17 Yalomkuta Saleh Sadalla

  Рет қаралды 37,238

MzeeBarwani

MzeeBarwani

Күн бұрын

Saleh Sadalla aligombana na Karume kwa sababu ya mwanamke. Karume alimtukana Sasalla kwenye kikao cha baraza la mapinduzi. Karume kataka kumpiga Sadalla na Sadalla akataka kumpiga risasi Karume, hakufaulu. Kwahivyo Sadalla kafungwa na baadae Karume kamuua.

Пікірлер: 27
@rashidsalum722
@rashidsalum722 6 жыл бұрын
Allah akupe pepo ya hali ya juu kabisa shehe Aman Than kiukweli mlipata mateso makubwa sana.
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 4 жыл бұрын
Allah(SW) akuweke mahali pema peponi amin. Haya mambo hayasemwi na wanaendelea kupotosha ukweli huu kwenye misingi ya elimu.
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 5 жыл бұрын
Watesaji wateswaji wote wameshafika kwa Hakim muadilifu
@jeanmubemba1204
@jeanmubemba1204 4 жыл бұрын
MZEE THAN WAS SO GENIUS
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Күн бұрын
Tumuogope mungu dunia mtihani hakuna kitakacho baki
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Күн бұрын
Rabii mrehemu huyu mzee watu msamehe mpandishe darja
@charlesbibombe2301
@charlesbibombe2301 Ай бұрын
Binadamu wa ajabu Sana. Unamua mwenzio ukidhani kwamba wewe utaishi milele jamani??kisa hicho Cha Saleh Sadala kinasikitisha
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 5 жыл бұрын
Naomba Ruhusa Kuzitumia Hizi Video zako Ndugu yangu, Zitasaidia sana Kusaidia Tanzania Kuona Umuhimu wa Kujali haki.
@farhatfatma12
@farhatfatma12 9 жыл бұрын
sasa kiduchu nimeanza kupata ukweli wa mambo yalivyokua wakati wa utawala wa serikali ya kwanza ya mapinduzi. inaonekana tulivyosomeshwa skuli sivyo kabisa. Allah mrehemu mzee huyu kwa kutupa ukweli wa mambo na umuingize kwenye pepo yako tukufu.
@MzeeBarwani
@MzeeBarwani 9 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu anatufundisha: "Wanataka kuizima Nuru ya Mwenyezi Mungu kwa vinywa vyao, na Mwenyezi Mungu anakataa ila aitimize Nuru yake ijapo kuwa makafiri watachukia." (9:33) Na Abraham Lincoln anatuambia: "Unaweza kudanganya watu kwa muda mchache na baadhi ya watu milele, lakin huwezi kudanganya watu wote milele"
@farhatfatma12
@farhatfatma12 5 жыл бұрын
@@MzeeBarwani , Baada ya miaka 3 najibu message yako. Allah akubarik. Kila nikipata muda humaikiliza marehemu Thani, hakika katufumbua macho.
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Күн бұрын
Nini kitakacho baki wote wapo ndani ya tumbo la aridhi hakuna kitakacho baki wakowapi wauwaji wakowapi wababe wako wapi wauwaji hakuna kitakacho baki kila mtu ajuchunge
@ibrahimsheha215
@ibrahimsheha215 Ай бұрын
Karume laanatu llaah
@andrewairo3483
@andrewairo3483 7 жыл бұрын
kumbe wakati wa utawala wa mwanzo yalifanyika mambo mazito
@alhamdulillahalhamdulillah7529
@alhamdulillahalhamdulillah7529 2 жыл бұрын
Eti tunamuondoa muarabu madhalim wakubwa washirazi wangapi muliwaangamiza
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 4 жыл бұрын
Inshallah kher
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 5 жыл бұрын
Ukweli ni huu kuusuta ni uwongo
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
✌️👊🙏.
@seifcrony2435
@seifcrony2435 4 жыл бұрын
Yule baharia alikuwa mshenzi sana
@AllyHamran
@AllyHamran 10 ай бұрын
Na kizuri walifanyiana ubaya wenyewe kwa wenyewe.
@donpablo2651
@donpablo2651 5 жыл бұрын
Wamegeuka mbogo wakaanza kulana wenyewe kwa wenyewe dhambi ya damu bana
@ibrahimnassor1561
@ibrahimnassor1561 6 жыл бұрын
Kumbe mambo ndivyo yalivyokua hivyo
@hassanmtema194
@hassanmtema194 5 жыл бұрын
wazee wali teseka san jamani
@SaSa-n2t1w
@SaSa-n2t1w Жыл бұрын
Unamutoleya rais bastola. ? Unafikikiya nn. ? Kisa kuma za Kizanji za wote haya limekukuta majuto mjukuu yote hii elimu Dunia angekuwa nayo yasingemukuta Karume hajasoma harafu unashindana naye
@charlesbibombe2301
@charlesbibombe2301 Ай бұрын
Basi singempeleka mahakamani kahukumiwa kunyongwa Kama Sheria ingemkuta nà hatia?
@ibrahimsheha215
@ibrahimsheha215 Ай бұрын
Muhogowako kula mshenzi wewe
@donpablo2651
@donpablo2651 5 жыл бұрын
Wamegeuka mbogo wakaanza kulana wenyewe kwa wenyewe dhambi ya damu bana
18 Kisa cha Hanga 1
9:45
MzeeBarwani
Рет қаралды 30 М.
PITIO LA KITABU: Maisha Yangu cha Khamis Abdullah Ameir
1:10:58
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 13 М.
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
16. Amani Thani: Kisa cha Hanga
24:11
Hilmi Hilal 259
Рет қаралды 6 М.
Kumbukumbu ya Sheikh Abeid Karume 2016
1:01:16
Mwanahistoria MohamedSaid
Рет қаралды 34 М.
Simulizi ya Historia ya Zanzibar - Episode 4
10:29
Iddi Mtumweni
Рет қаралды 645
Huyu ndio Sheikh Hassan Bin Ameir Baba wa Waislamu Tanzania
1:06:55
21 Haki Lazima Ipatikane
13:11
MzeeBarwani
Рет қаралды 24 М.
Athari za Utawala wa U'Sultan wa Zanzibar kwenye Mwambao wa Pwani ya Kenya-Makala ya Kwanza.
18:23
KUMBUKUMBU ZA MZEE AMAN THANI AKIELEZEA ALICHOKIONA NA YALIOMFIKA
2:33:49
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН