KAMATAKAMATA ya MAGARI DAR: DALADALA LAKUTWA na DENI la MILIONI 1.2 - JAMAA AMEGOMA KULIPA?....

  Рет қаралды 13,558

Global TV  Online

Global TV Online

Ай бұрын

KAMATAKAMATA ya MAGARI DAR: DALADALA LAKUTWA na DENI la MILIONI 1.2 - JAMAA AMEGOMA KULIPA?....
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 54
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 Ай бұрын
Ukifikiria kwenda na gari mjini unaacha ...unachukua.bodaboda wasumbufu sana hawa zakayo....
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Haa haaaa asee kweli zakayo
@tanzaniacarschannel6975
@tanzaniacarschannel6975 Ай бұрын
Unajiuliza daladala inapaki mazingira gan mpaka ku accumulate parking fees to 1.2 tzs...very interesting...gari inapaki kituo cha dala dala ampako arrangements za parking si rahisi gari kua na deni hilo
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p Ай бұрын
KINACHOSIKITISHA KUNA UBAMBIKIAJI MKUBWA WA HAYO YANAYOITWA MADENI. MIMI NIMEACHA KABISA KUENDESHA GARI KWA USUMBUFU UNAOFANYWA NA HAO WATU.
@hbdina
@hbdina Ай бұрын
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Siungi mkono pesa wapokee mkononi ndio vyanzo vikuu vya ubadhilifu wizi wa pesa za Watanzania masikini
@florangido202
@florangido202 Ай бұрын
R.I..P MAGUFULI 😢😢😢😢
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Huyo dictetor Wacha afie mbali
@user-zb5qz6fk1v
@user-zb5qz6fk1v Ай бұрын
Kusanyeni mkanunue mashangingibya kutanulia .
@vero57
@vero57 Ай бұрын
Tatizo ni rushwa acheni, na hizo pesa zina pelekwa Bank 🏦 alafu ??? Unasikia wabunge wana magari makubwa mapya!!! Wakati hospital hakuna hata paracetamol bule, walimu, mshahara mdogo
@jumas.sendekwa2788
@jumas.sendekwa2788 Ай бұрын
Ninyi sio TRA... mbona mamlaka za kukusanya kodi zinaongezeka kila uchao?
@rufinermwamdanga4946
@rufinermwamdanga4946 Ай бұрын
ni sawa
@toptopress4909
@toptopress4909 Ай бұрын
Weken mfumo vizuri
@toptopress4909
@toptopress4909 Ай бұрын
Control number 6? Famchezo nini?
@FahmiNassor
@FahmiNassor Ай бұрын
Itafika wakati ya kenya yatajitokeza hapa nchini sbb serekali yayatafuta kwa nguvu ila ikumbukwe nguvu ya wananchi hakuna jeshi lilote linaloweza kuzuia nyinyi mlikuwa wapi siku zote mpaka leo mje kamata watu muwaambie wana madeni mpaka milioni kama siyo ubabaishaji
@gmdigitostore8550
@gmdigitostore8550 Ай бұрын
Ingekuwa safi sana, kama serikali ingekusanya wenyewe.. msiweke ma agent, wanakulaga rushwa tu, na hawakusanyi. Na huwa hawana weledi kabisa.
@amirjuma9395
@amirjuma9395 Ай бұрын
Iyo nikodi ya dhuluma ndomaana watu wanagoma mtu hata ukipani nyumbani kwako unadaiwa kupaki
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 Ай бұрын
Kwanza system yenu ni mbaya unamulika gari bila kutoa risiti. Ni sheria ipi mnatumia kutotoa risiti nchi hii. Tuwekeeni risiti kama zamani ili mtu asisahau
@robertzamani5612
@robertzamani5612 Ай бұрын
Iende benki ili mkagawane vizur
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 Ай бұрын
Ipo haja ya kuanzisha mgomo wa Madereva wote Tanzania nzima kama walivyofanya Wafanyabiashara wa Kariakoo na kuenea nchi nzima maana haya Matozo yanazidi kuwakamua wanyonge ambao tayari maisha yao ni magumu😮😮
@robertlucas2335
@robertlucas2335 Ай бұрын
Na barabara mtengeneze maana sehemu nyingi barabara ni mtihani
@majestyjames6499
@majestyjames6499 Ай бұрын
Watu wanalalamika "Wanawabambikizia watu madeni through scanning"
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Ай бұрын
Akili za kijinga mnaacha kukusanya madeni mapema .Madhara mtaona kwenye uchaguzi unaokuja .
@hemeyd673
@hemeyd673 Ай бұрын
Muna mfumo mbovu sanaa wa kulipa hixo pesa serikali kubwa lakini mawazo kidogo ya kufikiri
@swalehehashim1568
@swalehehashim1568 Ай бұрын
Download gePG Tanzania utajua deni lako la parking na namna yakupunguza au kulipa
@majestyjames6499
@majestyjames6499 Ай бұрын
Sasa kama ndo wanavyofanya wafanyakazi kwenu wasiowaaminifu ,mbona watu hamwasikilizi kuusu hayo madeni yakubambikiziwa mnawaambia wakipe kwanza??
@clementsangawe9306
@clementsangawe9306 Ай бұрын
Unakuta mtu umepaki gari hakuna bili yeyote au kiashiria choote cha kukujulisha kuwa umelipishwa
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z Ай бұрын
kama una kahela kako na hutak kero we kalipie...siku izi ao washafanya sifa.....kila kona
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 Ай бұрын
Zile za CAG amjqdili
@user-fx6zp2xy7k
@user-fx6zp2xy7k Ай бұрын
Badilishen mfumo wa ukusanyaji wekeni hayo madeni ya kwenye gari kwenye mafuta ili Hela zenu muzipate kupitia huko
@charlesrweyemamu8352
@charlesrweyemamu8352 Ай бұрын
Eti kama uko Dar na gari linadaiwa deni la Kihesa Iringa ambako halijawahi kwenda lipa tu ufuatilie malalamiko!!!
@bekabakari7394
@bekabakari7394 Ай бұрын
Kwanini msitumie digital Bado mnawatafuta watu barabarani? Mrushie mwenye gari kosa lake Kwenye number yake ya simu Asipolipa kwa wakati just one week Deni linapanda mara tano Akipitisha hiyo week mtumieni kwenda mahakamani Kulipa na fain
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 Ай бұрын
Watanzania walio wengi. Wanapena janja janja na kuzalau hata kama kitu kinafaida kwetu. Tunakipakaza matope hata Hawa vija nao wamo walio pandikizi Kwa kuhalib. Nia mzuri ya ukusanyaji mapato hayo. Sijui Tz tutabadilka lin ili kuacha ujinga huu 🙏
@charlesolomi9514
@charlesolomi9514 Ай бұрын
Napanda daladala mpaka tarehe 30🤣🤣 mmenikosa
@latifalayla9990
@latifalayla9990 Ай бұрын
Hao wapiga picha wanajificha na kupiga picha gari zipo kw foleni. Ss huo si utapeli kimtindo?.
@RashidRashid-ie9rj
@RashidRashid-ie9rj Ай бұрын
HILO NI KOSA LENU PESA YA USHURU HAIKOPESHWI HUYO NI UJINGA
@hassnsalim5156
@hassnsalim5156 Ай бұрын
ACHENI ZULMA NA WIZI
@miyongatz7283
@miyongatz7283 Ай бұрын
Mimi nimeangalia nadaiwa 20000 na nipikipiki na pikipiki yenyewe nilikuja nayo siku moja posta na ilipack ndani kwenye pack ya office basement ila nimekuta inadaiwa madeni ya masasi, arusha na miji mingine ambayo hata sijawahi kufika ,kwakweli kusema ukweli siwezi kulipa hata 100
@vero57
@vero57 Ай бұрын
Hao watumishi wa serikali ndiyo wanao vunja sheria sana, wana vuka red light kisa eti yeye ni mtumishi wa serikali, sasa hao ndiyo wana sababisha accidents !!!
@akidajulius1581
@akidajulius1581 Ай бұрын
Na sisi watembea kwa miguu ,mtuambie mapema ,msije mkaanza kutukamata mkatuambia tumelimbikiza madeni,labda tunavyotembea tunamulikwa na cc
@tanzaniacarschannel6975
@tanzaniacarschannel6975 Ай бұрын
Ukiangalia deni kwa gepg na termis unakuta madeni yasiyo fanana na control number tofauti
@rasmgz2367
@rasmgz2367 Ай бұрын
Madini yetu yanaenda wapi???? Maana atusikii ata kidogo serikali imeingiza kiasi gani kwa mwaka au mwezi..
@user-cg9oz3rd5h
@user-cg9oz3rd5h Ай бұрын
Utajuaje kama unadaiwa.tunaangaliaje kujua gari inadaiwa parking.
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Ай бұрын
KAMA WAZIRI ASINGESEMA MANAYAKE MUSINGEFANYA KAZI YENU 😂😂😂
@brianmaro3462
@brianmaro3462 Ай бұрын
Kaka umeongea ukweli mtupu, cha kukuongezea kwa "target" mnayowapa vijama wa parking wanasaidiana kwa kupiga picha gari na kumtumia mwenzake kwa wassup ambaye hajafikia target...huyo humulika namba ya gari na picha kwenye simu! Ukipata malalamiko, chunguza picha kwa umakini utaona imepigwa kwa njia ya simu!!!
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 Ай бұрын
KUSANYENI MADENI LAKINI MUWE WASTAARABU MSIJE KUSABABISHA MIGOMO NA MACHAFUKO KAMA KENYA KUWENI MAKINI MNAO FANYA KAZI NA JAMII ZA WATANZANIA MSIJE KUMFITINISHA MAMA NA UFANYAJI MMBOVU WA KAZI ZENU.
@balljmushi9599
@balljmushi9599 Ай бұрын
MAZAKAYO NYIEEE
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 Ай бұрын
Upuzi tu juzi nimelipa 48900 jana wamefunga gar et nadaiwa 3000 mambo ya ovyo sana
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Ай бұрын
Unalipa aiinekani kama.umelipa ni ahida hawa waongo.mnoo.mqra net.wrk.mara niachie ntailipia baadae nenda yaan waiii mm mwaka jana nshalipia elf 29.aikuonyesha kwenye mfumo sijui ilienda wapi deni.likawa Vila vile nikalipa upya😢
@user-ui3jn1hg3l
@user-ui3jn1hg3l Ай бұрын
Mnatukera sana nyie watu , pia nyinyi ni wezi na msidanganye watu
@peterrevocatus8257
@peterrevocatus8257 Ай бұрын
Madeni feki??? Wanapiga picha Especially jamaa wa kinondoni ndio tabia yao. Madeni mengi sio halali. Sio kwamba watu hawataki kulipa but system yenu ina uwalakini first jifunzeni na mrekebishe mifumo yenu then tafuteni wafanyakazi waadilifu. Sio kubambika Madeni then mnakuja kamata watu.
@mranzuann7950
@mranzuann7950 Ай бұрын
Na karikoo wanaongoza kubambikiza madeni
@elkanangosha9588
@elkanangosha9588 Ай бұрын
Nyinyi madeni yenu not realistic kabisa
@BakariIssa-nx3yf
@BakariIssa-nx3yf Ай бұрын
Majambazi nyie munaporojotu
Mercy Mawia's Eulogy.. RIP 💔 😭 Mercy
5:41
Stephen Kasolo Official
Рет қаралды 6 М.
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 65 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 60 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
Stephen Kasolo Singing the last song for Mercy 💔😭 During candle lighting
6:58
EDWIN SIFUNA || I  AM SORRY
21:49
Eroo Mtetezi
Рет қаралды 16 М.
Dangote Refinery Saga Exposing Nigeria To 'Unbelievable' Ridicule, Says Falana
16:24
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 89 М.
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 65 МЛН