Siku ya Pastors day TAG ubungo ,washirika wafanya maajabu kwa mchungaji wao
Пікірлер: 15
@johndavidi258228 күн бұрын
Kweli wanastahili pongezi kwa kazi nzuri waliofanya Mungu awape nguvu hiyo gari iwe ni mguu wa injili ilete mamilioni kwa kristo
@CostantineMademla-ew2jw21 күн бұрын
Hongera UCC,muongezewe NEEMA
@Kanyawela28 күн бұрын
Mungu awabariki sana washirika wote kwa kumpenda Mch maana huu ndio upendo ukipenda unatoa
@bensonmpele875128 күн бұрын
Wahooo kutoka Nairobi Kenya Mungu awabariki sana kwa kutambua hilo
@mangakwigema28 күн бұрын
🎉woh!
@JumaIswijilo21 күн бұрын
Mbarikiwe sana❤❤❤❤
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es21 күн бұрын
YESU ahsante
@adammbuba723021 күн бұрын
Hongereniii
@maikokomba372428 күн бұрын
Mungu awabariki sana
@rwizamtugwarwiza902228 күн бұрын
Utukufu kwa Mungu wetu mkuu
@atupakisyemapuli863728 күн бұрын
God is good all the time
@merumount598821 күн бұрын
Ni jambo jema na la baraka kutunza watumishi wa Mungu..lakini kustage sherehe kwa jinsi hii siku ya ibada na kuonyesha tukio ni muhimu zaid ya ibada si sawa sana..tujifunze kuchukulia mambo ya aina hii kwa kawaida tu..halafu tusigeuze mambo ya kidunia kuyaleta kanisani..pastors day??? ndio nini...Mungu atuhurumie na kutusamehe.
@CastoryKapinga-nb7ht28 күн бұрын
Inapendeza sana tunapo watunza VIONGOZI wetu wa kirohoo MBARIKIWE SANA inapendeza sana
@bernadoadriano92221 күн бұрын
MUNGU AWABARIKI SANA WASHIRIKA WOTE WA KANISA LA TAG UBUNGO