Sasa mkawanyonge msiwaweke ndani mkawalisha bure kawanyonfeni msituwekee waovu kama hao
@mosesmacha10802 ай бұрын
Mpaka mama asaini
@TonyMasterog2 ай бұрын
😢Poleni sana wana family
@delsonandrea52232 ай бұрын
Hv kwel wananyongwa maana sijawahi ona au sikia
@زيتونتنزانيا2 ай бұрын
Saşa kuna raha gani HATAKAMA mlilipwa mfanye hilo tukio mmepata nini
@johnsonmtemi23902 ай бұрын
Amewatapeli wenzie huko anawaletea majanga watu Haya mambo pesa ukijifanya wewe unaijua pesa sana kuliko wenzio huchukui round
@delsonandrea52232 ай бұрын
Ukiua uuliwe kabisa safi sana
@Latifa123Latifa122 ай бұрын
Sawa sawa
@JamesKondo-ov9fk2 ай бұрын
Jambo jema San kuwahukm ,ila wabakaji Bado
@faustinedeogratias43372 ай бұрын
Kwa sababu si askali polis,
@Hapygideon2 ай бұрын
Tatizo hatuoneshwagi wakinyongwa wattuoneshe hatukubari safari hii
@athumaniamiri8802 ай бұрын
Khaaaaa😢😢🤔🤔🤔
@Hapygideon2 ай бұрын
@@athumaniamiri880 eeh isiwe tuu story nawachukia sana watu. Wa dizain hiyo,,,ndio maana huku iringa hatusubiri polisi wakifika wanakuta mtu wenu amekwisha habari yake,,,
@Allybinamour2 ай бұрын
hukumu muafaka,muuaji na yeye auliwe.
@jaqlinemanyama2 ай бұрын
wale wa naomba maji mbn kimya
@elizabethismile68272 ай бұрын
Ila sijawai kuskia wamenyongwa wanaohukumiwa kunyongwa😂 hapa tz
@Kutaila992 ай бұрын
Labda wanyongwe kwa kamasi
@AyubuChacha-u6u2 ай бұрын
Mbona hawa wamewai kubatikana haraka je waoteka watu yaan wanaotekwa mbona hawaonekan fanya vizur kwa wote basi maana wote wana haki kama soka na wengine.
@FatimaSalim-b6q13 күн бұрын
Huyu marehemu dada yake yupo serikalini ndio maana kesi yake imefanyika haraka
@LinahMgweno2 ай бұрын
Afazali kabisa
@sizyathom-qq5cx2 ай бұрын
Awae kwa upanga naeata kufa kwaupanga.
@justardzelphine65262 ай бұрын
Kunyongwa hadi kufa sio ADHABU, ni uonevu na kumfanya MUNGU hana uwezo wa kutoa roho
@zully7562 ай бұрын
Ni kuuwa mtu si uonevu?
@LinahMgweno2 ай бұрын
Wauwawe tuu kuuwa mtuu sio mchezo wanyongwe tuu
@othmantv26542 ай бұрын
Wao pia wamemuonea mwenzao wamemfanya mungu hana uwezo wa kutoa roho
@HashimYahaya-hd3zm2 ай бұрын
Anaeuwa nayeye auwawe
@canisiusibrahim98562 ай бұрын
Huyu si ndo alikua anawaoa wanawake wenzake bora walimsaidia kufikishwa mbinguni
@LinahMgweno2 ай бұрын
Nawao Leo wanafikishwa mbinguni 😂 kwani alikuwa akiwalazimisha njaa zao
@SarapiaMfoi2 ай бұрын
Kwani huyu marehemu ni mwanamke
@AshuuuBakari2 ай бұрын
Huyo mwanamke aliyemua ndio alipanga mauaji hayo
@AshuuuBakari2 ай бұрын
@@SarapiaMfoiyah alikuwa Tom boy na huyo aliyejifunika nguo ndio mkewe