Рет қаралды 287
Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Hlmashauri ya wilaya ya Chunya imetangaza kiama kwa watumishi wasimamizi wa miradi na Mafunzi wazembe katika utekelezaji wa miradi ya Maendeleo Chunya
Lengo la Kamati hiyo ni kuhakikisha miradi inayolenga kuondoa kero kwa wananchi wa Chunya inakamilika kwa wakati na kwa viwango stahiki