Рет қаралды 237
Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mhe.Mbaraka Alhaj Batenga ametaja faida mbalimbali watakazozipata wafanyabiashara wadogowadogo kwa kuwa na vitambulisho vya Ujasiriamali ikiwa ni pamoja na Kupata mikopo ya serikali na taasisi mbalimbali za kifedha.