Sam mwenyezi mungu akuzidishie kipaji chako kizidi kuu ngaa 💥💥💥💥💥💥💥 mimi ni shabiki wako namba moja kutoka 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩 kalemie
@DadyMaombiАй бұрын
Utaniuwa na raha sana yaani, wewe mwamba 💪 mungu akutangulie mbele❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@Morrice-tu2dcАй бұрын
Dogo sam nakuombea Kwa mwenyezi mungu akupe nguvu akulinde na ufanikiwe Kwa Kila unacho kiandika na kufuluu unaweza sana ongeleni sana💙💙💙🖐️👋🌹🌹💐🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@ahmadtumba8360Ай бұрын
Nakubali sana mdogo wangu
@KamauPeter-kn9ryАй бұрын
Very talented dogo unaweza
@Duhe123Ай бұрын
Sam endelelea Tuu 🫵 WE Mkali Banaa👏👏👏👏👏👏👏👏
@RamakomboMangale-b1qАй бұрын
Huyu dogo ni 🔥🔥🇰🇪
@BenedictoEphraim22 күн бұрын
Kaka ungemalizia wakuotea mbali
@JäxxMtänä-l8u21 күн бұрын
Sam one,Allah akutimizie kila tamanio la moyo wako,kwa kweli wee ni dogo ila gear uliokuja nayo ebwana ma star wengi umefanya wamepanic na nakuombea uendelee kama ivi naona hipop bongo ukiichkua ,,,Mungu akupe ujuzi zaidi kaka mdogo shabiki wako toka inchi jirani 254💥📌
@hissanebachir2596Ай бұрын
habari za jioni salimo nimeunganishwa kutoka timu ya uzalishaji ya msumbiji. niliipenda ile program na yule kijana alitamani sana kusaidiwa na mfalme alikiba
@ernestmwakalambo3938Ай бұрын
Mdogo wangu Sam nakuombea ufike mbal sana kipaji kkubwa hicho
@Baloko-asendeGuester-kaskileАй бұрын
Dogo yupo fresh kinoma sana powa Kabisa pambana mwanangu utatobowa tu❤❤
@IdrissaOmari-e8tАй бұрын
Nakubali sana sam on nilikupita Manzese sikumoja pale nataka nifanye hipap moja kali yaskong
@RashidOgeto2 ай бұрын
Much love 🇰🇪🇰🇪 Huyo dogo anatisha 🔥🔥
@godefroidhabarugira4147Ай бұрын
Dogo namkubali sana Anaweza
@EdisonDiama28 күн бұрын
Mtoto nimemupenda kweli anaweza sana Dogo na muombea aweze kukutana na wasani wainje
@Anwar_khan-Ай бұрын
Crown tunaomba iyo ngoma ya alotunga uyo dogo wa crown
@CrevaBarasiАй бұрын
Daah dogo anaweza,sana anatakiwa pongez by creva b
@HarrisonMwadingoАй бұрын
Dogo akofiti big up sana
@AliMfundo-q1k2 ай бұрын
Sana bro,shabiki yako hapa from Kenya 254 🔥🔥🔥🔥🔥
@HarrisonMwadingoАй бұрын
Dogo ametisha,big up sanaa
@abdallamaro2808Ай бұрын
umetisha bro
@ErickNduwimana-tp9gbАй бұрын
I am Burundian watching from South Africa. I love you crown FM
@AllyAroniАй бұрын
Umetisha dogo❤❤❤🎉
@Uncle-F-254Ай бұрын
Na producer wasikule pesa yake kwa social media. Sio fresh Keep checking 😢 Mum thanks for asking that question He might not get his sweat
@AmaniOmari-ev2guАй бұрын
Dogo anajua mpaka anakeraa ❤❤❤❤❤
@AlvoiceGwido-k8rАй бұрын
ok good
@allyramadhani9221Ай бұрын
Huyu aitwe Sam stamina
@JoramkatanaАй бұрын
Huyu Dogo mnomaaa Sana.... What's his stage name??
@IguetteKamabuАй бұрын
Ongera sana nduguyangu toka mrogoro mimi ni djeni toka touwn ya béni drcongo
@LovelyCheckers-zr1foАй бұрын
Mimi naitwa Sheba mzalendo niko Mozambique dogo zidi kupambana
@silvermelodyvevo6082Ай бұрын
Xaf mdogo wangu upo vizuriii sanaaaaaaaaaaaaaaaa
@chrispinkalipesa19Ай бұрын
Anajuwa aisee salute kwakee
@SleepyBackpacker-ku6zlАй бұрын
Niko Kagera missenyi, Dogo unaweza😂😂
@MwinyiMohamed-k8iАй бұрын
Hatari sana 🔥🔥🔥
@OfficialFreddy-y7k26 күн бұрын
Dogo anajua sana 💪🏻
@DeusiMawazo10 күн бұрын
Duuu sam wenoma 👍👍👍👍
@eugidetembele126 күн бұрын
Dogo nomaaa😮😮😮
@GOMAGOMA-o2eАй бұрын
Ivi akaa katoto kana miaka mingapi lakini....kanajibu maswali kama mzee khaaa 😮
@AZIWANKULIKWAАй бұрын
14
@Ishtruthkawandakaffoja29 күн бұрын
We can appreciate this guy's if crown Fm you can take a big support 💪💪 pls have mercy
@JamesLameck-n1v2 ай бұрын
Nakubal young keep going🔥🔥
@EddyChalesiАй бұрын
Naitwa Eddy namim pia nitakusapoti
@gorgonusshayo920Ай бұрын
Huyumtoto ni moto kmaninaaaaa🎉🎉🎉
@MohamedSimba-d8pАй бұрын
Anajua sna
@BenadyNdunguru-y3mАй бұрын
Dogo Sam one mekubali mungu akutie nguvu
@Uncle-F-254Ай бұрын
Mbona kenya tunakubali sana kuliko Tz. Huyu ni dogo nikama mlivyo zarau Diamond mkimuita domo sisi tukamcheza
Dogo Amemcopy STAMINA kila kitu,Ila Anaweza sana! asisahau Shule ndio kila kitu kwake!
@pingumagongo1997Ай бұрын
Wangapiwamesoma na hawana kazi wala mtaji,
@NdabagumijeMerciАй бұрын
Nakubali sam one
@BakariMohdАй бұрын
Yan dogo pigo za stamina kabisa👍
@livingnews138120 күн бұрын
The young boy is extremely talented, i compare him to Stamina, however, he should take care of himself, i wish his manager could protect this young talent. The media is misusing this boy, very bad. Young Man, monetize your talent don't offer free interview to these media folks