Amen,Glory to God ,Hongera sana Kwa maono haya ,Yesu analipenda kanisa
@LoFi_1202 жыл бұрын
21:53 naomba ufafanuzi zaidi kuhusu kinyonge (ufunuo 21:27), kinyonge ni kipi? Kwa mantiki ipi? Afya/imani au nini? Wapendwa katika BWANA naombeni mnisaidie. (maelezo yenye mifano yatapendeza zaidi).
@adriannebatakanwa69042 жыл бұрын
Barikiwa sana Dada Esther. Mungu Akutie nguvu.
@dsshirima772 жыл бұрын
Duh
@sophiamakani61332 жыл бұрын
Amen 🙏
@lilianluhasi50532 жыл бұрын
Wamama wenye uongozi makanisani naomba tumpende Mungu tuvae kulingana na mapenzi ya Mungu, tuwe mifano bora kanisani ili waumini wajifunze toka kwetu, jina la Bwana lihimidiwe
@hariethmngandile1956 Жыл бұрын
Ĺhv
@dianalucas650610 ай бұрын
Ameen 🙏
@lilianluhasi50532 жыл бұрын
Barikiwa sana ESTA kutuletea ujumbe toka kwa Bwana Yesu, watu wote tuliompokea Yesu Kristo wa kanisa lolote ministries, pentekoste, TAG, EAGT namengine mengi, wachungaji, maaskofu, wainjisti, na viongozi wote, waumini, tupaze sauti zetu kufundisha hili bila kuogopa ili tuweze kuingia mbinguni, asante, roho mtakatifu atutie nguvu katika jina la Yesu Kristo
@paulokiwango21 Жыл бұрын
Bila kumpata eliya itakua ngumu maan hapo yatakiw injili kali c ya upole kwkweli
@ShukuruDaudi-ue6in9 күн бұрын
Amen 🙏 🙏 Asante MUNGU akuzidishie na akubariki,BWANA YESU KRISTO atusaidie sana 🙏 😭🧎♀️🧎♀️
@geitandelwa2992 жыл бұрын
Waimbaji wa injili muje huku YESU ANA HURUMA SANA TUMULUDIE YESU TUACHE DHAMBI ZA MWILINI NA ROHONI YAANI UBISHI SIO DILI
@trophywilson72112 жыл бұрын
Yaani labda Matha Mwaipaja ndo naona kanyoa nywele tu ila kucha kapanga Rangi kwa saana tuu
@yungharry22042 жыл бұрын
Yesu tusamehe dhambi zetu tulizozifanya kwa kuwaza kwa kunena na kutotimiza wajibu kwa kujua na kutokujua kwa.kusudia na kutokutusudia utusamehe na ututakase na dhambi zetu zote kwanzia ukoo vizazi na hata Kwetuu utuongozee na Roho wako mtakatifu utukumbuke katika ufalme wako kwa damu ya Yesu na jina la Yesu usituangamize kwa ajili ya dhambi zetu tunakutegemea Amen
@penuelfullsalvationchurch33502 жыл бұрын
Hafu mnaoandika jina YESU Kwa kifupi naomba Leo iwe Mwisho ..na jina MUNGU liandikwe Kwa herufi kubwa..
@lucykapinga3692 жыл бұрын
kabixa kabixaaaaa
@nifamalandi53042 жыл бұрын
Mi Pia naona si vyema wateule kuandika jina la Yesu kwa kifupi.ila upande wa herufi kubwa au ndogo sidhani ka ina tatizo Cox Mambo na herufi ni utunzi wa kibinadamu.nguvu ya neno iko kwa kutamka sio kuandika.hayo ni maoni yangu.tubarikiwe tunapozidi kujifunza na kubadilika tunapomsubiri Yesu kufunuliwa tusijeachwa.Yesu atusaidie sote tulio safarini na asaidie wengine ambao bado waingie safarini kadri neema ingalipo sababu inakatika wakati wowote
@lucykapinga3692 жыл бұрын
@ale sale Pika hata yanazi yakoo
@rosemarygeorge20642 жыл бұрын
Asante sana kwa kutuelimisha kwa herufi hizi YESU,MUNGU hili sio (god )mimi nasaidika saana mbarikiwe
@rachelmaina26802 жыл бұрын
@@rosemarygeorge2064 hujambo nalikuona Nakuru crusade ya new life,a great worshipper ur,all groly to GOD
@luciawanyonyi46402 жыл бұрын
Asante asante sana dada Mungu akubariki hayo mavunzo nilikuwa nayatafuta Sana nakufwatilia nikiwa Kenya
@lovemajogolafia5839 Жыл бұрын
Sasa nimeelewa kwanini Yesu alisema njia iendayo uzimani ni nyembamba sana na watakaoingia ni wachache...Eeh Mungu tupe neema tuuone uzima wa milele.
@purity2342 жыл бұрын
We have listened from Kenya,God bless you so much❤️kweli,njia ya uzima ni nyembamba sana.May God help us all
@dianaanyova40262 жыл бұрын
Ahsante sana Mtumishi Esta. Yes tuwachane kusuka nywele,kuongezea braids. Makucha ya bandia Make up or mafuta ya kubadilisha rangi. Tufunike vichwa zetu na vitambaa. Tufunike our bodies na nguo refu,sio kuvaa nguo fupifupi.
@trophywilson72112 жыл бұрын
Nguo huku Wachungaji wanasema neno linasema wafunike private parts tu na Culture inawaruhusu kutembea nusu uchi sasa tutawasaidiaje ??
@rehemamalaki24002 жыл бұрын
Imetupasa kufunika kichwa kwa ajili ya Malaika. 1kor 11:10.
@josephmutemi74942 жыл бұрын
BWANA akubariki sana dada ,na uemdelee mbele na kazi ya BWANA YESU KRISTO.
@mariahyera37372 жыл бұрын
Asante mtumishi. Nimejaribu sana kuwaambia wapendwa kuhusu mapambo, nywele bandia na vipodozi. Sijaambua kitu zaidi ya kutengeneza uadui hadi kwa Baba mchungaji. Nimebakia kuomba Mungu aongee nao hata kwa ndoto. Kuna siku mahubiri yalikuwa ni kutetea hayo nililazimika kuondoka.
@eddyjunior28812 жыл бұрын
Barikiwa Ila usiache ibada
@Faraja20232 жыл бұрын
Na ndicho alichokisema mtumishi Ester kwamba ukigusia Tu nywele huo ni mwiba
@lovenesswalter66502 жыл бұрын
Tafta makanisa yanayoendana na ww hapo utabakia kukwazka sana..
@elizabethhaule54742 жыл бұрын
Usichoke
@miria6592 жыл бұрын
Wengi ni ngumu kukubali kuacha mapambo
@shukurumwinami49582 жыл бұрын
Haleluya. Hakika Promover be foward in deed untill Jesus he will come.
@selinageogre28812 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu naogopa na kutetemeka Mungu anisaidie sana
@NeemaMrisho-y5o Жыл бұрын
Jmn swala la kujiremba wa mama ujumbe tumeusikia uchaguzi n wetu Mungu anatupenda sanaa
@BM_Smart2-68 ай бұрын
Ujumbe mzuri sana wa baraka ukabadilishe maisha yetu kama Bwana Yesu alivyotuita. Amen
@gmdalalimchamungu_tz11702 жыл бұрын
Asante sana kwa ushuhuda huu na maelekezo haya, nimepokea kwa moyo wa unyenyekevu kabisa na nimaombi yangu mbele za Mungu katika Kristo Yesu anisaidie kuishi sawa na yaliyo mapenzi yake makamilifu katika maisha yangu. Asante sana Dada Esta mtumishi mzuri wa Bwana Yesu.
@marianaduncan63302 жыл бұрын
Ameeen BWANA YESU KRISTO atukuzwe milele na milele,atupe kushinda majaribu ya dunia
@marymbodzembodze27072 жыл бұрын
Amen Amen barikiwa mtumishi wa BWANA na Asante kwa mwendelezo wa ushuhuda
@anastasiamdolindo75242 жыл бұрын
Mungu atusaidie maana wanawake weng tupo kwny kifungo cha mapambo tunajal sn muonekano wa nje
@trophywilson72112 жыл бұрын
Hasa Africa is tooo much na hasa Tanzania,Nigeria,Kenya na Congo,Burundi na Rwanda ahueni saana
@ministergadi75122 жыл бұрын
Mungu alisaidie kanisa lake na ahsante Yesu Kwa upendo wake kwetu @Promover Mungu awabariki
@ephraimkingdom82952 жыл бұрын
Dada ester,Mungu akubariki Sana kwa kuhubiri injili ya kweli,Mungu anakutumia kuweza kulibadilisha kanisa lake,naomba unikumbuke kwenye maombi ili Mungu aweze kunijalia wokovu na kunijalia moyo wa nyama ili niweze kumtumikia Mungu katika roho na kweli.Mungu akubariki Sana.
@carendeborah56872 жыл бұрын
Very Saad,,ubaya wengi wetu Wana masikio bali Kiburi ndo mingi.May God have MERCY upon us na turekebike tufate njia zake.Amina
@marianaduncan63302 жыл бұрын
Haleluya haleluya jina la YESU KRISTO litukuzwe milele na milele
@ephraimkingdom82952 жыл бұрын
Mungu Asante kwa ujumbe huu,nipe neema ya kubadilika na kukuabudu wewe katika roho na kweli
@katwigabank52972 жыл бұрын
Ee Mungu wangu unilehemu Mimi na familia yangu.
@ephraimkingdom82952 жыл бұрын
Mungu nibadilishe kwa ujumbe wa Mtumishi wako ester
@rmaryp62692 жыл бұрын
Nilikua nasubiria sana. Mungu awabariki sana Promover tv.
@marrymsesa85332 жыл бұрын
Mungu wangu nisaidie uniponye mm na watu wangu ili tuuone ufalme wa MUNGU
@leahenockmrina53812 жыл бұрын
Shalom mtumishi wa Bwana wetu Yesu Kristo napokea Esta
@lucywilson58752 жыл бұрын
Amina nimebarikiwa sana Mtumishi wa Mungu. Mungu atusaidie
@EmmaroseJoseph2 ай бұрын
Namshukuru MUNGU mno kupitia ushuda huu na shuhuda zingine maana zimenijenga na kuniponya
@beatricenyiro59132 жыл бұрын
Amen ubarikiwe mtumishi wa MUNGU. Naomba MUNGU asaidie family yangu
@fedhajoseph76872 жыл бұрын
Asante sana mama shujaa kwa ujumbe mzuri mwenye masikio asikie Neno Roho asema na makanisa Mungu akuongezee mjakazi.
@marymwapiya12742 жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana, ila injili hii ngumu ukitaka kukosana na watu waambie vitu hivi ,wanakujia juu siyo cha mchungaji wala washirika wanasema hatupo chini ya sheria na torati bali tupo chini ya Neema .lakini ukisoma Mathayo 5:17 inasema hakuja kuitangu torati bali kuitimiliza wapendwa ni kazi kuviacha vitu ulivyo vizoea Mungu tu atusaidie .
@tabithaibrahim84932 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa mafundisho mazuri naamini Munguanasema nasi ili tupone.
@tabithaibrahim84932 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwaujumbe mzuri.
@marianaduncan63302 жыл бұрын
Watu wameshazoea uongo hivyo ukiwaleta ktk kweli wanaona ngumu ,lkn hakuna Raha kama hii ya kufuata kweli ya YESU KRISTO ni rahisi mno ,Wala si ngumu kabisa
Mama nakushukuru kwa ujumbe wako, mwenyezi mungu atusaidie maana hapa tulipofika njia imekua kama uzi wa sindano
@hope-eversam12782 жыл бұрын
Tunapokea Mtumishi, Mungu tuwezeshe kuenenda ktk njia zako, kwa akili zetu hatuwezi. Mu gu azidi kukutumia
@FatimahAlshehri-gt1gj Жыл бұрын
Barikiwa sana dada wetu esther kwa hiyo mafundisho
@rosepeter89962 жыл бұрын
AMEN;🙏...nazidi kufwatilia na kubarikiwa zaidi.
@markomadundo7782 жыл бұрын
Ubarikiwe mwaya
@isayanyingi66222 жыл бұрын
Nazidi kubalikiwa be blessed promover tv
@tabithaibrahim84932 жыл бұрын
Ubarikiwe mwanangu Mungu akutie nguvu
@PastorPeter002 жыл бұрын
Namtukuza Mungu Sana kwa ajiri ya ushuhuda huu mkubwa Sana na Neno la Uzima. Bwana Yesu azidi kuibariki Madhabahu hii ya Promover Tv hakika tunapona sana
@faithkipilimba79982 жыл бұрын
Mungu atusaidie wanawake
@josephthuo13822 жыл бұрын
True sermon of today many people and prophet May not like
@gracekinyaki23762 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana kwetu
@ephraimkingdom82952 жыл бұрын
Mungu nijalie wokovu wa kweli
@gracekinyaki23762 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana kweyu
@gosbertmuta54212 жыл бұрын
Kiukweli mamangu esta natamani kuonana naww ana kwa ana nikushike mkono wako tu basi hapo hata nkifa saa hyohyo naamn bwanawetu YESUKRISTO atakua ameiondoa kiu yangu juu yako, nampenda bwanayesu nampenda Sana Sana na nnaishiwa maneno yakuongea dadangu esta hongera Sana Sana uendelee ktk utimilifu huuhuu mama
@daudijacob7377 Жыл бұрын
Mpe Yesu Maisha mshike Yesu tu utatoboa
@clarahmirriam16482 жыл бұрын
Amen barikiwa sana
@miria6592 жыл бұрын
Jana wifi ilipotea nikiona huu ujumbe bt nashukuru God nimemalizia God bless all of you including promover followers Yani family
@AngelAfrica-w5x2 жыл бұрын
Amina YESU ni Bwana
@tatumluv60542 жыл бұрын
Amen Amen
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Jamaniii mini ni wa huruma Ila hatari mchezo kabisaaaa , hallelujah
@LaurenciaMarcoАй бұрын
Mungu hakubaliki sana mtumishi wa mungu hakulinde sik zote
@japhethdastan75422 жыл бұрын
Amina mtumishi Kristo Yesu atupe rehema tumuishie yeye
@MecktridaAntony-xk6dl Жыл бұрын
Amee,🙏🙏🙏 mungu atusaidie tuzishinde ila za shetan
@marievirginienahimana18262 жыл бұрын
Amen Mungu atusaidie
@valenakomba92182 жыл бұрын
Bwana Yesu atukuzwe Sanaa.
@evarlynejeptum39612 жыл бұрын
Thank you mam i have learned something tell as more
@joyceisack19082 жыл бұрын
amen mtumishi
@oduoratieno26132 жыл бұрын
Thank u mum for information God have mercy on us.
@neemamarko1762 жыл бұрын
Amen Barikiwa 🙏🙏
@alineciza63732 жыл бұрын
Ubarikiwe mama
@berthabosco51222 жыл бұрын
MUNGU awabaliki sana
@estasage4982 жыл бұрын
Glory to our one and only God and lord
@josephmutemi74942 жыл бұрын
Amen Amen Ameeeeeeen
@rachelsoi47962 жыл бұрын
Mungu nikumbuke moyo wangu mgumu kuacha
@trophywilson72112 жыл бұрын
Yoo nimesikia uchungu kwa ajiri yako,Toka nije Marekani nimeacha Asante Yesu
@milkamalavaga1002 Жыл бұрын
Mungu atuponye
@efesosanga6522 жыл бұрын
Mungu azidi kuyafunua mapenzi yake
@gracemtaliwa63822 жыл бұрын
Jmn nimejifunza sana
@farajimtengela85002 жыл бұрын
Mnafanyakazi nzuri sana Promover TV, Mungu awabariki sana. Naomba kuuliza swali:- "Nilisikia nabii mmoja anasema kuna Malaika wanawake na Malaika wa kiAfrica, naomba ufafanuzi juu ya hilo mtumishi....."" Ahsante!!!
@williamnamende10232 жыл бұрын
Ndugu bibliahaisemi kunamslaika wa kike hilo neno kalitoa wapi?
Sawa hakuna awezae kupinga neno la Mungu kama kweli ni yeye aliyesema na Wala SI maoni yetu wenyewe, kinachonishangaza wakati Bwana Yesu alipokuwa hapa duniani hakuangaika na huyu kavaa Nini amejiremba vp Bali alishughulika na dhambi, hakuwakataza wanawake wasijipambe Bali aliwaonya juu ya dhambi, cjaona mfano wowote tkt Biblia kuwa Yesu aliwakemea wanawake ktk kujipamba kwao lkn alionya Kwa habari ya kurokumuamini Mungu unafki uchoyo uzinzi na Mambo yanayofanana na hayo lkn nadhani mapambo Kwa wanawake haikuwa tatizo Kwa Bw Yesu ndo maana hakushughulika navyo
@IvonaMunazi Жыл бұрын
Kiukweli MUNGU atusaidie sana
@aidaraphael19562 жыл бұрын
Asante YESU wanguu.
@yesfridaasheri86712 жыл бұрын
Mungu akutunze mtumishi
@joyanyango86822 жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@pericykiko61982 жыл бұрын
Barikiwa
@ElinatEliamin-fq9dq Жыл бұрын
Kweli mungu tusaidie tuvuke salama kwenye hii safari ya kuelekea mbinguni🙏
Sivalii tena vitu badia kwa mwili wangu tena. Wacha ni hishi kwa MUNGU ilinikaupate uzima wa milele
@stamilinchimbi65472 жыл бұрын
Jactan usisahau yale maanga saba yanayozuiya majibu ya maombi
@JohnvicentVincentjohn-ig1on Жыл бұрын
Mungu awe pamoja nawe
@lovenesswalter66502 жыл бұрын
Kuna ck nliwaambia watu ktk grop hv la wanawake walinibishia sana 😭😭.. Sasa nawaza hao wote watakapo kufa watakufa kwa style hii.. Mbona Inasikitisha sana
@gosbertmuta54212 жыл бұрын
Ukimwangalia mtumishi esta unauona uchungu ndani yake, lkn anatupatia ujumbe tu ss tuliotayari kuufata km uko tyr fata ndg yng achana na wagumu walioandkiwa jehanamu
@lovenesswalter66502 жыл бұрын
Amen nmeshawaacha mtumishi
@PastorJoshua_Njombe2 жыл бұрын
Mungu wangu somo hili nimeona Roho mtakatifu ananisukuma kulifundisha baada ya mtu mmoja kuniuliza swali hili. Nadhani kesho nitaliweka KZbin,. Swali aliloniuliza ni hili....Shalom mtumishi nilikua na swali hivi kuvaa vitu kama hereni, saa ,cheni na pete za ndoa ni dhambi? Vitu hivi vyote ni Dhambi maandiko yapo wazi na Mungu alinifunulia hata katika maono kuwa ni Dhambi
@obedlwinga91942 жыл бұрын
Mapambo kwa asili hayakuwa kwa ajili ya wacha MUNGU bali kwa mataifa yasiyomjua mungu sasa tafakali kwamba mtu anavaa heleni ina maana gani ? Hosea 2:13 inaonya kujipamba
@lovenesswalter66502 жыл бұрын
Dhambi vyote acha mtumishi
@rosejalega92132 жыл бұрын
God bless you mama Esther
@leahenockmrina53812 жыл бұрын
Shalom Promover wote kazi ya Bwana mnayofanya ni kubwa sana mnaokoa nafsi nyingi
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@urbanmission30722 жыл бұрын
Kwerii mama etue dada esta
@neemamushi24342 жыл бұрын
Bwana awabariki na kuwainua zaid Promover tv
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@elizachama12292 жыл бұрын
Amina dada Ester,,, kutumia lotion ya kawaida2 ambayo haibadili ngozi inaruhusiwa?