Ni kweli nimepitia ishara zote ulizozitaja naomba mungu anisaidie ili niweze kuinua familia yangu Amina 🙏🙏🙏❤️❤️❤️
@RazaanOmar3 ай бұрын
Nikama uli kuwepoo huyo ndio mimi kabisaa munguu ani saidie jamanii🤲🤲Asante sana kwa somo la leo kakaa
@FikiriKuyungaАй бұрын
Mungu ni saidie niwe mukombozi wa Familia yangu
@TehsHdhdh-lm3ow6 ай бұрын
Amen somo nzuri kabisa be blessed ❤❤❤❤❤❤
@Vailethkobali6 ай бұрын
Asante mtumishi Kwa kunipa somo ambalo linanigusa maisha yangu ya ndani❤ ulivyosema ndivyo nilivyo kabsa
@AbibaBakali6 күн бұрын
Asante Kwa somo umenisadia kujua mm ni nan inshallah mwenyezi mungu aniongoze
@MinahMusa-h5i4 күн бұрын
Amina sana,nimeamin ndugu mtangazaji asante kwa ufafanuz wako,nimeeleewa sasa,
@FarajaMayuta-y1p3 ай бұрын
Ahsante sana kwasomo lako nimejifunza na linanigusa mungu anipe uwezo mkubwa maana mi ni mdogo kuliko wote
@rogerslwitiko39156 ай бұрын
Najiona mm kupitia hii picha🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@malkialinahАй бұрын
Asante Mungu najiona kabisa nikipambana kwa ajili ya family yangu 🙏😢
@hellenAndrew-t2p28 күн бұрын
Amina Mungu anisaidiee niikomboee familia yanguu
@pascalmurhula60746 ай бұрын
Asante mwalimu Mungu Aendelee kutubariki ili familia zetu zipate msaada wetu siku fulani
@MinahMusa-h5i4 күн бұрын
Mungu anipe nguvu zaid.niweze kupambana ndugu mtandazaji mungu akupe uzima ili uweze kutuletea meng zaid
@SalumAdam-wh9vp6 ай бұрын
Nikweli lakini Mimi na penda wote hata wanao niumiza je Mimi nani?,🤕👏✍️
@wanzakisyungu90944 ай бұрын
Asante mtumishi wa mungu umenifuza nzaidi juu imenips nguvu ya kuzidi kupambana hili nokomboe familia yangu bula kinyogo❤❤
@MariamMlata4 ай бұрын
Upewe mauwa yako 🎉🎉 brother so pow naipend San family Yang mungu Ani zidishie amen 🙏🙏
@janety19334 ай бұрын
Mungu anaandikwa kwa herufi kubwa M
@GentilBamporikiEmmanuel2 ай бұрын
Asante Sana mtumishi wa mungu
@marthalangia5 күн бұрын
🙌🙌Mungu nitie nguvu nifungulie milango nitimize kusudi lako 😢😢
@LovenessLovenessmikael3 ай бұрын
Aminaaa sana ubalikiwe MUNGU atusaidie sote💞💞💕💗🙏🙏💓🙏🙏🌹🌹🌹
@SemanzaSaidaty3 ай бұрын
Asante sana mwalimu kwa darsa n'a mimi niivo mwenyezi mungu anijalie heri nifikie malengo yangu kwa famillia yangu
@RoseNyotumba-kx6tb6 ай бұрын
Haya yote ni ya kweli kwani tumeyashuhudia!!!🙏❤
@InamahoroJuliette2 ай бұрын
Napenda Sana mafundisho yenu Nami napenda kutumia Hilo Asante sana
@wambuiannah1034Ай бұрын
Sasa nimimi Niko hivo kabisa mungu wangu nipe uwezo amen
@RamboMcMzawa6 ай бұрын
Somo tamu sanaaaa🎉🎉 kulenii mauwa yenu😂😂❤❤
@FaridaRajabu-y8e6 ай бұрын
Allah azidi kukujaza kheri , na ukawe miongoni mwa watakaopata mwisho mwema
@EliminaNtandu5 ай бұрын
Mungu atutuongoze na kutulinda daima kweli huu ni wito ,,,nimeguswa sana
@mtengwadj93906 ай бұрын
AhsaNte kwa Elimu Ubarikiwe sanaa Kwamafundishi 🙏
@Maokoto-yd4ok6 ай бұрын
Kweli kabisa ❤❤❤
@MareMa-kb3iy6 ай бұрын
Amen amen God bless you ❤❤❤❤
@pillyseleman80906 ай бұрын
Huyu ni mm kabisaaa Subha
@godriverbishangabaisha40983 ай бұрын
Kweli kabisa❤❤🙏🙏🙏 nami napokea🙏🙏🙏
@PrticaPmm6 ай бұрын
Yan hizi karbu zote niko nazo jmn ,Mungu anisaidie mm familia inanihitaji kwa kweli 😒🙏🙏
@Loice-k6w4 ай бұрын
Asante sana kwa kunijuza hizi zote maana niko nazo kila mara ninamwomba mungu anisaidie
@janety19334 ай бұрын
Mungu anaandikwa kwa herufi kubwa M
@damianosikapili29175 ай бұрын
Tumsifu yesu kristo asanteeeee Kwa kunijulisha Kila ULILOSEMA KWANGU ni kweli TU
@Lulu-wt9dd4 ай бұрын
Kwer kabisaa❤❤❤❤❤
@Akisami-yo7ic4 ай бұрын
Asante 🙏🙏🙏kunipa imani ya kila jambo na nguvu ya kubambana
@EliminaNtandu5 ай бұрын
Simo limenigusa sana mungu atusaidie watu wa aina hii ili tuulinde wito wetu
@BravoTanganyika2 ай бұрын
Ahsante saaaana munguwangu
@AmadeusNgaramaАй бұрын
❤❤🙏 Nimekubali ulichosema
@TINAMSIGWA6 ай бұрын
Eeee Mungu uonaye ndani ya Moyo chunguza Moyo wangu ,
@JacobernestMlula3 ай бұрын
Ee Mwenyezi Mungu nisaidie
@mwanahamisiivambi2958Ай бұрын
Barkiwa sana kwa masomo mazir
@PriscarGodrick4 ай бұрын
Ameen 🙏 🙏 somo zuri God bless you ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@stellammasi5 ай бұрын
Mimi huyo kabisaaa❤
@agnessndabhalu6 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@priscillahsirya65446 ай бұрын
Sijachelewa sanaa❤❤❤❤❤
@kamarhelo6 ай бұрын
Umejifunz nin mana kuwahi sio kupata punguzeni ujinga
@CheedyBenz2 ай бұрын
Nimeamin rizki yangu hipo one One day mungu atanipa hata hichelewe hata kama kwasasa Napitia magumu kiasi gani?? Asante sana kwaufumbuzi
@emilykwamboka711Ай бұрын
Amen
@HajiAbdul-n1d6 ай бұрын
Ubalikiwe,, nausika❤ katika halakati zote,❤
@piscaskazingufu98484 ай бұрын
Kweli kabsaa🎉
@RevonaElinaАй бұрын
ata na mm izo hisia jmn mungu wangu nisaidie niikomboe familia yangu
@mamaziada1346 ай бұрын
Asante huyu mimi kabisaa
@UmmyAbdul-sc4sfАй бұрын
Shukrn🙏
@WardaPorojo-x9r14 күн бұрын
Ninapitia hayo mamb aiseee hadi nimelia 😢😢😢
@vincentokore17706 ай бұрын
Hiii inanihusu mimi kabisa 😢😢😢
@HawaHawa-z7eАй бұрын
Amina ubalikiw
@leilaekesa33946 ай бұрын
Hapo ni kweli kabisa brother umesema kweli
@Aginess-bm8cl6 ай бұрын
Waoooo❤❤❤❤
@NamiriNamiri-oz4xs2 ай бұрын
Tatizo watu wa leo wakisaidiwa.hawajishiki.yani mtu anajiweka kila.siku hana hata kama unacho yy ni mtu wa.kutaka kusaidiwa tu wakati.unamsqidia ili na yy aje.kusaidia wengine lakini unaemsqidia anagugandq kamq ngozi yani hasemi Al hamdulillah hatimae.ww unafilisika kabisa na ukiwa unashida wao hawakusaidii hata wanakuona unacho au wanakucheka ujinga watakwita anajifanya yy ndio jumba la msaada sqsa kashakwisha anatusumbuwa.
@lydiamose6 ай бұрын
❤❤❤ be blessed 🙌
@RuthZighani4 ай бұрын
N Mimi huyo be blessed
@MerianaAjida6 ай бұрын
Nina ,,majukum makubwa kw familia japo ni mdg kulik ndg zang wot,,Mungu azid nisaidia
@HellenmyasaWaswa5 ай бұрын
Wow .... Eeh mwenyesi ni saidie
@budodianthony80946 ай бұрын
😂😂❤❤❤mungu ani linde
@janety19334 ай бұрын
Mungu anaandikwa kwa herufi kubwa M
@salmaprice9100Ай бұрын
Aminaa Asante sana
@HappyJohn-jo8im5 ай бұрын
Mungu bariki kilichondan yangu
@BintSeif-g5p4 ай бұрын
🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ my blease is Good
@HTanzania6 ай бұрын
daah nimefurahi sana mungu akubariki
@maulinemakungu53226 ай бұрын
Shukrani kwa mafunzo yako
@ModesterKalubangaАй бұрын
Asante kwa mae lol ekezo mazuri yananigusa
@LuhanyaMipawantobi-pj1iu4 ай бұрын
Tuliopatiwa tujuane😊😊😊
@SerahMutuku-o5t2 ай бұрын
Hiii ni mimi kabisa mungu ni mwema
@Farida-mz4so6 ай бұрын
Asante bro ni mimi
@fellst41596 ай бұрын
Asante sana napitia magum kwa kweli nafanya kaz lakini sieke hata shilingi nduguzangu walifutwa kazi wote2 ninawalipia rent chakula mama naye ansniangalia eemungu nisaidie 😭😭
@AzizahAlly-lh7jl5 ай бұрын
Wape mitaji wafanye biashara ukiwa pesa kila siku hatapata akili ya kisimama tena kutafuta
@janety19334 ай бұрын
Mungu anaandikwa kwa herufi kubwa M
@MareMa-kb3iy6 ай бұрын
Huyo ni mimi kweli
@asiaomary5239Ай бұрын
😢😢😢🥹 nimezaliwa kuwa mkombozi wa familia yangu na nitafanya hvy
@sommohd79032 ай бұрын
Sijui niandike nini 🤣 Asante 🙏🏽
@Simba-doKipamba6 ай бұрын
Mbona nikama unanifahamu broo, mhmhmh
@BeckyMweiАй бұрын
Mimi ni mmoja wao
@beatricemathew17685 ай бұрын
God bless you
@JamilaalliyAlliy4 ай бұрын
Kabisa inaniusu sana
@JelyvineYvonne6 ай бұрын
I have been experiencing the signs that u are saying I hope i will be the one to break the chain of poverty in my family 🙏🙏🙏🙏
@maulinemakungu53226 ай бұрын
AMEN
@Daniel-xm5do6 ай бұрын
😊'rk
@AmanKasim-od4fx6 ай бұрын
Amen that is real
@JoshuaPasca-e6t6 ай бұрын
Ongeza sana kutufundisha
@MwanavitaKasu2 ай бұрын
Kweli kabisa huyo ndye mmi sasa moyo wangu hauwezi kuona family inateseka
@MugiranezaSabrina6 ай бұрын
Subhana Allah Mungu wangu niinue nizidi kusaidia
@Phinvan_tz6 ай бұрын
Shukran 🙏🏿
@NsajigwaMwakasenga20 күн бұрын
Amina mung anisimamie
@AverinaFumbuka6 ай бұрын
Ameen mtumishi
@RosemaryMatilda6 ай бұрын
❤❤🙏🏽
@wixtonhanzam16076 ай бұрын
One day king I will be Rich bro
@AishaSalum-v1u6 ай бұрын
Inanihusu mimi kabisaaaaa🤔
@DrAmiijmpembaThedon4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@aishamapenzi5 ай бұрын
Hizi zote zinanihusu mim jamen mungu zidi kunisaidia😢