Allah awahifadhi mashekh zetu awaxidishiye ilim ili mtuelimishe nasisi
@shabanmsago32274 жыл бұрын
Shehe uko sahihi kabisa ila kwa kuwa wengi na asilimia kubwa wako hivo hutasapotiwa Allah akuripe heri
@alimatambwe34022 жыл бұрын
Jazakhallahu kheiri MashaAllah,Allah akukinge 🙏🙏🙏
@bahatihadijabahati74565 жыл бұрын
Shukuran sheikh wetu Allah akuzidishie in shaa allah
@ummyremmy38032 жыл бұрын
Subhanallah sa shida zote za nn...ya Allah tunusuru na haya majanga mwanga na mchawi ni adui hta akiwa mamako mzazi
@hamisikipenda6069 ай бұрын
Uyo sheke niwa manasana
@aboumaburaramadhan41885 жыл бұрын
Subhanaalh mungu atunusur WATU WANAKUFURU VIBAYA KUKOJOLEA MASHHAFU TENA DHU KWA KIP HATA UKUFURU KIASI HICHI
@bellbell92943 жыл бұрын
Allah akujaalie kher na Baraka sheikh wetu wajazakumullah
@mohamedbinfadhil13965 жыл бұрын
Mashaalah bakwata wanashindwa kuwa na online tv kama hii jamani hatuwasikii mpaka kuandama kwa mwezi.
@laylayl51662 жыл бұрын
Mashaallah shukrani ya sheikh
@saidaabdalla28546 жыл бұрын
JazakaAllahu kheir, Shukran Sheikh
@Nema-q1s2 ай бұрын
Sheikh wangu wee mkali bwana❤❤
@mkuchikaentertainment2 жыл бұрын
Insha Allah mungu Yu mwema
@Shuweamussa Жыл бұрын
Kwa kweli sheikh tunaomb namb yk
@fatmaalnabhani36092 жыл бұрын
Subhanallah, mungu atunusuru inshaallah na balaa hii.
@mira-gq3qg6 жыл бұрын
Allah akulipe kheri kwa kutuelimisha
@nasrakapuri59542 жыл бұрын
As,aleykum naomba naomba ya cm ya huyu shekhe
@aishandayishimiye51275 жыл бұрын
Allah atujaalie mwisho mwema
@laylayl51662 жыл бұрын
Aamiin yaarab
@TATURAMADHANJIHADI Жыл бұрын
Shekhe naomba unisaidie Nna bint yangu kaenda spital kapimwa kakutwa ana uvimbe kwenye njia ya uzazi
@husseinkazungu51013 жыл бұрын
MashaAllah shukran sheikh
@Shuweamussa Жыл бұрын
Sheikh mung akupe maish maref
@yukundapeter82008 ай бұрын
Yaani lichawi liko radhi kuuwa watoto wa wa2 wivu,Mungu auwe mitoto yao.Tumeteseka.
@uwesurwambo3666 Жыл бұрын
Shehe mpendu naomba nambayako shehe
@hamisikiango46233 ай бұрын
Jamani uyu shekhe sio muongo ata marehemu bibiangu alikua mchawi kabla ajakufa aya maneno aliyasema nimekumbuka ili lakula jongoo subbuhanallah
@Snuky54 Жыл бұрын
Masha Allah
@joharihassani38846 жыл бұрын
mashaallahkweki shekhewangu allahakujaalie.
@MustafshukriTamuje-hv6bz Жыл бұрын
Masha Allah allah akbar
@AliHassan-xw3uo Жыл бұрын
Naomba usaidizi wa namna yako ya simu
@ausimtaka525 жыл бұрын
Mashallah
@MustafshukriTamuje-hv6bz Жыл бұрын
Allah akbar
@Hashim-p4d3 ай бұрын
Husbunallah wanemal wakiil
@broumaiyyah80182 жыл бұрын
Asalaam alykum warhmatulwah wabarakatuh.Namba ya sheikh mpendu inawezekana kuipata?
@bobsuleh93656 жыл бұрын
Mashaallah
@hisihakamsiakwe45375 жыл бұрын
Mashallah Allah akujaalie uendelee kuwa umbua washenzi hawa
@hamidahamida14735 жыл бұрын
Subhanalha
@jumahadidja93952 жыл бұрын
Asante kwakua muelewa
@inabikorwaneema88156 жыл бұрын
Shukran
@fathimamct2322 жыл бұрын
Duwaa hata ukisoma kwa kiswahili inatakabaliwa sababu Kila taifa Lina lugha yake.
@MichaelMandainey9 ай бұрын
❤😅😮😢 11:27 11:28
@mfaumejaffery40315 жыл бұрын
gooood
@hamidahamida14735 жыл бұрын
Subhanalha
@jumamwamungamunga68179 ай бұрын
❤
@hamzaadrin9412 жыл бұрын
Hapo wakina mama umewagusa hadi uku sauti zao nazisikia
@mohamedmmuya64842 жыл бұрын
SHEKH unapatikana wapi?
@samwaoo995 Жыл бұрын
Ata kama ni tapeli ila allah ametukataza kutoa aibu ya mtu yy mwenyewe ana tujua aina haja kuwa mshirika wake
@SahimSalim-l5f14 күн бұрын
Hujarogwa bado
@issakisalu92373 жыл бұрын
Mmmmmh huyu shekh atari. Mmmmmmh
@siakaahmedbrown22943 ай бұрын
😂 Sheikh ENDELEYA, KUNA JAMA NYUMA YAKO HAPENDI INAWEZEKANA YEYE MCHAWI... UYO ANAYEPIGA SIMU
@kibajetihassan62185 жыл бұрын
Daaa bingwa uyo mrogeni sasa kama Tanzania kuna wachawi natoa wiki mbiri kama amjamroga kweri wote wanawake zake kweri sio Mimi haaa uyo sheck ndio kasema ivyo Mimi mweupe Sina chochote sema nataka nione mupoo au munatuonea sisi tu mahana bingwa uyo kajizazatiti aogopi
@mohamedisimaiАй бұрын
Hahahahahah hatokeiiii watatu limeisha sisi tu
@rajabujuma49764 жыл бұрын
Assalaam alaykum Shaykh naomba kuuliza wachawi walio kuwepo kabla ya kushushwa Qur aani walitupia nini chooni mbili walikojolea kitabu gani?
@ebisollili66462 жыл бұрын
Kabla quran kulikuwa na vitabu vyengine na pia ni maneno ya mwenyezi mungu. Kwa hivyo walikuwa wakifanya njia hiyohiyo
@mohamedisimaiАй бұрын
Kwani hao hao walikua wakiwasikiana vipi kabla ya simu
@yassincctv20915 жыл бұрын
Assalwalaykum warahmatullah wabarakattuh Sheikh huyu tapeli xnaa walay mm namueka ALLAH shahidi apa Duniani na kesho akhira kama kuna mwenye shaka mm na mfahaamu xnaaa labda awe ame tubu
@hamidahamida14735 жыл бұрын
Alhahu akbaru
@dhiabmohammed42385 жыл бұрын
Msiba
@koshihadiraabdalla56734 жыл бұрын
Huyu shekh so pesa mpaka apendwe na kila mtu moja mbili nakuuliza hivi kwani wewe pia mchawi maana sijaona utapeli katika maongezi yake
@AbdulAbdul-pr9qe4 жыл бұрын
tuthibitishie huo utapeli
@alexkadodsouza5394 жыл бұрын
Utakua wewe ndiyo mchawi hahahah
@zamdakimaro80402 жыл бұрын
MIMI SHEGHE NAOMBA KUJUA JAMANI SASA UCHAWI NA MSIKITI INA MAANA VINA MAHUSIANO YA KARIBU KIASI GANI MPAKA INABIDI MTU AINGIE MSIKITINI SIKU 40 DAA
@legend9805 Жыл бұрын
Msikiti na uchawi havina uhusiano chochote
@AliceNirera-mi9ck Жыл бұрын
Kwaju wachukiye sala
@jamilaomari24445 жыл бұрын
Mbona huyu anayeigizwa kwenye uchawi aende msikitini aswali?
@bebisheni43804 жыл бұрын
chale hizo zinafutwaje
@aminruga4295 жыл бұрын
Hhh shekh jamaa kafungua swaum kwa mikate iloekewa majini
@issakisalu92373 жыл бұрын
Sijajua darsa inahusu nini? 1. Mafunzo ya uchawi. 2. Jinsi ya kuwa mchawi 3. Kazi za uchawi 4. Kutafuta njia ya tiba 5. Njia ya kuuza dawa?
@allyismaily38762 жыл бұрын
Kuwaelezea juu ya ubaya wa uchaw
@khabib94593 жыл бұрын
Mchawi Pesa
@mohamedisimaiАй бұрын
Hujarogwa na allah akunusuru kwa sote
@allythabiti8150 Жыл бұрын
Ctak kuamin saana kwasababu ukisema Kila muwanga yeyote anaetaka kuwa muwanga et lazma aingie msikitn aswal akiwa na janaba cku 40 cjui xjui bila udhu je wale ambao Kwa sehem zao hakuna msktn Wala hamna Quran hawaijui je hao wanga wanajiungaje...!, Labda aseme baadhi ya watu katika maeneo fulanii.
@frankgeorge9371 Жыл бұрын
Huyu ni shekhe chifu anajua namna wanavyo fanya Mana usislaam umweka. Wazi Mambo Hadi namna kumuita jini au hujui Kuna baadi majini wanasali kila siku
@legend9805 Жыл бұрын
@@frankgeorge9371 majini wako hadi wakristo
@legend9805 Жыл бұрын
Hicho kitendo cha kuingia msikitini na kuswali na janaba na bila udhu. Yamaanisha swala yako haikubaliki yaani ni kinyume na mafundisho ya kiislamu
@mohamedisimaiАй бұрын
Mkuu kasome kita u kinaitwa swarimul battaar utayaona hayo yote