Maa shallah jaza kalahuli kheir Allah akuzidishe ilimu na subura inshaallah
@khadijaangore44085 жыл бұрын
Masha Allah, sheikh Othman umenifuraisha sanàaa.. ALLAH AKUJALIE kila la kheir
@mwajumatoba42225 жыл бұрын
Mashalah jamani tume jifunza shehe
@azzaalmaamry765 жыл бұрын
Mawaidha mazuri sheikh Allah akulipe kheri na afya na umri mrefu
@mosespeter83184 жыл бұрын
Aothuman maiko
@asiamohamede39525 жыл бұрын
Mashaallah tabarakallah fik ya sheikh uko vizuri ,nadhani wanaume wote wangekuwa hivyo mapenzi yangekuwa yana dumu ila tatizo wanaume wengi hawana elimu ila wanatumia ubabe.
@fatmamombasa34305 жыл бұрын
Masha Allah tabaraka Allah mawaidha mazuri nakufuatilizia kila ukitoa mada ila kisa cha yule mjane alofia barabarani kimenigusa Allah atuongoze yarab
asalaam aleykum sheikh Othman,napenda kutoa maoini kidogo kuhusiana na waume,tungependa iwepo darsa kwa ajili ya wanaume,maana wanawake wao kabla huwa wanafundwa kumtunza mume n.k mengi tu,ingependeza pia na wanaume ikifika muda ataka kuowa nae sharti apewe somo au darsa la kwenda kumtunza na kuishi kwa wema na mkewe,ili kupunguza hizi kesi za ndoa na talaka, ili kuzinusuru ndoa ni kuishi kwa furaha nyote mume na mke mwategemeana,ndio mana Allah aliiona sababu ya kumleta Hawaa kwa Adamu, alijua furaha ya Adamu itakamilika,furaha ya ndoa haipatikani side moja tu,tunategemeana kwenye vitu vingi,ili maisha ya ndoa yakamilike yawe ya furaha,ni kuridhiana kuridhishana,nasio ndoa iendeshwe kiubabe eti mimi ndio mume utafuata navyo sema hata vya upuuzi mke uufuate tu kisa huyu nimume wako,haipendezi na ndoa haita fika mbali,muhimu hawa vijana wakiume wapate mafundisho ya ndoa kuishi na mwenza wake kwa huruma,upendo,mume akijua yeye amepewa haki zote za mke basi huzitumia vibaya na ukizingatia vijana wengi ni mabangi mwisho anauwa mkewe na watoto,haki ziendeshwe kwa wema busara na huruma,sio kipigo manyanyaso na kadhia,ndoa za siku hizi hazidumu,mume hajui kuishi na mke,mke hata akiwa mkorofi vipi ukiwa wewe mume una lugha nzuri na kumpa nasaha mkeo hutaona shida, ukaonesha upendo na huruma mke atabadilika tu'na kujifunza zaidi mazuri kutoka kwa mume,mume ni mwalimu na mlinzi wa mke,kuwa mlinzi mzuri kws mkeo kama utaona mke analeta shida,siku hizi hakuna tena uvumilivu wa wazee wetu au masahaba wa enzi hizo,hizi karne ni karne za teknolojia za kisheitwan hivyo hata maadili yetu ya zamani hakuna tena,upepo umebadilika,heshima ya enzi ileeee haipo,tupo tupo tu mradi siku zinaenda,mke mmbabe mume nae mmbabe,tuombeane maghfira tu,tupate wake na waume wema Yarrabb! wenye kheri nasie,ndoa za sasa zinaning'inia Allah atuhifadhi siku mbili talaka nyingi,mbaya sana wanawake ni wingiiiii,mke ukileta kibri ushaongezewa mke juu,na ndoa za wake wengi ukewenza umefanywa ni haramu unalaaniwa,wanawake wangepewa uwezo wangeongea na Allah afutilie mbali hii😄😄lkn wajue kama mke umo ndani ya uislamu ni lazima uikubali hii bila hivyo wewe unamapungufu ndani ya imani yako,na yote uyafanyayo ni kazi bure,fuata mafundisho ya Allah na kitabu chake Qu'an ukipinga unamapungufu,inshallah Allah aturehemu na vizazi vyetu atupe mwisho mwema🙏
@kaafisocadeey74803 жыл бұрын
Alhamdulillah Rabbi
@fatumaramadhanmashaallahal99665 жыл бұрын
Shukran sana Lakin huyu mume mm nifikirie kwa kilakitu na yy yuwanifikiria mapenzi nikupendana akinijali siezi muudhi kwa lolote na pia nikikosea niko radhi kuomba msamehe tatizo waume hakuna wingi wa kutaka kuongeza wake hivi mm ningekua qatar kama natimiziwa nitakacho mungu atuongoze inshaallah
@issaramadhani97145 жыл бұрын
Hakika Allah akuongoze ni wajibu wa kila mwenye kuihitajia mke au mume awe ktk maandalizi ya kuwa na ujuzi na uchamungu juu ya mas'ala ya nikah kabla ya kuoa si kila mwanaume atakuwa mume na mwanamke atakuwa mke unahitajika umakini wa hali ya juu na hili pia Uislam umelitolea muongozo kiukamilifu unapohitajia kuoa au kuolewa,yawezekana mfano ukapata mume mwenye kila hali nzuri ya maisha lakini sifa ya kuwa mume hana au ukapata mwanamke mrembo na mzuri lakini sifa ya kuwa mke bado hana.unapohitaji kuingia ktk ibada hii uwe unajitambua na umtangulize Mola wako kwa kumtaka msaada ktk hili.
@mwanaisha5225 жыл бұрын
@@issaramadhani9714 Ni kweli kila mmoja ana mapungufu yk
@ummulkheir83215 жыл бұрын
@@issaramadhani9714 uyasemayo ni ya kweli, Allah atakulipa,Kila la kheir biidhni Allah
@jamilamanariyojamila14874 жыл бұрын
Shukran sheikh wetu mawaidha nimazul
@kaafisocadeey74803 жыл бұрын
Alhamdulillah Rabbi masha Allah shekh Othman Michelle kupoza nyoyo zetu Kwa kilipu zako mzuri masha Allah
@fatmasalim69564 жыл бұрын
MASHALLAH SHEIKH UMEONGEA VTU VIZURI LAKIN WALLAH UNATUVUNJA MOYO WANAWAKE KWA BAADHI YA MANENO ULIYOTUMIA MANA UMEWAKEBEHI WANAWAKE NA KUWAPA KICHWA WANAUME .HAWANA UADILIFU WANAZINI KWANZA IKISHA NDO WANAOA BAADA YA KUFUMANIWA ,MNATUUMIZA SANA WANAWAKE KWA KUTUMIA SUNNA HII VIBAYA
@peterluppy88438 ай бұрын
Daaah hapo umenena
@radhiaomary55915 жыл бұрын
Maa shaa Allah,tabaraka rahman sheikh
@ramlaali59555 жыл бұрын
Ma Sha Allah shekh Othman Allah akuzidishie kila la kheri insha Allah
Utakuta hao wanawake kama hajauza maandazi basi haja vaa nguo nzuri kula ya tabu kuoa sio tatizo kuwahudumia ndio kazi
@latifamkulazi83785 жыл бұрын
@@mariamfaki1166 kweli dada mungu atujaalie subra ktk ndoazetu.
@mamawa3mamawa3215 жыл бұрын
Safi sana
@kaafisocadeey74803 жыл бұрын
Masha Allah shekh Othman Michelle
@khadijatamimi24955 жыл бұрын
Masha Allah umpendeza Allah akupe janaha yaarab
@Oman-ik1be5 жыл бұрын
Shukran sana kwa mawaidha mazuri
@kaafisocadeey74803 жыл бұрын
Alhamdulillah Rabbi masha Allah
@afric014 жыл бұрын
Aslm alkm Sheikh Othman.., wanaume wa leo wabaya Sheikh. Jirani moja alipata mke mzuri mashallah Allah!!! Msafi, mpishi, mpenda mmewe. Huyo mume alikua akila miraa akija anampiga , anamtusi kisha anamfanya mke jee huyu utampenda vipi??? Na wengine wanajivunia sifa ya kua mme. Akikosea hakupi nafasi yakumuuliza, anakwambia mimi ni mumeo. Jee hii ni haki??? Sheikh mahaba ni kumpata mahbubi. Ukimpata atakae kupenda Sheikh wetu, huezi kumkosea hata kidogo. Huyu hata miguu utamuosha. Lakini huezi kumpenda anae kuendea kinyume. Pole Sheikh Othman. Wanaume wa leo hawacheki. Wako busy. Shukran sanaaa kwa mawaidha.
@africandarling69255 жыл бұрын
Alhamndulillah mungu hanitie imani zaidi kwenye ukeweza insha Allah
@salmaalkyumi22705 жыл бұрын
Salallahu alaihi wasalam 🤩💘
@maryammct39675 жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@asyaluay57875 жыл бұрын
Shida ni kuwa wanaume kwa kuwa wameruhusiwa kuongeza mke munafkiri ni rahic kwa wanawake ku accept Vile wewe waskia wivu na uchungu kwa mke wako asiangaliwe na mwanamume mwingine ndio mwanamke anaskia Its halaal but not easy
@IbrahimOrma5 жыл бұрын
Mada nzuri mashaALLAH
@osamashakeeb71945 жыл бұрын
Masha Allah
@fatemabahrain19395 жыл бұрын
Allah akuzidishie elmu yenye manufaa
@ramatygerramatyger54882 жыл бұрын
Alla akuzidishie shekhe mada hii inawafunza wengi wanaume wanao dhalau wake zao
@abc414 жыл бұрын
Mashallah mada.nzuri. nime.elewa
@mariamahmad82614 жыл бұрын
maa shaa Allah shukran br
@halimalikutu37904 жыл бұрын
Mawaidha mazur shekhe allah akufanyie wepes inshaallah
@OmanOman-zc5dt5 жыл бұрын
Mashallha
@zainabmaulidi98464 жыл бұрын
Masha Allah mungu atuzindishie umri mref
@zahrahamadi67245 жыл бұрын
Mashaalh asat san kwa mawaidha madhur shukrn sheh nimependa san
@pilimbogo14045 жыл бұрын
Mashaallah
@carolinewanjala11585 жыл бұрын
Shukran sheikh na je? Kati ya muislamu na mkristo wakiowana ni haramu au hallali🙏
@latifamkulazi83785 жыл бұрын
Kwaniaba ya sheikh hakuna ndoa mpakawote muwedinimoja.
@sakinabakari98135 жыл бұрын
Ma shaa Allah
@halfaniland38504 жыл бұрын
Kama wewe ni mkristo, nakushauri huwe Muislamu kama Yesu.
Akili kichwani mwa wanawake, unaweza kuamua kutumika kwa starehe au la! Kila mtu anafundisha mwanamke kumjali mwanamme, hotoona shekhe au mtu Wa ushauri akifundisha kuhusu mwanamme kumpenda na kumthamini. Kaka yangu, nakuomba ufundishe na wanaume kupenda. Kwani tunavyoishi na wanaume hawatukeri? Hawatufanyii ukatili? Lkn utaambiwa vumilia tu-mwanamke uwe na subra.
@barakakihaga64814 жыл бұрын
Wallahi hakika unachokisema
@kupinga93794 жыл бұрын
Tusisubir clip za u-tube ili kujielimisha, kila sheikh anaelezea kile anachoweza kukieleza kwa kina na alichokifanyia uchunguzi na alicho ona jamii yake ni vyema kukifahamu...... Ila mafundisho ya namna gani mwanaume aishi na mwanamke,,,, namaanisha kuna haki mke kwa mume,, na haki za mume kwa mke. tatizo asilimia kubwa hua tunaingia kwenye ndoa bila elimu kubwa ya ndoa,,,, ALLAH ATUHIFADH KWA KWELI. lakini cha umuhimu KUSOMA, ili kama kunamahala tulikosea basi tuparekebishe ili tuishi kwa amani na upendo
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
Nice sana
@osamashakeeb71945 жыл бұрын
Allah akulipe pepo
@khadijaangore44085 жыл бұрын
Masha Allah , Allah akupe umri , afya uzidi kutupa mawaidha mazuri walahi.nashangaaa sisi WANAWAKE wengi hatutaki uke wenza.
@fatmahmuhamad73015 жыл бұрын
asante nimejifunza
@arthamsharibbiy48165 жыл бұрын
Shokraan
@othmanmichael42415 жыл бұрын
Kweli shekh
@rukiaalfa63384 жыл бұрын
nakupenda sana natamani nikuone live
@ramlaali59555 жыл бұрын
MI pia shekh nataka kuolewa mke Wa 2 lakini shekh naogopa Sana bado nafkiri kwanza
@mohamedykobelo96384 жыл бұрын
Mama muachie Allah
@hamisimabokellah35453 жыл бұрын
IVI ulishapata mume kama bado niambie nimeweka nia ya mke wapili
@fatmam4703 жыл бұрын
Nishaolewa nikaachwa jee name naweza kujiozesha mwenyewe bila walii naomba jibu shekhe
@kaafisocadeey74803 жыл бұрын
Assalam Aleykum warahmatullahi wabarakatuh
@majomaali23404 жыл бұрын
Kalne yasasa wanaume kama Hao niwachache anawake wanne nnje ana vimada kama vyote Allah utunusulu Jaman insha allh
@naamohamed99645 жыл бұрын
Mhhhhh yataka moyo jaman mana waweza ingia kwa lengo la kutaka kustilika lkn ukakutana na vioja vya kidunia mpaka ukatokwa na iman haswa mkiwa hamna dini mpo mpo tu NAOGOPA
@peterluppy88438 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@remiomar71545 жыл бұрын
Sunnah hii y kuongeza mke wapili au zaidi kila mwanaume anaipenda ila maadili majukumu hususan kwa mke wakwanza akiwa n watoto ndio hupata mtihani mm nnakaangu tuu kaowa mke wapili wakwanza hivi nnavyosema ana miezi mitatu hajuwi anakula nn wala kodi y nyumba naana watoto maskini.... Mbona ndevu hamufungii . Na sunnah nyingine mukazifanya
@shailashaila69135 жыл бұрын
😂😂😂
@alhamdulillah57965 жыл бұрын
Km tudini tudani. Baadhi ya wanaume wasiojua namna ya kuwathamini na kuwapenda wake zao inapasa wafaham hili. Mawaidha mengi sana yanaelezea namna ya mwanamke kumpenda kumthamini na kumtunza mume lkn hayatilii mkazo na mume kutekeleza hayo ili kuimarisha mapenzi yao. Mtume (S.A.W) ni mfano bora wa kuigwa naaige halafu aone km mwanamke hatomthamini na kumpenda. Lkn leo hii wanaume wengi hawana wanalolijua zaidi ya kua yy ni kiongozi na kutaka haqi yake basi, hua kama paka shume ndani na isitoshe mdanganyifu, hadaa, tapeli mpaka wakufikia kumtapeli mkewe na hawana mapenzi wala huruma hivi tunadhani mwanamme wa aina km hii anaeza kumpata mke km Bi Khadija (Radhiyallahu anha)? Sheikh sio km nakupinga mana ulichokizungumza ni haq lkn hawa wanaume wa siku hzi wengi sana wanahitaji mafunzo na kukanywa ili waweze kujirekebisha na wafurahie ndoa zao. Km unavyosema ni viongozi lkn wengi wao wanatumia nafasi hii vibaya. Tunayaona mitaani yamejaa tele mpaka tumbo litakuuma namna wanawake na watoto wanavyoteseka. Allah atuongoze ktk njia iliyonyooka sote, Amiin.
@khadijasaidjongohamis96513 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah yamejitosheleza maneno yako
@azzaalmaamry765 жыл бұрын
MaashaaAllah mawaidha mazuri lakin ni wanaume wachache wenye uadilif kutimiza haki na kutunza familia bila ubahili
@hjhj62305 жыл бұрын
Naam
@meedaafarai96775 жыл бұрын
Subhannallah
@alhamdulillah57965 жыл бұрын
Na hivyo unavyosema mwanamke apigwe bila ya kufafanua ni vp na unajua dhahir wanaume wa siku hzi wengi wao ni makatili, hawana busara hekma na imani. Ndio anapopigwa mpaka akaumia, akapoteza faham au kuuawa kabisa na pengine ni mbele ya watoto wake. Na itakua tunawafundisha nn watoto zaidi ya ukatili na machungu yakuona mama yao ananyanyasika au anafanyiwa ukatili na baba yao? Na tunafikiri kizazi hcho km kitakua ni chakike kitamuangaliaje mwanamme (kumuamini au kumpenda) kwenye ndoa yake? Au kwa mtoto wa kiume ataezaje kuishi kwa mapenzi na mkewe atakapoanza maisha yake na yy ikiwa amezoea kumuona baba ake anamnyanyasa mama ake mble yake? ALHAMDULULLAH UISILAM NI DINI YA AMANI NA UPENDO. NA NI DINI YENYE KUMTUKUZA MWANAMKE NA KUMPA HAQI KAMILI. MASHEIKH KUWENI NA HEKMA KM ALIYOKUA NAYO MTUME WETU MUHAMMAD (S.A.W). Mtakuja shuhudia mauaji ya wanawake mengi kwa kukosekana hekma na busara zenu mana wanaume wenyewe wasikuhizi wengi wao sheikh kasema.
@aairraahseif56483 жыл бұрын
Allahibarik umesema yaliyo jisholeza kwa umakinifu uchungu na huruma ndoa ni mtihani mkubwa hakuna mkamilifu kwa hili,tuombe salama kwa Allah atupe wake na waume walo wema tu,hakuna mnjanja kwenye ndoa ni kudura zake Mollah,siku hizi kila mtu kaota pembe si mume wala mke,ukibahatika shukuru Alhamdulillah,wapo pia waume walo olewa na wake zao,kuteswa na kunyanyaswa ,na wapo waume walo owa wake kuwa watumwa,kitu mapenzi imani huruma na kuvumiliana kumepotea kabisaaa,vitu hivyo havipo tena ktk ndoa,mradi ndoa tu ipo ikining'inia juu haiko chini haiko,Yarrabb manusra,toba! toba! toba!
@mtumwaali9594 жыл бұрын
Mhhhhh
@bilgisalfani12415 жыл бұрын
A,aleykumu ustadh dini yetu ni ya haki ssa kwa mawaidha yko ni sawa mwanaume kuongeza mke wa pili ila si kwa hivyo kuwa ukiona arudi ndo nitambue kaisha owa dah ustadh inatakiwa aseme2 kuwa ana mke hata nikubali nisikubali ili mradi kaisha sem maana atanipatish dhambi mm ntamfikiria tofauti wakat yupo kwenye haki
@bebisheni43805 жыл бұрын
we Ni Shekhe ama ustadhi
@aminamichael17065 жыл бұрын
Tofauti ipo ila hawi shekh lzm awe ustadh
@ameeranassor16193 жыл бұрын
Ikiwa wewe mume Bora basi na mkeo atakuwa Bora. Hakuna cha ziada
@khalfaankauga2945 жыл бұрын
Kwa mahitaji ya kanzu nzuri na bora kama anazovaa shkh Othman hapo na nyingine nyingi zaidi ya hizo ni sehemu 1 tu @kauga_kanzu_claasic# KAUGA KANZU ____________ Ilala-Boma DSM Tanzania. Pangani/Morogoro street no 1 +255 688 425 132
@kavorama9834 жыл бұрын
MashaAllah! Kama unasema kweli nitumie namba yako kupitia +262639766031 ili tuwasiliane zaidi
@zainabuzainabu43725 жыл бұрын
Alafu wanaume wenyewe hawana uadilifu
@fatumamasudi21535 жыл бұрын
Kweli kabsaa,alafu wengi wao wanajua sunnah moja tu ya mtume kuowa bac,nyengine zote hataki kujua
@hadijamandanje61895 жыл бұрын
@@fatumamasudi2153 Wallah mtihani wanawake wengi sasa ni waadilifu ila wanaume wengi hawana msimamo kwenye ukewenza
@hadijamandanje61895 жыл бұрын
@@fatumamasudi2153 Wallah mtihani wanawake wengi sasa ni waadilifu ila wanaume wengi hawana msimamo kwenye ukewenza
@fatumamasudi21535 жыл бұрын
@@hadijamandanje6189 Na huyo mume huwa mchonganishi mkubwa baina yenu ili musishikane mkamjua mambo yake
@issaramadhani97145 жыл бұрын
Hayo mnayoyasema ni kweli jueni kila ktk wanaume sio wote ni wabaya na wasio waadirifu na wanaume wema wapo pia kikubwa jitahidini ktk Uchamungu na stara mtawapata wanaume wema na waadirifu.
@zainabuzainabu43725 жыл бұрын
Asalam alaikum hayo mambo magumu...kuolewa mke mwenza we yasikie tu kwa mwenzio..
@farajisureman99255 жыл бұрын
Mimi ninao uadilifu mdiyo maana nataka kujiongezea mke
@sunherimohammad26585 жыл бұрын
Mimi da zai nilimpa ruhsa Mume aowe sababu nilikuwa mkenya na yeye mtz akaowa mtz kama yeye na kila kilicho changu nilimpa mke alikuja na nguo tu lkn sikuwa mke tena alipoowa Allah atusamehe ummaty Mohamad .roho yaniuma Dada lkn Allah Karim.
@sunherimohammad26585 жыл бұрын
@@farajisureman9925 Allah akuzidishie na sema Alhamdullillah .
@faizasaid82625 жыл бұрын
sunheri Mohammad pole urafiki namke mwenza mmi sitaki maana wanawake sie wenyewe wanafiki ila nikikutana nae harusi msibani spital salam nitampa ila ushoga nae sitaki
@mwanaisha5225 жыл бұрын
@@sunherimohammad2658 hayoo ndio meng huwaa wakeshaowa baadah y waume wengine
Shekhe una wake wangapi naona washangiria sana waume kuongeza wake
@issaramadhani97145 жыл бұрын
Si kila ibada ni wajibu akwambie mfano ana wake wangapi kikubwa yeye anaitoa ilmu aliyopewa dhamana na Allah iwafikie na wengine pia.
@khadijaahmed64205 жыл бұрын
Tatizo uadilifu kwa wanaume hakuna.Kwanza anafanya siri unashtuka mtu Ana mtoto wa mwaka.Hakutunzi anataka uvae vizuri na kiukweli wanawake wengi wanabadilika sababu ni wanaume tuwe wakweli katika hili.Allah atunusuru na maradhi
@ummulkheir83215 жыл бұрын
@@issaramadhani9714 shukran bwana issa,kwa kututia moyo, Allah atupe walo na kheir nasi
@swafiamohammed17085 жыл бұрын
Jee! Kama mume yeye hatimizi haqi kwa mke wake hukmu yake nini?
@rehemamsuya22635 жыл бұрын
Hapo kwenye kuzeeka umenifurahisha jmn
@aminamichael17065 жыл бұрын
Alaa kumbe
@musaomary46103 жыл бұрын
Ndio
@nasramohammed67165 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂kazimia
@swafiamohammed17085 жыл бұрын
Jee mama na mume yupi wakwanza kuheshimiwa? Tumeambiwa pepo iko chini ya nyayo za mama Tena tumeambiwa mke haingii peponi illa kwa radhi ya mume
@remiomar71545 жыл бұрын
Mama ndio wa Kwanza kuheshimiwa ...Ila ikiwa n Mwanamke umeolewa bc huwezi kuenda Kwa mamaako hata kama amekufa kwenda kuzika bila ridhaa y mumeo ....n ikiwa n mwanaume bc hanakizuwizi hapo kwasababu yy ndio kiongozi ...natumai umenifahamu dadangu
@mamawa3mamawa3215 жыл бұрын
Tena raha sana mukiwa wengi kuliko ukiwa peke yako
@ummulkheir83215 жыл бұрын
Raha sana,muhimu maelewano
@nasramohammed67165 жыл бұрын
Mmh shekhe mbona sasa unafundisha waume zetu jeuri atazinije sasa na mm nipo
@sarahalfani31245 жыл бұрын
Ni bora ujane jaman kuliko uke wenza ,binafsi moyo unataka kutoka
@yusramsellem93785 жыл бұрын
Muqaddima mrefu kaaaahh
@azzanhamad99484 жыл бұрын
Mawaidha mazuri sana
@azzanhamad99484 жыл бұрын
Allah akupe afya njema sheikh.
@shameemameery29794 жыл бұрын
Pole Sara mi napenda ila uadilifu kwa mume ndo huwa ngumu coz wao ni viongozi napenda wallah sijapata tu wa uhakika
@mwanaisha5225 жыл бұрын
Nafas zipo njpo t 🤣🤣🤣 kisa kizur kina mafunzo ndan yk
@iteltecno24704 жыл бұрын
Sasa nyinyi munahongelega sa islam tu?: mbona sisi wengine wa kiristo tuna ya penda n'a ku ya sikiliza
@bananatz42165 жыл бұрын
Sheikh na wewe unawake wa ngapi??
@fauziakassim3235 жыл бұрын
Huyu labda ashafikisha wanne asubiri ruhusa kwa mtume ili aongeze tena mungu anisamehe jamani
@dottnatta3105 жыл бұрын
Ana 1
@ummulkheir83215 жыл бұрын
@@fauziakassim323 ,fauzia spare my ribs,hahaha,astaghfiru Allah
@fauziakassim3235 жыл бұрын
@@ummulkheir8321 he likes to explain about women hana mada nyengine lazima atataja wanawake