Amen nimekuelewa sana hii elimu itasaidia sana wazazi wengi,
@IngabireAisha381311 ай бұрын
Deo wetu nakuelewaga sana tu❤❤❤❤
@yollamniko509011 ай бұрын
Yani deo,nakuekewa na nakufuatilia jaman Yani unenijenga sn namasomo yako,nakupenda sanaaaa aisee,,big up mwambaa
@RichardStanslous8 ай бұрын
Dei uko vizuri sana
@Chakulebansa7 ай бұрын
Dei
@estherndola490011 ай бұрын
Na tunafubaa kweli. Tunapona Mwalimu .Barikiwa Sana 🙏
@benndalima11 ай бұрын
Keep it going bro! These teachings are profound as these examples are real and can be traumatizing (on either side) if not approached, navigated & dealt with the best way… which is the Godly way. Mungu atuponye na kutusaidia.
@DeoSukambi11 ай бұрын
Thank you so much bro..hope u are doing great..
@joycelaizer46003 ай бұрын
Pastor mimi nilibahatika kupata mtoto nikiwa na umri mdogo sn miaka 13 now ni mtu mzima. Nifanye nini nimsaidie afanikiwe na asipatwe na nilichopatwa. Nina hofu sana
@joycelaizer46003 ай бұрын
Mimi nimefundishwa na ulimwengu na experience niliyoyapitia ndio namfundisha mtoto wangu, sasa sijui namuaribu au namlea kama mama nina hofu wakati mwingine. Ila asante mwalimu unanifungua nakuelewa
@estherfultang74154 ай бұрын
Fafanua malezi na matunzo
@JamesGisiri-h6w5 ай бұрын
Nipo mara-seregeti, ubarikiwe Kwa darasa zuri
@zenasmjema405011 ай бұрын
Nipo Goba napata faraja sana kukusikiliza
@linnetmbotto72122 ай бұрын
Nimepata kitu. Asante
@IngabireAisha381311 ай бұрын
❤❤❤ tupamoja sana Mwenyezi Mungu akuhifadhi sana hakika toka nifike kwenye channel hii nimekuwa mtu watafauti sana na mwanzo nimuburundi anae kupenda na kukufatilia kiumakini zaidi nikiwa Dubai🎉
@DeoSukambi11 ай бұрын
Asante sanaaaa
@happinesskalokola86925 ай бұрын
Asante sana.Kikubwa nimejifunza kumfundisha mtoto KUJITEGEMEA na KUISHI MAISHA YAKE kutokana na malezi mazuri uliyompatia.