwa kutukumbuka, umpe raisi afya njema.
@jacksonnnonjela3483 жыл бұрын
😭😭
@mabulajohn31296 жыл бұрын
Baba askofu uko sawa nimependa na huo ndio ukwel
@richardmwakapalila61955 жыл бұрын
Mungu akutumie Sana baba yetu
@charlespeter55576 жыл бұрын
Askofu kakobe umetisha baba
@deogrationgodfrey84936 жыл бұрын
Nimekuelewa na huwa nakuelewa sana... Hongera sana JPM hizo ni baraka. Tawala miaka 1000
@museand7326 жыл бұрын
Fala sna wwe
@alexfesto64766 жыл бұрын
Amen Askofu kakobe
@mtanzaniamzalendo70016 жыл бұрын
Kakobe umeomba vzr,Bible imebeba Kila kitu duuu
@ukweliunauma45706 жыл бұрын
Imebeba mpaka tanzania ndio maana mnauwa wanzazibari tu iko siku itakuja u mtakiona tuoneeni tu
@financialloan98185 жыл бұрын
@@ukweliunauma4570 pepo sana ww Zanzibar nani kauliwa?mbona waislam akili zenu fupi sasa apo mauaji yanajngia vp mbona nyinyi mnalipua makanisa mnaua wakristo mbona usemi boko haramu wameteka na kuua wakristo mbona upigi kelele ?uko Zanzibar nani kauwawa au shobo?kwanza iyo Zanzibar mzima wamezunguka mashoga wanaume wachache mji umelaaniwa amjui mungu mpo busy kufuga majini
@ukweliunauma45705 жыл бұрын
@@financialloan9818 umejuaje kama na wewe sio shoga au mshirikina. Rabda wazanzibar washa haribu tako ilo
@financialloan98185 жыл бұрын
@@ukweliunauma4570 sasa mwanamke anakua shoga?au tako linakuwasha ww unasema nimejuaje?kwaiyo unakataa Zanzibar sio kisima cha mashoga?Zanzibar ni sehemu ya majini kuliko sehemu yyte tz aho aho majini ndio wanawafanya ivyo wotee uko mmelegea adi macho lol Zanzibar kila kona mapunga kibaooo miaka 5 ilio pita awakufanya shindano la mamis wa kiume mashoga au ujui?mshindi akashinda sm na ela shoga moja ivi la Dar pumbavuuuuu kbs nyinyi waume tuu wanawafira wake zao alafu unajiita wa dini subutuuuuu ushetani uko ndio ulio tawala
@edinamutakyawa68726 жыл бұрын
ubarikiwe sana mtumishi
@Cecile50055 жыл бұрын
Balikiwa Sana papa nimependa maneno yoko
@allykabongo2606 жыл бұрын
Ni kweli kabisa.
@safhe-mpungi60756 жыл бұрын
🛐aamen
@nyanda4276 жыл бұрын
Aimen
@patrickmogella57376 жыл бұрын
Wewe ni hazina Rais na Wa Tz wasiache kukutumia.
@pendokatindasa22816 жыл бұрын
Tunashukuru kwa historia hiyo fupi yenye maudhui muhimu juu ya Rais wetu mpendwa JPM na Watanzania kwa Ujumla.
@taimaliga76356 жыл бұрын
Ama kweli wewe ni mtumishi wa Mungu. Ila nasikitika serikali imechelewa kukutambua.
@manassehleonard28796 жыл бұрын
Ni kweli kabisa. Natamani wangemtambua tangu mwaka 1989.
@mtanzaniamzalendo70016 жыл бұрын
Tai Maliga serikali imechelewa Sana kumtumia,ila Magu amegundua hilo
@taimaliga76356 жыл бұрын
Ila Tz itapata umaarufu kupitia injili na sio Mpira wa Miguu.
@manassehleonard28796 жыл бұрын
@@taimaliga7635 hayo maneno aliyasema tangu 1989 na ndo yanatimia sasa.
@shalomizrael6674 жыл бұрын
Kwakila jambo kuna majira na wakati wake,, haya ndiyo majira ambayo MUNGU aliyapanga kwa ASKOFU KAKOBE kutumika kwa serikali.
@joshuakihaka75516 жыл бұрын
Facts Baba
@anthonydcosta48886 жыл бұрын
AMEN
@frankmakori14816 жыл бұрын
Hakika Tanzania Tuna Wapakwa Mafuta This is Tanzania Watashidaanaaa lakini Tutashinda Bwana yupo Pamoja nasi na Makufuli yameshawekwa Tayari Kuyafunga Laana zao na Umaskini Unaondolewa Ishi nami Tanzania
@Elisha-sr3we8 ай бұрын
Elisha
@kobelochamanga97576 жыл бұрын
Baba unatisha katika wachungaji wote tz
@bonifacekisinga59086 жыл бұрын
True
@denisbomani82756 жыл бұрын
Gud......daddy!
@jamesjames51296 жыл бұрын
yes tunahitaji watu wenye busara kama huyu hatuangalii dini
@richardmwakapalila61955 жыл бұрын
Amina
@danieldaud79585 жыл бұрын
pamoja na hayo ila Hakuna utawala uliofanya mabaya kwa raia wake kama utawala wa awamu hii ya magufuli
@jaydenmugisha16635 жыл бұрын
Kama ypi ??yataje tuyajue
@brightdeogratias66643 жыл бұрын
Waooo
@sophyeliah9546 жыл бұрын
Yes LORD!
@kilimanjaroelectricsolutio35736 жыл бұрын
amen askof
@danielshimora53156 жыл бұрын
good
@geofreyngole2426 жыл бұрын
nikuelewa vizuri mh baba askofu,umenena vema minds za watz zibadilike.tupo na wimbo wa unyonge kuwa sisi ni masikini kwa miaka mingi,sasa tueneze ukweli huu kuwa sisi sio maskini
@romanamassawe814 Жыл бұрын
Hivi Sasa hivi kakobe Yuko wapi ?. Enzi za wanafiki zimepita, hakuna mtu mnafiki Kama maaskofu wa Tanzania
@zabronmshana32776 жыл бұрын
Ni kweli ombi lako ulilosema adui wa maguli atakuwa adui wa mungu ila maadui wake watakuwa hivyo kama nayeye akitenda haki kwa watu wote na itokanayo na sheria tuliyo iweka ili alinde
@kobelochamanga97576 жыл бұрын
Nchi nyingine ata pweza na ngisi awana
@neemasikibigapumrembo91023 жыл бұрын
neema johanes kulula niko serenget nahitaji nikombolewe kutoka kwenye dhambi japo nasali katorik
@clemencelisonga81926 жыл бұрын
haleluya
@kamugishafrank66656 жыл бұрын
Ubalkiwe
@rafaelitenson76464 жыл бұрын
askofu.kakobe.nimekuelewa.sana
@saidkulwa12516 жыл бұрын
ndiyo wape vidonge vyao mana hawa taki kuelewa somo husika Mtumishi
@maikoandrew582 жыл бұрын
Mzee Kakobe ulipotea njia kulipongeza hilo Nebugabreza, Magufuli hakuwa mtu mzuri, viongozi wa kidini mlijikombakomba kwa mwanadamu, leo hii kiko wapi ?
@jacobmakono4399 Жыл бұрын
Hujui lolote kaa kimya!hapo Mungu anataka kuokoa roho za watu kupitia mtumishi huyu!
@chescokagali59626 жыл бұрын
Ukweli humweka MTU huru
@fundieddy91646 жыл бұрын
Chesco Kagali, uko vizuri. Bwana akubariki sana.
@valenakomba76866 жыл бұрын
Wea tu unajikosha kwa maneno yako ya ovyo uliyokuwa unaropoka.