Kama ilikupita bashe akitema Cheche Bungeni leo kwenye bajeti yake

  Рет қаралды 2,815

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2023/2024, Bungeni jijini Dodoma leo

Пікірлер: 9
@allyjumakukulo3234
@allyjumakukulo3234 Жыл бұрын
Ahsant sn bashe naikubali sana kazi Yako bro
@sw832
@sw832 Жыл бұрын
Hatuja wahi Tanzania kumuona Waziri wa Wa kilimo hodari kama Bashe, Mungu akubariki na kazi unayo wafanyia Watanzania. I hope they Appreciate you.
@justinengimba4692
@justinengimba4692 Жыл бұрын
Geneous
@MafayoMagohe-cp9ti
@MafayoMagohe-cp9ti Жыл бұрын
Hongera sana Mheshimiwa waziri wa kilimo bajeti nzuri maana kauri mbiyu yetu kilimo ni biashara
@gabrielaniseti1537
@gabrielaniseti1537 Жыл бұрын
Hivi kutema Cheche maana ake haswa NI NIni Kwa chombo muhimu sana kama Mwananchi Media
@stephendaud1014
@stephendaud1014 Жыл бұрын
Kilimo wizi mtupu mwaka Jana bilon 900 afu until now mchele bado upo 3000 kilo😂😂😂😂
@allyjumakukulo3234
@allyjumakukulo3234 Жыл бұрын
Mchele kuwa juu ni furaha ya Mkulima Ila Kwa watumiaji ndo hizo inawakwaza
@fatumahassanduale4701
@fatumahassanduale4701 Жыл бұрын
Kalime unafanya nini mjini?kwani wakulima kazi Yao kukulisha kwa bei nafuu na wenyewe kuwa masikini,wacha wakulima tupate hela nyie fanyeni KAZI ya umachinga.
@oliviamkilima7043
@oliviamkilima7043 Жыл бұрын
Rais wetu samia hongera sana mama kwa kazi kubwa kukuza kilimo Husen bashe yuko vizuri sana mwache hapo hapo ana faa sana kilimo hoyeee!! Kama unataka mali utaipata shambani nakumbuka ule wimbo naomba watoto wetu wawe wana uimba mashuleni.
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 118 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 14 МЛН
MAKONDA AMPIGIA MAGOTI MABEYO, BASHE AMNONG'ONEZA MAKONDA
3:32
Millard Ayo
Рет қаралды 161 М.
ALIYEMPIGA RISASI TUNDU LISSU ABAINIKA
37:08
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 12 М.
MPINA AHOJI "IKO WAPI TAARIFA YA KUKAMATWA KWA NDEGE YETU?"
8:20
HOTUBA YA BAJETI YA  WIZARA YA KILIMO 2023 - 2024
1:18:20
Kilimo TV
Рет қаралды 2,8 М.