Wengi está kukatisha tama Unapo fanya mazuri juá utapingwa na chengine hawa hawaja lazimishwa Kuamini stop coment sheet,big up brother Continue
@mercyngumbaoСағат бұрын
Ameen hili nalikubali sana Mungu endelea kungarisha nyota zangu na uzidi kuijaza nguvu nipate kibali mbele za watu🙏🙏🙏🙏🙏
@mtengwadj93908 ай бұрын
WEWE NIBINADAMU MAARUM UNATENDA KUSUDIO LAKO UNACHONIFURAISHA ZAIDI UJAEGEMEA UPANDE WA DINI🙏 UBARIKIWE SANA
@davidnziku24928 ай бұрын
Yuko vizur sana nampenda huyu mtumishi wa mungu acha kabisa
@mtengwadj93908 ай бұрын
@@davidnziku2492 kabisa
@VivianAnyangi7 ай бұрын
Mimi nampenda ady namfuatilia
@mtengwadj93907 ай бұрын
@@VivianAnyangi hakika
@PaulineWanjiru-f6v5 ай бұрын
Jambo,hayo yote ni kweli..ila nauliza kurudisha nyota iliyochukuliwa mtu atafanya vipi kuirudisha. Asante
@paulmashingia85015 ай бұрын
Funga na kuomba ongea na mungu
@Mpakauseme8 ай бұрын
Binadamu mwenyewe nyota kali uonekana ni dhaifu , na hapo Mungu ndio ujifunua katika watu hao, na ndio maana watu wa jinsi hiyo wnapopata mafanikio wengi ushanga
@VictorFranael7 ай бұрын
Umeongea ukweli sana.
@sunwizy6086 ай бұрын
nimekubaliana na wewe
@PeterSagata6 ай бұрын
n kwel
@DeoUrio-k6f6 ай бұрын
True , ni watu dhaifu na wenye kudharaulika ndo baadaye wanakuwa wakubwa ndo wenye nyota kali
@mwanahamisisadiki48926 ай бұрын
Kweli 🎉
@EvaMguss7 ай бұрын
Nachukiwa mpaka na family natharauliwa nakataliwa halafu hii ni toka mdogo na lakin cha ajabu mimi ni wa 4 na sina kitu lakin nalea family yote ikiwemo wazazi lakin haohao naowalea hawanipendi lakin huwa najikuta tu wakati flani nakuwa na neema tu mpka sielew hata niwe sina kazi naishi tu huwa nashangaa sana
@nehemiahedward7 ай бұрын
Pole mama angu, wew unanyota kali sema kuna ndugu zako wasiokupenda wanaichafua, funga maombi ya kurejesha kilichopotea na kuchafuliwa afu anza kuishi maisha ya utakatifu, utakuja kuniambia siku moja.
@EvaMguss7 ай бұрын
@@nehemiahedward sasa nifanyeje mbona naishi kwa shida kwamaana ya kutokukubalika kabisa hata kosa sjafanya inaonekana ni Mimi na hata najitahidi kuwapenda watu kuwa karbu na Mungu sana Mimi nimeokoka kweli lakin sjawahi kukubalika kabisa hiyo huwa inaniumiza sana lakin wakati flani watu ninaowaona hawapo sawa wao ndio wanaonekana wapo sawa hata ndugu zangu pia hawanipendi najitahidi kuwapenda na wanakuja kuishi kwangu lakin hawanipendi Wala hawapendi watoto wangu lakin nawapenda ila hawaoni Hilo ila tu wananichukia sasa nifanye Nini? Maana Hali hiyo inanifanya najiona sio kitu kabisa hata wakati flani najitenga kabisa
@visionaryyouthorganization7 ай бұрын
Pole, kamsome Yusufu alichukiwa ila ndiye alibeba hatma Yao.. usiogope songs mbele ...yusufu hakuwa wa kwanza ila alibeba nafasi ya Baraka ya mafanikio yao
Sasa tufanyeje suluhisho ni nini mbona hajatoa .nyota zimeibwa tufanyeje ili zirudi ? Tupe somo la namna gani nyota zirudi ?
@HaleemSimba7 ай бұрын
Wanichukie wasinichukie nilipo timiiza Miaka 30 Alhamdulillah namshukuru sana Mungu amenipa Ujasiri wakusau na kupoteza.. Japo kitambo ilikuwa inaniuuma sana najitahidi kuwasaidia watu lakini watu hao hao ndio wanao niombea nishuke nifeli kimaisha
@swaumujuma21636 ай бұрын
Wewe ni mimi
@marymwasiga5 ай бұрын
AchA,,, tuuu'''
@LatifaIssa-fb7vh7 ай бұрын
Uwo ni uwongo watu wanapitia changamoto mpaka wanakata tamaa then unakuta badae anakuwa bos
@trusttogod-x5i2 ай бұрын
I yo si kweli mpangaji ni mungu pekee
@Suzyjohn-w3r3 ай бұрын
Asante sana mm napitia changamoto nyingi sana katika biashara yangu mwanzo nilikuwa vizuri sana lakini sasa nihakuna kitu kabisa
@emmygeorge94156 ай бұрын
Mungu akuinue zaidi hayo yote unazungumza ni mimi kbxaa na kikubwa ni mtoto wa pekee ktk familia ye2 nachukiwa na familia ya mama na kazn wafanya kz wenzangu hawatamani hata kuniona na uoande mwingine boss sasa mimi ndy kila k2 kwakwe
@DijaShabani-gd6fn3 ай бұрын
Nikwel kabsa,mm nilikuw napendw sana na mama mkwe na mawif lakin kwasasa nachukiwa yan hawatan ata kuiona sura yag,ata nikijitaid kujifany mjnga kwao niwe karbuyao naambiw najipendekeza najifanya mwema kumbe ni mchaw mkubwa,yan wananiita mm mchaw,laki watu wengne tofaut na wao wananpenda sana
Duuuuu thanks sisee Mungu atupe uvumilivu Kwa kweliiii😢
@MasoudNyoni-g8o4 ай бұрын
Ahsate Sana fafanua media Kwa ujumbe mzuri
@ElizabethNdalahwa4 ай бұрын
Wewe Eva uko kama mimi yote uliyoyasema nikama nimeyasema mimi aisee Mungu atuinue.
@EvaMguss3 ай бұрын
@@ElizabethNdalahwa Amina inaumiza basi tu
@phibykhavere6 ай бұрын
Amina Amina nashkuru uyo n mm juu kitu cha kwanzaa ukiolewa familia y kina bwana inakupiga vita bila sababu bt popote uendako hta kazini unapendwa kwelikweli
@TehsHdhdh-lm3ow4 ай бұрын
Kweli kabisa be blessed
@paschalcosmas6093Ай бұрын
Hapo umetuingiza Chaka coz binadamu mwenye nyota Kali huw anachukia na watu, kwasababu huonekana tishio kwao
@ednamoraa81725 күн бұрын
❤❤❤❤❤kweli kabisa
@julianmbowe45754 ай бұрын
❤❤❤ni kwel kabsa kaka, ukwel mtupu huu nimeamini na nitazd kuamin daima
@HamisiKilomoni12 күн бұрын
Dah kweli nyota yangu imechafuliwa
@masozysmitif7 ай бұрын
Nashkur mungu kwa yot naon mim ninay yot ❤❤kbs alhamdulillah
@LihanaMkemwa-p8l4 ай бұрын
Saw unañyota Hela unayo sasa
@BonnyBoy-y1w5 ай бұрын
Kaka asante nimekuelewa" na umenifanya nitambue mwenendo wangu na nyota yangu🎉
@JumaKarioki2 ай бұрын
Nafurahi. Sana kwa mafundisho yako
@ZumratHaji6 ай бұрын
Sema kwelo mie hupedwa na kila mutu ila nashukuru mungu maan kila linalotokea ni kwarehe zake
@bienvenunitunga8 ай бұрын
Mbona mimi na chukiwa na kila mtu tena kama niko kazini wote wananichikia lakini nafanya kazi vuzuli lakini wenyene tunafanya kazii ya hao hawamini
@dossmonster40848 ай бұрын
Nyotayako imechafuliwa aiko kwenye ujazo unao takiwa imeisha nguvu yamakari nisawa unafanya kazi vizuri lakini aikutambulishi kama wewe ninani
@bienvenunitunga8 ай бұрын
@@dossmonster4084 thanks sasa nifanye aje?
@sawasuleimanmwambungo97067 ай бұрын
Me pia nchkiwa bila sbb anaeza sifiwa mwnzngu htkma hjfnya ktu😢😢
@GidiusAllenofficialTz7 ай бұрын
Yap na wewe hauko sawa nyota haipo hiyo au imechafuliwa
@hisanmwakijungu107 ай бұрын
Ni uhakika
@abcmnbb26106 ай бұрын
Asante kipenzi kwanasaha nzuri ❤❤ndio my kaka
@janethjohn90992 ай бұрын
Jmn haya ni kweli kabisa mi nachukiwa na ndugu wengi sana mpaka wadogo zangu wa kuzaliwa nikiwa hata na marafiki nakuta wananichukia tu bila sababu na watu hupenda kuniita boss wakati nnamaiaha ya kawaida sana na hata nikiwa na shida nikisema niende kwa mtu aniazime pesa ananiambia ww ulivohivo huwezi kosa pewa au umekuja kunijalibu huwa sielewi kwa nn nakuwa na hali hii jmn
@EVERLINEMoraa-zo2vi2 ай бұрын
Naomba numver yako tafadhali kuna jambo nataka kukuambia
@EVERLINEMoraa-zo2vi2 ай бұрын
Number yako nahitaji plis
@SadahMohammed-c3e7 ай бұрын
Na kuusu biashara mpaka nimefunga wallah na ni salon
@victorcheruiyot43597 ай бұрын
Mungu atakusaidia , ❤❤❤Usijali , Mungu anakupenda Sana
@SadahMohammed-c3e6 ай бұрын
Na naona mpaka kuna baadhi ya ndugu zangu pia wananikataa yaani upendo hamna
@EshafadhiliIsmail3 ай бұрын
Kweli kabsaa nyota ikiwa juu huwa nihivyo kabsaa
@JanetNyevu-h9g23 күн бұрын
Kweli
@belindaedung78838 ай бұрын
Wow mm huyo na sijawai faamu asati sasa nimejua
@YulithaYoram8 ай бұрын
Mim napendwa na watoto balaa pia na lika la watu wazima
@zetimapromiss6 ай бұрын
ww ndo mm kabisa
@PeterSagata6 ай бұрын
npo hpa
@franklukazula3 ай бұрын
Hatamimi kabisa❤ from Burundi
@EliudCostantine2 ай бұрын
Wewe na mimi hatuzidiani
@NorberthSlivester5 ай бұрын
❤❤❤ nikweli hata mimi napenda kilasehemu
@janetkalamanzozi66757 ай бұрын
Huo ni uongo ju mwenye nyota Kali hua anakataliwa ata kwenye familia
@soniavicentempeme22347 ай бұрын
😂😂😂😂😂, we umepitiliza akili🤣🤣
@VictorFranael7 ай бұрын
Upo sahihi, hata watu wanafichwa na Mungu na ndio wanaibuka ghafla.
@Daima-ik1cf7 ай бұрын
Ni kweli
@aboudijaaboudija7 ай бұрын
sikupingi 😢😢😢mi ndo napitia
@lindamollel52067 ай бұрын
Ukiona una roho ya kukataliwa nyota yako imechafuliwa omba maombi ya toba sehemu uliporuhusu mlango adui akapata nafasi kuichafua nyota yako, ukiomba hayo maombi ya toba,kibali kitarudi sababu kuwa na roho ya kukataliwa kila mahali siyo kitu kizuri wala cha kujivunia nyenyekea mbele za Mungu Nuru yako irudi sababu watu wakikuona wanabidi waone kuna nuru ndani yako
@JrBoringo6 ай бұрын
Ninaelewa sanaa . Asante sana kakaaa.
@danamickle973926 күн бұрын
Mie najua mwenye nyota kali anachukiwa saaana na anapata musukosuko saaana haşa sehem ya kazin huchukiwa na wafanyakz wenzake ila hupendwa na maboss.
@NaomiMsamba11 күн бұрын
No Tano ninayo ila nachukiwa sana nifanyeje
@AnnWawira-wk9de5 ай бұрын
True ,, i am experiencing this
@annewangui5473 ай бұрын
Waa Hii nayo Ni kweli Mimi huchaguliwa ata nikiwa Kwa nyumba....kitu ilinishtua nilichaguliwa MCA nominated kiasi ya nilizima simu juu ilinishtua Na nikakataa
@BITINABINTIOSAMAАй бұрын
Mimi napendwa tu kazini namaboss lakini watu wengine wote wananichukia burw
@James-i6z5sАй бұрын
Mm nimechukiwa mpk kila mke ninaempata na nampa kila ambacho kipo ndani ya uwezo wangu lkn mpk leo sina mke nina miaka 40 yaani mimi ni chuki chuki na mimi
@asikiamangaza-zw8ls4 ай бұрын
Mbona kama kweli
@Adevitutv6 ай бұрын
Exactly spokey
@MariamIbrahim-h7p52 минут бұрын
Mimi kila kitu jmn
@ShukurMkan7 ай бұрын
Hata mimi nachukiwa na ndg zangu mpk wzz walikuwa hawanipendi lkn nashangaa Nina bahati ya kupewa na watu wapembeni adi ntapewa mashamba Cha ajabu
@salumuseif33245 ай бұрын
hao sio ndugu zako wa kiroho
@HappyLyimo-q8y2 ай бұрын
Mm huyo
@yrwa3136 ай бұрын
Unatumia mda mwingi sana kujieleza
@jabirkasunzu68415 ай бұрын
Double-click
@Gwanduboi3 ай бұрын
Kila saa WAPOOO..Ndo neno Unalitumia sana..af lmekaa vby
@Edinaproducts27 күн бұрын
Mwanzo nilipofingua biashara nilikuwa na wateja wengi ila baada ya mda wateja hamna
@mainakijangwa80136 ай бұрын
Daah yani brother kama unaniona vle nachukiwa sanana watu ya jinsia ya kike na Wana ndugu hadi sielewi lkn kwenye utafutaji nafanikiwa lkn Wanawake wenzangu ndio chanzo cha kunishusha mpaka naogopa kufanya nao Kaz lkn snsa jins kuwakwepa
Jmn mm naweza nikaenda sehem nikachukiwaa bila sbb na nikipendwaa napendwaa kwel kwel yanii
@HabibaSwalehe-bx4wr6 ай бұрын
Asante kaka
@doreenjane32154 ай бұрын
Mimi katika biashara ninayo fanya nachukiwa bila sababu naware wanafanya biashara kama yangu sazimgine ata mtenja akienda kwa biashara yao anaambiwa siwewe unaendanga kwakina furani nini umekunjia hapa wanakunja wananiambia kutoka leo nimejua sababu mungu niongoze katika mambo yangu yote amen
@FwziaLoin6 ай бұрын
😢😢😢mm nyota yangu nichafu naeza fanya nn
@MosesMilia-f5vАй бұрын
Nilikuwa na nyota kali kwasababu nilikuwa na kubalika kila mahali lakini sasa mambo ni tofauti nifanyaje ili niludi kwenye hali ile
@KamgishaIsaya29 күн бұрын
ASANTE SANA KWA ELIMU IYO WENGI WAO AWAFAHAMU NA JAMBO HILI LIMEKUWA LIKIWATATIZA WATU WENGI ALI YAKUWA HAWANA LA KUFANYA.
@BahatiSiwila3 ай бұрын
Mmmmh saw nimepata moyo
@RoseMbwana-er9ml7 ай бұрын
Fafanuo media kama nyota yangu lmeibiwa kichawi nifanyeje niweze kuiludisha
@chipmunks61137 ай бұрын
nani akuibie nyota 😂😂 tafta elaaa
@mariamsaidy86164 ай бұрын
😂😂@@chipmunks6113
@FlaviaPhilemonPhilipoКүн бұрын
Ata nikpt mpenz ananicha bila sababu
@annewachira43178 ай бұрын
ASANTE ❤❤❤❤❤❤
@Fatushimbegaz7 ай бұрын
Mmi huchukiwa na majirani jamii ilonizunguka na ht baadi ya familia yngu😢😢😢
@HusseinAbdulrahman-xh2md6 ай бұрын
Nitafute ntakusaidia
@deliphinafrugenci6 ай бұрын
na Mimi please
@Fatushimbegaz6 ай бұрын
@@HusseinAbdulrahman-xh2md ntakupataje
@getrudeshirima95242 ай бұрын
@@HusseinAbdulrahman-xh2md Hello
@HusseinAbdulrahman-xh2mdАй бұрын
@@deliphinafrugencipia ww
@JetaNzungu4 ай бұрын
JETA THE KING
@GwakisaNelson-r4e4 ай бұрын
Yusuf mbona alichukiwa na nduguye
@sixytntongambele30387 ай бұрын
Sasa nyota qari kuliko watu wengine kwan wao hawana nyota makundi ya nyota yanatofautianaje mpaka mmoja ukawe moto kuliko binadam wengine
@kibouttv71487 ай бұрын
Dah unahitaji Somo la nyota. Nyota zimegawanyika katika makundi manne na yanatofautiana kitabia ndo utofauti ulipo jifunze kuhusu nyota tambua nyota yako kwanza ujijue upo kundi gani
@gracenywage20206 ай бұрын
Mm mwenzenu napendwa na kila mtu bc cna maajabu yaan hata ikatikea mtu ananichukia atatokea tu mtu na kumwambia we unamchukia tu bure huyo dada ni mtu mzur bc nae anaanza kunipenda had huwa najiuliza kwann nipendwe na watu wote
@AngelAfric18 күн бұрын
😅😅😅
@RoseQue-kj2ni3 ай бұрын
Mimi hadi naitwa freemason na baadhi ya wanafamilia
@OdetteMacumu6 ай бұрын
amen amen kabisa
@BrianKimaro-nh5uw6 ай бұрын
Jamani...! Msiweka hizi picha kwa videos zenu, zinatisha sanaaa😣😣
@HafsaShekigenda6 ай бұрын
Uko sahihi kabisa kakaangu
@FlaviaPhilemonPhilipoАй бұрын
Kabla hujamchukia m2 jiuliz ana faida gan kwak
@FlaviaPhilemonPhilipoАй бұрын
Ata kama ukichukiwa na mt usikat tamaa mxhukuru mungu maan kila jambo katka hii funia knachotekea uwa na xabab kikubwa kumuomba mungu yey nd anawez yote
@MariamuYusuphu-y6z3 ай бұрын
Km unanisema mm ila tu napata lkn ss maadui wanajitokeza sn mtu mwengn alikuwa ananipenda lakin gafla tu na wanaonichukia wananipenda gafla
@JacklineMohamed-b4q2 ай бұрын
Nachukiwa nawale ninawowazidi mawazo ktk biashara
@SayeedSalim-c4j3 ай бұрын
Mwamba upo sahahi sana
@dalaedaklienyi77333 ай бұрын
Duuhh kuna mtu ananiambhiagaa wee mtoto unanyota kalii saanaaa mpk ananitishaga alafuu ananitaftag saan kimapenzii mm namkimbiaa mweee🙄🙄🙄🙄🙄
@NadenKwizera4 ай бұрын
Asant❤❤❤❤
@HappyQaymo6 ай бұрын
😅😅😅thanks
@MasungaMagembe-c9c28 күн бұрын
Sitaacha kukusikiliza
@elizakasian53886 ай бұрын
Unatudiarudia maneno bhana na muda unatumia muda mwingi mno
@HellenNkya7 ай бұрын
Nilivyo kuwa mdogo nilikuwa naonaaaa vitu Sanaa na kuongea na Mtu nisiye mwonaaa ....ila nilivyo kua mkubwaa ikapotea
@ElnoorElgembe7 ай бұрын
Unakitukikubwa sana unaitaji meditation zakutosha , utakuja kunishukuru