List ya artists Khaligraph amefanya nao collabo and their careers was never the same again. 1. Tunji 2. Katapilla 3. Japesa 4. Silverstone Bars 5. Bey T 6. Masauti 7. Adasa 8. Tanasha Donna 9. Petra 10. Chepkosgei 11. Magixx Enga 12. Donn J 13.Mbogi Genje 14. Rosa Ree 15. Arrow Boy 16. Timmy Tdat 17. Country Wizzy 18. Wakuu 19. Mbogi Genje 20. Mbuzi Gang The list is long.....do your research
@alvinmbugua782110 күн бұрын
Never the same again unamaanisha nini.. kuna kuchange negative na kuchange positive
@ylace4tune10 күн бұрын
@@alvinmbugua7821 amemaanisha negative,,,angalia iyo list alaf uangalie career ya hao wasanii vle inadidimia
@Biggchief8428 күн бұрын
Bro uko na point,,,,nakusupport💯
@briannyambok41478 күн бұрын
Umesahau Chin Bees
@blackocean83948 күн бұрын
Never the same coz they became worse
@popcorn_studios288310 күн бұрын
😂😂 andrew kibe + cassypool=sabato
@fittyblack254910 күн бұрын
Ukweli Sana bro,Octopizzo anakuanga G na mi namkubali sana
@Sabatosautiyaground10 күн бұрын
Hanaga umama
@teetoeofficial10 күн бұрын
This is turning into a comedy show 😂. Ati wacha kufikiria na supplements 😂
@stormgenerationke10 күн бұрын
😂😂😂naiishaaaa
@elvismaina888010 күн бұрын
Hajasema poa 😂😂😂😂
@Gemini_Kagema8 күн бұрын
😂😂😂
@softlips00110 күн бұрын
Who was here before 1M? 📺😎👌
@housereel-mm3gg8 күн бұрын
Sabato hio stori ya Sagini usinyamazie,please talk about it. We used to record together with Sagini huko Kangemi at King Jehu Empire Studios under Produza Darwin Sounds back in 2017. Sagini got spotted by Khaligraph akamtumia kama backup artist in some of his songs.The guy was very talented vocally, Sagini sadly died mysteriously.
@kevbreezy55719 күн бұрын
Facts tupu walai.octo is the real G
@DonKariuki8 күн бұрын
Octopizzo started becoming a star and a rapper before khaligraph jones but since Octo went abroad khaligraph jones took over the rap game in Kenya
@DjRayFX10 күн бұрын
Comic relief 😂😂😂 Keep them coming bro
@trigertiger6228 күн бұрын
Tunji's story is real kaligraph alimaliza huyo kijana same way breeder tangu wapike remix na stupid boy .. ndo huyo stupid boy sai ako wapi??
@alvinmbugua782110 күн бұрын
Hapo kwa sanduku umecheza rough🤣🤣🤣🤣💀💀
@m-slopes-media10 күн бұрын
Octo the true g in everything flow , dressing character and street creditials any day
@Elly_Bazuu9 күн бұрын
Hapo khaligraph anaeka mdomo kama character ya MIB got me 😂😂
@ChristopherArafat2548 күн бұрын
Ati respect the OGs nmeva combat😂
@SteveSteve-e1y9 күн бұрын
Sabato na stand nawewe kwa most things husema but the og shall be respected.
@mkurugenziomollo72318 күн бұрын
😂😂😂 hapo kwa sanduku nayo 😂😂😂
@harunnmsanee537110 күн бұрын
Comedian mnoma sana huyu🤣🤣🤣🤣
@stanfeldokinyih448510 күн бұрын
Mkono yangu inatoshana na Sanduku😂
@briannyambok41478 күн бұрын
Chine Bees pia alipotea after remix ya Kababa ye
@liguybrownofficial9 күн бұрын
bro uko sawa sema ukweli
@hezzymutende51808 күн бұрын
😂Ati mkono Moja inakunywa Supplements na ingine inatweet😂
@mistyxjiicythemjs24115 күн бұрын
😂
@ellyngwashline9 күн бұрын
Baba akipiga simu kutoka heaven ety kuna kitu imefanyika hapo ni ametolewa ka sacrifice 😂
@musiccaentertainment100k810 күн бұрын
Octo is the real G
@kiralimaginations45210 күн бұрын
sabato umeanza kukua chizi😂😂😂😂😂
@fan1kiwa9 күн бұрын
but in the best way possible 😆😆😆😆😆😆
@markshark24449 күн бұрын
Respect the OG
@mikeondhowe144010 күн бұрын
spot on
@Kenya101-y2t10 күн бұрын
Vyenye Khaligraph uuwa live show, Octo hawezi.
@Sabatosautiyaground10 күн бұрын
Ujui unasema nini
@hotlinelatheef451610 күн бұрын
Buda uko very wrong. Ata Juliani hukill kuliko khaligraph
@Sabatosautiyaground10 күн бұрын
@hotlinelatheef4516 yes performance za khali ni mic na arukeruke
@realermode73459 күн бұрын
We ndo hujaenda show ya Octo Acha siasa bana
@mateebrian59203 күн бұрын
Sharaaap
@mufasa281110 күн бұрын
Ndio utasema hajatoa ngoma kali ,,but zimefika over a million views atakama imeshika 2 weeks ,,anaskizwa internationally,whats the problem akitoa collabs na watu ,the guy knows what he's doing no need to hate
Octombitho Bangi Gani Hiyo.... Siezi bishana na sauti ya ground.. Octo siku zote
@thechampion639710 күн бұрын
ok cl0wn
@zaphrineburinozaphrine346710 күн бұрын
Very true salute octo🫡
@Kenn_Range10 күн бұрын
Sauti ya Ground sio😎🇰🇪
@DansonMwadali-x6c10 күн бұрын
Hakuna msanii ametoa video na combat🗣️😂
@victorosong10 күн бұрын
Mazee wazi for confirming. Huyo ni OG jina tu.
@Sabatosautiyaground10 күн бұрын
Yes
@ensjopumalanga15189 күн бұрын
Khaligraph huchochwa na peer pressure ya watoto wa 2000 😂😂😂 sijawai feel huyu hippopotamus..... Ako na ushamba mob na Ako Doo... Dressing Code negative zero swagg negative zero...
@theemadollarskenya777910 күн бұрын
PizzoDe💯💯💯
@edddelarocka975310 күн бұрын
Kaligraph hukua pia na baby rhymes za kifedhule.Nobody who has experienced the 90s American hiphop can acknowledge his work.😂😂.A coast lady rapper called kyky once said in 2018 that he is a mdandiaji wa upcoming artist.I think huiba nyota zao by tha way😂😂😂
@Sabatosautiyaground10 күн бұрын
😎
@soxydeflowboy423110 күн бұрын
Octo ndiye the OG
@Sabatosautiyaground10 күн бұрын
Yes character wise
@awanisnext10 күн бұрын
Give credit to Sabato for being himself in his videos.This is sth all Kenyans should seek to follow
@juliocarloskisambo79374 күн бұрын
sabato utaitiwa mbogi... 😆😆😆 hope unamove heavy, ama safe juu hii najua itamuuma. so ngoma yake next lazima utajwe.
@billyboss10 күн бұрын
Breeder alikua ashatoka kitambo broski that the main point khali akutoa breeder ✊🏾🔥🔥🔥
@Sabatosautiyaground10 күн бұрын
Yes
@9_l.a.c.k2 күн бұрын
Aty awache kufikiria na supplements😂
@benuelonderi266610 күн бұрын
Unataka kutrend na jina ya Og
@alvinmbugua782110 күн бұрын
Ukweli lazima usemwe hakuna cha kutrend hapa..
@Amwa85755 күн бұрын
Mmeskia hiyo 9:48 ATI umesemaje bro???? ALAAA!!!
@brianclarks369810 күн бұрын
OG akikukujia mi sikooo😂😂😂
@Venta_bin_Assad10 күн бұрын
😂😂
@afrikanaariwo8 күн бұрын
Facts. Te Guy has Talent but too selfish with lots of ushambaism aka ukayoleism..! By now we shud be having atleast 7best Hiphop artist in Afrika courtesy of his mentorship..but alas! too much selfishness, unfortunate though to see how Kenyans hate themselves! By the way what happened to CampMulla!?? can't they just 4get they're difference n make some Music together as be4? I miss them though! I miss Esir Mmari,my he rest in Power..id he were alive.. I trust that Kenyan music wid be world wide by now🎉 with acombination of Camp- Mulla as a group still together..! The Rest is abunch of wanna bes n Ukayoleism with too much selfishness instead of pushing Kenyan Music beyond borders... 4 now Tanzanian artists will continue to shine until Kenyan artists work together. 🎉
@mwinyiswaleh83886 күн бұрын
We Fala umetumwa.khali ni matawi ya juu.vituzenye anafanya hakuna rapa yoyote hapa Africa anaweza fanya.
@mistyxjiicythemjs24115 күн бұрын
Shinda ni hujui muziki poa + hutaki kuskia ukweli
@mwinyiswaleh83884 күн бұрын
Wesema haupendi OG.lakini kimziki yukojuu wivu inakusumbua.mziki wa HIP HOP mzuri.naujua vizuri nimeusikiza tangu ninamiaka kumi mpaka sasa sijabadilika.
@adriannjuguna42428 күн бұрын
Yahoo yahooo 😂😂😂😂😂
@jcudi_ke63966 күн бұрын
Niko hapa naangalia tu😊😊
@jayshubbah10 күн бұрын
Khaiii😂😂😂😂
@josephobaga83668 күн бұрын
Lakini Hata kama anadandia songs za watu,yeye huifanya vyema zaidi
@collohpwani10 күн бұрын
nakubali pia
@Sabatosautiyaground10 күн бұрын
👊
@omasobo782410 күн бұрын
Octo 🐐
@btgkeim0392 күн бұрын
11:25 😂😂
@basilbarasa184210 күн бұрын
Don kwa rap game 254 ni Octopizzo period na hakuna mabishano hapo.
@stormgenerationke10 күн бұрын
Naskia mtu anafaa apige gym ya tumbo 😂😂😂
@stevemartins33557 күн бұрын
😅😂😂😂😂😂😂 😂😂😂😂😂😂 bro umeamuwa ukweli uiserve ikiwa moto
@elvismaina888010 күн бұрын
Hiyo point ya Baba anapiga simu kutoka heaven akikuita nmeradaaa 🤣🤣😂😂😂 Sagini innit
@fan1kiwa9 күн бұрын
This far from stand up comedy, but it's comedy from a stand up guy! Sabato, Sabato, Sabato😂😂😂😂😂😂😂😂Sawa tu! Na umwambie OG is a title, thus it comes before the name. OG Jones or OG Khali is ok, but not 'THE' OG as this would suggest he's the only or main one; which is far from the case. Dr.Dre may call himself "the Doctor" because he's the only one using that title as a hip hop artist and also because he's earned it. Mambo ya 'The OG" iishe leo please. Thank you.
@Sabatosautiyaground9 күн бұрын
🫡
@Murimi-s7g10 күн бұрын
Octo the don all seasons
@jameswambu35638 күн бұрын
Respect Sabato😂😂
@justusamnabi819510 күн бұрын
Bro you always speak what we think sauti ya ground all the way
@teetoeofficial10 күн бұрын
Hiyo point ya Baba nayo nimeipata 😂. Very dark💀
@Sabatosautiyaground10 күн бұрын
🫡
@Laikipianbandit03110 күн бұрын
Octopizzo atengeneze group inaitwa OG Afu aende retire ndio khali akuwe akisema respect the OG anapay homage kwa octo.....khali huwa anatulazimisha tumrespect eti respect the OG😂
@jestymbunifu78110 күн бұрын
rudia hapo pa yahoo yahoo
@iNro6410 күн бұрын
Huyu antakikana afinywe kidogo
@AllStreamers4510 күн бұрын
Kwani okto Ako most watched 😂😂 KZbin
@kenvictor58410 күн бұрын
Kila kitu umesema ni correct 💯💯
@Sabatosautiyaground10 күн бұрын
Thank you
@amukoaletshavefun885910 күн бұрын
Ongea ikutoke
@AllStreamers4510 күн бұрын
Subscribers wa okto ni ngapi
@aquinnasmuya9 күн бұрын
Ukitaka kujua ukweli enda watch iko nini ule producer wa wakadinali big beats africa (Ares 66)
@Danko-u8f9 күн бұрын
Umbwa wewe khaligraph ndio OG
@edgarAce10 күн бұрын
Sasa tunajenga aje industry yetu aje na kuigrow aje when we have this kind of negativity! Sabato other than kuja hapa kuonga takataka kuhusu wasani, nini umefanya kuelevate industry ya Kenya?
@Sabatosautiyaground10 күн бұрын
Your also the problem why are you watching someone negative
@Orinnazaqar693910 күн бұрын
Sabato is a great critic my friend..hapa hakuna emotions
@edgarAce10 күн бұрын
@@Orinnazaqar6939 Hakuna emotions just soma comment yangu uelewe. Mbona tusipige wasani we support instead of bashing them!!
@fan1kiwa9 күн бұрын
usiwe hivo bro, critics are a vital component of anyone's growth. Khali has a long way to go as a writer. Right now he only rhymes at the end of each line but as far as bars go......bado.
@jameskiyondi56818 күн бұрын
😂😂😂😂
@fidelmaboke612810 күн бұрын
The guy you are trying to lecture has already made it in life,we unalilia apo kwa single room yako😅😅dwanzi
@sherahedu555310 күн бұрын
True kabisa, Khaligraph video zake hukua mediocre sana. Na zote hufanana.
@markmunene42889 күн бұрын
Yahoo yahoo ni nini??
@dephansodhiambo347910 күн бұрын
No cap
@deemb528410 күн бұрын
Bar for bar.....OG is the best rapper in Kenya ever
@thechampion639710 күн бұрын
You are a real Cl0wn
@fan1kiwa9 күн бұрын
😆😆i think una deembua kitu kali sana🥃🥃,,,,it takes liquid courage to say such,,,,do you understand what bar for bar is??? He might be the fastest rapper ever but not the best😝 Excuse yourself........
@deemb52849 күн бұрын
@fan1kiwa I know what I said
@Brasho21210 күн бұрын
bro umehate OG sana bana but the facts remain HE'S the best rapper 😂😂
@dailydoselaughter268610 күн бұрын
Io point ya yahoo yahoo watu hawataget... But Huezi jenga io mansion yote na muziki pekee kenya
@geoffreymabuka38419 күн бұрын
Tafuta endorsements za Khaligraph...but kimziki amedrop
@NellyKenyanArtist10 күн бұрын
Hii inakaa ni video ulikua na machungu ya OG. Khaligraph amejijenga from time alikua oyole.. Octo sio OG juu aliinuliwa na mama mzungu, also Khaligraph ameinua akina wakadinali when no one knew them. Hii mwaka hajatoa song yoyote poa yes, but this is unnecessary hate to Khaligraph I feel
@Mwarabukoko-s4t10 күн бұрын
We ni fala sana kaligraph alikimbia ktoa collabo na wakadi ju aliskia watu wamewatii akona tamaa ya kifedhule anataka akue kila mahali
@imrizzy966810 күн бұрын
Ni wivu uko nayo tulia utafute pesa.
@Otwola10 күн бұрын
😂😂😂unatuchekeshaa
@slumking323810 күн бұрын
Guzman alikuambia upin location Ata pull up umuambie nini muna ulizana.... Sauti ya ground nakutambua pin
@Mwarabukoko-s4t10 күн бұрын
Guzman ni fala sana aukuona ile siku alikua kwa ngori ya kchai senke alilia adi akatoa baloon kwa mapua mamake ndo alikua anamtoa raani ,mbogi yake ilkua wapi😂😂😂
@slumking32386 күн бұрын
@@Mwarabukoko-s4t 😂😂😂Wacha izo bro🫴😂
@damagesinger897110 күн бұрын
Umesahao japesa
@ndichum527410 күн бұрын
11:25 -11:55 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@AllStreamers4510 күн бұрын
We sailors wako wapi
@Sabatosautiyaground10 күн бұрын
Za og ni ngapi
@Mkuruweng10 күн бұрын
Octopizzo ni mgorii
@danhumphrey106410 күн бұрын
boss umekua andrew kibe mwingine RASHPEC DA OG
@Sabatosautiyaground10 күн бұрын
Yes octo
@wolteroliver16109 күн бұрын
sabatosautiyaground @Sabatosautiyaground Another comedian😂😂😂😂😂 anaongelea views na yeye mwenyewe ako chini kiviews what a failure. Advice bro skiza bars kwa songs wacha kuwatch video kama mtoto alafu another thing wacha kulinganisha bongoshit na trap.......trap ni barz wee mzee. #pure hater
@Mwarabukoko-s4t10 күн бұрын
Ni ukweli octo ni G ,kali ni wale majamaa wa ocha ujifanya wajuaji
@ashishsheth874810 күн бұрын
Mlamba diamond, ma O.G hawalambi mtu
@13M18710 күн бұрын
Juu ya hiyo story sabato nime subscribe 😂
@yne_wayne10 күн бұрын
I agree.
@Occiblvd10 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣
@HassanOpondo10 күн бұрын
Octopezzo 8 ni OG nimzii
@awanisnext10 күн бұрын
Do you have a good song this year?You dont haaave😪