Manshaallah alhamdulillah m/mungu akutunze shekhe.akufungulie kheri zaidi na zaidi uzidi kutuelimisha.🤲🏼
@issamshani85835 ай бұрын
Mashallah, the highest level of understanding, we need intellectuals kama wewe. Allah atuongezee sote elimu.
@khaliphaabubakar94665 ай бұрын
Ameen
@reginamsaki54355 ай бұрын
Mimi ni Mkristo nimpenda mafundisho yako Asante kwa elimu.Nimejifunza kitu hapa sikutoka bure.
@CharlesEdwardCvanoedward5 ай бұрын
Wakristo tulio mkubali Sheikh like zenu hapa
@fatmaalzidy11706 ай бұрын
Masha Allah Tabaraka Rahmani mawaidha manzuri saaana Allah ampe umri mrefu wenye kheri na yy
@hashimmchwaka94975 ай бұрын
Shehe hongera sana nimejifunza vitu vingi kutoka kwako m/mungu akujalie umri mwema mrefu wenye heri na afya na kizazi chema ww na sisi
@saidaabdalla28545 ай бұрын
Allahumma barik Sheikh, Shukran kwa kutuelimisha🙏
@aminaabdulghanim82565 ай бұрын
Jazakallahu kheir sheikh
@ibrahimmsabah4405 ай бұрын
Asalam alaikum,huyu sheikh Allah ampe elimu zaidi,afya na maisha marefu yenye amali njema.naomba jina la huyu sheikh pls.
@yateramadavaathumanmmbaga77765 ай бұрын
Shk. Adinani
@ramamabinda50635 ай бұрын
Tangazo la post limekua tofauti hotuba ya shekh. Alieandika post hiyo aombe radhi kwakua kawakosea watazamaji. Mwenyez Mungu amjaalie shekh maisha marefu yenye afya njema inshallah
@lutfiahchaby59835 ай бұрын
Subhan ALLAH JazakALLAH khairan kwa Mawaidha very Perfect reminder
@AshaJarabu6 ай бұрын
Naaam shukrn San kwa maawaidha mazur Allah akuhifadh shekh
@Sidik-d7e6 ай бұрын
MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤SHEIKH U SAY EVERYTHING IS TRUE 👍 🙏 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Shekher uko vizuri sana shida iko wapi kuhusu yesu kwamba kweli hujui kuhusu yesu
@fatemafatema47804 ай бұрын
Mungu akubarik sheikh mawaidha mazuri sana na yamaana sana ,mungu akubarik ameen
@meowzna5 ай бұрын
Taqbirrrr🎉 Allahu Akbar🙏
@stanleyjuma43775 ай бұрын
Sheikh nimependa mawaidha yako sana, Mwenyezi Mungu akuzidishie.
@nsengiyumvafrancois48375 ай бұрын
Mimi sio mu islam alakini mafundisho ya sheikh huyu yameni saidia sana tena sana kabisa, ksema ukweli huyu ni mhubiri wa wanaadamu. Mungu akubarili mwalimu
@HumudkaramaSaid5 ай бұрын
Mashallah Mashallh Mashalah
@abdulazizhabib45815 ай бұрын
Allah ampe afya na umri shekh
@basharahamtzhalisi68715 ай бұрын
ALLAH SUBHANAHU WATAALA AMPE UMRI MREFU AZIDI KUTUELIMISHA. ALLAHUMMA AAAMIN.
@otaibonny88355 ай бұрын
Mbona hii shekhe ana hikma nyingi 😊😊😊👏🏽👏🏽👏🏽
@IbrahimKimath-u9z5 ай бұрын
Maashaallha Allah akulipe pepo na umat wa muhammad Allah atuepushe na moto ishaallah. Mswalie mtumeee.
@hamisimzalendo5 ай бұрын
S.A.W
@rajabusaimon76625 ай бұрын
Mungu akupe maisha malefu uendelee kuwaelimisha walio jisahauu
@mejumaakoja50505 ай бұрын
Mashaallah tabaraka allah yaan nimepata faida nyingi sana asubui hii allah akupe afya njema uzidi kutuelimisha inshaallah
@Zanha5825 ай бұрын
Mashallah mashallah mashallah Tunakupenda Kwa ajili Allah
@abdallahmwabeha3675 ай бұрын
Allamdullillah mashaallah mawaidha mazuri sana
@ibrahimokoth7975 ай бұрын
MASHA ALLAH
@Joecharles-vu7lo5 ай бұрын
Mimi ni romani lakini nimependa mafundisho yako gd bless your
@j4amas55 ай бұрын
God bless you to and welcome to islam
@azizakitele91655 ай бұрын
Allah akuongoze uwe na maono juu ya haki!
@awadhmohamed-rm4we5 ай бұрын
mashaAllah sheikh huyu ndio naanza kumuona leo na kumalizia lakini kwa kweli nimeskiza masheikh wengi lakini kweli kila wimbi na nguvu yake Allah akupe umri mwema na umri mrefu na kwa hakika watakao kukuelewa ni wale wenye hikma zaidi Allah atuzidishie hikma Sisi wasikizaji
@Bikhadija695 ай бұрын
Mashaa Allah Tabaraka llah mawaitha penye mafunzo Allah akupe umri uziidi kutuwelemisha Allah akuhifadhi
@mustaphaOmary-pt2ce4 ай бұрын
ما شاء الله
@shekhamuhham90444 ай бұрын
Mashallah mashallah mashallah barakallah fiika
@buhangaradjab78386 ай бұрын
Your sermon is for intellectuals. Those who have a cheap mind will not really get the msg across. May Allah strengthen you and your family for sure all umma.
@ClarenceHilaly5 ай бұрын
Mimi binafsi uislam hua siupendi lakini kwa huyu shehe nimempenda sana tena sana
@Thwahasopayiikaji6 ай бұрын
Mashaalah
@JafaryMohamed-uq3cv2 ай бұрын
Good lesson
@shifaaal-baity45035 ай бұрын
Jazakum Allah Khair
@salamabakari83845 ай бұрын
Mashallah ❤❤ kweli
@anwarabdallah70955 ай бұрын
Mashaa Allah shk uko na hekima Allah Akujazi kila la kheri Ameen
@abdiadan48375 ай бұрын
Masha allah jazakallah qyer sheikh has spoken with wisdom
@maryamadam56225 ай бұрын
Mashallah. Kuna Elimu nyingi ndani yake. Ana elimu na busara
@SwalehAlkindy6 ай бұрын
Mashallah sheikh
@Noorein-ws8wk5 ай бұрын
Alhamdulillah
@wahidandeleko72935 ай бұрын
masha'Allah sheikh wetu
@yuhamrwambo37395 ай бұрын
Dah .. alhamdulillah Allah atubariki shekh
@shabaniiddi84385 ай бұрын
Jazaka Allah heri
@RadjabuNiyonkuru-bf9bq5 ай бұрын
May Alla bless and protect you
@AyamiRubba7 күн бұрын
Allah akubariki
@AminaJuma-r4v5 ай бұрын
Mashaa llah 🌹 huyu shekh nimempenda burereee
@OmaryAllykumba4 ай бұрын
ALLAH akupe gheri sana sheigh wetu
@samsonhamery38095 ай бұрын
Hii ni hotuba na mawaidha yaliyojaa elimu'busara'na hekima kubwa Mwenyezi Mungu akujalie Kila la heri uzidi kutupa darasa
@meowzna5 ай бұрын
Mashaallah,🙏 Tabarakallahu Sheikh🤝🎉
@KhamisiBakari-n3f5 ай бұрын
Mashaallah allah akuzidishie
@mkanulamajid5006 ай бұрын
Takbirrrrr
@amirikarata19705 ай бұрын
Masha allah tabarakllah
@laylayl51665 ай бұрын
MashaAllah mungu akulipe sheikh
@TausiEme5 ай бұрын
Maashaallah ❤ ( aminiii)
@hajjiomary23835 ай бұрын
Mashaa Allah nataka nije kukuona nikija Uganda in shaa Allah
@yusuphomary74105 ай бұрын
Huyu Sheikh ameongea Maneno makubwa Sana mazuri tu ALLAH akuongoze sheikh wetu.
@abdalaauame38635 ай бұрын
Mashalla alhabulilai ustaz 🤲🤲🤲🤲🤲🤲📿
@IssaAbushehe5 ай бұрын
Maa shaa Allah Nimempenda huyu sheikh
@azharproductions53934 ай бұрын
Maneno ya hikma, Masha Allah
@hassanlibingai88116 ай бұрын
MashAllah maneno kuntu
@AndrewOchola-v4j5 ай бұрын
Allah akuzidishie mawaidha mazuri sana
@SoniaNdayishimiye5 ай бұрын
Allah Akuzidishiye ilm na umri mrefu na afya uzidi kutunufaaisha na kutuelimisha
@laylayl51665 ай бұрын
Sahihi kabisa sheikh wetu
@chandeyusufu95705 ай бұрын
Alhamdulillah maneno sahihi shekher wangu nimejifunza kitu hapo
@ibrahimmsabah4405 ай бұрын
Naomba jina la huyu sheikh wetu.
@HaliyaShauri5 ай бұрын
Sheikh Murtada
@AzizaKatembo2 ай бұрын
Allah akulipe shehe
@jamal9ssuleiman3555 ай бұрын
Masha Allah, Masha Allah, Masha Allah, Allah akubarik.
@muhammadkhamis93965 ай бұрын
Shukran
@fatmakitundu94545 ай бұрын
MASHAALLAH❤
@LumumbaFarhani5 ай бұрын
MashaAllah, Allahu barik feek
@allykwaya6 ай бұрын
MashaaAllah. Allah akujalie
@YAHAYAMOHAMEDI-sq3dr6 ай бұрын
Your genius ❤❤❤❤❤
@JawahirMadar5 ай бұрын
Jmn huyu shek mungu amuongoze ajalie afya na umri mrefu atoe ilim na kuhusu ulaya jmn watu huku sijui tu kumuona mtu katabasam ni nadraa sana kucheka labda majumbani kwao kila mtu ukikutana nae kanuna waa Afrika tuna raha 😂❤
@HASSANMUSHI-fb5cm5 ай бұрын
Mashaallah
@aristidesvedasto78555 ай бұрын
Uko smart sana shekhe hongera sana.
@myself41285 ай бұрын
Una Elimu sana Sheikh,mie ni mkristo lakini nakukubali mno
@husseinmusa42435 ай бұрын
Mashallah sheikh adinan
@BogaaJuma5 ай бұрын
Asalam aleykum mungu atupe subrisa yakusikiliza huyu mwalim