Shaloom mtumishi shuhuda zako ni amini.........unapofundisha au kuhubiri tamka....BWANA.. ukimaanisha .....YESU..... au tamka .... BWANA YESU.... usitumie .....YESU.... tupu.......YESU ni Jina tukufu,ni Jina kuu,ni Jina lipitalo kila jina.......ahsante
@adriannebatakanwa69042 жыл бұрын
Pia Yesu ni jina la kawaida mtu yeyote aweza kuitwa Yesu, ila Bwana Yesu ni mmoja tu. Bwana Yesu Kristo.
@gosbertmuta54212 жыл бұрын
Hilo ndo tatzo lenu wabongo hamkosi ukosoaji kwenye lolote🤓
@godphreypriest97142 жыл бұрын
@@adriannebatakanwa6904 YESU sio jina la kawaida ni jina la Mungu mwenyewe....hata KRISTO BWANA mwenyewe alikiri na kudhihirisha hivyo... Yohana 5:43...Mimi nimekuja kwa Jina la BABA yangu....Yohana 17:6 Jina lako nimewadhihirishia.....Yohana 17:11-12,26 Soma Bible yako vizuri Thenashara wote hakuna aliyethubutu kumuita YESU maaana walimjua kuwa ni Mungu...na hawakuruhusiwa kulitaja bure Jina la BWANA Mungu wako iliwalazimu kumuita Rabi(Mwalimu) au BWANA YESU ni Jina ambalo KRISTO BWANA alilirithi baada ya mauti ya msalaba Ebrania 1:4 ,& Fililip 2:8-11 Kristo aliitwa YESU baada ya Mauti ya Msalaba kabla ya hapo walimuita KRISTO.....Mathayo 1:16.....pia walitumia jina YESHUA(MWOKOZI) Narudia tena YESU sio jina la kawaida kwa Mujibu wa Filipi 2:9-10 Nionyeshe wewe andiko linalotuonyesha YESU ni Jina la kawaida tafdhali
@conkfabrimendaking70932 жыл бұрын
@@godphreypriest9714 hapana bibilia yenyewe imedhihirisha kuwa kuna yesu zaid ya mmoja isipokuwa Bwana Yesu ndie mmoja sikumbuk vzuri kuwa ni mstai gani ila nimesoma katka biblia
@emanuelmoses99512 жыл бұрын
Hamna ubaya, dhamiri ndiyo inaashiria anamuongelea nani.. wapo wanaoita Bwana Yesu na wala Yesu hawajui!
@swahilimagnet2 жыл бұрын
Asante sana mtumishi kwa kutufunulia mambo ya Kiroho. Nmejiona ni uchi kiroho kwa dhambi zangu za ulevi, uasherati, uzinzi na nyingine nyingi. Naomba Mungu anirehemu na kunijaza roho wake mtakatifu ili aniongoze na kunifundisha yale yanipasayo kuyatenda na kunionesha sehemu sahihi ya kuabudia. Amen
@nurumwita90342 жыл бұрын
Usijali Mungu wetu ni WA rehema husamehe na kusahau Cha msingi ungama na kuacha Mungu ni mwaminifu na WA rehema
@prosperphissoo82242 жыл бұрын
Amen
@evelynekomba72162 жыл бұрын
Bwana akutendee sawasawa na haja ya moyo wako 🙏🙏🙏
@annkim26902 жыл бұрын
Nitakua nakukumbuka Kwa maombi
@roseladii14592 жыл бұрын
Anza kwa kusoma neno,kusali,na kuomba kila siku mfululizo
@samjosh122 жыл бұрын
Mahubiri yanachoma sana, Wahumini wapo wachache sana, Wakristo wa sasa, tunapenda miujiza ya chumvi, maji na mafuta. Injiri inachoma sana. Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana 🙏
@peacesirajudin589 Жыл бұрын
Yaaan mie hapo kwenye ivo viszidizi/mbadala kw jina l Yesu nashindwaga kuvielewa su cjuw imani yangu hapa? N Mungu anisaidie n kuniongezea kiasi ch Imani kwkweli
@FinaMwangaza7 ай бұрын
Nashukuru kwashuhuda nakufatakutoka kongo
@hasanmariam75212 жыл бұрын
Asante sana Mchungaji Mungu azidikukubariki nimeayibika mimi kwadhambi zangu Mungunisamehe niri tendamengi machafu hayampendezi Mungu
@marymalfarsi-vx9dr Жыл бұрын
Mungu atusaidie me nauliza je ntapataje kujua kama Nina tembea na roho mtakatifu natamni sana kuishi maisha yakumpendeza mungu
@andrewmhagama9816 Жыл бұрын
Kuishi na Roho mtakatifu ni 1.Kuzaliwa kwa mara ya pili na ndio unakua mfuasi wa Yesu 2. Naye anakuvuvia Roho Mtakatifu.Maana utaishi kwa Imani ya Kristo na ndio Mktristo mwenye. Waktristo ni Wengi ila matendo yao hayafanani na Kristo Yesu.
@kassebo2 жыл бұрын
Ushuhuda wa kweli ubarikiwe Sana mtumishi Wa MUNGU ✍️
@mosesallanadam19552 жыл бұрын
Ushuda huu ni kweli na amini, na heri masikio na macho yaliyosikia na kuona kisha kuzingatia, Mungu ambariki sana dada Esta Masanja. Katika jina la Bwana Yesu, Amen.
@LaurenciaMarco2 ай бұрын
Mungu hakubaliki sana mama angu kwa shuunda hii
@hellenmnyazi220 Жыл бұрын
Amen barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa ujumbe mzuri Mungu atupe neema ili tuweze kuenenda jinsi impendavyo
@ibzanayoub83352 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Esta YESU akubarki, mimi naomba kama inaweze kana uende hata mikoani kwani wapo wengine hawanag hizi simu kubwa kwa hiyo hawayasikii haya unayo tushuhudia
@floramazengo43972 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi mungu atupe mwisho mwema kwanyakati tilizonazo
@LaurenciaMarco2 ай бұрын
Mungu hakubaliki sana mtumishi wa mungu huo n hushuunda wa kweli namuomba mungu hakusaindie
@evchris95212 жыл бұрын
Ubarikiwe na YESU KRISTO
@albert33592 жыл бұрын
Waliotokewa na Yesu wa kweli utawajua tu Awana mapambo Awana majivuno Awana kiburi.
@Annsikoboy-ut8bs Жыл бұрын
Ndio, hawana kiburi. Kiburi cha mwanamke kuwa mchungaji wakati Bible imekataa akiulizwa anasema yeye sio Malaya...
@thobiasbukali9008 Жыл бұрын
Kabisa Mchungaji mwanamke hatakiwi kuwa Mchungaji ama Askofu?
@adeladaudi20474 ай бұрын
Km wanaume wameliacha kanisa unategemea Nini, maana Mungu anaweza kusimamisha hata mawe yakamsifu😢😢
@RebeccahKalihamwe-e6x4 ай бұрын
Mwanamke kuwa mchungaji kwanza asiwe na mapambo yaan kujiremba, pia avae mavazi ya kujisitiri pili awe amefunikwa kichwa chake, tatu na mwisho awe ameitwa na Mungu mwenyewe yaan amwambie nataka uwe mtumishi wangu uchunge kanisa . Ubarikiwe@@thobiasbukali9008
@bilalikisembe50122 жыл бұрын
Asante sana dada yangu kwa ujumbe ulio tuletea sisi wana kondoo tulio potea,pia nashukuru sana promover tv 📺 kwa kututumia videos 📹 hizi
@rabinzsinoya14342 жыл бұрын
Asante Mtumishi MUNGU azidi kukuinuwa na kutupa vyakula vya kiroho.
@JoyceChaleswahili2 жыл бұрын
huu ushuhuda unaonekana kuwa ni wa kweli . bwana Yesu atusaidie
@upendomwapongo19322 жыл бұрын
Nabalikiwa sana 🙏
@alexgashaza25372 жыл бұрын
Ushuhuda mzuri sana, ni injili Tisha tena iliyoshiba sawasawa. Mwenyezi Mungu atusaidie kuishi maisha yanayompendeza. Barikiwa mama kwa ujumbe mzuri.
@dadamuebrania15392 жыл бұрын
Yesu nisaidie niishinde dhambi Ili katika maisha haya na mwisho wa uhai wangu nikuone wewe.
@lydiamkeni74942 жыл бұрын
Asantee mtumishi MUNGU akubariki sana
@margaretakoth61502 жыл бұрын
Guard my soul Jehovah my God, till I enter rapture.
@jacoblongo68142 жыл бұрын
Hizi ndo shuhuda zenye utukufu zinazo endapo na Biblia zingine za kihuni tu Mungu atupe kubadilika tuyaishi maisha ya ki Mungu sahihi
@LucyMmboga2 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@roidayoab99182 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Yesu Kristo wa Nazareti aliye hai
@JosephMwandabila2 жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi kwa Ushuhuda wa kutujenga!!!
@ebenezermachange10732 жыл бұрын
Oo halleluya Glory to God
@SawBoy-tp3mt Жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu tunaomba usiogope kuisemea dunia na itakombolewa
@venanceanyimike4072 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi kwakutufu ndisha mambo ya kiroho
@cleophacemtumbuka8012 жыл бұрын
Duh🤭Umejua kujiongeza Madame na utawapata Wendi sana na soon anzisha”kanisa”💪🏿👍🙏🏿
@vailethvalentine37382 жыл бұрын
Tell the mockers that the King is coming in glory and majesty every eye will see the King
@amedeusmmanga80432 жыл бұрын
YESU nisaidie najuwa unaweza
@Lameckalbano Жыл бұрын
Balikiwa sana dada ester kuwakilisha vyema kazi ya Mungu
@paulwanyama46102 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi hayo mambo unayosema ni kweli kabisa dunia hii saizi mahali imefika ni hatari sana
@tamarali83252 жыл бұрын
Jamani Mungu mwacheni aitwe Mungu. Tunaona kwa mipaka. Barikiwa sana mama Esta. Jacktan Barikiwa sana. Asante Yesu
@stellakaluwa36472 жыл бұрын
Mm kwakweli inahitaji msaada wa Mungu kuelewa haya maoni sijui Ni ndoto sijaelewa
@balthazarkolila3180 Жыл бұрын
Tufuate neno la Mungu,hata awe malaika wa nuru akiwahubiri injili nyingine msimkubali. Manabii wa Mungu wanapewa maono na Roho Mtakatifu.Kaeni macho.
@dainesykalinga71332 жыл бұрын
Amen Amen Barikiwa mno Mtumishi kwa Mungu.
@kizandume30152 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishu WA mungu tuna yajuwa mengi kupitiya nyiye
@LucyMmboga2 ай бұрын
Naomba uniombee mtumishi wa Mungu
@videozaaj10692 жыл бұрын
😥😥😥😥😥😥😥😥😥BWANA YESU NAOMBA NISAMEHE MIMI NI MDHAMBI..nisamehe sana🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@claudia15002 жыл бұрын
Atusamehe sisi sote
@DenisCasey-kh8ub Жыл бұрын
Atusamehe sisi sote niwaovu hooo, Yesu Kristo nishindie hii dunia majararubu ni mengi
@gabrielisack77862 жыл бұрын
Yesu Kristo nikumbuke kwenye ufalme wako.
@bahatijeremiah20812 жыл бұрын
Naichuchumilia taji ya uzima wakati wote.Roho mtakatifu niongoze.
@robertmgogosi84482 жыл бұрын
Asante sana kwa kutufunulia mtumishi🎤🎤🎤
@SallyJesang Жыл бұрын
Amen amen nitafunza watu wa mungu pia nami ivyo ivyo halleluyah
@مريمم-غ3س2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana na Mungu mafundisho ya meningusa sana naomba roho mtakatifu aniongoze Amen 🙏 Mungu azidi kukulinda utukufu wake Mungu ukawe juu yako mutumishi
@ryobanchagwa24992 жыл бұрын
Ubarikiwe mama angu
@amanisaa14262 жыл бұрын
Mimi nkifikiria Yale yanatendeka huko kuzimu na hizo hukumu vile zinatolewa kwa makosa madogo madogo tusiyoyadania kwa kweli Mimi hujiona si kitu kabisa na ata mwili wangu huisha nguvu haswa nikiona vile kanisani wanawake wanavaa na kujipamba alafu wanabidii na kazi za mungu wengine wamezeeka na hawajaacha mapambo na yesu hajatuma mtu huku pwani kenya kuonya watu moyo wangu unauguwa Sana Sana wokovu si rahisi Asante Sana promover Tv kwa kazi nzuri munayoifanya nmeshikia mengi kutoka kwa hii tv kilichobaki ni Mimi mwenyewe kuchukuwa uamuzi na kutengeneza na bwana ,wabarikiwe watumishi wote waliotumika kutuletea habari njema neema ya bwana wetu yesu Kristo iwe pamoja nanyi
@annkim26902 жыл бұрын
Sasa niwewe uende ukawafunze hao kina mama sababu umeijua kweli usinyamaze hata kama ukiweza watumie link ya promover TV
@happymgonja84062 жыл бұрын
Kwani wokovu ni mpango wa Mungu kwa wanadamu au ni mpango wa mwanadamu kwa Mungu.maana kama ni mpango wa Mungu ni kazi ya Mungu kukuokoa na wokovu ni kazi kamilifu ambayo ilishafanywa miaka elfu mbili iliyopita..
@amanisaa14262 жыл бұрын
@@annkim2690 mmmh!!! Hakika haya mazingiza yalivyo huku ata naogopa utaambiwa unajifanya umeokoka Sana wengine watasema ni mafundisho ya uongo juu mungu anavitakasa vitu vyote kazi ipo
@annkim26902 жыл бұрын
@@amanisaa1426 itabidi ukawaambie sasababu unataka kwenda mbinguni sababu usipo waambia Yesu ataenda kukuuliza ufikapo huko juu mbona ulijua kweli nahukuwaambia wenzako
@tedymshisha-dn5ez Жыл бұрын
Hawa dini gani
@caronasambu77622 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu,,umenifundisha jambo kubwa sana. Naomba Mungu anikumbuke sana.
@anyamakyengye74612 жыл бұрын
gx
@rebeccampeta66502 жыл бұрын
Duuh.! Lakn nashukuru kwa kuwa BWANA WETU YESU amekwisha kutuonya kwmba watatokea manabii wa uongo watadanganya, yumkini hata wateule watadanganywa na kupotea! Jaman watu someni maandiko na kuomba, shetan yupo kazn
@peterodongo78472 жыл бұрын
Asante sana Dada yetu kwa ujumbe huu wa nyakati za mwisho , hii ni kwa wote tulioiona na kuisikiliza yatubidi tuokoke na kufuata Yesu!!🙏🙏🙏🙏
@piamgongolwa83272 жыл бұрын
Mmmm Mungu tusaidie,tumeanza kuona manabii wa kila aina kama ulivyosema wewe ndio utusaidie kuwa sehemu sahihi
@lebeka2951 Жыл бұрын
Amina mtumishi wamungu 🙏
@modestshikilana46102 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe mkuu sana, tuombe Mungu kupitia Jina la Yesu atufanikishe tuvuke salama
@rizkngowo31702 жыл бұрын
ESTA masanja mungu wetu ni mwema yesu wetu anahuluma sana isipo kua sisi wanadamu ndio mioyo yetu Haina uvumilivu tuombee sana yesu wetu anasamehe
@dnabwala2 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe daima!
@dadaz46532 жыл бұрын
Karibu kanisan kwetu mbez,,Kwa mchungaji Charles masanja
@PeterMdemwa Жыл бұрын
Barikiwa mama
@iranzitv8112 жыл бұрын
Asantekwa Mungu Yesu atuokowe
@lightymmary22gimailmmarym182 жыл бұрын
Naamini Mungu niokoe nampenda Yesu. Dunia inatutesa
@leki6781 Жыл бұрын
Amina
@ambokilegwakisa35262 жыл бұрын
Nashukuru kwa ushuhuda wenye kumvusha mtu ili amuone Yesu.
@Mariejo123-g2x2 жыл бұрын
Mungu amekutuma Kuombea kanisa la Tanzania 🇹🇿, nami niko pamoja nawe, Asante sana kwa ujumbe wenye upako wa hali ya juu. Ubarikiwe sana mama kwa ujumbe mzuri.
@geitandelwa2992 жыл бұрын
Ameni
@euphemiachaochao31712 жыл бұрын
Shalom nimependa sana mahubiri yako❤️
@anjelanimunga23622 жыл бұрын
Nimebarikiws sana
@evermayala5817 Жыл бұрын
Mungu ashukuriwe
@rosepeter89962 жыл бұрын
Hua nabarikiwa sana na shuhuda za huyu mama.mungu na amlinde na amuongezee maono zaidi ili aweze jufikia kuokoa walio duniani.🙏
@rev.asanterabi74402 жыл бұрын
Ushuhuda wako dada unaendana na maandiko matakatifu. Hivyo naamini umeoneshwa mafunuo ya kweli. Neno linasema tupime mambo yote mimi nimepima kwa mujibu wa maandiko na hazipingani. Mungu akubariki endelea kumtumikia huyu Yesu.
@rosepeter89962 жыл бұрын
@@rev.asanterabi7440 AMEN AND AMEN AND AMEN🙏🙏🙏🙏💞💞💞💞💞💞
@rosepeter89962 жыл бұрын
@Valentina Mremi RC ndio akina nani dada valentina.
@anaanaelle65002 жыл бұрын
Sifa zimurudilie Yesu_Christo milele na milele
@erickstano6252 жыл бұрын
Mungu na aibariki kazi yako na kanisa yako,mtumishi mimi Niko na shinda ya kunyongwa Sana Mara mingi hata huwa naskia vibaya ninaponyongwa
@BongoCryptos2 жыл бұрын
Jifunze kumtegemea Mungu, soma neno lake, imba, omba, achana na matapeli wanaotoa visa vya kusadikika kama hivi ili kuwapata wasiosoma maandiko.
@yusterngoye32822 жыл бұрын
Sali Sana fanya Toba kila wakati Mungu atakutoa kwenye mateso hayo ya kunyongwa
@daddysalha58832 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mama
@pastorcarolicarlostokunmbo8262 жыл бұрын
Asante
@upendokininki68972 жыл бұрын
Kweli mwenye masikio naasikie.ubarikiwe Sana mama
@DenisCasey-kh8ub Жыл бұрын
Yesu Kristo nisamehe dhambi zangu
@alexshora72102 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu. Unapatikana wapi?
@princeprophecies26972 жыл бұрын
Praise God! This is a true strong soldier of Jesus.may God bless you forever
@zanikunene2 жыл бұрын
What is she saying please,any English please share links
@geofreymaghali183 Жыл бұрын
@anjelanimunga23622 жыл бұрын
asanteni sana nimeamini the mafundisho yako ni ya kweli.
@flaviacharles13482 жыл бұрын
Tutapaje kupona tusipoujali wokovu mkuu namna hii! Yesu uturehemu wanao tulio viumbe dhaifu.
@japhetMagesa-jz6ze Жыл бұрын
Amina San mutumishi
@MerinaNkupama2 ай бұрын
Mungu atusaidie kushinda
@imanicharles9362 жыл бұрын
YESU unikumbuke kwenye unyakuo
@celestinakitheka52842 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@mindenlightenment2 жыл бұрын
Hallelujah
@jemimmahjembe87702 жыл бұрын
Hilo neno linanilenga mm nisaidie mtumishi wa mungu
@obedlwinga91942 жыл бұрын
1timotheo 5:24 dhambi za watu wengine zi dhahiri zawatangilia kuingia hukumuni.... Matendo ya mitume 19:17-19 tubu dhambi zako ndugu yangu usiangalie dhihaka za wanadamu Ezekiel 18:2-4=20 usikubali kufa ingali neema ya wokovu ipo Mungu akusaidie sana
@susanwanyoni2492 жыл бұрын
Mungu nisaindie
@mpandawiliam53902 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi, tulip nje ya dar tunapataje hizo CD na vitabu?
@debbiebhappy92992 жыл бұрын
Yesu tusaidie
@sarahkeivaly33512 жыл бұрын
Wakati umetimia, na ufalme wa Mungu umekaribia. Tutubu na kumfuata Yesu kidhati.
@nurumigeyo46252 жыл бұрын
Amina mama nimezaliwa upya kiimani
@pauldotto49732 жыл бұрын
Amen!!! ubarikiwe mama
@emanuelmoses99512 жыл бұрын
Ni vyema tukiwa watu wa elimu sana kabla ya kujidunga na shuhuda. Mafunuo hayatubadilishi, maana ni kama ndoto au maono ni lazima yapite kwenye mizani ya maandiko matakatifu. Mtu ukiwa kwenye ndoto unajiona upo kwenye tukio, ukiamka tu kumbe ni ndoto. Kinachopaswa ni kutambua maelekezo ya Mungu ndani ya ndoto na maono au mafunuo ya namna yoyote ile. Tusipokuwa makini ni rahisi kuwehuka. Maana mambo ya rohoni yanatambulikana kwa jinsi ya rohoni na kipimo sahihi ni Neno la Kristo na maombi. Hivyo tuwe macho wapendwa!! 🙏
@flm15302 жыл бұрын
Mtafute kwanza YESU ndo ujue anajidhihirishag au hajidhihirishi
@amarisajoy26462 жыл бұрын
Thanks alot woman of for teaching as the way and truth amen God bless you
@chulelubella2819 Жыл бұрын
Umenena kweli mtumishi si Kila shuhuda ni za kweli lazima tuzipime katika neno na uongozi wa Roho mtakatifu kiufupi Sina Imani na huyu mama kwanza ajiita Mchungaji wakati biblia imekataza waziwazi mwanamke kuchunga kanisa
@neemamajana3078 Жыл бұрын
Niko pamoja na ww mpendwa, Mungu akubariki sana. Mambo ya shuhuda yanahitaji kuwa makini sana, hasa kurudi kwenye maandiko matakatifu.
@حسن-ح7م1ق Жыл бұрын
Be blessed
@ViolethSanga22 күн бұрын
Mungu nisaidie mimi
@flaviacharles13482 жыл бұрын
Da! Inatisha sana! Yesu tusaidie sana.
@dominicalawisso5492 жыл бұрын
Vizur
@InosentiMoshi-fc4pi Жыл бұрын
amina
@methodiuskikoti58702 жыл бұрын
Kila mtu anaepata maono kama hivyo aheshimiwe maana wapo watu wanaweza kubadilika na kumcha Mungu mara baada ya kuskia simulizi ya hivyo. Haijalishi kama ni maono na maelekezo ya Yesu mwenyewe au ni utashi wa msimuliaji. Ile sherehe ya Mbinguni kwa mtu mmoja kuokoka haijali mtu kaokoka Kwa sababu ya nini.
@puritymusimbi272 жыл бұрын
Be blessed servant of God
@lightymmary22gimailmmarym182 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@Aidahkiliaki2 жыл бұрын
Mungu atusaidie tuu mpaka naogop
@dorcusbitala2 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Dada Esther, nime barikiwa na shuhuda zako.
@leonardrubeni62942 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana Yesu kwa ujumbe mzuri. Nimepata faida kwa ujumbe wako.
@gambonmgaya12862 жыл бұрын
Mungu tusaidie,Amina.
@naketizainabu78032 жыл бұрын
Thank you for the massage from God. And God bless you
@violetnambuye6732 жыл бұрын
Be blessed
@margaretmuoti44492 жыл бұрын
Habari njema ,,Mungu tuogoze tuweze kutenda mema
@GamesimulatorSpinho2 жыл бұрын
Mungu aturehemu sana
@mindenlightenment2 жыл бұрын
Kwakweli
@fatumashabani91222 жыл бұрын
Pole yako wewe unaeamin yesu ni mungu, mungu lazima awe tofauti na viumbe wake, mungu hajazaa wala hajazaliwa na yeye ndiye muumbaj , mfalme wa mbingu na ardhi na kila kilichomo.yesu ni nabii
@elihurumakisimbo1124 Жыл бұрын
Naam, na zaidi ya nabii! Ikiwa wachawi wanaweza kujigeuza paka au fisi, Je, Mungu ashindweje na mwanadamu kujibadilisha kuwa mwanadamu nabii na Mungu? Yesu ni Mungu ila hujamwomba tu ajifunue kwako uuone utukufu wa uungu wake! Mimi ninaamini kwamba Yesu ni Mungu.