Wimbo ndio huu kumbe😮 good song ❤❤ tunauimba sana kanisani kwetu Mt. Mulumba Thika, Kenya. Wimbo huu unatutayarisha katika kulijenga kanisa letu jipya la Mt Matia Mulumba Thika, jimbo kuu la Nairobi.
@lopuaechuman114812 күн бұрын
Kweli kanisa ni wewe mwenyewe. Mbarikiwe wote kwa kazi yenu ya utunzi
@barakamayaya63814 ай бұрын
Jamani hakika u wimbo ni mzuri sana Mbarikiwe
@jenipherkyando48222 жыл бұрын
Mmegusa kwenye ukweli asante sana
@neemavawa17 Жыл бұрын
Moto mmeuwasha msikubali uzimike MUNGU awasimamie mzidi kutuinjilisha
@juliananikodem15562 жыл бұрын
Hongeren San kaz nzur
@PhelixJangu2 жыл бұрын
Nice song, with Ng'ara Malkia tune.
@johnmahona63652 жыл бұрын
Mungu awabariki ktk utume wenu
@ponsianonyangachi68052 жыл бұрын
We mukasa,,,unatisha,,vitu juu ya vitu
@geoffreywairimu44852 жыл бұрын
Kweli kanisa ni mimi.. Tumsifu mungu wetu kila wakati kwa kuimba
@georgemburu26472 жыл бұрын
Hongereni Sana Waimbaji wa Mtakatifu Karoli lwanga tandale
@albinmassawe40052 жыл бұрын
Mmeimba vizuri Sana. Naomba namba ya simu niunge mkono kazi hiii. Nanunua nakala mbili za album yenu
@verotsii14422 жыл бұрын
Wimbo mzuri hatari dah najivunia kuwa mkatoliki
@mkapakalikene90422 жыл бұрын
Kanisa Ni Mimi. nyimbo nzuri hongeren sana
@teresia9345 Жыл бұрын
Good!!!
@asmundoroko20943 ай бұрын
God bless you people
@MartinDismas-ou5oy Жыл бұрын
Ni kweli hongereni sana ❤❤❤
@denismaunda31022 жыл бұрын
Naam kanisa Lianzie kwangu Kama Fumbo So Amazing na Inatafakarisha sana
@godfreymagogo30592 жыл бұрын
Cool music, i love it. Kazi safi
@laureenshililu57512 жыл бұрын
The song just blesses my soul... Kazi safi. All the best from🇰🇪
@josephmilanga17692 жыл бұрын
Kweli kanisa ni langu mwenyewe....congratulations for de good song..May God bless and continue to construct your faithful all of u..AMINA
@stephenshio5882 жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa sala hii tamu
@davidnjomo39552 жыл бұрын
Kazi nzuri sana. Hongereni wanakwaya wote wa St. Karoli
@danny-G9402 жыл бұрын
Such a wonderful choir...
@calitosmuliro65532 жыл бұрын
Hongereni sana wana karoli.... Wimbo mtamu wa kujenga imani ya wakristu...
@revocatuskatto72932 жыл бұрын
Hongeran sana kwa kazi nzuri mnaimba vizur mbarikiwe sana big up HT pia 🙏🙏🙌🔥
@p.kmelodiez70712 жыл бұрын
Kazi tamu sana
@ronwaf2 жыл бұрын
nice song
@augustinotanda63492 жыл бұрын
Pamoja sana na wamiss wana st.Carlol
@mediatrixoucha96732 жыл бұрын
Very nice song
@theresiajoseph19432 жыл бұрын
Wow nilikua naisubria kwa ham jmn💕♥️♥️🔥🔥 hongerenii
@ronwaf2 жыл бұрын
I am just in love with the song
@pasilisajerono74092 жыл бұрын
Nice song congratulations, may God strengthen your faith to countiue priseing.