KARAKANA OPEN MIC WALIAMSHA KANISANI HADI KUPEWA MILIONI 5 NA NABII MKUU - GeorDavie TV

  Рет қаралды 29,374

GeorDavie TV

GeorDavie TV

Күн бұрын

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa

Пікірлер: 142
@eliakimueliakimu5451
@eliakimueliakimu5451 Жыл бұрын
Imeandikwa; Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii! Mungu atusaidie.
@BenjaminHenry
@BenjaminHenry Жыл бұрын
Sio kanisa hili ni loji 🤣🤣🤣
@adriannebatakanwa6904
@adriannebatakanwa6904 Жыл бұрын
Biblia inasema "jihadharini na dhambi iwazingayo upesi" nadhani GeorDavie kakumbuka alipokuwa DJ Mombasa. Ametamani kurudi alikokuwa. Muulizeni atawambia historia yake.
@AdamFundikira-d7v
@AdamFundikira-d7v Жыл бұрын
​@@adriannebatakanwa6904inawezekana haujui hata nini maana ya kanisa geordev yuko sahihi
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz Жыл бұрын
​@@adriannebatakanwa6904mavi ya zamani ayanuki.
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz Жыл бұрын
Akusaidie na wewe pia, Macho yako yaone vzr
@gordonausubisye8074
@gordonausubisye8074 Жыл бұрын
Amina barikiwa mtumishi Mungu azidi kuimalisha huduma yako
@akajendegetishow1692
@akajendegetishow1692 Жыл бұрын
Yesu bandia ana endelea na vituko vyake duniani
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Жыл бұрын
Mungu wa Geo davi anapenda haya mambo ya kihuni
@frankbeatus9194
@frankbeatus9194 Жыл бұрын
Iwish one-day nije hapo kwa nabii mkuu hauna baya God bless you father
@Solomonking257
@Solomonking257 Жыл бұрын
Amina baba piga kazi kabisa ❤❤❤❤❤❤❤❤ilove you my dady🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 Жыл бұрын
Mungu anatazama Moyo,❤ila mwanadamu anatazama mwili😅,Hongera Mh J🥱
@dynessmbawala2107
@dynessmbawala2107 Жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼dady kwa kaz nzur,,,jaman hiz ndizo kaz za Yesu kutafuta watu walopotea jmn
@salmampinga4995
@salmampinga4995 Жыл бұрын
🥳🥳Yes, Daddy hatupoi 🔥🔥 unawaka wenyewe
@RuthyTemu-ev5li
@RuthyTemu-ev5li Жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki na kukutunza zaid kwajili ya taifa letu
@adieljoshua640
@adieljoshua640 Жыл бұрын
Jaman hii kali Bongo flever inapigwa live in the church Ooooh! my God
@lucyfaraja1132
@lucyfaraja1132 Жыл бұрын
safi sana man of god! mungu anatafuta watu kama hawa
@henrytimothy3048
@henrytimothy3048 Жыл бұрын
Hizi ndo kazi za Yesu alikuja kutafuta kilicho potea sio wengine mnajidai na dini zenu wachawi wazinzi wauaji mwacheni jo dev afanye kaz za Yesu
@Neema-o9l
@Neema-o9l Жыл бұрын
Mungu ndiye msemaji wa mwisho
@Titostanzaniasafaris
@Titostanzaniasafaris Жыл бұрын
Ngoma kali sana Nisher awatunuku video Kali mkuuu Baba 🙏🏾
@shadyaomary
@shadyaomary Жыл бұрын
Mungu tusaidie kizazi hiki kinateketea
@yasintakahamba1320
@yasintakahamba1320 Жыл бұрын
Hii Kali ya mwaka
@princeyabili789
@princeyabili789 Жыл бұрын
Amen 🙏 amen 🙏 baba ubarikiwe
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
Asante nabii mkuu wewe ni mlezi wa watu wa aina yote hunaga ubaguzi,nafuatiliaga sana huduma yako,nilikuona ulipokuwa burundi nafikiri ,ulisaidia wana mama .ubarikiwe sana.
@GeofreyMtensacollection
@GeofreyMtensacollection Жыл бұрын
Nijibu ..kwa kutumia akili, je ww unanaamini ..uyo ni nabii mkuu...?? maana yake ata akina Musa, Yesu ,Daudi ..wapo chini yake..pumbavu uyo shetani tu ..argent wa shetani uyo ..tumia akili...
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
@@GeofreyMtensacollection kwa kweli mimi simfahamu vizuri sana niliingia KZbin siku moja nikamuona kusaidia watu burundi ndio nikamjulia hapo kumbe ni mtanzania, na leo nikaona tena akiwasaidia hao msaada,mimi nipo Switzerland. ila asante
@Mbingu77
@Mbingu77 Жыл бұрын
Ee Yesu kristo okoa vijna wetu
@NoelLord-ue4wv
@NoelLord-ue4wv Жыл бұрын
Uko vizury sana Baba nice ❤
@benjaminkapelah7664
@benjaminkapelah7664 Жыл бұрын
Mungu wetu sote piga kazi
@RuthyTemu-ev5li
@RuthyTemu-ev5li Жыл бұрын
Nice daddy we love you alot💗💗💗💗
@evaristkobelo3936
@evaristkobelo3936 Жыл бұрын
Mungu hadhihakiwi Okokeni nasio kusaka tonge
@shadrackjuliuskaboya5239
@shadrackjuliuskaboya5239 Жыл бұрын
*nacho amini huyu ni mtumishi wa Mungu wa kizazi hiki ambacho kimebebwa na upepo wa duni namshukuru sana Mungu kwakumuweka hai mtumishi wake anapenyeza neno la Mungu kwa njia ambayo mtu wa kukurupuka hawezi kumuelewa,,, dini ya kweli nikumsaidia mjane na yatima tuu ila dini za Leo nikukusanya sadaka kwahali yeyote ile*
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
Bwana Yesu atukuzwe SANA. BABA UMEWAPA NGUVU SANA VIJANA WA DUNIA HII, UNEWABADILISHA WENGI, WAIMBE KABISA KWA UTUKUFU WA MUNGU KUPITIA WEWE MTU WA MUNGU, DR GEORDAVIE, WANAIFANYANKAZI YA MUNGU KWA WOGA NA AIBU, AAAH SIJUI. ANAYEPOA UUUUW. TUNA KIU YA MENGI.
@yusuphkayoka5452
@yusuphkayoka5452 Жыл бұрын
Kazi nzuri mnoooo
@SelemanMuhamed-ir5zl
@SelemanMuhamed-ir5zl Жыл бұрын
Jamani kama wameenda kwa Nabii bora tu waende kuliko wavute mibangi. Hukohuko siku moja Mungu atawabadilisha
@agnessmalyeek9387
@agnessmalyeek9387 Жыл бұрын
Baba uinuliee nakukuballi mis mia
@EmmanuelMbise-bg3jx
@EmmanuelMbise-bg3jx Жыл бұрын
Mungu anakila sababu ya kukuleta dunian
@nabiimdogotv8686
@nabiimdogotv8686 Жыл бұрын
Kuna watu hawakuelewi ila Mzee me Hadi naingia kaburini hata kama sijawahi Sali hapo Wala kukuona live ila moyo wangu unatambua nafas yako kwa tz na dunia nzima
@pendosamwel1682
@pendosamwel1682 Жыл бұрын
Ikiwà asubuhi unaweza Dhani jioni haifiki. Wakati ulioamriwa utasimama mbele zake anayehujumu Kwa haki. Mm. Akuombea rehema!
@dimosoegnas2989
@dimosoegnas2989 Жыл бұрын
Daaah MUNGU wangu nusuru hii kizazi huu uhuni baada ukemewe mtu ndio anausifia jinga kabisa
@keithapeter7854
@keithapeter7854 Жыл бұрын
Hakika ndugu yangu Mungu anusuru kizazi hiki mpaka wanavaa kihuni makofia mizula kanisani!!
@keithapeter7854
@keithapeter7854 Жыл бұрын
Hakika ndugu yangu Mungu anusuru kizazi hiki mpaka wanavaa kihuni makofia mizula kanisani!!
@happinesswarance
@happinesswarance Жыл бұрын
yaann mungu atusaidie
@JONAISMARTINESAM-vs4jy
@JONAISMARTINESAM-vs4jy Жыл бұрын
Sema tuu ni uelewa,,sasa kama mtu una shida na Mungu akajibu shda yko kupitia Geo nabii,,sasa hawaoni nini na hawasikii nini,,,maandiko yanaweza kukuelekeza njia sahihi au potovu,,,,,ni kwamba huoni makuu ya mungu na husikkii makuu ya mungu,,,,,,,,haya mawazo mengne ni sisi tunaongezea tu kazi ya kufikirisha ubongo na kujizeesha bure ,,,,,,,,nabii Geo ameona amebarikiwa na ndo maana anathubutu kutoa ushuhuda na kama kusaidia watu ni mapepo basi mungua atajua mwenyewe kwamba why awape uwezo wa kusaidia watu mtu mwenye majini ya pesa,,,,,tufikw mahali tujifunze kushukuru kwa kila jambo,,,ubaya na uzuri ni kwamba KILA KILICHO CHINI YA JUA KIMEUMBWA NA MUNGU KWA MAKUSUDI MAALUMU NA NABII HUYU AFANYE KAMA ANAVOELEKEZWA NA MUNGU,,,TUNASHINDWA KUJIULIZA HIVI HIZO SADAKA ZOTE AMBAZO HUTOLEWA HAPO KANISANI ZINGEKUA ZINAPELEKWA WAPI??????NI BORA HATA HUYO U AMLILIA SHIDA ANAKUPA HATA KIANZIO KULIKO YULE UNAMLILIA ANAKUOMBEA TU BILA HATA KUJALI HIV UNA CHAKULA AU LAA,,,,TUTASEMA SANA LAKIN HATUJUI ....HUKUMU ATATOA YY ALO LETA DUNIANI NA SII SISI HEBU TUACHE KUKASHFU WAHUBIRI KWA KWELI HAYO NI MATUSI KAMA MATUSI MENGINE,,,ADHABU INATUSUBIRI,,,(USIHUKUMU USIJE KUHUKUMIWA)
@PaschalCkinasa
@PaschalCkinasa Жыл бұрын
Nimeonjoy kweli
@HemediMachaku-vc4ij
@HemediMachaku-vc4ij Жыл бұрын
Njaa zinauwa
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Жыл бұрын
Wewe unahitaji ukombozi wa fikra.Kizimba kilichowekwa kwenye kanisa hili hakitawaacha watu salama
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Жыл бұрын
Wamekuja kusaka noti hapo hakuna walichofuata Zaidi ya hilo
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 Жыл бұрын
Mcheni Mungu na kumtukuza kwa maana saa yake imekuja!,na maandiko yanasema tusienende namna ya ulimwengu huu!
@DeusOgenda
@DeusOgenda Жыл бұрын
Kweli
@yasintakahamba1320
@yasintakahamba1320 Жыл бұрын
Sasahapp roho mtakatifu atashukaje na kulapu kweli shetani Yuko kazini na anateka jinsi Gani ya kwenda na watu kuzimu
@happinesswarance
@happinesswarance Жыл бұрын
aheri hata wewe
@abedysteven4930
@abedysteven4930 Жыл бұрын
Dah namauno kanisan? Mungu uwe una2samehe🙏🙏🙏🙏
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 Жыл бұрын
Hapo wamefuata pesa sio neno la kuwaponya Roho zao
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js Жыл бұрын
Habari ya uzima baba sisi huku tunakufatiria sana tunaomba uje na geita baba
@clouartmichael7296
@clouartmichael7296 Жыл бұрын
Ibilisi anamtumia huyu nabii kwa kiwango kikubwa Ila Baba wa Mbinguni akusamehe na Tumuombee Toba hizi nyakati za mwisho
@FrancisEliya-p7b
@FrancisEliya-p7b Жыл бұрын
Nabii mkuu hapa nimetiia nanga kwenyemiguu yako kwakweri wamalawi tunahitaji uje utuwe hapa hata kukanyaga kwako aridhi hii ndio utakuwa chanzo chaibada yakweri katika inchi yangu yamalawi mimi pamoja sinakitu chakulipia malazi yako pamoja natimu yako lakini ninaimani nawewe nbiimkuu mia kwamia kuleta mabadiliko kwenye inchi yangu
@FrancisEliya-p7b
@FrancisEliya-p7b Жыл бұрын
Nimaombi yangu ile sauti iongeye mtu wako wandani utusaidie sisi watumishi wavijijini huku nako tunakuhitaji ukanyage hapa malawi
@FrancisEliya-p7b
@FrancisEliya-p7b Жыл бұрын
Samahani nimalayangu yakwanza kuandika maombi kwalugha yakiswahili
@alexisannick
@alexisannick Жыл бұрын
Baba Nabii Imana iguhezagire caaane
@beatricenyangu-cq9dm
@beatricenyangu-cq9dm Жыл бұрын
rekinzara Shaa, imananki uvuga
@beatricenyangu-cq9dm
@beatricenyangu-cq9dm Жыл бұрын
rekinzara Shaa, imananki uvuga
@AmaniMwinyi
@AmaniMwinyi Жыл бұрын
Amen ❤❤
@PrinceIssa-xu9ul
@PrinceIssa-xu9ul Жыл бұрын
Sometimes unahitaji ujishushe ili uwapate wengne...vzr sana
@RithaJoshua-qx5dt
@RithaJoshua-qx5dt Жыл бұрын
Amina baba
@reynargeorge2853
@reynargeorge2853 Жыл бұрын
Natamani kufika mahali ulipo 😭😭😭
@adriannebatakanwa6904
@adriannebatakanwa6904 Жыл бұрын
@huna uwezo wa kuona katika roho. Muulize Mungu boss wa rap na hip hope ni nani? That is a demonic driven music. Kumbuka shetani alikuwa muimbaji mkuu mbinguni kabla anguko. Huyu GeorDavie anajiwakilisha mwenyewe. Mungu Anamjua.
@angelatarimo1969
@angelatarimo1969 Жыл бұрын
Uliongea na Mungu mkiwa wapi akakupa hiyo story??🙄
@AdamFundikira-d7v
@AdamFundikira-d7v Жыл бұрын
​@@angelatarimo1969hongera sana kwakumjibu huyu pimbi Yesu alikuja kutafuta makahaba na masela wewe si mtakatifu kaa na utakatifu wako
@adriannebatakanwa6904
@adriannebatakanwa6904 Жыл бұрын
@angela. Namfahamu siku nyingi sana. Sijaambiwa na Mungu. Labda wewe ni mgeni hapo. Huo ni ushuhuda wake mwenyewe.
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Жыл бұрын
Bangi church
@Lulubyamung
@Lulubyamung Жыл бұрын
Mungu Aku Okupe Maisha Marefu Baba❤❤
@Josmedard
@Josmedard Жыл бұрын
AHAAAAA!! kumbe huu ni ukumbi wa kucheza discoo!!! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt Жыл бұрын
Sio vizuri bwana
@germamassawe6968
@germamassawe6968 Жыл бұрын
DISCO KANISANI DUH!
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
AMINAAAAA AMINAAAA AMINAAAAA BABA YETU MUNGU AKUTUNZE.
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Жыл бұрын
Baba joodevi ,namm niokoe.Nami nisaidie baba joodevi.
@johnmahu5060
@johnmahu5060 Жыл бұрын
Hapa hawatafuti wokovu Bali kumfurahisha devd Ili awape Hela kwn wamejua anapenda hivyo
@ReganKimaro-tm8oj
@ReganKimaro-tm8oj Жыл бұрын
Kaskaziniii ni mbaya tuuuuuu kwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@remmyalfred6736
@remmyalfred6736 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Жыл бұрын
Safari ya kwenda Kwa Lusifa ipo kwenye kanisa hili
@oman6068
@oman6068 Жыл бұрын
❤❤👍👍💯
@FatemaHajl
@FatemaHajl Жыл бұрын
Sana
@princejshalom4762
@princejshalom4762 Жыл бұрын
Mbona biblia vile iliandikwa aijawai badilishwa lakini mwanandamu anaendelea kubadilisha amri ya milele
@AnnaKarol-h6k
@AnnaKarol-h6k Жыл бұрын
Kwel tunapotea
@happinesswarance
@happinesswarance Жыл бұрын
tena kwa kukosa maarifa
@phtvmediaTZ7766
@phtvmediaTZ7766 Жыл бұрын
❤❤🎉
@mosesndimgwanko1079
@mosesndimgwanko1079 Жыл бұрын
Hapo tena cyo kanisani ni Club
@happinesswarance
@happinesswarance Жыл бұрын
yes kabisa
@agnessmalyeek9387
@agnessmalyeek9387 Жыл бұрын
Mnaocomment angalieni msijibu kwa Ono yako jibu kwa ona ya wengi
@HusseinSalim-p3f
@HusseinSalim-p3f Жыл бұрын
Hm atar
@AnnaKarol-h6k
@AnnaKarol-h6k Жыл бұрын
Kwel
@desolz3809
@desolz3809 Жыл бұрын
Hako kadada kanamanua na kukata viuno kanaboa sana
@WansolaLuther-tq8qm
@WansolaLuther-tq8qm Жыл бұрын
😂😂😂😂 umeonae kanatia aibu.
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Жыл бұрын
Utapata maombi utapata mtaji 😅 khaa nimecheka sana yan nabii ukisifiwa kdg pesa dah"
@happinesswarance
@happinesswarance Жыл бұрын
elewa maandiko
@josephitangishaka960
@josephitangishaka960 Жыл бұрын
Chapa Kazi Baba Gitega Capital tunagupata 5/5
@abduljohn1226
@abduljohn1226 Жыл бұрын
❤❤❤🙌🙌🙌🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🥰
@marianajoseph1892
@marianajoseph1892 Жыл бұрын
Kwa kutowahukumu watu ni raisi hata kuwahubiria na kuwaokoa. Baba injiri yako imekwenda shule. Tunaokoka ili tuwe na ufahamu.
@sunaybrajabu238
@sunaybrajabu238 Жыл бұрын
Napita tuu 🤐
@Josmedard
@Josmedard Жыл бұрын
Huuuu wimbo una message gani???? Hapa anatukuzwa MUNGU aliye hai? Au anatukuzwa mwanadamu Anae kufa na kuoza mchangani??? Hivi huyu nabii ni wanamna gani?
@denismlwati3285
@denismlwati3285 Жыл бұрын
Malaya watupu na Tena wakitoka hapo wanapitia bangi na kama anaponya mbona hamjaponjwa bangi kanza????
@henrytimothy3048
@henrytimothy3048 Жыл бұрын
Acha watamkiwe watabadilika yesu alionyesha mfano wa kukaa mpk na makahaba nyie mafarisayo dini zimewaharibu unafki mtupu
@angelatarimo1969
@angelatarimo1969 Жыл бұрын
Dini zumewafunga ufahamu
@AdamFundikira-d7v
@AdamFundikira-d7v Жыл бұрын
​@@henrytimothy3048watabadilika tu nabii yupo sawa
@FelisterDuway
@FelisterDuway Жыл бұрын
😂😂😂kanisa la mashwetani😂😂 damu ya yesu iwafunike mpate kujua neno la mungu😢😢 ety shaloks wanangurumoo ... yaani nimecheka😂
@samwelsimon4800
@samwelsimon4800 Жыл бұрын
Wew una mapepo xna Tena inawezekn mchawi
@samwelsimon4800
@samwelsimon4800 Жыл бұрын
IQ yko ndogo ndo maana so hatukushangae huwez ukafanan na wat wenye IQ kibwa
@hamismabula9934
@hamismabula9934 Жыл бұрын
Dini imewaharibu!?!?!?!?!?!?!?
@germamassawe6968
@germamassawe6968 Жыл бұрын
EH YESU OKOA WATU WAKO! WHAT IS THIS? LAKINI IMEANDIKWA TUTAWAJUA KWA MATENDO YAO, NA KWELI TUMEYAONA YALIYOYABIRIWA! WATAKUJA KWA JINA LANGU LAKINI SIKUWAJUA, WANA MACHO LKN HAWAONI
@Barakanjere
@Barakanjere Жыл бұрын
Inabidi tuanzishe mikopo sasa😂😂
@revocatuskamugisha8138
@revocatuskamugisha8138 Жыл бұрын
😢inasikitisha
@winygidarossa9472
@winygidarossa9472 Жыл бұрын
Nenda Kwa paster Ezekiel , huyo ndo anakufaa ww
@hadijambunda7099
@hadijambunda7099 Жыл бұрын
Ameen🙏🙏🙏🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@sarafinasinkonde2711
@sarafinasinkonde2711 Жыл бұрын
Natamani nije nifike hukoo Ila mbali
@josiacharles2778
@josiacharles2778 Жыл бұрын
Mhmm Kwani apa ni kanisani? Au
@happinesswarance
@happinesswarance Жыл бұрын
hii club wewe
@mkaliwao9537
@mkaliwao9537 Ай бұрын
Wewe sio nabii wewe ni shetani sema watu awana macho ya kuona uwovu wako
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Жыл бұрын
Hilo kundi nataman nilione tena kanisan isije ishia hapo
@danielimalaki
@danielimalaki Жыл бұрын
Nabiblia mtasema imepitwa na wakati iwe kisasa
@happinesswarance
@happinesswarance Жыл бұрын
haswa
@espoirmlondani-ue2fm
@espoirmlondani-ue2fm Жыл бұрын
Usipotubu wewe utaanguka vibaya vibaya vibaya maana mda uhu unatumikiya shetani pole wanaomtumikiya shetani
@xaviersimaomola9511
@xaviersimaomola9511 Жыл бұрын
MUNGU ATUSAIDIHE FRIMASON INAKUNJA KWA KASI
@happyestomih4300
@happyestomih4300 Жыл бұрын
Hivi nyie ambao hamumpendi baba yetu kwanini nnaangali vidio zake siiajabu nyie ndowale hamuwezi hata kuwasaidia hata nduguzenu wa watoto wenu
@jameschipande1090
@jameschipande1090 Жыл бұрын
MULUNGU ADALITSE
@njeyaduniatv
@njeyaduniatv Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mm hata nashindwa niseme nn,
@FelisterDuway
@FelisterDuway Жыл бұрын
😂😂😂😂rip
@focusernest5610
@focusernest5610 Жыл бұрын
Wokovu wa kisasa😅
@hebrew1214
@hebrew1214 Жыл бұрын
Hakuna wokovu wa kisiasa. Neno la Mungu lipo wazi sana katika Warumi 12:2,"Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu".
@happinesswarance
@happinesswarance Жыл бұрын
yes
@experiuskamugisha6722
@experiuskamugisha6722 Жыл бұрын
Nilijifanya kuwa mtu lakini sikuwa mtumwa kwenye wajinga nilikuwa mjinga ili niwanase wengi
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
NUNDURU KWAYA KWENYE UBORA WAO.. NZUGUNI DODOMA
3:58
zayoma Online TV.
Рет қаралды 6
CORAN POUR DORMIR QUI APAISE LE COEUR (Recitation magnifique) 2021
1:31:41
DOUAA PROTECTION
Рет қаралды 18 МЛН
Arch Bishop Dustan Maboya - Mungu Hapeani Vitu Bure Lazima Utie Bidii
42:54
Jesus Sacred Assembly tv - Mwingi
Рет қаралды 3,4 М.
KIDUM KIBIDO APEWA UNABII PAMOJA NA MILIONI 20 - GeorDavie TV
19:37
WANAFUNZI WAPEWA PESA ZA MATUMIZI SHULENI - GeorDavie TV
17:58
GeorDavie TV
Рет қаралды 8 М.
SOMO: KANUNI 5 ZA MAFANIKIO (2)   GeorDavie TV
1:11:10
GeorDavie TV
Рет қаралды 12 М.
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.