#StKaroli#Kesho#Hiyo.Channel Administered by Huru Digital Instagram: / hurudigital
Пікірлер: 95
@Triphonia-m1q Жыл бұрын
Niseme nini kwenu?mmetia fora kwa uzuri,shukrani za pekee kwa mama kijacho ni mfano wa kuigwa kwa wanawake wanaosingizia hali kama hiyo wanashindwa kumwimbia mungu,mamakijacho ubarikiwe na atakayekuja awe mwimbaji zaidi yako
@juliagosbert92214 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki utume wenu. Nimeipenda sana
@nkambasamson94942 жыл бұрын
Kazi nzuri Sana 🙏🏼 Mwenyezi MUNGU awabariki na hongereni Sana kwa utume 🙏🏼🙏🏼🙏🏼❤️ I'm very proud to be Catholic 🙏🏼🙏🏼❤️
@MartinDismas-ou5oy11 ай бұрын
Ni kweli kabisa MUNGU yupo tu! Asanteni sana Wanakwaya mnatufariji kweli.❤❤❤😅😅😅❤❤
@lucykazohera86212 жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa kunifariji kwa wimbo huo nimtazame Mungu so shida nilizonazo amina
@briankaruku18163 ай бұрын
Kweli hii inanijenga kiroho keep up
@sizahaule91242 жыл бұрын
kazi nzuri mno, step nimezielewa i love catholic songs st karoli you have made it
@bibianagozibert9254 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana na awazidishie nimeupenda sana wimbo huu kiukweli nimzur sana na umegusa watu weng sana
@gracebenedictor54032 жыл бұрын
Hongeren Kwa utume nimebarikiwa sana na huu wimbo bigp sana
@nivardmwageni21712 жыл бұрын
Shikamoo Deo nkoko! Shikamoo wanakaroli Lwanga Tandale... Mmenibariki vya kutosha.. hongereni sana.
@gabrielmwita86072 жыл бұрын
Hongereni sanaaa kwa uwimbaji mzuri
@morriohm2132 жыл бұрын
Utunzi safi..uimbaji safi zaidi.. Masterpiece 👏🙏
@telesiaidani27782 жыл бұрын
Asante morrioh m
@felistermaige1739 Жыл бұрын
Amina,,Waimbaji kweli kesho ipo hata mimi nina Imani kuwa kesho ipo
@gladwakuruamos449312 күн бұрын
Nani mwingine yupo apa September 2024😢 Kesho ipo tu
@mariomtunge54652 жыл бұрын
Daaa wimbo mtamu, ujumbe mtamu, stepu tamu yaani naamini sijaondokea patupu kutazama na kusikiliza wimbo huu..Mungu awabariki kwa kazi hii... msalimuni huyu dada yangu anayerusha mikono kwa bashasha....Kaka unayeshusha kiatu kwa madaha..Mungu akuinue...🤣🤣🤣🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@charleslugemalila1168 Жыл бұрын
😮
@filiminampagama59592 жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo barikiwa sana wapendwa
@innolola52202 жыл бұрын
Hii nyimbo inanibariki saana
@emmanuelmunyika25942 жыл бұрын
Hongereni sana Waimbaji. Wimbo huu umenifariji sana. Mungu awabariki sana katika Utume wenu wa uimbaji.
@telesiaidani27782 жыл бұрын
Amina
@alexsimiyu41912 жыл бұрын
Kazi tamu St Karol 🔥🔥🔥
@yosephanambunga91182 жыл бұрын
Hongereni sana kwa kazi mzuri
@elizabethsalila2262 Жыл бұрын
Mapazuko yapo karibu,ona kuna kucha na Kesho hiyo Mbarikiwe sana hakika napata Amani sana, proudly to be Catholic
@millicentakinyi55042 жыл бұрын
Mungu,awabariki🙋🙋🙋
@serahkyalo354 Жыл бұрын
Deo Nkoko has always encouraged especially the younger generation, that despite the crisis, bado kuna kesho ambayo itaangaza kuliko leo kwani Mungu yupo. He has always encouraged the souls loosing hope in life, #Mtazame Mungu usitazame shida zako tu. I wish in such songs we could be having a sign interpretor kwa wale walio na shida ya kusikia ndio pia wapate ujumbe huu muhimu wa kutia moyo. Mungu akubariki pamoja na waimbaji wako🙏
@MaryBrian-bv3kc Жыл бұрын
Asanteni sana waimbaji wenzangu kwa kunijulisha kwamba kesho hipo let's keep evangelising
@jamesgichuhi8070 Жыл бұрын
Usilie mungu yupo
@williamfulano30102 жыл бұрын
Na kesho hiyo!
@Ellybeny2 жыл бұрын
kinanda na baraka mashibe 🍀
@deniscosmas51292 жыл бұрын
Hongereni sana kwa uinjilishaji Mungu awabariki sana
@AmosiDeogratius2 жыл бұрын
Mambo matamu yanazidi kuja yaan chuma juu chuma🥰hongeren sana kwa vocal nzuri tuzidi kufundisha jamii kupitia uinjilishaji
@maryngila8382 жыл бұрын
Kweli kesho ipo,,,,be blessed my dear brother and sisters.
@susanmuange22988 ай бұрын
This song I used to listen on daily some days back and I encouraged me when I had some challenges sooo and today hakika I say mtazame mungu usitazame shida zako
@TimotheoYohane-lz1ps Жыл бұрын
Kazi nzuri sana kaka Deo Mungu awabariki sana sana ninaipenda
@liliannjeri1420 Жыл бұрын
Excellent
@yovinampale4873 Жыл бұрын
Ni kweli Mungu ni kila kitu. Hongereni sana. Mmeimba vizuri sana, na ujumbe nzuri. Hatupaswi kukata tamaa.
@daudiwilliam1971 Жыл бұрын
Duuh!! My lovely song always. God bless all who make this hit song.
@gillejalileni66782 жыл бұрын
Amina mtumishi hakika kesho yetu ipo tu
@clementmarandu27122 жыл бұрын
You're so talented by by letting people know through singing, who God is and what is capable of doing during times of crisis. Hongera !
@EsterPhilbert-vc3kt Жыл бұрын
Asante Mungu Kwa kuniweka mkatorki. Mbarkiwe watt wa Mungu kazi mmeifanya, Mungu atukuzwe.
@isackrenatus31672 жыл бұрын
Hili goma Lina upekee wake waimbaji safi, utunzi ndo usipime Balikiwa sanaa
@Ellybeny2 жыл бұрын
🙏🙏🙏 Asnte kwa wimbo mzuri!!
@jubilantrejoice53152 жыл бұрын
May God bless you
@DanielJuma-h7g8 ай бұрын
Nyimbo Zina tubariki hapa kenya,kazi nzuri
@veronicaholisah7188 Жыл бұрын
See the moves ❤️
@jubilantrejoice53152 жыл бұрын
Good Catholic l wish I was there
@juliuswanganga57699 ай бұрын
Very encouraging song. Be blessed 🙏
@yolenimocheng87452 жыл бұрын
Hiii ndo ilikua ya kubeba albam Bt zote kali sanaaaaaa hongeren wana KLC na wote wslioshirik
@jacksonvalence73658 ай бұрын
2024 ni baraka kupitia huu wimbo mbarikiwe sana St karoli lwanga
@mogendithaddeus7042 Жыл бұрын
The beautt of being a catholic is jus but awesome love you soo much guys
@Jacklineouma-e6iАй бұрын
Thanks for this song indeed we'll make it through God's strength 🙏🙏
@octavinaalphonce6898 Жыл бұрын
Mko vizuri hamchoshi kuwasikiliza
@jacksonaron92952 жыл бұрын
Kazi nzuri sana barikiweni
@mercykamau31462 жыл бұрын
Great work
@msomisikalenyula53372 жыл бұрын
wimbo mzuri na ujumbe wa faraja. Hongereni sana
@jovinusjulius98402 жыл бұрын
Kama mm ndo ningekuwa muamuzi wa wimbo wa kubeba Album yenu..Basi huu ungepita.aahah..anyway hongereni sana ndg zangu
@stevemsola4372 жыл бұрын
Kazi nzur jaman hongereni Sana
@jenipherkyando48222 жыл бұрын
Mmenitia moyo saaana asante kwa utume
@rosemasaa84109 ай бұрын
I love this song,it has really changed my life for it's really encouraging ❤
@celinejoseph29932 жыл бұрын
Huu wimbo unanibariki sana
@josephgitimu36502 жыл бұрын
This song has really changed my way of thinking about tomorrow and daily problems
@lucasshirima28802 жыл бұрын
Niliusubiri huu kwa Hamu sana.kesho ipo ipo tuuuu
@annamasoud18752 жыл бұрын
Nimewapenda bureeee
@floineskimbali26372 жыл бұрын
Kwa sasa hii ndio albam bora kwangu wananifanya namaliza bando
@telesiaidani27782 жыл бұрын
Jamaniubarikiwe dada angu
@telesiaidani27782 жыл бұрын
Nitumienooyako
@theresiajoseph19432 жыл бұрын
Yaan nyimbo zeo zote za album ninazo isipokuwa mbili zimebak nasubir kwa hamu sanaaa 🥰
@p.kmelodiez70712 жыл бұрын
Wonderful, blessings
@olicej78372 жыл бұрын
🧘♀️😘Proud with catholic song❤️❤️❤️❤️blessed☂️ 🔥🔥🔥🔥
@veronicakazonde32042 жыл бұрын
Kweli kesho ipo.
@victorodehe61602 жыл бұрын
Kesho yaja kweli
@henrynyaga1989 Жыл бұрын
Very encouraging songs may God have mercy on us this year 2023
@theresiajoseph19432 жыл бұрын
Jamani hongerenii sana wimbo mzuriii sanaa🔥🔥
@holyfamilymedia13252 жыл бұрын
Very very nice
@reginaldjoseph64512 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana nafarijika
@adolfinaandrea5234 Жыл бұрын
Nimebarikiwa na nyimbo zenu katika nchi ugenini najua faraja ni Yesu tu
@noelinambatha8941 Жыл бұрын
Amazing I just love your music very informative and touching transforming lived ❤
@erickntimba654311 ай бұрын
Hongeren sana kwa kulitangaza injiri kwa njia ya wimbo huu ubarikiwe sana.
Anyway, labda uzuri wa melody na mpangilio mzima wa muziki, lakini hakuna ambaye ameiona kesho so unaposema kuwa "Kesho ipo tu" sijui ilimaanisha nini. Binafsi nipo kinyume.
@mkapakalikene90422 жыл бұрын
@@paulhermany7948 wanamanisha kesho Ni ya natumaini. Na usikate tamaa kwa kile kitu kibaya kilichokukuta Leo
@telesiaidani27782 жыл бұрын
@@paulhermany7948 Asante p
@richardboniphace13052 жыл бұрын
@@paulhermany7948 anayeijua kesho ya kila mmoja wetu ni Mwenyezi Mungu hivyo yeye anajua kesho kutakucha vipi. Kunaweza kucha ukiwa hai ama usiwe hai,kunaweza kucha shida zako za leo zimekwisha au bado zikaendelea. Watu wengi tunateseka kwa kuiwaza kesho kutokana na magumu tunayopitia tunasahau kuwa Mungu ndiye anayejua hatma yetu. Hivyo waimbaji wanatukumbusha kumtegemea Mungu kwa kila jambo maana ndiye anayejua hatma yetu.
@josephgitimu36502 жыл бұрын
The beauty of Catholic church . I love this song.
@theresiajoseph19432 жыл бұрын
Wow naisubria
@thomasackley7332 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@holyfamilymedia13252 жыл бұрын
Very jice
@augustinotanda63492 жыл бұрын
Pamoja timu yangu
@yusta77782 жыл бұрын
Saf
@janemsea1062 жыл бұрын
Nimeipenda kweli mtazame Mungu tuhongereni sanaaaàa