Ww ni mwanamke Na insha'Allah Allah atakupa mlango wa Pepo opposite na Rasulillah KAZI yako imetukuka mnoooo ❤❤ ❤Kwa ajili ya Allah endelea Mungu akupe maisha marefu na afyaa njema amin3 yaarabl Alamein
@kateranyahussein53859 ай бұрын
Wewe NI moja Kati ya Wanawake wema Allah akulipe inshaalah
@kateranyahussein53859 ай бұрын
Allaah akulipe kheri Kwa mawaidha yako yanayojenga
@ipingikalimited110311 ай бұрын
MashaAllah nmekuwa nikikufatilia sana madame ila ninahamu sana ya kuongea nawe unishauri moja kwa moja sijui nitafanyaje naomba msaada wako
@fadyaalshabibi1437 ай бұрын
Cya
@MesalimRashid11 ай бұрын
Mimi nkifatana n mume wangu 😂😂labda nenda spitali au mazishini au polisi wezi wametuibia...Alhamdulilah niko n 29kwenye ndoa wala hatugombani.
@Mahfudha11 ай бұрын
Hongera anty kwa kuwakumbusha wanaume,ingawa sie wengine hatuawahi kufanyiwa hata moja kati ya hayo ,wapewe maua yao wanaofanya hayo
@bahariahd629911 ай бұрын
Content ipo vizuri sana
@josiahkulwa34Ай бұрын
Hakika umetoa somo jema
@HamadAbdallahHamadi10 ай бұрын
Karibu Sana Pemba dada yangu
@maryamsuleiman634011 ай бұрын
Ahsante nduguyangu ,namambo mengine yanawakosesha baraka viumbe ,kwakutokujua kwetu🎉
@khamisissa25211 ай бұрын
maneno mafunzo murua sana jazaakillahu khair
@abdullipunjaje960311 ай бұрын
Maisha ni rahisi sana kuyazungumza ila kuyatekeleza ni kazi sana. Unaweza fanya yote hayo na ya ziada lkn bado mambo yakaenda kombo. Behind the scene ya yote hayo ni kuzidisha dua tu ehuch
@ahz69078 ай бұрын
We fanya kwa kutegemea kupata radhi za allah.ukitaka kuyajua ya binadamu hutoyamaliza.
@HamadAbdallahHamadi10 ай бұрын
Mungu akubariki amin3
@Rahma-r1y11 ай бұрын
Manshaaallah ❤naaaaaaaam habibty
@SarhaSaid11 ай бұрын
Maashaallah madam nikweli kabisa wanajisahau sana
@SalehMustafa-c7l11 ай бұрын
MashaAllah dada i
@hadijasufiani616711 ай бұрын
mashaAllah mawaidha mazuri sana kipenzi Allah akuhifadhi akupe afya njema uzidi kutuelimisha
@MwajumaKhalfani-jn5sz11 ай бұрын
Fffffffffffff
@MwajumaKhalfani-jn5sz11 ай бұрын
Ffffffffff
@letushareanidea10 ай бұрын
Watu tunapenda kuyafanya hayo ila humo humo ndio mnakuwa mwanzo wa kuombana talaka,mengine mtufundishe na dua za wanawake visirani sio kutuona wanaume tunajisahau hapana majumbani tunagombezwa hivi utaweza kumtoa mtu out mtu kama huyu unaogopa asije akakuchamba mbele za watu yakakutoka makofi ndio ukawa mwisho wa ndoa yenyewe kukosekana maudambwi udambwi kwenye ndoa zetu si kwamba hatupendi ila miongoni mwenu vivuruge.
@ahz69078 ай бұрын
Haswaaaaaaa
@frosttgp15104 ай бұрын
Umeongea kwa uchungu sana😂😂😂😂
@matatamwaipopo-rp4vz11 ай бұрын
Safi sana sister tunakuelewa vizuri
@suleimanjuma681811 ай бұрын
Mashallah mawaidha mazuri yenye nasaha za wanadoa nk:
@hassankhamis34411 ай бұрын
Hakikaa mungu ukuzidishiye hekims
@user-ju9mi1ft4v11 ай бұрын
Mashaa Allah tabaraka Allah
@ahmedosman769811 ай бұрын
Vizuri Sana madam leila
@waleedbinali321111 ай бұрын
Mashaa Allah shukran kwa maneno mazuri yenye kujenga Mungu akubariki
@ZackeyMohammed11 ай бұрын
Positively right,thank u Very much mama.
@amourmtungo62311 ай бұрын
Asante madam Leila. Kweli na upo sahihi kuhusu haya mambo. Wazungu wao kila wiki hupeana maua au chocolate japo kuwa sio vitu vya bei ghali, ni ishara tu ya kumthamini na kumpa zawadi mkeo au mwenzio. Unayosema yapo tupo wengi tunajisahau kufanya hayo mambo.
@dativajoachimwai11949 ай бұрын
mchaga romantic . kuwa romantic itampa sh. ngapi . inaliwa au?😂😂😂 ebu acha mambo ya kitoto basi. sisi tunatafuta pesa . kazi kweli kweli😂
@a.85611 ай бұрын
Jazakallah khayran
@muzammilurajab84611 ай бұрын
Asa usipoobwa pesa na mke wako akuombe nani, mwanamume mwenzangu
@asmaafamau830711 ай бұрын
Mashaallah tabarakallah
@makamemm611111 ай бұрын
Tumeelewa ugali mama😅😅
@omarimmbaga563211 ай бұрын
Aslm ,Alkm,war,wab.kuhusu zawadi, anarudi saa 4:30, saa 5:00, kufuturu magengeni,halafu unampa zawadi
@AkitakaHuwa10 ай бұрын
Shukran
@SingoMedia11 ай бұрын
Maashallah
@shahabdallah940711 ай бұрын
Halaf hi y kununa n kua vichaa inawakuta wwke wkiafrika tu?!
@letushareanidea10 ай бұрын
Kwani ile michezo ya kwenye tv ni halali kwa wanawake wa kiislam kuangalia?