Jembe Magufuli nakukubali sana Rais wangu. Mungu atupe nn watanzania. Love mingi mingi sana kwako
@ghostelmendez72064 жыл бұрын
Like kwaa. Baba wa taifa hili john pombe Joseph magufuli. Kwa kazi nzuri
@masongaofficial4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/sKazq6VrjL16a6M
@JohnWick-tl6zt4 жыл бұрын
Leo Ni SIKU nzuri 🌹 nawe Ni Mtu wa Muhimu sana, nina Imani una Bando . pata Kisa Cha Nyerere 🎇 kzbin.info/www/bejne/aoXPh6qYorKlabs
@safiaothman10984 жыл бұрын
Magufuli hoyee utashinda kwa kishindo kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu 💯💯💯💯 Ccm hoyee 💯💯💯
@missangela67204 жыл бұрын
Yes. Upinzani wataaibika na vibaraka wao. Wale wanaosahau mema ya JPM ni wakati wa kujitafakari sana na kufanya uamuzi wa akili na siyo kwenda kwa msisimko na mkumbo. Tutakuja kujuta sana.
@rahabnkya82764 жыл бұрын
Barikiwa baba yetu Dr.John Pombe Joesph Magufuli, historia yako kwetu TZ haitakaaa ifutike mpaka juu mbinguni. Umetutoa gizani nchi mzima. Tunakuombea USHINDI MKUBWA MNOMNO.
@missangela67204 жыл бұрын
Thanks my dada. Ameifanya nchi imerudi kwenye ramani. Madini ya Tanzanite walikuwa wanachimba kilo 300 kwa mwaka. Baada ya JPM kuweka ukuta, sasa ni kilo zaidi ya 4000. Kutoka ndege moja mbovu hadi ndege 11 kubwa.
@masongaofficial4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/sKazq6VrjL16a6M
@saidomar68064 жыл бұрын
Jembe Magu la watu wengi hongera kiongoz
@jullipusoe78384 жыл бұрын
Unatupenda na tunakupenda MUNGU akulinde na Mabeberu
@braveliontv9354 жыл бұрын
Hautasahau john , pia na Pope ao Magufuri nani hafunge na Magufuri nyumbani , baba huu 👍👍👍👍👍👍
@nelsonzakayo4964 жыл бұрын
Tunampenda hivyo hivyo hata mkimponda
@missangela67204 жыл бұрын
Asantee N. Cheers! Tunakumbuka JPM alikotutoa. Tunajua haya yote ni pressure kutoka magharibi. Siunakumbuka ilivyokuwa Libya na Venezuela? Rais walidanganywa kwa kila namna hadi Marekani ikawa inawarubuni wananchi kwa misaada, wakati huohuo imeiwekea nchi vikwazo vya kiuchumi. Ulishaona wapi kitu kama iko? Ujue mataifa ya ughaibuni yana lengo moja tu ya kuendelea kunyonya rasilimali za Tanzania. JPM alikuwa amesema NO. Sasa dalali wao kajivika mavazi ya kuwatakia mema wananchi. Huo ni uongo. Angekuwa hivyo, asingepinga ile sheria ya madini. Asingejihusisha katika ukamataji wa ndege zetu SA na Canada. Asingeizodoa nchi yetu katika kipindi cha korona. Huo siyo uzalendo ni usaliti. JPM kajitoa kwa dhati kuipigania nchi yake usiku na mchana.
@ibrahimmwendo50764 жыл бұрын
Sawa baba wapinzani kila kitu wanapinga bungeni Sasa Afanyeje? Bajeti wanapinga shida Sana chagua CCM no MOJA DAIMA
@kalumbugideon41594 жыл бұрын
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Sanaaaaaaa Rais John Pombe Joseph Magufuli safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Sanaaaaaaa Rais wetu......
@andulilemwakihabha20484 жыл бұрын
Chapa kazi mzee wasio kuelewa watakuelewa tu
@muniraahmed6244 жыл бұрын
RAISI WE2
@eliccopratation23004 жыл бұрын
Mab
@johnsonkillenga83894 жыл бұрын
Wako
@barikimomadi42104 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@makamefoum80584 жыл бұрын
Sahihi
@makamefoum80584 жыл бұрын
0656909023
@kabonakabona81214 жыл бұрын
Chumaaaaaa ✔️💯
@jandpelectronics3634 жыл бұрын
WAPIGAJI WOTE HAWAWEZI MPENDA JPM
@shangwehalisi76594 жыл бұрын
Ukwel ndio huo
@missangela67204 жыл бұрын
Umeonaeee JPM ni mzalendo wa kwanza. Alisema They thought I would be part of them. Never!
@michaelwillombe17944 жыл бұрын
Umetonesha kwenye kidonda. Ukweli ndo huo. Walifanya siasa ni dili akaja mzalendo asiependa ujinga, akabana mirija ya unyonyaji mpaka kwa wazungu, leo eti hatumtaki amaa kweli bora ukweli mchungu kuliko ungo mtamu maana mwisho wa siku majuto ni maumivu makali. Wavivu wa kufikiri na wavivu wa kufanya kazi ndo utawaona wanataka mpaka vitambulisho vya umachinga eti vitoweke, sasa mapato kwa kuiendeleza nchi yenu mtatoa wapi? Majibu ni kwenda kuiuza nchi kwa kuweka rehani madini raslimali za taifa na kuomba mikopo ambayo mwisho wa siku itashindikana kuilipa na kuiuza nchi. Jamani hakuna binadamu alie mkamilifu sawa ila Magufuli kafanya ya uzalendo wa kweli kaonyesha jinsi gani anaipenda Tanzania 🇹🇿 kwakweli mtu anaebeza basi hata malezi ya kwao hayakua safi hakufundishwa neno Asante. Ingekua marais nao wanasajiliwa na mataifa mbali mbali kama wachezaji mpira, yaani Magufuli angeshanunuliwa kwa pesa nyingi sana ili akafanye kazi nchi nyingine. Tunambeza sisi wakati ni tunu ya taifa letu. Akina mbowe na lisu wanapigana risasi eti ni magufuli, wanaanguka wanategua miguu eti ni Magufuli aibu kwenu viongozi waongo hata mkipewa nchi mtaiongoza kwa uongo uongo. MUNGU tuvushe tukinge na ufedhuli huu na uchafu huu kama ulivyotukinga na CORONA kwa kumpa hekima na busara kiongozi wetu wa Tanzania. MUNGU ibariki Tanzania MUNGU mbariki Magufuli Amen!!!!!
@missangela67204 жыл бұрын
@@michaelwillombe1794 Dah! Asante sana kaka. Binadamu ni wepesi sana kusahau. Nchi hii ilikuwa kama shamba la bibi. Watumishi hewa. Wanafunzi na mikopo hewa. Vyeti feki. Wizi wa makinikia. Mikataba mibovu. Miundombinu duni. Mashirika kama ATCL yalikuwa yamekufa kabisa. Meli? Hospitali CT-SCAN na dawa kuibiwa au kuharibiwa kwa makusudi. Wale jamaa waliokuwa wanakula mishahara ya mamilioni. Mafuta ghafi/petroleum. Safari nyingiii za nje ya nchi. Jamani wahenga walisema: usiache mbachao kwa msala upitao.
@michaelwillombe17944 жыл бұрын
@@missangela6720 Asante dadaangu. Kuelewa wanaelewa sana sema fikra ndo bado hazijakomaa. Wanataka aje rais aseme nchi hii bado masikini yule aliesema nchi hii tajiri alikua muongo ili waanze kutupiga za uso. Bila Magufuli mataifa mengine mpaka leo wangekua gizani kuhusu suala la CORONA lakini MUNGU kafanya ufunuo kwetu tanzania. Leo hatuogopi mikusanyiko tupo huru na maisha yanaendelea. Ndugu zangu watanzania tuache uvivu hakuna mtu atakaekuletea maendeleo zaidi ya wewe mwenyewe, serikali inarahisisha kila mmoja wetu afikie malengo kwa haraka kwa kununua ndege, meli, kutengeneza barabara za lami, kutengeneza mabwawa ili tuwe na umeme wa uhakika nakadhalika. Biashara ziende haraka kutoka kwenye vyanzo vya uzalishaji mpaka sokoni kwa haraka. Pia tusibweteke sio ukisoma mpaka ma degrees na ma masters lazima ukaajiriwe. Angalieni matajiri wa tanzania na nchi nyingine niwafanya biashara sio waajiriwa jamani tuwe na initiatives tuwe watu wakufanya research hakuna alie masikini umasikini ni tabia ya kila mmoja mvivu. Hakyna atakaekuletea chakula na hela mezani brethren. Let us be creative.
@newsongcelebration69944 жыл бұрын
Magufuli baba lao💪
@robertterry89094 жыл бұрын
Jpm namba moja
@missangela67204 жыл бұрын
True. Unaambiwa huko kwa wenzetu kila mtu anasema: we want our president to be like Magufuli of Tanzania
@magrethmvungi25164 жыл бұрын
Magu anjielewa sana anatakiwa awafanyie nini kwa watz ndio maana anafanya, wasiomuellewa kwa sababu zao watajijua mwenyewe na chuki zao piga kaz mzee baba usijali wanafiki
@kashiagrosama39524 жыл бұрын
Kwanini uwaombe kura.kura zote ni za kwako
@jacksonkiganda96564 жыл бұрын
MAGUFURI NDO RAISI WA WANYONGE NAUNGA MKONO MIAKA 5 TENA
@salummsigit13124 жыл бұрын
Uchaguzi mtupuuuu
@ozybizness39144 жыл бұрын
Hatunywi sumu hatunyongi ccm mbele Kwa mbele MAGUFULI Baba lao
@kibasamohamedi80294 жыл бұрын
Safi Sana jembe, utapita
@nadhifunadhifu95014 жыл бұрын
Lov u magu😘
@tumbwenekilale69624 жыл бұрын
JPM OYEEEEE CCM oyeeeee
@janethmrishi53704 жыл бұрын
Umepata baba ccm oyeeee
@lovenessmlinda13474 жыл бұрын
Yule mlemav wa miguu ana kaz Sana kwakoo Mzee, anajikaza tuuu
@muhdsseif57854 жыл бұрын
Usiseme mlemavu. Ni sisi ccm tulompiga risasi. Hapa unampaka matope baba magu
@ababuumwanazanzibar49084 жыл бұрын
Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1
@missangela67204 жыл бұрын
Yep! Umenikoshaaaa nimekuoenda bureee. JPM will always be remembered as the President who made our country great again. Hapo upoooo?
@missangela67204 жыл бұрын
JPM atakumbukwa daima kama Rais mcha Mungu, mzalendo, mchapakazi, makini sana na mweledi, ambaye yuko radhi kutumia juhudi na akili yake yote katika kupigania maendeleo ya uchumi wa kujitegemea na uhuru wa kweli Tanzania dhidi ya ukoloni mamboleo unaofanywa na nchi za mabepari na vibaraka wao. Itakuwa kituko cha karne kutompigia kura au hata kumpinga kiongozi shupavu kama huyu.
@augustinomwamasinga22004 жыл бұрын
Safiiiii
@azimiomnyanyi22804 жыл бұрын
Yesu kimbio hajawahikuniacha
@millardyleonardy72964 жыл бұрын
NAKUBALII KAZ ZAKO MKUU BIG UP SANAAA AISEEHH ILA EMAIL YNGU BADO HUJA REPLY MKUU🙏🙏🙏💪💪💪💪
@missangela67204 жыл бұрын
@@maribaisack2097 Ujue hamjui vile wapinzani wanavyofanys hujuma ili wasipewe maendeleo ili wapate visongizio kwamba serikali imeshindwa kutekeleza ilani. Kama mtu anaweza kusingizia alivamiwa na kuteguliwa mguu, atashindwaje hizo figisu? Mbona Arusha walijichomea ofisi ya chama?
@saitielmlay18554 жыл бұрын
@@bajajre6638 unapatikana wapi??
@evasaimon21014 жыл бұрын
Safii Sana💯✔️
@evelynebwire76842 жыл бұрын
Daaaaaaah, Hivi ni kweli baba umelala, Pumzika kwa amani CHUMA
@zeranchimbi28084 жыл бұрын
Umepita
@pilisadiki19724 жыл бұрын
Ccm oyeeeee
@aliabmugh23624 жыл бұрын
Nakubali chuma
@mangegervas96514 жыл бұрын
Gud saana
@patrickpaul66894 жыл бұрын
Nakutogilwe sana JPM
@abdullahsultani43774 жыл бұрын
Kwa ubaguzi huu hutopata kura
@tabufredmakunga84364 жыл бұрын
Amina amina
@judithlejalearnmore22364 жыл бұрын
Raid Wa maana JPM hooyeeeee,!!
@jamessichimata31004 жыл бұрын
Najisikia raha kusikia sauti yako Raisi wangu
@teddykanondo57534 жыл бұрын
Alafu ukisikia Yanga wanaisema sana Simba wamezidiwa. CCM msiwaseme sana CHADEMA majukwaani watu wengi walikuwa hawajui CHADEMA ni kina nani nyie ndio mnawapandisha chart wajulikane. Kila kukicha CHADEMA mnawaogopea nini haswa kwa kuwa wana MAKAMANDA.
@presseg.63624 жыл бұрын
Jembe LA kazi Magufuli, pendaaa Sana wewe!!!!
@missangela67204 жыл бұрын
Kumbe tuko wengi sana. JPM anatakiwa kuongoza miaka ka buku. Hahaha Sasa hivi hakuna tena migogoro ya wakulima na wafugaji, hakuna kudhulumiwa ardhi, umeme vijiji zaidi ya 8000. Dah! 2015 umeme ulikuwa wa mgaoooooooooooo
@magrethmvungi25164 жыл бұрын
Naamini IPO siku wasiojua uwepo wako wataujua na watakuwa njia moja na we we, endelea kupiga kaz wakisutuka tuko mbali kwamba were ndiwe sahihi
@saidwayawaya53564 жыл бұрын
Lkini mzee wangu. Mm nauliza suali moja. Kwa nn hizo Gari Mumeweka rangi za CCM.
@missangela67204 жыл бұрын
Kwa sababu ni mali ya CCM
@georgegodfrey47764 жыл бұрын
Hata angeweka rangi ya ACT ungeuliza tu
@missangela67204 жыл бұрын
@@georgegodfrey4776 Kuuliza si ujinga. Aheri huyu kuliko wale wanaotukana. Anayeuliza huwa anataka kuelewa
@rwandaafrika61734 жыл бұрын
Baba lao Magufuli ni Wewe tu Mungu yuko upande wako kabisaa
@kingwatabata42304 жыл бұрын
LIRAISI LETU ILO JPM LIKAMANDA LIBABALAO💪
@muhdsseif57854 жыл бұрын
Japi ni kweli umefanya ufisadi na wizi mkubwa wa rasilimali zetu baba tutakupa miaka 5 maana wewe umetuwezesha kuwaona diamond. Tulikuwa hatujawahi baba. Sisi tunajua inabidi watu wapigwe risasi na hata wengine wafe ili mabeberu waogope baba. Hiyo copta panda na siku moja utatupakia ukiongeza miaka 10 mengine ya urais
Ahahss kakufsnyaje? Wengine tunampa hata kama hajawahi kufika huku kwetuuu. Maana aliyoyaganya hakuna Mtanzania ambaye hajafaidi matunda yake mazuri. Unaambiwa ile makinikia ilikuwa miradi ya mabepari na wanagawana na madalali wao humo nchini. Magufuli kapiga stop. Utaavhaje kumpigia kura kimfano??????
JPM atakumbukwa daima kama Rais mcha Mungu, mzalendo, mchapakazi, makini sana na mweledi, ambaye yuko radhi kutumia juhudi na akili yake yote katika kupigania maendeleo ya uchumi wa kujitegemea na uhuru wa kweli Tanzania dhidi ya ukoloni mamboleo unaofanywa na nchi za mabepari na vibaraka wao. Itakuwa kituko cha karne kutompigia kura au hata kumpinga kiongozi shupavu kama huyu.
@benjaminulanga67494 жыл бұрын
Hii ya kutumia Luga zingine mbona TUME imetoa sheria na imekataza wagombea wasitumie Lugha zingine sasa mbn uyu mgombea anatumia au ni kwa baadhi ya wagombea tu alafu mbona kuna wakt anasemaga maendeleo hayana chama alafu anakuja anasema tusipochagua ccm aweki maendeleo hii inachanganya sana
@ibrahimmwendo50764 жыл бұрын
Hao wengine wanakataa bajeti Sasa maendeleo jimboni yatakwendaje? MAGU Yuko sahihi kabisa Safi sanaaa
@chale0ify4 жыл бұрын
Hapo sasa
@missangela67204 жыл бұрын
@@ibrahimmwendo5076 Bungeni wanataka kwenda, maendeleo hawataki. Sasa tuwaeleweje, kwa mfano?
@emanuelmwanga44 жыл бұрын
Pombe mhh ayo majina tu kweli tutakoma
@michaeljbkubugu73314 жыл бұрын
kwahayo maneno mbona nikama unafanya siasa hadi kwenye ukwer mbona ulisikika ukisema maendeleo hayana chama kwahiyo hapo umeongea nini? acheni kujisahauliaha
@gabrielbisekwa52384 жыл бұрын
Five Tena
@chandeabdallah2754 жыл бұрын
Wangap walilio sikia kulia kushoto
@kentkihongole82354 жыл бұрын
Washaur mmushaur kusema kaul hzo n ubaguz
@missangela67204 жыл бұрын
JPM atakumbukwa daima kama Rais mcha Mungu, mzalendo, mchapakazi, makini sana na mweledi, ambaye yuko radhi kutumia juhudi na akili yake yote katika kupigania maendeleo ya uchumi wa kujitegemea na uhuru wa kweli Tanzania dhidi ya ukoloni mamboleo unaofanywa na nchi za mabepari na vibaraka wao. Itakuwa kituko cha karne kutompigia kura au hata kumpinga kiongozi shupavu kama huyu.
@flova70222 жыл бұрын
Siasa kweli utumwa WA files mweeee!
@oscarkasalile50582 жыл бұрын
Wewe ulikuwa mzalendo wa kweli kweli.
@donaldmwahalende48414 жыл бұрын
Ubaguz Sana
@nyamwekomatoke99512 жыл бұрын
Basi tu
@hassanngolo16704 жыл бұрын
Magu kwa Igagala zote zako!!!!!!
@richardboaz-mashagospel23462 жыл бұрын
Huyu hakuwa Raisi wa helicopter kama waliopo leo
@leahsimba71594 жыл бұрын
Woyoooo
@paulmkawa44564 жыл бұрын
Eti upendo, watu tunalipa kodi we mzee acha kutufanya mateka wako sisi sio sawa na watoto wako sisi ni watanzania walipa kodi
@kambamazig020244 жыл бұрын
Je kuna nchi gani duniani hawalipi kodi? Bila kodi hakuna maendeleo. Sawa zamani kodi zilikuwa zinalipwa lakini zilikuwa hazifanyi kazi zinazolengwa.
@paulmkawa44564 жыл бұрын
Hujanielewa ww
@johnyty4984 жыл бұрын
eti ulijenga ww, hela zetu useme umejenga ww?? watanzania wanakubali tu eti
@missangela67204 жыл бұрын
Jiulize kwa nini hawakujenga miaka yote, ukipata jibu niambie. Hapo upooo???
@sponsor78824 жыл бұрын
Watanzania tumchagua Lissu atukombowe.tumeteseka sna kipindi cha magu
@Duniakuu254 жыл бұрын
Fara wewe umeteseka kwa lipi,we na wapigaji wengine mtakiona
@sponsor78824 жыл бұрын
@@Duniakuu25 sasa basi..ibeni kura muone cha mtema kuni
@karanijunior12574 жыл бұрын
Kwei. Magufuli. Uko. Raba. Sana. Tena. 10
@chazyteshakimaro46594 жыл бұрын
Ubaguzi wa chama hatutaki nilikuwa nakuheshim lakini mhhhh
@danielbaraka89034 жыл бұрын
kweli kabisa mbaguzi uyo
@danielbaraka89034 жыл бұрын
Eti ndio mzalendo uyo
@missangela67204 жыл бұрын
Hukumwelewa JPM kaka. Alisema wapinzani wanakataa kupitisha bajeti na kupinga kila kitu na kitukana. Sasa maendeleo ya majimboni mwao wanayapatejee kimfano???? Wear uwe ndo baba halafu mtoto akutukane halafu anataka umlishe, inakujaaaa? Mbona waungwana majimbo yao yanang'aa freshi tuuuu
@onesmojustice23484 жыл бұрын
@@danielbaraka8903 je yule pimbi?
@ericndonde54714 жыл бұрын
John Pombe Magufuli ww ni mfano wa Moses aliye watoa wana wa Israel kwenye utumwa
@lamecksaimon64944 жыл бұрын
Noooma xana
@barakakomba61714 жыл бұрын
Tutembelee na sisi huku ludewa mheshimiwa
@bableeyzabdalla5314 жыл бұрын
Hilo vumbi ni utawala wenu mbaya WA ubaguzi
@missangela67204 жыл бұрын
Mmm wivu sana wewe kakangu
@farajamwamahonje8564 жыл бұрын
Mambo
@yordanyona12344 жыл бұрын
Ubaguzi huo kwa vyama pinzani sio wanachi? Na pesa za nan?
@danieltungira38374 жыл бұрын
Mzee wewe ni kiongozi in real,siyo kiongozi maneno
@gangmore90914 жыл бұрын
Kwaiyo bila kiongozi wa ccm jimbo lake huwezi kufanya maendeleo wakati wewe ndio kiongozi wa tanganyika sio wabunge wala madiwani wewe fanya maendeleo wasiokupenda wakupende wachakutaka watu wote wapende ccm bila upinzani huwezi kufanya maendeleo hata maisha yetu y majumbani tunapambana n wapinzani
@alistidiusjohnkaroly79204 жыл бұрын
Kumbe wewe si mpenda Maendeleo badala yake wewe ni mpenda ccm kwa maana hii mfumo huu sio kabisa
@dannyford63554 жыл бұрын
Maendeleo hayana chama leo unakataa maendeleo kwa wapinzani
@sahachi3974 жыл бұрын
Tatizo ya wapinzani hawana shukurani vichaaaa.
@godfreymasele88534 жыл бұрын
Wanakula ruzuku matapeli hao hasa chadomooo hafai hata kuishi na binadamu wahuni wale
@missangela67204 жыл бұрын
@@sahachi397 Kabisa. Wana lengo la kumvurugia Anko ili ionekane hafanyi kitu. But hawatafanikiwa
@emanuelmwanga44 жыл бұрын
Wawa na mama yu utaisoma namba mwaka huu
@karimchindema98234 жыл бұрын
Mmmmh!
@jumailinje31454 жыл бұрын
Huwezi kumpa mtoto wa jirani chakula na familia yako ina njaa.😂😂😂 Ubaguzi haujawahi kuicha salama ccm.
@missangela67204 жыл бұрын
Ili tujifunze kuunga mkono bajeti na kushirkiana na serikali katika kuendeleza gurudumu la maendeleo majimboni. Jinsi viongozi wenu walivosusia bunge waksti wa korona, ndo sera yenu ya kukataa kila kitu ili ionekane serikali ya JPM haifanyi kazi. Pamoja na kuwa mmejifunza kulenga shabaha zenu bila kukosea, wenzenu tumejifunze kuruka juu angani bila kutua. Hahahaha Tukutane Oktoba 28 my kaka. Cheers
@jumailinje31454 жыл бұрын
@@missangela6720 Bora wasuse, maana hata awamu ya 4 wabunge wa uoinzani waliimba sana tunaibiwatunaibiwa ccm wanagonga meza tu na kuchapa usingizi huku bunge likiendelea, ameingia rais magufuli imekuwa wabunge wa upinzani wanasusia wakati ashatoa maelekezo kwa spika wakiongea wafukuze, wakitoka nje nitawashufhulikia, mnafulahia meza kugongwa hata kama kilichoongewa ni pumba, mfano bunge lililoisha mh mlinga yeye alikuwa ni mbunge wa taarifa, na kukejeli waoinzani, wengine wakiomba wabunge wafanyiwe tohara ndio levo mnazozipenda.
@jumailinje31454 жыл бұрын
@@missangela6720 Bora wasuse, maana hata awamu ya 4 wabunge wa uoinzani waliimba sana tunaibiwatunaibiwa ccm wanagonga meza tu na kuchapa usingizi huku bunge likiendelea, ameingia rais magufuli imekuwa wabunge wa upinzani wanasusia wakati ashatoa maelekezo kwa spika wakiongea wafukuze, wakitoka nje nitawashufhulikia, mnafulahia meza kugongwa hata kama kilichoongewa ni pumba, mfano bunge lililoisha mh mlinga yeye alikuwa ni mbunge wa taarifa, na kukejeli waoinzani, wengine wakiomba wabunge wafanyiwe tohara ndio levo mnazozipenda.
@missangela67204 жыл бұрын
@@jumailinje3145 Bunge letu limerekebisha mikata mibaya ya madini iliyokuwa inatunyonya, wakati huo tulikuwa tunapata mrabaha wa asilimia 4 tu! Na hata hiyo nne hatukuwa tumelipwa tangu 1998! JPM amefanya mabadiliko makubwa, sasa hivi wachimbaji wa ndani na wachimbaji wadogo2 wamepewa vipaumbele kwenye sekta ya madini. Pia lazima wananchi wa eneo husika la madini wafaidike kwa uchimbaji wa madini: fidia, biashara, miundombinu, huduma kama vile vituo vya afya, shule, nk. Tatizo la upinzani ni kupinga kila kitu, hata yale ambayo yangepaswa kuungwa mkono na kila Mtanzania. Hilo ni kosa kubwa sana. Halafu pili, kama wao ni kupinga kila kitu basi hawastahili kuchaguliwa na wananchi kuwa wawakilishi wao. Kwa namna hiyo, wakiendelea kukataa kila kitu, na kupinga na kutukana, hawawezi kuleta maendeleo katika majimbo yao. Ndiyo maana JPM anawatahadharisha wananchi wawe makini wasiwachague viongozi ambao hawajitambui wala hawatangulizi maslahi mapana ya nchi.
@maikomwaryobawaryoba38044 жыл бұрын
@@jumailinje3145 tatzo cdm hawaeleweki kipndi cha JK walipga mambo mengi saivi wanamsifu JK vp hapo ww unaelewa nn kwenye chama hawajawai kuptisha bajet yoyote inayo letwa bungen unaelewa nn kwenye chama kama hicho ingekua uchaguzi ukipta wanaunga bajeti na kuahilikiana kwenye maendeo hapo sawa walisema shilika la ngege limekufa JPM kalifufua saiv wanapnga ndo nn tuwaelewe
@bjzee19814 жыл бұрын
Ndio rais wa kwanza kutangaza ubaguzi wa maendeleo kutokana na vyama. Kina kikwete hawakua hivi. Nilimpenda ila kwa kauli hii wengi wata mchukia
@raffeiystar28704 жыл бұрын
Mm bado nampenda na usemayo si kweli,
@symonfrank83614 жыл бұрын
Pekeako labda
@siromyhemed94644 жыл бұрын
Watu wanachaguliwa na wananchi zikija bajeti za maendeleo wanapinga .......ungekuwa ungefanyaje? Hizo kauli anaongea ila wawakilishi wengi wabunge wanakimbia hawasemi matatizo ya wananchi wao.....
@bjzee19814 жыл бұрын
@@siromyhemed9464 . Hawasemi kivipi wakati wanapingwa kwakua ni opposition. Kwani hamsikii anacho kisema
@salmaramadhan53864 жыл бұрын
Hata usemeje nampenda hivyo hivyo
@geraldluiso67924 жыл бұрын
Amedhihirisha majimbo ndiyo wakati wake. Ina maana sisi upinzani ndio basi Tena. Tumemsoma
@missangela67204 жыл бұрын
Naona hujamwelewa Rais wetu
@mussabasali10884 жыл бұрын
mungu mkuu najua nimapenzi ya mola
@husseinmiraji13214 жыл бұрын
Ulijenga wewe unahela ya kutujengea kutoka mfukoni kwako ?kujenga zahanati na Barbara siyo msaada mkuu wangu
@eyumededu29484 жыл бұрын
Wewe ulitaka upewe nini kijana mvivu????
@t1910j4 жыл бұрын
Ulitaka afanye nini? Ulitaka ajenge na pesa zake? Mbona akili finyu jamani? Nenda kampigie kura Lissu wenu na Zitto. Tuache sisi.
@missangela67204 жыл бұрын
JPM atakumbukwa daima kama Rais mcha Mungu, mzalendo, mchapakazi, makini sana na mweledi, ambaye yuko radhi kutumia juhudi na akili yake yote katika kupigania maendeleo ya uchumi wa kujitegemea na uhuru wa kweli Tanzania dhidi ya ukoloni mamboleo unaofanywa na nchi za mabepari na vibaraka wao. Itakuwa kituko cha karne kutompigia kura au hata kumpinga kiongozi shupavu kama huyu.
@donaldmwahalende48414 жыл бұрын
Ubnafsi mzee
@azmhamza84844 жыл бұрын
Sio kila mmoja atakupenda na sio atakae kuchukia sio mtanzania ubaguzi kwa muongoza nnchi sio mzuri Tanzania nimoja mtu akupende asikupende bado ni raia wa Tanzania ana haki yakufanyiwa kinacho staili kama mwanannchi
@alistidiusjohnkaroly79204 жыл бұрын
Kwa hoja hizi bora mfumo wa majimbo
@damianmakala29134 жыл бұрын
We ni jembe , Hata upande wa pili wanajua wewe ni Jembe
@sanifumedia96144 жыл бұрын
TUNDU LISSU AKIIPATA HII VIDEO SIJUI ITAJUWAJE? NABII TITO AMCHAFUA HADHARANI BILA WAGA kzbin.info/www/bejne/sJDKfI19jMmUh9U
@karolikisaka89914 жыл бұрын
Maendeleo hayana chama Kwann wewe mbaguzi hivyo Yaani juma kapuya ndo kakufanya ujenge barabara!!!!!! Ajabu Sana.
@bjzee19814 жыл бұрын
Kwa hivyo Hakuna upinzani Tanzania si mseme tu
@mzalendomzalendo25674 жыл бұрын
@bjzee, upinzani wa nini tanzania kwanza, wapi uliona upinzani kabla ya maendeleo ya nchi, democrasia dunia nzima hawakuwa nayo mpaka walipo jijenga MAGUFULI OYEEE
@perpetuambizo15184 жыл бұрын
Thanks
@perpetuambizo15184 жыл бұрын
Thanks
@budakassim21914 жыл бұрын
Yaani ni tabu tupu
@missangela67204 жыл бұрын
@@mzalendomzalendo2567 Mfumo wa vyama vingi ni mpango wa mabepari kuendelea kuinyonya bara la Afrika na kuzidisha umaskini wa wananchi. Imagine chama kimoja cha ACT kimepewa 18,000,000,000 /bilioni 18 kwa ajili ya kampeni tu. Hapo kuna vyama zaidi ya 13. Bado Tume ya uchaguzi. Karatasi za kura tu zenyewe tunachaps kwa bilioni 44 South Afrika.
@teacherd4 жыл бұрын
MASWALI HAYA LAZIMA YATOKE KWENYE MTIHANI WAKO kzbin.info/www/bejne/rmq4hY2kppp6jdk
@nyasikelvin22064 жыл бұрын
Wajumbeeeeeeeeew
@alexmwanry43422 жыл бұрын
No
@mohamedturanardan88714 жыл бұрын
Tumeiona, ndo inayokwenda chato hii?
@angelntandu6614 жыл бұрын
Isije ikaleta madhara kama miaka iliyopita ilitupa majonzi
@msetikebwasi68954 жыл бұрын
Mzee sikukosoi ila nauliza tu,si unasemaga maendeleo hayachagui/hayana chama.Sasa hii kauli siielewi!
@mosesshagembe3164 жыл бұрын
Kajisahau ila msamehe
@missangela67204 жыл бұрын
Anasema kweli kwa sababu wapinzani mjengoni Dodoma kazi yao kupinga kila kitu na kutukanaaaaa sasa miradi ya maendeleo unadhani wataifustilia? Lengo lao kuvuruga juhudi za maendeleo ya Anko ili ionekane JPM kashindw kazi. Lakni bado Rais wetu anawapelekea maendeleo hadi majimboni mwao kama Arusha kwa akina sijui Lema