Subhana allah. Ingelikuwa serikali imetoa hukmu ataefanya kitendo kama hichi cha udhalilishaji kwa watoto anyongwe tu. Basi wangeliacha lakini kifungo cha maisha na baadae wanatolewa watarejea.
@mahramarswad6041Ай бұрын
True kabisa ulichokisema ndugiangu tunakupenda kwa ajili ya Allah . From uk 🇬🇧
@ShebbyTheparadiso-hf6fzАй бұрын
Sharia iwekwe kukatwa kichwa adharani tutapata majibu mazur t
@AshuraHassan-m8gАй бұрын
Viongozi hawana habar kwasababu haviwatokei wao
@obestone1188Ай бұрын
Hio sheria ni ngumu .sabab kun wat wanasingiziw pia. Unawez kuja kumnyong mt asiekua na hatia
@janeajema2603Ай бұрын
Mtu kama huyo akishikwa mbona anaperekwa mahakamani after atalipa the police pesa atolewe?? Huyo nikuua to kill him
@JamilaBakari-ve9odАй бұрын
Subhana Allah 😢kwakweli inauma sana ndio maana mabalaa mengi yanatokea Dhabi zimekua nyingi ee mwenyezi mungu tupe mwisho mwema na serikal yetu izidi kuangalia haya Mambo pole Sana mzazi mwenzetu Allah akupe nguvu
@zuleikhakhamis3303Ай бұрын
Allah amshushie laana juu ya laaana alomfanyia mtoto ukatili kama huu na kumkatishia ndoto zake na roho ya mtoto imuandame asiwe na raha ya maisha alofanya ukatili huu na ikibainika kujulikana alofanya ukatili huu bac auliwe na yy mana kifungo cha maisha hastahili anastahili kifo tuu na yy kafaidi nini kwa mtoto mdogo nina mashaka makubwa ahojiwe huyu alopewa mtoto ama mama ake alomwambia ampe sh=500 mana kuna walakini hapo na sintofaham ata kama anasema mkwe sijui nani saiv ucmuamini mtu yoyote amini nafc yako tuu mana ata baba mzazi wanabaka watoto wao na sisi kama wazazi mtoto akikwambia kitu ucpuuze kichunguze ukute huyu mtoto ukatili kafanyiwa kitambo ila anaogopa kusema siku hii Allah kataka kumdhihirishia mama ake nani anafanya kitendo hichi Allah nisamehe ila alokabidhiwa mtoto ahojiwe kwa kina na awekwe chini ya ulinzi mana mie sijamuamini bado na mia 5 yake ama maabara wachukue DNA apo na kisha uyo alokabidhiwa mtoto na yy apimwe pia nimelia kwa uchungu Wallah
@TobaErtyАй бұрын
Alokobidhiwa mtto ata mm nahic akamatwe itakuaje amchukue mtto asimfikishe sehem husika n km mwnzo alijua km mtto anamwendo mdgo liana za mungu ziwe jiwe yke na mungu nakuomba umzihirishe mbya Hadid w hyu mtto
@hassanmwinjuma6961Ай бұрын
P
@yohanakobero3387Ай бұрын
Mwenyeze Mungu ni mwenye huruma na upendo. Ilibidi uchukue hatua ya kumuombea huyo aliyofanya hicho kitendo na sio kuhukumu. Kazi ya kuhukumu ni ya Mwenyezi Mungu na siyo yako. Kristo Yesu atusaidie.
@EddahBure-te7ftАй бұрын
@@yohanakobero3387mkundu wako
@خليفهالرحبي-ف4م29 күн бұрын
Inashangaza itakuaje ukabidhiwe mtoto wa watu mdogo na usimfikishe sehemu ya usalama?? Kama alikuwa na haraka na mtoto anatembea kidogo kidogo basi angelimuacha hapo kwa mama ake.. Atakuwa ni huyo huyo.. Allah ndie anaejua..
@ashuumuhammad8269Ай бұрын
Pole sana dada yngu 😢😢😢😢 kwa mtihan mkubwa kama huuo Dhulma haidumu abdan Allah atakulipia kwa dhulma alofanyiwa mtoto wko
@ZeitunMohammad29 күн бұрын
Mungu atufanyie wepesi, mm Hua Sina la kusema. Kile mwanangu alifanyiwa sidhani kama Kuna siku nitasahau. Yaarab kila siku namlilia mungu Atanilipa.
@ashurahatibu506928 күн бұрын
jamani pole dr inauma sana
@ZeitunMohammad28 күн бұрын
@@ashurahatibu5069 dadangu, binadamu, sitowahi pona. Mtoto mdogo anabakwa. Na mbakaji anaendelea na maisha, hadi Leo mm humlilia mwenyezi mungu. Yalinikuta.
@TatuHusseni-hs7mu27 күн бұрын
Pole kipenzi
@ZeitunMohammad27 күн бұрын
@@TatuHusseni-hs7mu ya huyu dada ilinishinda kumalizia manake yalinikuta na hadi Leo sijaona, nii kama cinema kwenye kichwa changu. Nikizuba namkumbuka. Nashtuka.
@Mebs-n5g9 күн бұрын
Allah azid kukutia nguvu😢@@ZeitunMohammad
@RukiaMwasalaАй бұрын
Hawa wabakaji kwanini wakikamatwa wasinyongwe wanatia hasira sana yaani ,pole sana mama hadija
@al-mamarial-mamari5457Ай бұрын
Mmnnaona wakatwe hayo yanayowafanya wakafanya hivo
@khamisisuedi1056Ай бұрын
Huyo mtaani kwetu angekuwa ni majivu saa hii tumemtia moto
@yohanakobero3387Ай бұрын
Usihukumu ndugu. We muombee kwa Mungu apate kubadilika.
@خليفهالرحبي-ف4م29 күн бұрын
Sawa kwa makosa ya kawaida ndio ataombewa abadilike,, lakini kwa makosa ya uadui kumdhalilisha mtoto mdogo miaka 6...😮
@yohanakobero338729 күн бұрын
@@خليفهالرحبي-ف4م hakuna dhambi kubwa inayozidi huruma ya Mungu
@fatmasalim8293Ай бұрын
Wallahi roho imeniuma huyu mtu alofanya Allah inshallah atamlani laanatullah inshallah amen yarab amen 😢😢😢😢😢😢😢😢
@RayaAbdalla-h2c28 күн бұрын
Pole Sana mwanamke mwenzangu najua jinsi gani unaumia lakini Allah atakulipia huyu alienifanyia mtoto wako hivi Allah amuondoshee dunia kiungo kimoja kimoja yaani azikwe kiungo kimoja baada ya chengine asife kwa mara moja Allah ampe adhabu ya fildunia na ya kesho Akhera yaaraab Allah zipokee duwa zetu🙏
@maimunamselemo842712 күн бұрын
Wanao fanya hivyo vitendo wanyoge 😭😭😭INNALILLAH WAINNAILAHIM LAJUUN
@samiramahmud406Ай бұрын
Uchungu Sana😢😢😢 Pole sana Dada Allah ndie Hakim Atamuhukumu mtu Aliyefanya kitendo hicho cha Ukatili. Allah Akupe Subrah Yaa Rabbi 🤲😢
@victoriapatrick9840Ай бұрын
Kuna wanaume ni mashetani!! Asa mtoto wa miaka 6 anakupa burudani gani?? Anakutamanisha kwa kitu gani? Mtoto mdogo jitu zima na mindevu kibao unamvulia nguo.. ivi tutaiona ata ngome ya bingu kweli!!! Mama anatia huruma Mungu amsaidie kupunguza machungu yake.
@rosiehayatta261926 күн бұрын
Aliyekabidhiwa mtoto achukuliwe DNA hii inaonyesha alifanyiwa ukatiri kwa muda hii ilikuwa kiyama😢 Naumia sana sana
@rosiehayatta261926 күн бұрын
😭😭😭😭😭
@BEDORESIАй бұрын
Jamani dunia inaelekea wapi tutaogopa ata watoto waende shule au kwenda kucheza ingekuwa kuna hukumu ukibaka unauliwa hivyo wataogopa mtu anabaka anapewa dhamana eeh😢mwenyezi mungu tulindie watoto wetu😭😭😭
@ZeyanaKhamismashakaАй бұрын
Kweli kbisa ingekuw hukumu iyo ingekuwa mtu ananyongwa watu wangeogopa kbisa adi huruma yani cijuw tunaelekea wapi. Kwa kweli
@tztanzania2262Ай бұрын
😢
@خليفهالرحبي-ف4م29 күн бұрын
Dunia iko vile vile Haielekei popote iko pahala pake... Matatizo tunayo sisi binaadam tujiulize tunaelekea wapi??? Tutaenda kumjibu nini Allah kesho mbele ya Haki! 😢
@خليفهالرحبي-ف4م29 күн бұрын
Allah ametuumbia dunia na akatuumba sisi binaadam lakini looooooh sisi binaadam sijui tunatafuta ni kwa Allah?? 😭😭😭😰Tunatafuta nakama gani Allah atushushie??? Huu sio ubinaadam kabisa
@rehemamlenge173924 күн бұрын
Amiin Ya Rabbi
@joshuasamson9618Ай бұрын
😢😢 Ushirikina huo Ameambiwa ubake usipokamatwa mambo yako yatayooka Ushirikina Hauna macho mtoto mdogo Dunia imeharibika sana
@DouglasMassopАй бұрын
Kabisa
@joshuasamson9618Ай бұрын
@DouglasMassop Imenikumbushakipind8 Mwaka 1993 Jamaa wa mtaani kwetu Alimbaka mtoto wa mwaka mmoja Akakibia mkoa kwa zaidi ya miaka kumi jamaa alirundu kijijini kwao yaani jamaa alikuwa na pesa nyingi Na gani nne za kutembelea Mbaya zaidi alienda nyumba alibakaga mtoto Kawapa zawadi ya milioni tano yaani mambo ya kichawi chawi tupu na ni mengi sana
@saumutoza2382Ай бұрын
@@joshuasamson9618 Dah😢
@GatekaFatmaАй бұрын
Pole sn mzazi mwenzetu Allah akupe subira ya hali ya juu zaidi Allah ni hakim wakila kitu atajibu kwa huyo firaauun alie fanya hayo insha Allah
@mwamvuamagongo8163Ай бұрын
Nimesikia uchungu kama wa kuzaa mtoto, Pole sana ndugu yangu, Mungu akutie nguvu. 😭
@aishabakari8040Ай бұрын
Haya mambo ndiyo yanafanya mpaka majengo yanaporomoka izi dhambi niyingi 😢😢
@chany9950Ай бұрын
Iyo nikweri pore mama 😭
@michelinemapendo6652Ай бұрын
Laaaanaaa😥😥😱 Mungu kukasirika
@faridakhamis2882Ай бұрын
Q@@michelinemapendo6652
@SaidKhalfan-m9t29 күн бұрын
Mamb mremb
@NeemaSamson-ti8pc27 күн бұрын
@@SaidKhalfan-m9t safi
@assalamtv8820Ай бұрын
Uhuru wa mitandao ya kijamii unachochea sana kuongezeka kwa udhalilishaji kama huo. Allaah awahifadhi watoto wetu. Pole mama, Allaah atakulipa Janna kwa subra yako. Amiin
@aseelaisaa428Ай бұрын
Bi Asma mwinyi tunakuomba sana sanaaa na Alllah akupeni nguvu ktk kazi hii nzitto na majukumu haya Alllah atakupa nguvu na team yako ifanyiwe kazi na setkali tukufu uchukuwr hatua na sharia Kali ziwrkewe hawa watu wagonjwa
@FghgRyyАй бұрын
Subhana Allah 😭😭 Pole sana kwa familia na walioguswa na msiba huu Innalillah wainna ilayh raji'un huu ukatili walaaniwe wote wanaofanya hivi Astaghfirullah
@NassormasoudHilal25 күн бұрын
Subhanallah,walofanya hivo Allah atawahukum
@MaryamKhawar-h3jАй бұрын
Jamani watoto wadogo mnawachia wanaenda peke yao jamani oh allah amuonyeshe huyo aliomfanyia vitendo vibaya allah awape subra😭😭
@JennyHenry370Ай бұрын
Pole ma khadija ..serikari uchukuwe hatuwa Sisi WENYE watoto jamani tufanyeje...serikari jamani..ingilieni Kati...Mambo haya sio mara moja kutoka.
@NASSORHAMAD-p5n24 күн бұрын
MUNGU inshallah atakupa subra dadaangu Japo maskini umeshangia maradhi huna uzima tena nimelia kwa uchungu ALLAH atakupa nguvu na subra ni pepo yako umewekewa MUNGU atakusaidia Aaaamin Allahumma Aaaamin inshallah 🙏🙏🙏
@germanajeremia8744Ай бұрын
WANAUME.......eeeh embu kuweni hata na hofu ya Mungu basi....mtoto wa miaka 6 kwelii jaman😢😢😢...Haya bhana Tunamwachia muumba wa vyote.
@feisalmbamba9729Ай бұрын
Umejuaj3 kua amebakwa na wanaume? Au umeshamjua
@user-MIO5pu1iv7oАй бұрын
😮😮😮😮😮😮😢😢😢😢😢😢 unaongea nn we!!!! Wabakaji nikina nani???? Hukumu na malipo nihapa hapa duniani...watu wanaua we unatetea ujinga kabisa !!! Usirudie akili yako ni 0 kbs
@sfiaalanazi547929 күн бұрын
Pole sana kipenz kwa kweli inauma sana mola awashushie laana kwa hawa wabakaji watoto wadogo hata wakifa roho zao zisifunguliwe milango ya mbingu zirudi kuteseka mpaka siku ya hukumu yarabb pokea vilio vya wanawake tunateseka😢😢😢
@PaulinaSemindu-ob3de29 күн бұрын
😭😭😭😭😭😭ee Mungu naamin hawa wabakaj unawaona" naomba uwaadhibu adhabu kali hd wajutie siku waliyozaliwa" mm n mama naumia mno jmn kumkatisha uhai mtt na kumbaka juu kweli! Tufiche wap watt wetu jmn Mungu baba 😭😭naamin Mungu upo na utatenda 🙏
@Semenimussa-j9lАй бұрын
Mungu ampe moyo wa subra huyu mama😭😭😭 anatiaimani
@abubakarkhamis388425 күн бұрын
Hongera Sana Asma Mwinyi kwa kuonesha Moyo wa Upendo hakika ni huzuni kwa kweli 😢
@AliKhamiss-r5kАй бұрын
Bnaadam wenzangu kwa hali hii ya unyama tuliofikia tusilalamke maisha magumu wal jua kali wal joto kali hay yote tunayatafuta mwenyw iv ni kwel kufanya unyam km uo mtot wa miaka sita kipi kilokuvutia hat ukamfanyia ay yote mungu atunusur lkn tulipofikia wallah kiama kimefika mda wwte wal mt asiwek malengo cjw mwaka cjw hv na vle icho kit tuondowe kbsaaaaa
@zainabjuma916828 күн бұрын
Inasikitisha sanna na inauma sanna, mtoto mdogo hajui lolote analojua ni kula na kucheza Ewe Allah tunakukabidhi mikononi mwako shingo ya dhaalimu mkubwa huyu usimuache kwani ukiwaachia watu Kama Hawa watazidi kuleta ufisadi tu JUU ya Ardhi, umekuwa mtihani ukizaa mtt wako awe wa kike au wakiume HUNA AMANI, humuamini MTU hofu JUU ya hofu Ewe Allah tusaidie.😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔💔
@SuleimanKhdija27 күн бұрын
Subhanallah 😢😢Yani huko tz kuna matukio yakustaajabisha kwakweli 😢😢pole saana mama
@BaloFighter24 күн бұрын
Pole san dadaangu mungu akupe moyo wa subira katika kipindi hiki unacho pitia😢😢😢
@shakilamasoud2983Ай бұрын
Subhanna Allah.....huu ni unyama wa hali ya juu. Pole Mama mzazi jamani.
@25th-d7n29 күн бұрын
😭😭😭nashindwa mpaka kumaliza kisikiloza inauma sana Allah tusalim salama na vizazi vyetu hakika wewe ndie muhukumu wa haki😢
@peacemwesigaАй бұрын
Eeee Bwana Y ESu. Tur Ehe Mu ukatili mbaya sana. Poleni samilia
@LilaAl-b3xАй бұрын
Pole san mama mwezangu Mungu akutiye nguvu Mungu amlaani huyo alofanya hvo nayeye asimalize huu mwaka afe kofo kibaya Sana na Chenye kuzalilisha inalilah wainailaih rajiun 😭
@hidayaswai3119Ай бұрын
Ukweli wangenyongwa au wapigwe mawe mpk kifo wanaofanya haya ingekoma hii tabia . Ila bado tunawalea. Haki tunawaumiza sana watu wanaopoteza watoto zao. Ilimtokea dada yangu mwanae kauwawa bila hatia. Inauma jamanii Mungu tunakuomba yeyote anayehusika ushughulike nae. Yaani inauma jamanii simuliwa tu😢😢😢 Mungu nakuomba usikae kimya kwa hawa watu wenye ushetani huu, hukumu peke yako baba
@zanlec7357Ай бұрын
Innalillahi wainna ilayhi raajioun pole sana Mama, dah!!!😭😭😭 Iko wapi Zanzibar yngu niipendayo? Yako wapi Maadili ya Kiislamu Zanzibar? Ziko wapi haki za watoto? Iko wapi Amani ya Nafsi ? Uko wapi utulivu wa Akili kwa Wazazi juu y watoto? Iko wapi Serekali inayolipa pesa nyingi san ili watoto wapte Elimu ? Nini Serekali yetu itafany juu y tukio hili la kinyama? Nani wakuirejesha Zanzibar yeny tabia njema? Inauma san yaani dah! Allah atupe subra njema
@AshaRashid-f5j27 күн бұрын
Inshallah
@AliAmour-g2o27 күн бұрын
In shaa allah kuumizwa kwako, na sikitiko ulilonalo na machungu yaliyokupata Allah atakulipia wala usiwe na shaka juu ya hilo mama, Allah anasema "Wala usidhani kuwa Allah ameghafilika sana na yale wayafanyayo madhaalimu......" in shaa allah Allah atakulipia hapahapa ulimwenguni oabla ya kufika kunako hisabu ya kweli.
@maryamsuleiman6340Ай бұрын
Innalillah Wainnailayhi Rajjiuun ,nakosa neno ,manahii imekua mtihani usionadawa ,manakesi zinafatiliwa nakulaaniwa ,ila bado wabakaji hatujui wanashettani gani , Yaa Allah tusaidie hilijambo lipotelee mbali ,mana hatawafanyao nivizazi vyetu , Ewe Mola tufanyeje tunaumia wazazi ,tunalia sana ,ila bado hatujui namna ,enyi wanaume wanawake wapo ,kwanini mubake hususan watoto hadi muuwe
@abdurazaqmoses776729 күн бұрын
Pole sana dada yangu😢 Allah akutie nguvu katika kipindi ichi kigumu unacho pitia walahi imeniuma ikiwa na mie nina mtoto wa kike😢😢😢 pole sana Allah ata muhukumu
@AhmedAli-x8w9eАй бұрын
Pole sana mama kwa wakati mgumu na yoyote alieguswa na hu mtihani allah awape wepi na amlaze kwa amani mtoto wetu amenn.#Nawapenda wote waloguswa na hili tukio.
@ladyr.hamsini2311Ай бұрын
Allah akupe subrah kwa msiba huu mzito na akulipe baadali njema, Pole Sana mama Khadija
@aseelaisaa428Ай бұрын
Pole pole sana sanaaa Allah atatufanyia wepesi yarabiiii atakupa Subra muombee mwanao malazi ya peponi yarabi Amin yarabiiii.pole mama .in shaa Alllah serikali itachukuwa hatua kubwa na Sheria kaliiii.hawa hawawezi kuwaachiwa kwenye jamiiiii
@MaryamSalim-ld6fg28 күн бұрын
Subhanallah 😢Allah akutie nguvu sister pol sana Allah atakulipia in shaallah Allah atulinde na vizazi vyetu in Shaallah
@nurasam5475Ай бұрын
NATAMANI KAMA HUYO MTU AFANYIWE KITENDO CHA KIKATILI MNO TENA TUSIMUONE SISI TUBAKI KUMLAANI TU TUSEME KILA WAKATI LAANA TULLAH LAANA TULLAH LAANA TULLAH 😭😭😭😭😭IMENIUMA MNO SIJUI HUYO MAMA YAKE IMEMUUMA NAMNA GANI 😭😭ALLAH AMPE NGUVU NA SUBRA😭😭😭🤲
@mariammm2574Ай бұрын
MwenyeziMungu ampe maumivu ya daima huyu aliyebaka asiwe na raha maishani mwaka Pole sana dada yangu inauma
@WityPeter29 күн бұрын
Pole sana dad mungu akutie nguvu kwakipindi hiki kilicho kuwa kingumu kwako napia mungu akausike na wote walio fanya kitendo icho
@RabiaNdegeАй бұрын
Dada pole tumeumia wote msiba niwetu wote kiukweli inauma tuenndelee kumuomba awanusuru walioko ndani ya kifus na waliokolewa wakiwa hai mungu awape nguvu na waliokufa mungu awaweke mahali pema amina
@RabiaNdegeАй бұрын
Yaarab tupe mwisho mwema, hakika wote tutarejea Kwako. Dahh nimeumia sana
@HabibaBb-d3sАй бұрын
😢😢😢 subhaan Allah 😭😭 pole sana dada najua unacho pitia dada pole sana 😢
@AminanassorHassanАй бұрын
Dah poleni sana wazazi Mungu awape subira na aliyefanya hili Mungu amuhukumu hapa duniani na amuaziri kwa kitendo hiki
@fatmaali4921Ай бұрын
Unajua sheria kuhusu ubakaji bado zaifu wahanga wengi wapo njee huku km huyu. Mtoto unyama alofanyiwa kwa kweli Allah huyu alomfanyia chochote cha kufedhehesha kimkute mbele za watu
@mahmoudally6044Ай бұрын
Inaonyesha alofanya hivyo ni wahapo hapo karibu ndio mana alipomaliza akamuua kwa sababu angemtaja lakin Allah ampe wasiwasi asiishi kwa amani mpaka ajulikane ajitaje mwenyewe semeni amin
@AholeLifilimaАй бұрын
Amina
@ZamzamMahamoud-f2dАй бұрын
Aamiin
@pillymwigura1249Ай бұрын
Amiin
@barikilangoy4737Ай бұрын
Amen
@saumutoza2382Ай бұрын
AMIIIIIIN YAA RABBI🤲
@annajohn175Ай бұрын
Poleni sana Mungu ailaze roho yamtoto mahala pema ... Huyo kijana akamatwe ahojiwe afinywe mpaka aseme alichofanya asionewe huruma maana ndugu
@aseelaisaa428Ай бұрын
Hili siliachiwe kweliiiii kweliiiii sasa hiiii hatuwexi kuvumilia znz yetu nzuri haya itakuwa madawa ya kulevys tuuu mtu mwenye Akili timamu anaweza kufanya unyama huuuu jamani .😢😢😢😢😢😢😢😢😢.
@zuleikhakhamis3303Ай бұрын
Nakujibu sasa wanaweza haswa kwa 100% saiv Zanzibar watu washenzi wamezidi kama haiwezekani hili limetokea vipi na sio madawa ya kulevya hii ni watu na akili zao wanawafanyia watoto wa binaadam wenzao unyama kama huu lawama apewe huyu alokabiziwa kwanini aseme mwanzo kamuacha mtoto shuel kisha mara aseme hakufika nae shule hapa kuna walakini mama mzazi alikua anaenda nae shule akasema yy atamfikisha ana lake Allah atunusuru na vizazi vyetu ila unyama umezidi Zanzibar saiv hakuna hukuna kisha wanasema nchi ya watu wenye imani na waislam saiv kuna wahalifu tuu imani zimepotea
@AishaSabo-r6tАй бұрын
Subuhanaallah kama hujawai kukupata hili jambo huwezi jua maumivu yake nimakali kuliko kufiwa jmn pole mwanamke mwenzangu yanauma me nasema najua haya maumivu😭😭😭😭😭
@waukweelinikkon655519 күн бұрын
Hakuna watu nawachukia kama wabakaji jamani 😢😢😢, yaani habari za wato kubakwa zinaniumza jamani 😢😢😢
@NeemaMakoye-u9w15 күн бұрын
Hata serikali ya zanzibar ni hovyo sana hakuna msaada mm nilifika mpaka ikuru nikarudishwa waziri wa wanawake na watoto zanzibar pia hamna kitu wanawaweka kwenye majukumu wasiyo yaweza, mwanangu alilawitiwa mpaka doctor kasibitisha mtoto ana mtaja muhusika ni jirani mzee toka mwaka jana kesi wameiua mapolis wa zanzibar hijii bado sijapoa naamini ipo siku walah sitoacha yoyote alie husika na kuzima kesi ya mwanangu.
@KulsumTwalib29 күн бұрын
Cjui ndo kiama kimeanza 😢 subhanallah 😭😭 Allah atustir waja wake 😢😢
@AminaOthman-b4fАй бұрын
Kwa kweli inauma sana poleni sana wafiwa , Inshallah M mungu atawafanyia kila wepesi katiia kipindi hichi kigumu.Ameen.🙏💔😭😭💔
@MaryamIssaAbdalla-og5wcАй бұрын
Jamaniiiii jamaniiiii mbona tumekuwa wakatili hivi wanawake wote waliojaa unaingiwa na hisia gani wewe hata umfanyie ukatili mwana wa mwenzako kiasi hichi😢😢😢
@SahimSahil29 күн бұрын
Pole sana dada Allah akupe uvumilivu na subra maana hii ilivyo kaa km huyo mkweo anahucka vle kwakweli ni mtihani
@rizikimohamed2449Ай бұрын
Mamake hadija 😢😢 pole sana dadangu Alofanya kitendo hicho Allah atamuhukumu walai
@liylahahmed829Ай бұрын
Allah akbar.... Allah atufanyie wepesi atuepushie InshaAllah
@ShamimuKanjuАй бұрын
Innallilah wainnalillah rajirun pole kwa wafiwa ,ukatili umezidi Mwenyeezi Mungu tunakuomba utupunguzie majanga haya
@Naema-x7p29 күн бұрын
Subhanallha dunia ina unyama mungu tulindie watoto wetu ss tulio inchi za warabuni kuwataftia rizki awalinde pole sana mwanamke mwenzetu 😢😢😢😢😢😢inauma xna
@dottokulwa9145Ай бұрын
Pole sana mama mungu akupe imani zaidi ila mungu atakulipa kwa hili, ila serikari yetu inge tuangalia sisi wamama na watoto wetu ifike wakati hawa watu wapatiwe huku ya kunyongwa nasio leo wapo jela kesho unasikia wamepata zamana au msamaha wa Raisi hili haripo sawa tunataka haki sasa tukawaweke wapi watoto wetu sasa
@abdulhalimahmed157628 күн бұрын
Allah atampa laana inshallah
@RechoR22Ай бұрын
Millad ungekuja ukaihoji hii familiar ambayo askar waliwaua vijana wao wawil kisa mchanga
@mudasina6968Ай бұрын
Kwakweli sijui umuamini Nani Allah awalinde watoto watu mtihani mzito ,Allah akupe nguvu mama Khadija Allah akupe nguvu na subra
@zainabhilali538629 күн бұрын
Tena aliembaka kijana mdogo mwemye umri wa miaka 18 tu watoa kometi laity mungelikuepo katika eneo la tukio mungelia sana 😢😢😢 tulienda na kurudi na huzuni tupu
@festinamwakipale3919Ай бұрын
Hela hizo mtoto alikuwa na nyota kubwa pole sana wabudu miungu dunian mnapewa kazi mbaya.sana na baba yenu ibilisi lakini hizo hela zimewakosesha laha mbona mna laha gani mwingine mijitu mizima na mahela.ya uchawi kazi kuingia kila.baa.na kushangilia mipira mmechagua.fedheha ya milele.mpo mjue
@saidahemeid537029 күн бұрын
Miaka 6. Huo.ni ushetani ulioje!??? Sauti ya huyo mtoto na kilio chake kiwe laana yako Kwa kila hatua unayoichukua. Pole Sana Dada Allah Atakulipia hapa duniani na Kesho Akhera.
@kanobayirelambert8400Ай бұрын
Wallah, alomfanyia mtoto ukatili huu nimemuhukumu adhabu ya kifo!
@Zanzibar000129 күн бұрын
Njia sahihi ya kesi hizi xina uzito wake 1. Kubaka mpka kuua 2.kubaka kwa hiari ya anae bakwa kisheria yaani chini ya miaka 18 kutembea nae yaani kakubali kusex ila yupp chino ya umri.. 3. Kubaka bila kuua Hawa watu ni tafaut jpo hukumu zitatafautiana Allah atulinde
@hassanboru29 күн бұрын
Innalilah waina ileyni Rajiun SubhAnAllah huyu anafaa aauwawe tu walete mbele za watu na kupigwa mpaka kufa inauma sana 😢 walai na unacho fanyea mtu malipo ni hapa duniani pia mtoto wako hatafanyea hvyo huyu auwawe tu hakuna njia ingne jameni hata akipekuwa korokoroni atolewe auwawe jameni ndugu ni mzuri mtu kama huyu umuombea mungu amlaani mnipe jibu ndugu zangu 🤝 inauma sana maana sisi ni wazazi ya Allah 🤲 tunakuomba hawa majanga uibushe na jamii zetu ya Allah 🤲😢
@Abdul-latifAdam26 күн бұрын
Wanaume wenzangu dah sijui hata nisemeje tumuogopeni Allah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@AminKassim-d9nАй бұрын
Ww asma acha mambo hayo ya marathon mzungumzie mhalifu akamatwe halafu anyongwe unaleta habari nyingin
@nsiamasawe4578Ай бұрын
Pole sana mama wa mtoto. Dunia ya sasa siyo ya kumwacha mtoto peke yake walimwengu wameharibikiwa
@livelive2865Ай бұрын
Kwa kweli serekali kama haijatoa hukumu ya kumnyonga huyu jama aliyembaka mtoto wa miaka6 basi serekali haijafanya haki kabisa 😪😪 Kwa kweli hii inaumiza sana.
@KingstonbagamoyoАй бұрын
Poleni sana huyo mshenzi nae akatwe maumbile yake ili iwe fundisho,,,poleni sana ivyo michangudoa ilivyojaa zenji buku tano tu ,,,hii ni laana wazazi tuwe makini sana
@kautharjay5868Ай бұрын
Ata hao machangudoa hawafi atafute mke aoe ndo solution ukipasa saut Kwa machangudoa pia umakose inawezekana ndo wanaopelekea wanaume tamaa za wanawake sana mpka waliona WATOTO wanabaka pia kwaiyo kuoa ndo jambo la msingi
@reynaaalrawahi4137Ай бұрын
Subhanallah pole sana mama khadija
@sund2553Ай бұрын
Watanzania sijui lini mtajifunza kulinda watoto wenu jifunzeni basi ht kwa nchi za ulaya😢 6yrs unaachia mtu eti amfikishe shule mtoto ,daah Polen familiar ya mtoto.
@AyuminchasiАй бұрын
Kweli dunia ya sasa c kuwaachia hata waume zao watoto hawa ni zaidi ya 🐻 mbwa wakiitwa mbwa hukasirika
@EzekielTv49Ай бұрын
Shida ya watanzania ni akili,,hawana akili kabisa yaani hata kidogo,,, wapumbavu namba moja kwenye hii dunia nahisi ni watanzania
@TwalaaTaib29 күн бұрын
Allah akupe subra Imani na Allah ajaliye apatikana😭😭
@KuruthumMohdАй бұрын
duu poleni san jaman wadada wote amjawaona mmeshindwa kwenda ata AMANI mkaluchukue wanawake adi elf 5000 ado ukamfanyie mtt mdog jaman inauma sana😢😢
@kautharjay5868Ай бұрын
Mwambie aoe usitete uchangudoa
@HashimSalim-qj7zn29 күн бұрын
UBALEHE NI KAZI JAMANI UKIVUUKA SALAMA UMSHUKURU ALLAH MAANA WENGINE WANAWAINGILIA MPAKA MBUZI AU KUKU
@ibrahimphanuel228429 күн бұрын
Wengine ata sio mabalekh wana wake na watoto majumban ila ufuska tu umewajaa laana imewajaa
@MasterOil-qm6vwАй бұрын
Poleni sana allaah awape subra huyo jamaa hata kama serikali imuachie lakin mtaenda kukutana nae mbele ya mahakama ya allaah hatakua na pakukumbilia
@FatimaAbdulla-s4iАй бұрын
Subhanallah, pole mamangu, pole sana
@EmsonSamboАй бұрын
Sijui ata nikwambie neno gani linalo ponya jaman Mungu akutoe Machungu tu. Amen
Mungu mwenyewe ndiye anayeweza kukufariji na kupinya moyo wako
@ashahamad-mq3izАй бұрын
Ewe Allah wape subra wazazi hawa na alieyefanya tokeo hili Allah mpe adhabu ya hapa Duniani na kesho akhera Jahanam iwe makazi yake kafanya kosa gani mtoto mdogo ksma huyu Rarab Rarab mzindishie adhabu adui huyu mama na baba Poleni sana Allah awape subra
@SiwemaNkuli27 күн бұрын
Pole sana dada yetu mungu akupe faraja laki
@AniphaMohamed-dh6snАй бұрын
Kweli my mtoto mdogo sana Allah atalipa pmzika Adija wangu damu yako ita enda ovyo mungu atalipa binti mwinyi umeogea point mungu akuogoze
@khadijamusa283829 күн бұрын
Allah akupee subraa mama khadijaa polee
@ZawadiHemedi-c5dАй бұрын
Mungu anamuona huyo aliemfanyia kitendo Iko duh nimekumis sana😢😢
@Noah-se3niАй бұрын
Pole sana kwa familia, wazazi wapelekeni watoto shuleni nyinyi wenyewe kwa sababu Dunia yaleo ni mbaya mbona wezetu wazungu wanaweza,
@rayouaabdallah139429 күн бұрын
Ila Yule alofatananae ahojiwe vixuri😢😢😢
@DottoRajabАй бұрын
Poleni sana mwanamke mwezetu mtoto mdogo kweli kudharirisha