Mashaallah mawadha mazuri nami. Natamani kuingia katika ndoa ila bado sijabahatika kupata mume wa kunioa niombee na mim nipate. Mume
@magdmagd37072 жыл бұрын
Mume nipo nipigie 0625322450
@mwanamisimwandale61332 жыл бұрын
Allah akuzidishie umri uzidi kuelimisha jamii
@modestersumbali80422 жыл бұрын
Masha Allah, Allah aidumishe ndoa yangu nampenda sana mume wangu
@afric014 жыл бұрын
Mashallah!!! Umeitafsiri ndoa vilivyo Sheikh Othman. Hakika ndoa nyingi hazina raha, na ndoa ni Raha Sheikh. Ndoa nyingi sikuhizi zimekosa mawadata wa rahma. Shukran kwa mawaidha hayo. Allah akupe kheir na barka. Unasaidia Sanaa. Jazakallahu kheir sheikh. Shukran.
@nadhifamohammed7749 Жыл бұрын
Maashaallah sheikh nasikia raha allah atumishe kwenye ndoa zetu
@YvonneMukoya Жыл бұрын
Mashaallah sheikh shukrani kwa mafunzo❤❤❤❤
@sofiahasani87322 жыл бұрын
Allah akupe afya njema sikumoja Allah akipenda uje na Moshi
@ireneraila19372 жыл бұрын
Wallahi mimi nampenda mme wangu, lakini najua hanipendi, ahadi hatimizi,mda hana nami ...lakini niliamua kurudi kuishi naye kwa ajili ya mapenzi ya watoto wangu kwa baba yao.nikaamua kuvumilia yote kumhudumia yote ili wanagu wapate kuishi na baba yao. Mimi ni Engineer naweza kujikimu na sasa moyo nimeielekeza kwa watoto, kazi na Allah. Mme wangu ni Imam , sasa mimi nimetulia tu amani iwe watoto wafurahi na yeye afanye atakalo aende atakapo shauri zake... lakini wanaume basi nimeona ndoa za watu wengi hakuna tafauti , sina imagine tena na wanaume.
@zaitunikipingu8952 Жыл бұрын
Mashaallaah shekhe mwenyezi mungu akupe kila lakheri uzidi kutuelimsha
@MageKongx-pn4sj6 ай бұрын
Asalam alkum sheik Allah akupe umri mrefu utuelimishe kila siku,,, mimi nauliza na unijibu nijue ikiwa mume amejitia kwenye mihadarati hasa kuvuta unga na bangi imefikia mpaka anaiba vitu vya ndani ya nyumba ilifikia mpaka tendo la ndoa hawezi na mengi siwezi kuelezea je huyo ni wakumganda ama kuachana nae
@luckymsafiri69052 жыл бұрын
Masha Allah Shekhe unatufunza mengi, ndoa nyingi mtihani
@evenymathias37882 жыл бұрын
Sh Othman natamani nikuone live labda ndoa yng itakuwa imara sana, Allah akuweke daima, unanipa faraja
@nackymziray37873 жыл бұрын
Alhamdulilah mawaitha mazuri sana naomba shehe nirushie haya mawaitha tafathali naomba