Sijui mengi ya Siti biti Sadi. Lakini jina lake nalikumbuka sana. Nikiwa kijana tulikuwa na msemo usemao; Siti biti Sadi kama si sauti ungekula nini leo. Shukrani kwa Elimu. Bibi Titi awe kwenye historia ya nchi hii na Oscar Kambona. Hawa ni kati ya mashujaa wakuu wa nchi hii.
@mohamedmwatuwano55262 ай бұрын
Siti Binti Saad na Bi Titi Mohamed ni watu wawili tofauti.
@HanifaUrassa25 күн бұрын
Mungu aendelee kukulinda
@MasterOil-qm6vw2 ай бұрын
Allah akulipe mzee wetu Wazungu walimtuma nyerere awafute kwa maksudi lengo ni kupoteza nembo ya kuonekana kwamba hii nchi ni ya kiisilamu ndio maana wakamuandikia historiya ya uongo ya kuzua
@raymondjohn37982 ай бұрын
Sio nchi ya kiislam,tuna tamaduni zetu kama waafrika,uislam ,ukristo Ni tamaduni Za kigeni,hivyo kwangu haina maana yoyote.
@frimatuslupimo20312 ай бұрын
Nchi hii ni ya wote, wenye dini na wasio na dini.
@zulfikakalumba19772 ай бұрын
Shukran sana Mzee wetu
@saidikobossa74892 ай бұрын
ALLAH Akuweke, kisima cha Simulizi za kihistoria ambazo hatuzipati mashuleni.
@MasterOil-qm6vw2 ай бұрын
Kweli kaka huko Shuleni kwenyewe wakijitahidi kujua hiyo history basi wanaanzia kwa nyerere wakati nyerere mwenyewe kuna wajanja waliompokea mjini
@frimatuslupimo20312 ай бұрын
Hao wajanja walishindwaje kudai uhuru mpaka Nyerere akawaongoza?
@athumanfuko1992 ай бұрын
@@frimatuslupimo2031 angalia Ottoman au Alpaslan kwanini .Nyerere alikuwa yupo mbele lakini nyuma kulikuwa na watu wenye pesa kumuwezesha yeye na walikuwa hawataki wajulikane kwa sababu ya biashara zao.
@BenjaNetanyahu2 ай бұрын
Walikua wajinga hao,, nyerere ni habari nyingine kabisa. Aliesubutu kuvaa viatu vya nyerere ni john ulanzi magufuli, ktk viongozi wa tz,, wengine wote wameshindwa.
@hamisijuma32762 ай бұрын
@@BenjaNetanyahu RIP JKN & JPM
@JovinMwombeki2 ай бұрын
Wanawake kila mara wamekuwa wakilalamikia mfumo dume si kweli wanawake wenyewe walikuwa hawajihamini kama bibi titi muhamed alikuwa anaweza kusimama mbele ya wanaume eakaweza kumsikiliza wakati wa kutafuta uhuru na wanaume hawakumbeza hata siku Moja vipi wanawake mwalahani kuwa wanaume Wana mfumo dume sio kweli wanawake wenyewe walijidharau na tabia ya kusodoana Hadi Leo tabia hiyo ipo na kitojiham ini waache kusi ngizia mfumo dume
@Mfundo2722 ай бұрын
Ndugu Mohammed Naomba namba zako za cm please mm naitwa Mfundo from Germany
@Mapenzi26352 ай бұрын
Asante sana , Mzee Mohammed kutuelimisha. Nimefurahi na kusikitika pia. Tufanyeje ili tuishi kama zamani ambapo tulikuwa wamoja na wenye kuheshimiana?
@DaudiJafari-h4e2 ай бұрын
Naomba muongozo wa kupata vitabu vyako mzee
@raymondjohn37982 ай бұрын
Kambona ,Na Bibi Titi nawengi inatakiwa wajulikane,kuwe na Historia yao
@abdulrahmanshamba51922 ай бұрын
Asante sheikh
@antarsangali44562 ай бұрын
Mchango wa kalamu yako katika uandishi wa historia ya Tanganyika sheikh Mohamed Said haukadiriki. Umefanya utafiti wa kutosha na wenye kina usio na shaka wala haupingiki
@autoimmunesecurity21402 ай бұрын
Huyu bwana anamchukia Nyerere.?
@fahadfaraj64742 ай бұрын
Hajamchukia na wala hamchukii ispokua anaeleza yale yalojiri kosa kubwa lilitokea ni kwa miaka mingi kuonesha Kua ni Nyerere peke yake ndio aliofanya harakati za uhuru kitu ambacho si kweli Huyu ndio anaweka wazi wa yale yalioachwa kusemwa
@froma37322 ай бұрын
Ukweli unauma ukiwekwa wazi ndio inakuwa Anamchikia