No video

KUMNYIMA HAKI YA NDOA NI UKATILI PIA (HUBBUL HALAL)

  Рет қаралды 5,117

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

Күн бұрын

Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
#AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
#ZANZIBAR​​

Пікірлер: 14
@MussaJuma-nf3vg
@MussaJuma-nf3vg Ай бұрын
Asanteni Mwandishi Mr RASHID na mwanasaikolojia wetu MADAM LEYLA. Nawapata vizuri. Kipengele cha mwanamke kumwambia mwanamme hana hisia naye. Kuna sababu hapo ambazo nyengine mwanamme ndio chanzo au ni makutano ambayo hayakua na maamuzi sahihi kwenye moyo bali macho na mihemko ilitumika kwenye maamuzi. DR MUSSA (PSYCHOLOGIST)
@sadahamad6158
@sadahamad6158 2 ай бұрын
Shukran twajifunza pia kabla kuingia kwenye ndoa
@user-pw2dv9fr6r
@user-pw2dv9fr6r 2 ай бұрын
Mashallah najifunza Sanaa,hiki kipindi ni kama stress remover kwangu.Allah akupeni afya njema.
@bintsalimalbimany287
@bintsalimalbimany287 2 ай бұрын
Mashallah Madam Laila Allah akujaze Kher unahikma Ya kuzungumza Allah akujaze kher🤲🥰🥰🥰
@hidayamanda-gk7nf
@hidayamanda-gk7nf 12 күн бұрын
❤❤❤
@bentybenty2343
@bentybenty2343 2 ай бұрын
Masha ALLAH
@rukiaussi2764
@rukiaussi2764 2 ай бұрын
Mashallah jazakallah kheir
@user-xh7xf2ki3r
@user-xh7xf2ki3r 2 ай бұрын
Jazaka Allahu khairan kwa darsa nzuri Alhamdulillah
@user-oq6hb9hh2b
@user-oq6hb9hh2b 2 ай бұрын
Ukatili uko wa aina tofauti moja mchepuko w mume huwawanatukana mke mkubwa ukishtaki kw mume mume anamtetea mchepuko wake huku nikumuonea mke mkubw
@user-pw2dv9fr6r
@user-pw2dv9fr6r 2 ай бұрын
Madam leila ilikuwa bado ana ugeni wa studio katika vipindi vilivyopita apo alfatah ila leo yupo vizur kama tulivyomzowea mashallah.
@user-iy7xy1np7c
@user-iy7xy1np7c 2 ай бұрын
Wewe itakua ndo una ugeni mana huyo Leiya ni mtangazaji professional km studio na media ashazizoea ana miaka kwenye media
@IbrahimMohamed-vo9ls
@IbrahimMohamed-vo9ls 2 ай бұрын
Tuoe kwnza alaf ndik tuangalie izi video
@sadahamad6158
@sadahamad6158 2 ай бұрын
Ni sawa pia kujifunza kabla hujaingia ndoani
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 2 ай бұрын
HAYO MAMBO YA KUULIZANA SIMU IKIWA UTAKATAZA, JEE VIPI UTAMUONGOZA MKEO HALI TU MEONA MSANII WA KIKE MALAIKA WA TZ KWASABABU YA SIMU SASA NDOA PINDU PINDU, ALIACHIWA HUO UHURU JEE MBONA NDOA IMESAGIKA KAMA UJI?. UWAFUNZE WANAWAKE TU WAACHE TAMAA BASI NDOA ZOTE ZITAKUWA SAWA.
Ndoa na Umuhimu Wake.Kutoka kwa Madam Leila Abubakar
1:13:17
Al Noor Online Tv
Рет қаралды 4,2 М.
UKIONA DALILI HIZI, ANAKUSALITI (HUBBUL HALAL)
29:25
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 10 М.
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 11 МЛН
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 52 МЛН
UNAMPENDAJE MUMEO BILA KUMPENDA MZAA CHEMA?
31:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 8 М.
Wakati wa kumuomba mume pesa ni wakati amekununia, atakupa utakacho, hasemi sana.
1:11:55
UKARIMU UNA MIPAKA (HUBBUL HALAL)
30:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 4,3 М.
HIVI NDIVYO SIMU ZINAVYOVUNJA NDOA (HUBBUL HALAL)
19:09
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 12 М.
Saikolojia ya Mwanaume
1:17:37
Madam Leila Abubakar
Рет қаралды 9 М.
KIDANI EP 47:-SIRI YA KUISHI NA MKE MWENZA MWENYE HEKAHEKA
56:31
Kidani Show
Рет қаралды 15 М.
HILI NDIO LILILOWAFELISHA WENGI KATIKA NDOA ZAO
35:26
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 9 М.
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 11 МЛН