The Doctor needs an award for the credible job done on the cut wounds
@kenyanboy76275 күн бұрын
ukipata puncture in an unsafe place,keep driving,usishuke ata kuangalia,haribu mguu enda ununue nyingine,life is more precious than your rims & tyres
@nicholasonyango62174 күн бұрын
I support
@abdurahimabdulkadir39266 күн бұрын
Waah poleni Sana kwa tukio hilo polisi wamelala Sana kwa kazi yao
@derokoinange46545 күн бұрын
@@abdurahimabdulkadir3926 kazi ya polisi si kulinda barabara
@abdurahimabdulkadir39265 күн бұрын
@derokoinange4654 fafanua Niya nani
@simonnjaumumbi74775 күн бұрын
Hawajalipwa
@derokoinange46545 күн бұрын
@@abdurahimabdulkadir3926 polisi wanalinda raia si barabara natumaini umelewa hapo
@PrinceOlenja5 күн бұрын
polisi wa traffic wako busy wanachukua 50 50 huku nje watashughulika usalama saa ngapi na polisi wengine wanatafta next victim wa kutekwa
@pattojm76034 күн бұрын
I was on holiday in December and decided to visit Kericho from Nairobi. Reluctantly used that road instead of Westland route. We stopped at view point before kimende and realised our back tyre is losing pressure. Checking it we saw a massive nail protruding from the tyre. Luckily we drove to the nearby total petrol station where we fixed it and continued with our journey. I was super suspicious of it because it’s not a normal nail you find in the highway. Reading this now I realised we narrowly escaped a robbery incident! Quick recovery to the victims and everyone be alert and if you notice a puncture do not stop until you reach a safe area like petrol station or police station!
@lucymwai76456 күн бұрын
Mbona hawa Vijana wakatakate watu, Si wachukue kila kitu kuliko. Kuwawacha watu ni machungu jameni 😢😢😢. To be sincere this is very bad indeed.
@boltolal60496 күн бұрын
Hao Wana Abduct Watu sii wapelekwe waabduct hawa wezi😢
@patriciawanjiru31546 күн бұрын
I wandaa
@Aggreyobati-gu4ng6 күн бұрын
😂😂
@victorious5416 күн бұрын
FACTS!
@julicenyabaro52915 күн бұрын
🎷🎷🎷🎺🎺
@derokoinange46545 күн бұрын
@@boltolal6049 utapata babako ni mmoja wa watu wanao teka watu nyara
@ettienewand98506 күн бұрын
This family is lucky to be alive
@annekamau93025 күн бұрын
God thank you they are alive. God save our Nation.
@clementmwenda70345 күн бұрын
I personally experienced the spikes but good enough i kept on driving till i arrived at the Ngong round about.The morning cyclers and runners have also suffered alot especially at Ngong forest.
@faithpius64016 күн бұрын
Poleni sana...nawatakia uponyaji wa haraka..police wakite kambi hapo..bila shaka watawashika.
@DorineAkee6 күн бұрын
Hapa pistol itafanya kazi.risasi kwa mkundu wao.
@abdulazizkilai72856 күн бұрын
Hapo umesema Hao hakuna kuwaonea huruma maliza headshots
@HisMajesty645 күн бұрын
Wapi??😏
@themusicalchief5 күн бұрын
risasi kwa tako😅😅
@codedrap72255 күн бұрын
😂😂😂
@kenyanhodophile5 күн бұрын
True
@SusanKaranja-tt8lq6 күн бұрын
Poleni thank God you are alive
@MrJahbwoy6 күн бұрын
Yet we have policing concentrated on some demos and politicians wishes....So saaad
@webmeister50006 күн бұрын
Hawa wezi dawa cao ni moja tu- Risasi, tena kichwani!
@geoffreynyawina84126 күн бұрын
Southern bypass immediately after the around about of ngong' rd towards Mombasa rd imekua noma sana before ufike way brige ya kwanza wezi hao Wako hapo kwanzia saa tatu asubuhi hadi saa sakumi na mbili jioni na ni vijana wa hapo lenana na kibera slums.surprisingly kuna patrol hapo 24/7 na makaro wa motobike from karen police station na maboys wa subaru but bado hakuna tofauti.
@musyokastephen5086 күн бұрын
So ruto has sponsored wezi ili isemekane ni wezi wanafanya abductions
@adamjaama70866 күн бұрын
Wako kila siku ama?@Geoffreynyaw
@loisemartha2936 күн бұрын
Enyewe polisi wamedoze
@lydiaawiti43003 күн бұрын
This is where I was forcely snatched my phone, Id and bag in 2022. I thank God for sparing my life 🙏🏿
@alihoka_0016 күн бұрын
Aki pole mamaa
@simonwainaina73604 күн бұрын
Seriously.....yaani tumefika hapa?? Lord have mercy
@Melissa_Kanini19 сағат бұрын
Sasa naogopa watu
@johnvernon75775 күн бұрын
Poleni Sana kwa waadhiriwa..noma sana
@hillarytom19316 күн бұрын
Even Thika road slightly past China square
@johnngugi50976 күн бұрын
There is normally two subarus parked at the interchange of ngong Road and once in a while pale interchange for Dagoretti Market as always thought wana chunga unless they have any other business at that point then this very bad.
@joseO123265 күн бұрын
Hongo tu
@WakiliTonge5 күн бұрын
This is so sad, may healing be the portion of the victims. Government should do it's working of securing the nation
@brysonmwakina5 күн бұрын
Hawa wezi wataenda ahera tu
@Scars4166 күн бұрын
It has reached a point where more people should be armed.
@mahmudmugarura21756 күн бұрын
Haiti itume police Kenya kupambana na wakora wa mapanga.
@PriscahAndisi-hw5gs6 күн бұрын
Quick recovery to all the government should do something
@canon50596 күн бұрын
The kasongo guy only thrives in chaos. So long as he's there expect more of such.
@kelvinpamba80824 күн бұрын
..na hawa askari wengi huzunguka huku daily na kushinda kuchunguza magari za watu..security huwa wanaachia nani aki😢😢😢😢
@deeruta98942 күн бұрын
Uchumi wa kenya ni ngumu pesa hakuna ndio unaona ujambazi unazidi sana kenya
@abudmohamed9842 күн бұрын
Our roads ziekwe CCTV itasaidia
@wechwao5 күн бұрын
I happened to me hio barabara ikijengwa less than a minute walikua washaa beba kila kitu mpaka radio ya gari
@valentinanduku87186 күн бұрын
Cha msingi serikali wekeni hidden cameras huku kwa miti ndio muwashike kiurahisi
@SONNIE-e2b5 күн бұрын
This is so bad aki Gai God😢😢😢
@davizambale37796 күн бұрын
Funny enough government will deny
@peterk27144 күн бұрын
Waa nilipata mawe kubwa near Olesereni kumbe niliponea
@MaureenMudaki5 күн бұрын
Pole kwa hiyo family kenya haina security aki Mungu atuonekanie
@newtonsimba79304 күн бұрын
Pole sana. Police do undercover and deal with this issue with finality.
@kamwende6 күн бұрын
Hao ni vijana wa kibira
@Susanne-njoroge20 сағат бұрын
We need to pray for our Nation as a whole, God will heal us, we have failed to acknowledge our weakness, and repent our sins which is cause by pride, we have ignored that God is on the throne and he alone is to be worshiped We wish you who are injured quick Recovery and we pray to God our father to catch that Spirit of terrorisim in Kenya and especially that Bypass area in Jesus Name 🙏
@simonomolo10163 күн бұрын
Wasikamatwe. Wauliwe lisasi kwani ikonini
@jacksonruitiari92456 күн бұрын
N yet kuna gava😢😢
@Aggreyobati-gu4ng6 күн бұрын
Tunalipa ushuru ya Nini jamaneni
@UserIfgtwon2316 күн бұрын
Hio ni jamaneni certified
@f1racing_246 күн бұрын
Instead of the security apparatus dealing with such criminal gangs, they are busy abducting young Kenyans. Bure kabisa!
@maxwellayoo71385 күн бұрын
Wapi DCI??????
@Don.Aw67526 күн бұрын
Yet the road have alot of officers in subaru am sure they collaborate
@adamjaama70866 күн бұрын
Niko pango Station @Don _Aw6752
@johnngugi50976 күн бұрын
Am also thinking of the same,juu mimi mostly I will use the southern bypass to home even late at night assuming since wako hapo through out its safe to drive thank God I have never been in any attack but from now wacha I use the long route
@clementmwenda70346 күн бұрын
A year ago they used to mold some nails pointing upwards with tar to act as spikes,this would inturn cause a tyre burst.
@NJOROWAKANAIRO2 күн бұрын
Iyo tabia ilianza kitambo....
@NJOROWAKANAIRO2 күн бұрын
Ile pressure iko bypass...ulizeni ocpd na divcrime
@SHEYGZMAN2 күн бұрын
Hawa watu wanacheza watauliwa wote kuna wenye walipigwa risasi some times back hawa hawamalizi hii jan na utaskia
@rihkaa62896 күн бұрын
since the government has known there is a problem they should find away of solving it,, it's either police take patrol in that area or close the road
@HusseinZaid-fu8yv5 күн бұрын
Alichangamkiwa haraka haraka😂😂
@wanyonyirobert27356 күн бұрын
Rutos goons should be dealing with this not cartoonist
@Nicholas-yr2sq5 күн бұрын
Pin location Ni wapi hasa, plis give details well, this is just a small issue🤔
@KENYANQUEENOFFICIAL6 күн бұрын
😮😮😮😮😮😮 nipitieni guys pale kwangu
@imayasamson67556 күн бұрын
Kibra hot spot
@giftedfingers30275 күн бұрын
Serikali iko wapi
@micaangote21385 күн бұрын
The family was lucky
@RoseKanini-hx5re6 күн бұрын
The government should provide security all night
@letters-ux2un6 күн бұрын
We are dealing with alot,,
@beatriceotunga6 күн бұрын
I tell you. Being a Kenyan has become traumatizing 😢
@WycliffeMemba6 күн бұрын
Very unfortunate in this digital era. We MUST have high way road cameras.
@BrotherAbbass6 күн бұрын
Cannot happen in the republic of corruption
@kenyanboy76275 күн бұрын
cameras don't stop crimes
@billalphilip57765 күн бұрын
Rudi america
@danesomosa28036 күн бұрын
Is there away one can posses a firearm in kenya for self protection?
@IrushKansas6 күн бұрын
There is a way but it’s very hard.
@IrushKansas6 күн бұрын
They would rather assign you two askaris than give you a fire arm.
@real2kb6 күн бұрын
you can apply for a gun license certificate
@JohnMwangi-jv3pp6 күн бұрын
It's easy if u are politician or u hv deep pockets
@mosesnjenga27675 күн бұрын
Yap, but it's an expensive and a daunting task
@rogerslubanga59552 күн бұрын
This what government should be concerned about not abducting innocent youth
@brianmusyoka64696 күн бұрын
What is the work of the CCTV cameras in that Highway
@leahgituku30356 күн бұрын
Hawa wezi wangechukuwa tu simu na doo kuliko kukata watu na mapangalee kenyas we have suffered
@angelamutemi96626 күн бұрын
Hao hata hawafai kupelekwa jela watatoka waendelee na shughuli. Wanafaa kupelekwa kusalimia shetani
@sylvesterkithiia37136 күн бұрын
Hawa washikwe wapelekwe National park usiku tu...chakula tamu sana kwa Simba na Wajakoya 😂
@edwardkimeu85914 күн бұрын
Alafu upate polisi wanajua na wanakula pamoja nao,,,,kenya police si wa kuaminika siku hizi
@MA-ht7po5 күн бұрын
Serekali iko wapi?bure kabisaaa ruto
@kimani_nbo6 күн бұрын
Quick recovery. Police needs to swing into action ASAP
@Wilky2546 күн бұрын
Police wako wapi sasaa???... Where is security!!!!!!! 😳 😳 😳 😳 😳
@alvinzack5 күн бұрын
Dci kama wanataka kupoga tizi kidogo.....ndio hii location