KAULI YA ESTA MASANJA KUHUSU WATUMISHI WA MUNGU WANAOWATAJA WENZAO KUWA NI WAUONGO"Tukae ktk Roho"

  Рет қаралды 5,546

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.3878783
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 87
@miriamglorynyaboke4884
@miriamglorynyaboke4884 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Esther Masanja tuko nyuma yako tunakuheshimu na kuheshimu mwito wa Yesu Kristo ulio ndani yako...uko na wengi wanaokufuatilia sana ili kuyasikia yale Bwana anabeba na kanisa lake.... na Bwana Yesu akubariki sana.
@miriamglorynyaboke4884
@miriamglorynyaboke4884 Жыл бұрын
Amina Nabii wa Mungu tuko nyuma yako tunakupenda. Promover tv baraka kwenu.
@Sara-ne3xl
@Sara-ne3xl Жыл бұрын
Usiseme tuko semea nafsi yako mwenyewe
@blessedlameckbongoye7313
@blessedlameckbongoye7313 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu na asante sana Promover TV
@benjaminpeter8793
@benjaminpeter8793 Жыл бұрын
Uyo ni wakala wa giza mwenye masikio na asikie kwajina la yesu
@mercysimba3569
@mercysimba3569 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mahuburi ya Amilieli katekela,yanajenga katika Kila eneo.Mungu Ambariki sana sana.
@charlesmbunda6759
@charlesmbunda6759 Жыл бұрын
UJUAJI NINAUONA KWENYE COMMENT NYINGI, HADI NINAOGOPA! KATIKA SUALA LA UMILELE, NI HERI KUNYAMAZA ILI KUJIFUNZA, KULIKO KIMBELEMBELE NAMNA HII... EE YESU, NAOMBA UNIKUMBUKE MIMI MNYONGE KATIKA UFALME WAKO
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 Жыл бұрын
Ila Kama roho wa Mungu amekuongoza atajwe ,Bora atajwe maelfu ya watu waokoke, maana nasikia Kuna maagenti wanao hubiri wamehesabiwa jehnam mazima hawatapewa mda wa kutubu Sasa hao waumini wao hawatajua
@حسن-ح7م1ق
@حسن-ح7م1ق Жыл бұрын
Dhambi isiyosameheka ni kumkufuru roho tu ila mengine yote yanasamehewa ndugu
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee Жыл бұрын
Suala la kuwataja inamaana hamuwajui manabii wa uongo? Akina Mwamposa,Suguye, Geordav, Kuhani Musa hawa ni Kwa uchache tu je mkiambiwa siyo watumishi wa Yesu mtakubali? Pia tujue Kuna Sheria za nchi kumsema mtu vibaya bila ushahidi wa kimwili ni makosa wakati tuhuma hizi ni za kiroho.
@mlowegb4097
@mlowegb4097 Жыл бұрын
Naunga Mkono wanao sema kuficha Waovu sio suluhisho...... Suluhisho ni kuwataja Live Live kama Mungu alivyo kuonyesha.... Ili watu Wajiepushe naye.... Na Uliye onyeshwa Omba Mungu akuonyeshe Maendeleo ya huyo Mtu...... Bilashaka akitengeneza Mungu atakujulisha Tena....... Na akisha Tengeneza unamtangaza Tena yakwamba nimeonyeshwa ametengeneza........ Ili watu wasiangamie bure...... Mlinzi umetaarifiwa kutoka chonzo sahihi cha Taarifa kwamba kuna hatari..... Halafu unanyamza....... Unawatakia Mema watu kweli....? Maana Neno Lasema Kiongozi Kipofu ataangamia pamoja na Wafuasi wake..... Kwanini uliye onyeshwa usiseme..... Ili kama ni kuangamia aangamie peke yake (ikiwa amekusudia kuangamia )... Lakini kama haja kusudia atengeneze..... Haiwezekani Uonyeshwe Waovu..... Usionyeshwe na Wazuri.... Au Usionyeshwe na Walio Tengeneza..... Wauongo watajwe... Ikiwa una uhakika Wakitengeneza Utajulishwa pia.....
@tamarali8325
@tamarali8325 Жыл бұрын
Barikiwa sana mama Esther ninakupenda bure. Promover tv msipungukiwe na chochote ❤
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Leo hii kwa mara ya kwanza nimejenga hoja juu ya esta masanja,,,,,,,,atajuaje km hayuko kwenye mstari uspomweleza
@حسن-ح7م1ق
@حسن-ح7م1ق Жыл бұрын
Onya ila usifanye mtu ahisi kuhukumiwa NA pia kumtaja live hakusaidii bora ukamuombea maana maandiko yanasema vita vya rohoni inapiganiwa rohoni sio mwilini
@Mika-hu1yr
@Mika-hu1yr 10 ай бұрын
Yesu akiongea kuhusu Mafarisayo aliwaombea ama aliwataja waziwazi
@DethaMziwanda
@DethaMziwanda Жыл бұрын
Mungu awabariki promover kwa kazi yenu njema,naomba mnisaidie kupata namba ya simu ya Mchungaji Katekela Amiel
@MarthaZabron-gg3uj
@MarthaZabron-gg3uj Жыл бұрын
Kemea karipia Lazima Mungu ainue watu majasiri hakuna, vitambaa,maji, wala mafuta . Petro alimkemea kefa
@herielkishimbo9052
@herielkishimbo9052 Жыл бұрын
Paulo aliwatamka wazi akina Himenayo na Fileto na wengine wengine.
@neemaeliaselias3061
@neemaeliaselias3061 Жыл бұрын
Biblia inasema kua tuwaexpose,,,kweli unyamaze watu waende jehanamm,,,,ama watolewe kafalaa
@حسن-ح7م1ق
@حسن-ح7م1ق Жыл бұрын
Mchungaji haikupeleki mbinguni please tengeneza mahusiano NA Mungu
@jackympangile-nt3js
@jackympangile-nt3js Жыл бұрын
Barikiwa mama❤,,YESU AWALINDE NA KUWATUNZA WATUMISHI WAKE...mm nimekuelewa point yk
@ElipendoElias-no6ki
@ElipendoElias-no6ki Жыл бұрын
Dada Ester ACHA waambiwe ukweli,maaana asilimia kubwa ya hao manabii hawakemei dhambi acheni kuwatetea
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌 nimependa ujmbe
@Akinyisafi
@Akinyisafi Жыл бұрын
Mimi nimesoma comments za watu hadi sina cha kusemaa wacha MUNGU mwenyewe aingilie kati😢😢😢😢
@elizaberthleonard4362
@elizaberthleonard4362 Жыл бұрын
Amina Nabii wa Bwana ESTHER EMANUEL MASANJA, Mungu akubariki sana kwa ujumbe mzuri, hakika leo natubu maana nilikuwa mmojawapo
@ufunuoministry
@ufunuoministry Жыл бұрын
Acha kutubu kwa mafundisho hayo ya Mashetani!!! Ester masanja ni 👹👹👹
@patricianyale
@patricianyale Жыл бұрын
@@ufunuoministry Mungu anakuona mbingu sio ya nyanyako tubu
@boanergeministrytanzania8522
@boanergeministrytanzania8522 Жыл бұрын
Wewe dada,hebu fikilia mtu ni nabii au mtume au chchte,alafu anatumika na shetani alafu ana waumini zaidi ya elfu2 hivi usipo waambia hao watu Hatakama hao waumini wanamwamini huyo nabii wa shetani,uwaache?wapotee?eti kwasababu utasambaratishakundi?kipi bora hapo upoteze roho za watu elfumoja kwasababu ya mtu mmoja?
@DawsonDuma
@DawsonDuma Жыл бұрын
Wagalatia 2:14 [14]Walakini, nilipoona ya kuwa njia yao haiendi sawasawa na ile kweli ya Injili, nalimwambia Kefa mbele ya wote, Ikiwa wewe uliye Myahudi wafuata desturi za Mataifa, wala si za Wayahudi, kwa nini unawashurutisha Mataifa kufuata desturi za Wayahudi?
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Akitubu Mungu atafuta peke yake kwani Sauli nani alifuta?
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 Жыл бұрын
Amen nimekupata mum
@DawsonDuma
@DawsonDuma Жыл бұрын
1 Timotheo 5:20 [20]Wale wadumuo kutenda dhambi uwakemee mbele ya wote, ili na wengine waogope.
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 Жыл бұрын
Yeah kabisa mtumishi yuko sawa
@lilymwashumbe4890
@lilymwashumbe4890 9 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu
@MamaNyabogi
@MamaNyabogi Жыл бұрын
Promover Tv wacha mimi niwaambie ukweli...mimi shuhuda za huyu mama roho yangu ilikataa kabisa na haikubaliani nayo..hata kumskiza tu hainikubalii... Alipokuja huku kwetu kenya ndipo shauku yangu ikawa confirmed kumbe nilichohisi ni kweli. Hata sahi nimesoma tu ujumbe au title nikaingia kwenye comments. Huyu mama mimi simuamini kabisa,ni ivo tu yaani.. She didnt have to address and respond if she knows yeye ni wa kweli angenyamaza...lakini juu inamkera ilibidi atumie muda wake kujibozana na bibilia inatuambia vizuri tuwataje and we expose waongo... Anyways,mtawajua kwa matunda yao...👇👇👇 1.bibilia inasema vizuri tuwaanike hadharani waongo ...
@doricemrema2177
@doricemrema2177 Жыл бұрын
Napia napinga hapo anaposema KWAMBA ( Kwa anavyo onayeye, au Kwa upande wake) anatakiwa aseme kile ROHO MTAKATIFU anachosema maana MTU Hadi kufika kutoa jumbe hizi ni Roho mtakatifu amekuongoza kutoa, ilaukishaweka hapo ( Mimi Kwa upande wangu, mara Mimi naona hivi na hivi) hapo Kuna walakini
@upendoupendo254
@upendoupendo254 Жыл бұрын
Bwana Yesu kristo atusaidie
@saumukarisa9873
@saumukarisa9873 Жыл бұрын
Mungu akubariki mama niheri umfuate na umuonye na kumuombea kuliko kumtangaza humsaidii
@SelestinaJoshua-pn4zv
@SelestinaJoshua-pn4zv Жыл бұрын
Promover wamekomaa na huyu mama sjuh kisa nini mbona msiwatafute kina recho na Veronica na wao mkawasikilizaga mmekomaa nae tu kumtetea je kama ni kweli walionyeshwa mtafanyaje acheni basi
@Neemakilimba
@Neemakilimba Жыл бұрын
Kanisa limevamiwa uwii Mungu Turehemu Huyu Mama Yesu anamuona
@loveme6056
@loveme6056 Жыл бұрын
BIG NOO!!!!!! Kama kweli unawajua waelezeee tena itakuwa vizuri wafichueni kwa dalili zao za ukweli walizonazo ili kuokoa Roho za watu zinazojiungamanisha kwenye madhabahu yao kupitia sadaka mbalimbali chamsingi ni kutomuonea mtu.
@حسن-ح7م1ق
@حسن-ح7م1ق Жыл бұрын
Madhabahu haikupeleki mbinguni. Its your relationship with God not the church or alters bwana anauangalia moyo wa mtu mmoja mmoja ndio mana waabudu halisi wanaabud katika roho NA kweli
@neemaeliaselias3061
@neemaeliaselias3061 Жыл бұрын
Muulizenii direct msifichefichee,,kuwa yeye ni ajenti wa shetaniii,,na kama si yeye anasemaje kuhusu ile tuhumaaa,,,muulizeni direct
@joyprecious8822
@joyprecious8822 Жыл бұрын
Huyu Esta amenikwaa leo,Hivo Wasitajwe mfano wa akina Mackenzie na wengineo, So it should be private and confidential
@doricemrema2177
@doricemrema2177 Жыл бұрын
Ninapinga, (WAPO AMBAO YESU KRISTO MWENYEWE ANATOA KIBALI CHA KUMTAJA JINA , NA NI KWASABABU BADO WANA KUWA NA MIYOYO MIGUMU YA KUTOKUTAKA KUBADILIKA.
@adriannebatakanwa6904
@adriannebatakanwa6904 Жыл бұрын
Ushauri wangu tumuulize Mungu kuliko kuangalia kwa akili na macho ya kibinadamu.
@teklalumalanja1752
@teklalumalanja1752 Жыл бұрын
Uko sawa dada Esta hao watumishi wanaosema watumishi wenzao hao wanawivu, kila mtumishi kapewa Cha kwake.
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 Жыл бұрын
​@@teklalumalanja1752yeah ukweli kabisa
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 Жыл бұрын
Niukweli kabisa mum
@AmyeSanga-u4c
@AmyeSanga-u4c Жыл бұрын
Kama msisitizo bado upo maana yake bado hajatubu Mungu anasisitiza atubu haraka.
@حسن-ح7م1ق
@حسن-ح7م1ق Жыл бұрын
Yes. ila unaweza kuomba Mungu ampe moyo wa kupomdeka NA roho amkumbushe kutubu
@retisiafrancis
@retisiafrancis Жыл бұрын
Hamna kuwatetea manabii wa uongo Wala kuwaficha wanapoteza watu
@ongidijuniour2348
@ongidijuniour2348 Жыл бұрын
dah!! Na vipi sasa kuhusu mtumishi pascal Cassian Ambae nampenda binafsi Kwa kuwa aliwataja manabii wa uongo..nae unasemaje kumhusu?
@optimamarenda7082
@optimamarenda7082 Жыл бұрын
Hatamakanisa madogo yanamatatizo wivu tu wawatumishi mbona manabii hawaangaiki kutaja wachungaji .nikweli kabisa mama acha wawe kibao chamatangazo
@MarthaZabron-gg3uj
@MarthaZabron-gg3uj Жыл бұрын
Isaya 21:6 uyaonayo uyatangaze
@paulgoodluck5553
@paulgoodluck5553 Жыл бұрын
Kuna baadhi ya watumishi wanasema ester pia ni miongoni wa watumishi wa uongo na fact wakatoka so tuwe makini tu na awa watumishi si kwa sababu anahubiri utakatifu ndo tukamuona miongoni mwa watumishi wa kweli tumpime pia kwa neno
@SelestinaJoshua-pn4zv
@SelestinaJoshua-pn4zv Жыл бұрын
Ila nyie promover mmerogwa na huyu mama na ni wachonganishi nyinyi ndio alitajwa basi andamaneni saa kwan hamkosoma kua yasiri yatawekwa wazi siku izi hata siwafwatilii sjuh mpoje
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 Жыл бұрын
Hifai kutaja paka uwambiwe ama unaweza tumwa atubu
@HyasintaShayo-wm9uu
@HyasintaShayo-wm9uu Жыл бұрын
Ni kweli watu waache kusema watu vibaya
@loveme6056
@loveme6056 Жыл бұрын
Naomba mniulizie jamani na uyo zumaridi kumbe anaonewa wivu anavoongelewa??? Kwa iyo nae tuamini ni mkweli???
@evelynekomba7216
@evelynekomba7216 Жыл бұрын
Unaabudu Kwa kanisa lake!??
@carendeborah5687
@carendeborah5687 Жыл бұрын
Kichapo watakipata kutoka kwa Mungu,waendelee kutaja
@catherineangaufoo2530
@catherineangaufoo2530 Жыл бұрын
Kristo tusaidie🙏
@amandaangie4806
@amandaangie4806 Жыл бұрын
AMEN 🙏
@Jyne-shi
@Jyne-shi Жыл бұрын
Hapa apana🙅‍♀️🙅‍♀️🙅‍♀️
@BerylSeer1
@BerylSeer1 Жыл бұрын
Waongo utawajua kwa matunda yao, watajwe 😮
@neemaeliaselias3061
@neemaeliaselias3061 Жыл бұрын
Hebuu miulizenii tuu direct kuhusu zile tuhuma za kenya kuhusu yeye na akinaagreti kuwa ni mawakala
@kapingalucy2707
@kapingalucy2707 Жыл бұрын
ipo izo Mim sijasikiaa zozote
@neemaeliaselias3061
@neemaeliaselias3061 Жыл бұрын
Muulizeniii vp nayeye aliona kitu kenyaaa?
@liesharehema5193
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Nikweli tukae katika roho
@adriannebatakanwa6904
@adriannebatakanwa6904 Жыл бұрын
Kwa nini na wewe usiseme Mungu kakuambia hivyo kwa sasa lakini katika tahadhari ukasema mlango wa toba upo? Kwa nini uruhusu watu waendelee kuangamia kama kweli Mungu kakwambia? Kwa hiyo bora watu wengi waangamie? Unatuchanganya Dada Esta. Mimi ninachojua mtumishi aliyerehemiwa hutoka hadharani na kutubu hadharani.
@adriannebatakanwa6904
@adriannebatakanwa6904 Жыл бұрын
Acha nitoe mfano wa Jimmy Swagart. Aliwekewa mitego na maajenti wa kuzimu kuhusu uzinzi. Kweli akaanguka dhambini. Alipotengeneza alisema kwa kuwa yeye alikuwa anahubiri dunia nzima kupitia TV inabidi atubu kupitia TV ili wote wasikie toba yake. Jambo lingine jamani ni hamjui ilivo ngumu kuwafikia hawa watumishi wakubwa hasa walioanguka na kusaini mikataba na Adui. Mi binafsi ilinikuta. Nilimfuata yule mtumishi alinikwepa mara 3. Nilichofanya nilirudi madhabahuni kumuambia Bwana nimeshindwa Mungu nisamehe. Naomba umtume mjumbe mwingine. Kusengenya si vizuri lakini kama umeambiwa kusema unasema ila unamuombea rehema. Hayo ni maoni yangu binafsi.
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 Жыл бұрын
🙄🙄🙄🙄🙄 wambie UKWELI
@eladymwakanyamale
@eladymwakanyamale Жыл бұрын
Ni nini lengo la wewe kupewa ujumbe, vipi wale anaowaongoza nar amekataa kutiii he waendelee kupotea,, MUNGU no fundi kama amekuonya ukibadilika atakufanya kuwa ushuhuda...
@dorcasjonathan9793
@dorcasjonathan9793 Жыл бұрын
Kwa sababu wewe unawafahami nenda kawaonye wakiacha umempata ndugu Yako ila usipomuonya hata na wewe hauko salama kwani unaogopa nn nawakat amekutuma huwezi mwambie amtume mwingine
@changuchake7406
@changuchake7406 Жыл бұрын
MUONGO MITUME WETU WALIKUFA KWASABABU WALIJITOA HAWA MMMMMMMMM TUWE MACHO WANAKUJA KAMA NURU
@selafinlisiely6009
@selafinlisiely6009 Жыл бұрын
Kuna Jambo moja baya ambalo limejificha kwa watu wakweli" wengi Ni waoga bado wanatamani kusema kwa mafumbo ili atawale walio waovu wasifanye Vita nao" Neno linasema heri akemeae kuliko kujipendekeza,, Isaya 21:6 Ayaonayo na ayatangaze" Pia Neno linasema piga kelele Kama Tarumbeta waubiri watu wangu kosa lao" Wewe umeingiwa baridi la uoga" Mtumishi Esther tunakuombea,, Ila kunasehemu unateleza kumbuka unayo yaona katika Roho na wengine wanaona pia Kama wateule wenzako, kumbuka Nabii Elia alipo vyamiwa na Roho ya woga, alijiona Yuko pekee yake kumbe Kuna wengine" Dhambi ya mtu ikihuburiwa Mara Moja tu, awezaje kugeuka, Mbona uzinzi na ulevi unakemewa kila siku, why Manabii wa uongo wasitaje, ukiwa mtume Paulo alimtaja Petro na Barnabas kuwa Ni wanafiki, Sasa nakuombe jifunze zaidi Omba njia Mungu afanye zaidi na ujumbe ufike, Amani iwe nanyi
@fredynjige5663
@fredynjige5663 Жыл бұрын
Hakuna kuficha dhambi _
@jorambranchofmud6299
@jorambranchofmud6299 Жыл бұрын
Hakuna wewe ukiwa wauongo lazima tukukashifu unaogoba sababu wengi tunakukundua MUNGU hudhibitisha manabii watatu wametuonya dhidi ya kukusikia iwapo MUNGU hajanena nawe Funga kinywa kupita kutupotosha Ni vibaya kupeleka matrilioni ya watu kuzimu kupitia uongo
@selafinlisiely6009
@selafinlisiely6009 Жыл бұрын
Huyo Ni muoga Na huu Ni mtego mkubwa Sana atawanasa watu wengi" Kama Mungu amekutuma kusema lazima useme Mtume Paulo alimtaja Petro na Barnabas kuwa wanafiki waziwazi na haijafutwa kwenye biblia Hadi Leo Ila yeye muoga,,anaogopa Vita, Na hii channel itageuka kuwa tanzi na mtego wa Kanisa
@angiemkusa3845
@angiemkusa3845 Жыл бұрын
Aliyekutangaza aliagizwa na Roho Mtakatifu aku-expose. Kaa kimya mama.
@dickson1820
@dickson1820 Жыл бұрын
Luka 8:16-17 Luka 8 (Biblia Takatifu) ¹⁶ Hakuna mtu ambaye akiisha washa taa huifunika kwa chombo, au kuiweka mvunguni, bali huiweka juu ya kiango, ili waingiao wapate kuona nuru yake. ¹⁷ Kwa maana hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa; wala lililofichwa ambalo halitajulikana na kutokea wazi. Kwa nini tuwaficha au kuwa nyamazia manabii wa uwongo wakati wanapekeka nafsi za watu wasio Na hatua kuzimuni, kwani Yesu tunao abudu NI wangapi. Mbona wanafunzi wa Yesu Kristo waliwakemea makuhani,wafalme Na manabii was uwongo adharani tena kwa ukali pasipo uwoga Na nyinyi mnawaficha sana wa Mungu nini?. Ata Yohana mbatizaji alimkemea Na kumwonya mfalme erode adharani Naye Yesu pia aliwaonya makuhani Na waandishi was habari adharani tens mbele ya umati mkubwa sana. Kwani sisi wakristo Waleo twaficha nini, tumekubali watu wadanganywe adharani Na uku tuna jiita wakristo Waldo kweli 'tumepumbazika kwani kazi ya taa NI nini? ' Na jee ukiwa polisi Na unamwona mwizi akiiba hautamshika au hatamshitaki mbele ya koti?. Mchungaji nimekuwa nikikufatilia lakini kwa hili swala umenishangaza, kwa hivyo kuna Yesu wangapi?. Ezakieli 3:20-21(Hukimwonya Mtu Mwenye Haki Afanyapo Maovu Hauta Hukumiwa) 2Timotheo 3:16-17(Neno La Muumba Ni La Kukosoa Na Kuonya)**. Yeremia 26:2-6(Muumba Hutuamuru kuwaonya Watu Ili Waache Dhambi) 1 Wathesalonike 5:12-15(Kuwaonya Na Kuwatia Moyo Wale Wasiokaa Katika Utaratibu) Warumi 15:14(Kuonya Na Kuonyana)
@حسن-ح7م1ق
@حسن-ح7م1ق Жыл бұрын
Na kuelewa lakin unaweza muombea toba NA bwana akamnusuru kama alivyotumwa nathan kwa daudi sa muhimu n kumuombea
@saumukarisa9873
@saumukarisa9873 Жыл бұрын
Mungu akubariki mama niheri umfuate na umuonye na kumuombea kuliko kumtangaza humsaidii
@neemaeliaselias3061
@neemaeliaselias3061 Жыл бұрын
Yaaan mimi ilinichanganya nilipo sikia ile ya kenyaa,,kuhusu yeye na akina magret,,,,
@حسن-ح7م1ق
@حسن-ح7م1ق Жыл бұрын
That is the spirit of christ
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 12 МЛН
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,3 МЛН
Part10_USHUHUDA WA ESTA MASANJA|MALANGO SABA YA KUZIMU
1:34:00
PROMOVER TV
Рет қаралды 7 М.
Part6_IJUE SIRI YA MBINGUNI| USHUHUDA WA ESTA MASANJA
31:12
PROMOVER TV
Рет қаралды 26 М.
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 12 МЛН