Kwani baadhi ya wakristo wa tanzania mna tatizo gani??au kasoro gani??au shida gani?? Makanisa yamekuwa makanisa,ndo maana mnatapeliwa na kufanya nchi nzima tukashfiwe na wapumbavu wanaowahubiria nyinyi wenye kupungukiwa Mungu sana na kuishi maisha yenu mkitapatapa kwa wachungaji. Kwani nafsi zenu hazina Mungu kiasi gani mpaka mshinde makanisa tofauti tofauti kila siku mkitafuta Mungu asiyeishi ndani yenu. Ifike mahali nyinyi wote wote wenye shida hizi mjirekebishe na mbadilike,tumechoka kuunganishwa pamoja na nyinyi kwenye kundi la wapumbavu.
@luyanamungureАй бұрын
Nikweli ni aibu sana mungu sio wa ugom vi hawa wanatafuta maslahi na matumbo yao
@AshaJuma-s7lАй бұрын
Uko vizuri mkuu wa wilaya. Kilichopo hapo ni mgogoro wa kimaslahi
@AkleyBernard-g9oАй бұрын
Mm nimefulah sana kama limefungiwa
@teddytedy248Ай бұрын
Wakristo Mungu atupe hekima maana,hatuna tofauti na watu wa mataifa
@josephmusagasaАй бұрын
Ukiona vurugu kanisani tambua wazi kuwa hakuna Mungu hapo. Pepo ndiyo wanatawala. Tazama waumini wanapiga yowe badala ya kufanya maombi na kutubu. Huyo ni shetani hakuna Roho wa Mungu hapo. Poleni sana. Mnalia kwani hapo ni msibani? Jitafakarini sana.
@pilisilakilawila5657Ай бұрын
Shida ninayoiyona akuna msingi imara hapo akuna viongozo imara na wenye hofu ya mungu .kilamtu hapo anangalia ulaji wake.acheni kuwa watu wa mataifa igeni wakristo wakatoliki walivo na msingi imara .
@oscanyakungaАй бұрын
Mungu hawasaidie ndugu zetu , hapa naona selikali muwasikilize waumini pia ✔️🇹🇿
@jarnskorelly464Ай бұрын
Wachungaji wengi wafungiwe kama kwa kuhani musa😢 walifunge niwaongo wanadanganya watu
@jacobkabura5513Ай бұрын
Ni ajabu na inasikitisha sana. Poleni sana waumini.
@magrethmollel1078Ай бұрын
Jamani Mungu ni wa majibu kama haki ipoh ingieni magotini Ili Mungu atoe majibu maana sasa jambo linaloendelea hapo ni kuliabisha jina la Yesu inakuwa kama mnagombania masilahi fulani
@edithaeugeni9695Ай бұрын
Hao wa mama embu wanyamaze Machozi hayajawahi kutatuwa tatitzo
@denismollel7714Ай бұрын
Hujui uchungu wao ...
@nelsonshillah6618Ай бұрын
We hujui kwann wanalia na Mungu hutambua machozi ya watu wake
@mikemutabuzi3665Ай бұрын
Wazungu, waarabu wametuletea dini. Wachina hawana dini na wako juu, waafrika mila zetu tunazidharau, Wachina wanaendeleza mila zao na ndo taifa linalokaribia kuongoza dunia, Angalia mama zetu kwenye hii video, Africa Tufanye kazi, tuache haya mambo na tufanye kazi kutunza familia😊😊😂😂😂. yaani ni kichekesho sana😅😅😅😅😅
@neemarfavor8108Ай бұрын
Ikiwa wafahamu historian vyema basi utajua dini haijaletwa na hao bali ilikuwepo bali wao waliitumia kwa manufaa yao
@rumdeesonsoa1811Ай бұрын
@@neemarfavor8108Walikuta sisi tuna imani zetu tofauti na ukiristo na uislamu. Wao walipokuja wakatulazimishia imani zao. Ukiristo na uislamu hazikuwa dini zetu sisi kama waafrika bali zilikuwa dini za waarabu na wazungu
@daudndabachahe1656Ай бұрын
Aaah uyu informer wa chuga aongezewe mxhahara man so kwa matukio hayo
@violethwillson4269Ай бұрын
Hapa ni kwa mrefu?
@WilliamNestory-r4xАй бұрын
Mje mjifunze kanisa mama katoriki fojo kama hizi hazipo kwa sababu ni kanisa lenye utaratibu na limejengwa chini ya kristo na mtume petro halijajengwa chini ya mtu ndo maana halitikisiki
@SIMONHERMAN-qv2lnАй бұрын
Mungu atusaidie
@SrsalvinaEmilianАй бұрын
Wekeni Msalaba wa Kristu Vizuri hapo getini kwa nini mumeugeuza Chini juu na juu chini ndiyo maana mnahangaika. Huo msalaba wa nani?
@magigesabai8674Ай бұрын
Haya Makanisa ya Jumapili mmepoteza dira
@rahabnkya8276Ай бұрын
Wave of God! MCHJ Yona mwanzilushi, 1980 fpct.
@JUDITHMGAYAАй бұрын
Sasa haonekani wa mama wanalia kwani kuna mtu kafariki au😮 Upuuzi kabisa
@denismollel7714Ай бұрын
Hujui uchungu wao ....ni vyema kuwa kimya....watu wa hali ya chini kuchanga 200M+ ..halafu wanyaganywe
@jacobkilagalila-gu2mhАй бұрын
Cjui yanalilia nn
@isaacmwaseba9972Ай бұрын
Wewe naye sasa wanaungana kubadili jina la kanisa kinyemela ili baadae iweje @@denismollel7714
@nelsonshillah6618Ай бұрын
Kwanini watu wa leo mmejaa dhihaka@@jacobkilagalila-gu2mh
@magrethmollel1078Ай бұрын
Hilo nalo ni la ajabu wanalia kama wamefiwa ,wanyeyekee mbele za Mungu ili Mungu atende haki
@JulyBaynetАй бұрын
Mungu tupe mwisho mwema
@ElishaLaizer-d8sАй бұрын
Huyo Mzee amechoka
@emanuelpiniel5277Ай бұрын
Kuna taratibu za kustaafu,je Kuna vielelezo vya kuonesha kastaafu?
@NelsonMuindeeАй бұрын
Juzi nyingine Unga limited limebomolewa.mungu atusaidie
@meshack3910Ай бұрын
Hayo mambo nayajua sana nilishawahi kuwafukuza wachungaji waliotaka kusajiri kanisa ndani ya kanisa nitamaa tu na upofu was kiroho waabudio halisi hawaabudu katika kanisa flani bali katika roho na kweli.
@colletatesha5265Ай бұрын
Proud to be catholic
@jacobkilagalila-gu2mhАй бұрын
Hiyo mimwanamke inalilia nn sasa shenz
@daslamonline4665Ай бұрын
Hii issues makonda ilimshinda
@Kachuba-w9pАй бұрын
Na mm nafungua kanisa😅😅nipige hela hatar😂
@RajabuKieduАй бұрын
Mungu aseme na wewe utumike katika kristo kama alivyosema na wenzako
@sebastiansalamba313Ай бұрын
Sasa unafunga wakati mgogoro unaendelea ,kwanini wasiendelee kuabudu wakati mnasigulikia mgogoro?
@EliaHilukaАй бұрын
Yesu yupo mlangoni
@hamzaibrahimuАй бұрын
Nashukuru mungu Kwa kunipa neema ya Uislam alhamdu lillah🤲
Lolo loop,,, watu wa Mungu mliopo sasa MTafute HISTORIA kwa waliokuwepo, ili msikosee, kusema uongozi mahali fulani au ukwweli usio
@teddymwageni1763Ай бұрын
Mwisho wa dunia huu
@AbuuThabitiАй бұрын
Uislaam ni dini ya haki mbele za mwenyezi Mungu karibu sanaa
@miriamdavis3893Ай бұрын
Shida mnapenda sana umaskinj
@christinewomanoffaith5479Ай бұрын
Haki ya kujua,ugaidi
@Enigma_files_Ай бұрын
wakwnza kuona makosa na migogoro ya watu. Ila nyie mnavyo watuma watoto kujitoa muanga kwenye hospitali za wajawazito ili mpate kibali kwa mungu wenu mna jiita wa aki . Nyani aoni kundule
@JenniferTemba-t9iАй бұрын
Wave of god ndo nini
@wilfredlukowo9476Ай бұрын
Historia inasemaje?
@RubenMtuwaMungu-bz8eeАй бұрын
Kanisa likiwa mali ya mtu hapo ndipo tatizo huanzia. Mch kiongozi kama alihudumu chini ya FPCT then alipostaafu kaamua kuasi FPCT na kusajiri kanisa ndani ya kanisa hilo halikubaliki, waumini kama wanampenda wahame naye wakaanzishe huduma sehemu nyingine.
Safi sana mkuu wa wilaya siku tamaa kwa watumishi zimetawala sana wabane vilivyo
@israelmaasa6562Ай бұрын
Mzungumzaji anayeongea,, oooooooh, jamani
@selemanimasatu2421Ай бұрын
Hizi taasisi za kusajili nazo ndo zinaleta hii migogoro, inasajilije kanisa juu ya kanisa au ilimradi control number ipokee muamala tu.
@faithlutainulwa3832Ай бұрын
Mmmh!
@BabaFarzan-ml4erАй бұрын
Nchi yetu ina mambo mengi ya msingi tutoleeni upuuzi ..😮
@JulyBaynetАй бұрын
Ni nyakati za mwisho
@EmmyMwashimangaАй бұрын
Ninyi selikali achaneni na hizi mambo ya makanisa mtaviruga mambo mengi
@apostlej.rministiryprophet2219Ай бұрын
Hivi Hawa Fpct Kama WANA MUNGU si waache watu wamuabudu MUNGU Huu ushetani unaoendelea kwenye haya madhehebu yetu ni ujinga na upumbavu nashauri Sana serikali iwe makini
@olivernyange2349Ай бұрын
Yani hapo ni issue ya Masalhai hakuna ukriso hapo ni watu w dini
@VenancestevenMahembeАй бұрын
Mnapamban kufungia makanisa ya kirohoo lakin kwa wale watekaji na wauaj huko amko kabsaa. 😢
@rosemarymollel-n9zАй бұрын
Hapo sasa nimeelewa ilikuwa nianze kulaumu kumbe ni kweli walistahili kufungiwa kwanini unabadilisha usajili kwani ingeendelea kubaki na jina la fpct kuna shida gani
@muddymiusic1624Ай бұрын
Hapo wanalilia jengo si mungu😂 du
@DaudiMakazaАй бұрын
Baadh ya wachungaj mnpenda kumilik makanisa ili mpate pesa
@rajabumkwawa6053Ай бұрын
Pia makanisa wanaongoza sana kuzibia watu njia za kuingilia mitaani.
@gilbertkalanda9354Ай бұрын
Huu ndio mgogoro walionao Kanisa Halisi na Mungu Baba na the pool of siloamu
@eliakazilo6078Ай бұрын
Makanisa mengine sio makisa Hali..yamejaa dhambi na wizi. Bora yafanyiwe uchunguzi.yaondolewe
@christinewomanoffaith5479Ай бұрын
Kuna kanisa ambalo halina hayo ulivyosema? Nionyeshe nihamie
@PendoMarco-x3uАй бұрын
Majaribu ni kipimo cha Imani
@Doreen_ONLINEАй бұрын
na misikiti je
@gfydfdf8869Ай бұрын
Shida ni wivu wachungaji ,wanaona wifu hilo kanisa ,serikali iwe makini ,hivi nifitina..
@hanifamziray277Ай бұрын
Ila arusha matukio yamekuwa mengi sn kwann haya makanisa ya sasa puuuuuuu utapeli mtupuui
@ZayyanaBamuniАй бұрын
😂watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,haya endeleeni kuyafungia yakiisha njooni miskitini huku hakuna maigizo niibada tu
@ishmaelndayi7848Ай бұрын
KUINGIA HUKO NDIO KUJIUNGA NA SHETANI MWENYEWE, MISIKITI IMEJAZA MAJINI, DINI LENYEWE LA MAJINI, POTELEA MBALI NA DINI LAKO
@PaschalGerad-xq4lwАй бұрын
Kata yenyewe inaitwa balaa!! Tatzo ndo linaanzia hapo
@estermgata9617Ай бұрын
Yaani walokole siku hizi wametia fora jamani!!!!!
@jifunzekuhusuwewe7475Ай бұрын
free Pentecost sehemu nyingi naona viongozi wao wana migogoro
@FilbertRobert-e4uАй бұрын
Jamani tumwabuduni Mungu tu kuliko kujiangalia wenyewe kuliko kumjua Mungu 😢
@nurumashaАй бұрын
Acha nibakie na uislam wangu
@EdgarLema-g6fАй бұрын
Kabiashara kanalipa kwel nitajenga kanisa langu😊
@jullyjohn97Ай бұрын
Hawa wachingaji kwanini wanasajiliwa na makanisa yapo kwanini wasishirikiane na wachungaji kuingia misa kwa makanosa ya kawaida?
@demicratia4071Ай бұрын
Mnaposali wawili au watatu pamoja MUNGU yuko katikati YENU. Salini MAJI majumbjani
@TheresiaAndrea-hv9dgАй бұрын
Hivi jamani qatanzania hatukomi? Kiboko ya wachawi hatjifunzi kitu?
@tumainichanya3268Ай бұрын
Ila msalaba umegeuzwa jaman urudishe msalaba ktk maana yake
@saididodi3988Ай бұрын
Ila humwaka unamambo mengi sana
@YohanakuswiwamafumaАй бұрын
Mkuu wa wilaya usicheze na kazi ya YESU KRISTO Kaa ukijua kuwa unaifukuza amani kwenye wilaya yako.
@bonifassimon7909Ай бұрын
Tamaa za hawa watumishi wa miaka ya hivi karibuni zimevunja imani za watu wengi sana ila hapo mwanzilishi apewe haki yake tu
@RubenMtuwaMungu-bz8eeАй бұрын
Hakuna cha mwanzilishi kila taasisi ina katiba na kanuni. Vinginevyo sajili taasisi yako binafsi iwe kampuni yako. Na uanze bila mgongo wa taasisi nyingine.
@benedictaman936Ай бұрын
@@RubenMtuwaMungu-bz8eeni kweli kabisa mafanikio ayapate chini ya FPCT halafu asajili kwa njia isiyohalali
@MohamedAhmada-ie7keАй бұрын
Kwetu sisi waislam ata ukijenga msikiti kwa mali yako basi unakua sio wako ni wa waumini wewe unakua umetoa sadaka kwa Mungu
@barikibenson4678Ай бұрын
Makanisa ya ovyo yafungwe madhebu yabaki angalau mawili tu.
@israelmaasa6562Ай бұрын
Inaumiza mioyo kwa kweli kwa tunao juwa ukwweli kuhusu kanisa LA Baraa, na maelezo yanayotolewa na waliopo hapo kwa miaka hii
@ErickTesha-wn7ekАй бұрын
Jmn nchi yetu kila siku machozi tunaelekea wp jmn?
@FlorianAndendwileАй бұрын
Yan apo shida ni masrai tu
@RamadhanmasolwaNkwabiАй бұрын
Duuuh! Ni hatali
@mohamedkisenga6654Ай бұрын
Jaman dini ni upigaji afrika tuamke mbn kma michiz sisi tuamke watu wapo kimaslahi hakuna kitu hapo
@elizabethkalando849Ай бұрын
Njooni kanisa katoliki la mitume
@fumbukashangwe3173Ай бұрын
Kwenye sanamu!kamwe
@EliasPaul-qs2ibАй бұрын
Hata wao ni wezi vilevile
@isackmtawa15Ай бұрын
Sasa hao si wanakula mpaka lambi lambi ya marehemuu
@rumdeesonsoa1811Ай бұрын
Hao si ndio wanafungisha ndoa za jinsia moja?
@Magreth-f2jАй бұрын
Jamani haya makanisa ya leo Mungu wetu tusaidie ebu okoa kondoo wako wanaangamia Baba kila kukicha na haya makanisa ya majina ya wachungaji ni shida tulizoea makanisa ya waumini sio majina ya kujitia m
@malkiaesther8433Ай бұрын
Ila chuga jamani kwa matukio mmeshindikana
@RynoFire-w8kАй бұрын
Kama mazezeta 😅😅
@yohanakatekoАй бұрын
Makanisa yapo mengi bhna nyie m alilia jengo au nn
@golebenson4597Ай бұрын
Kubabeki nafungua kanisa langu wamama msilie nafungua kanisa jipya kabisa
@christinewomanoffaith5479Ай бұрын
Acha nibaki kkkt cha muhim Yesu ndo mokozi wangu naweza kuomba basi
@manoahmahuna6426Ай бұрын
Kumbuka mbeya dayosisi ya Ruanda mwaikali na mwambola then rukwa Nako kwote huko n k.k.k.t
@StulidaNgombeАй бұрын
Jaman hiyo mgogoro nilishawah sikia wanamlalmikia makonda babo wanaendelea tu
@YunisJeraldАй бұрын
Mbona sababu ni ndogo sana kuzuiya waumini kuabudu 😢jamani
@cheiknamouna2058Ай бұрын
Juzi mlitupostia wakiingia ndani na police akawafungulia geti imekuwaje😢
@HabibuUrasaАй бұрын
Kila siku migogoro haishi makanisani bora muwe waislamu. uislamu rahaaaaa sanaaaa
@hellen9056Ай бұрын
Mti unao pigwa sana ujue unamatunda Hata wewe mwenyewe ukiona hupati majaribu inabidi ujiulize
@marrypius576Ай бұрын
@@hellen9056kabisa lazima ajitafakari mara mbili mbili
@christinewomanoffaith5479Ай бұрын
Tuwe waislam Ili tugundue nn? Mbona ht huko mna migogoro 😅 Bakwata,sun,shia Migogoro sio Mungu ,mwisho wa siku Mungu ndo Kila kitu
@PendoMarco-x3uАй бұрын
tunaaamini Mungu siyo uislam
@simonkhombe8834Ай бұрын
Haya majaribu yalishaanza siku nyingi, Sisi tunamwabudu Kristo shina la daudi huyu ndiye mwokozi wetu..nyie endeleeni na uislamu wenu.
@pastoremanuelmanyikaАй бұрын
Mkuu shida hapo ni mali iliyochangwa na waumini, waumini wanauongozi waseme nani mmiliki coz hayo makanisa ya kipentecost huwa yanawabana sana wachungaji wao hawawapi mshahara Wala msada wowote ila wakifanikiwa malizinakuwa za kanisa hiyo haiko sawa. Maoni yangu kaa na pande zote mbili na waumini wachague
@christinewomanoffaith5479Ай бұрын
Yona hawezi kuja sbb kulingana na maeiezo hilo jengo sio mali yake
@stevenmwenda3005Ай бұрын
Ufinyi wa fikra ni shida sana wamama hapo yaani ni aibu sana kweli uislamu utabaki kuwa dini ya khaki
@MfiriFulgensiАй бұрын
Hio kesi mbona mdogo serekali iwapingishe kura tu waseme wao wanahitaji kuongozwa na nani
@nelsonshillah6618Ай бұрын
Hakuna haja ya kura aliyestaafu yuko nje ya utumishi kwann aanze tena kusajili kanisa jipya
@pastoremanuelmanyikaАй бұрын
Yeah, unaweza ukakuta hao free pentecost hawajui hata idadi ya waumini mradi mtuametumia jina lao wanataka kumbana
@JescaMwagama-oc9ytАй бұрын
walokole bwana mnashida
@husseinhemedi9314Ай бұрын
Arusha Tanzania 🇹🇿 Nikwamoto Karibuni katika UISLAM dini ya kweli na haki 🙏
@kamarheloАй бұрын
😂😂😂😂 yani makanisa Yao wanafanya ni kitega uchumi
@westserengeti5608Ай бұрын
Hii akili ichunguzwe😅
@OmmyJames-xn7jiАй бұрын
Wagalatia wana mambo 😢😢😢😢
@Njiwamichael-km1dm8et9xАй бұрын
Aje awe gaidi aanze kulazimisha watu kuabudu jiwe jeusi
@bibleknowledge-b1yАй бұрын
Dini toka lini ikawa na haki iyo haki ilitafutwaje...Mtu ndo anaweza kuwa na haki....AKILI TU...
@nyabahailani316919 күн бұрын
Yaani tunaleta aibu wakristo njaa nyingi hawa wachungaji manabii wa ushetsni waizi wskubwa
@BakarAliyАй бұрын
Toa ndugu toa
@deomushy2594Ай бұрын
Nenden kwa mkuu wa mkoa
@AthanaseKiyojaАй бұрын
Kwani makonda hayupo?Au Sasa amekubali yaishe.Maana sumu nayo imeingilia kati.