WEWE SHARIFU FEKI ACHA KUTAPELI WATU KATIKA UISLAM HAKUNA MAJI YA UPAKO QUR'AN YENYEWE HUJUI KUSOMA

  Рет қаралды 71,916

KHIDMA TV

KHIDMA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 629
@HusnaSalum-p1q
@HusnaSalum-p1q 5 күн бұрын
Siku zote msema kweli watu wanamchukia shekhe kasema ukweli lakini kuna wengine wanasema anajifanya kakamilika hakuna mwanadamu alokamilika sawa lakini kwa hili kaongea ukweli shukran shekhe wangu waislam wanajisahau sana
@mohammedmussa7378
@mohammedmussa7378 4 күн бұрын
Khaswah ushirikina umekithiri sana
@mohammedmussa7378
@mohammedmussa7378 4 күн бұрын
Khaswah ushirikina umekithiri sana
@mohammedmussa7378
@mohammedmussa7378 4 күн бұрын
Khaswah ushirikina umekithiri sana
@mussakantumba9914
@mussakantumba9914 4 күн бұрын
❤Na kuna wajinga wengi wanawaamini wapuuzi hao
@RahmaTamla
@RahmaTamla 3 күн бұрын
Shukraan kwa ujumbe
@rashadmurshid
@rashadmurshid 5 күн бұрын
Tuko pamoja na wewe kung'oa mizizi ya ushirikina na ushenzi Allah akuhifadhi sana sheikh
@kadijaa7771
@kadijaa7771 Күн бұрын
Amiin
@MaryanDavid-jo2fs
@MaryanDavid-jo2fs 14 сағат бұрын
Kabisa shekh kishk anasema ukwel wallah watu wameingia ushirikina sana
@mohammedhamad9392
@mohammedhamad9392 2 күн бұрын
Mashallah sijaona comment hata moja ilio kupinga sheykh wangu sheykh wetu.Baaraq llahu fee
@KindnessMaleko
@KindnessMaleko 4 күн бұрын
Mm ni mkristo ìla napenda sana masòmo yaķo yaanì uko vizuri ni.ķweli mùngu akubaŕiki sana utapeli ùmezìdi
@AsyaMbarouk-tk2gl
@AsyaMbarouk-tk2gl 3 күн бұрын
MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AKUJAALIE UINGIE UISLAM AAMIN
@ShakiraSaleh
@ShakiraSaleh 3 күн бұрын
mwenyezi mungu akuongoze uweze kusilim inshaallah
@J4UPro
@J4UPro 2 күн бұрын
Mashaallah
@AsiaMsenga
@AsiaMsenga 2 күн бұрын
Habari,upo wap ndugu yetu
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 Күн бұрын
😅😅​@@AsyaMbarouk-tk2gl
@AlkafaaMarket
@AlkafaaMarket 5 күн бұрын
Mashallah sheikh Allah akupe umri mrefu wenye kheri jiji la wajanja limepata sheikh alhamdulilah waodanganya wezao leteni hoja mezani mungu akubaik kishki
@AlkafaaMarket
@AlkafaaMarket 5 күн бұрын
Shukran
@hanifa9153
@hanifa9153 3 күн бұрын
P😢
@hanifa9153
@hanifa9153 3 күн бұрын
P😢
@RayOmar-vk2nn
@RayOmar-vk2nn Күн бұрын
Mashallah unatusaidia sana sisi tulioslim ukubwani Allah akuweke shekhe kwa ajil yetu na kizazi kijacho
@thomaspeter2540
@thomaspeter2540 Күн бұрын
Mashaallah allah akufanyie wepesi
@JfourKiluwa
@JfourKiluwa 5 күн бұрын
Allah akupe kila la kheri shekh wetu na uwe na umri mrefu amin
@JahidaRashid
@JahidaRashid 5 күн бұрын
Mashallha shekhe mwenyezimungu akupe umli mrefu ❤
@nurdinmahmud9111
@nurdinmahmud9111 5 күн бұрын
Allah azidi kukutia nguvu sheikh wangu
@RaufaAlly
@RaufaAlly 3 күн бұрын
mashallah shekhe kishki mwenyezi mungu akupe umri mrefu ila mimi nilikuwa naombi moja siku moja shekhe nakuomba utembelee mkoa wa tanga wilaya ya kilindi ukawatolee dawa walau watu tupate kuitambua dini zaidi
@Raissaabdoul
@Raissaabdoul 5 күн бұрын
Siku zote msema kweli watu wanamchukia sheikh kasema ukweli Allah akulinde na kila baya aamiin
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 5 күн бұрын
Allah atuepushe na Shari na fitna za iblis, mayahudi, manaswara, wanafik na washirikina, amiin
@mussakantumba9914
@mussakantumba9914 4 күн бұрын
Maadui wa Uislamu ni Sita nao ni: Ibliis, Mayahudi, Wakristo, Washirikina, Wanaafiqi, Watu wa Bid,aah(Wazushi ambao leo ni wengi mnoo).
@HassanJaphari-rx7jy
@HassanJaphari-rx7jy 3 күн бұрын
Ameen
@hanifa9153
@hanifa9153 3 күн бұрын
Amiin yarrab
@hanifa9153
@hanifa9153 3 күн бұрын
​@@mussakantumba9914😢😢😢
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 Күн бұрын
Leta ushahidi wakristo ni maadui wa waislam
@khadijabuberwa3362
@khadijabuberwa3362 2 күн бұрын
Mwenyezi mungu akutunze shekhe kishiki
@Zulpha-i5d
@Zulpha-i5d 2 күн бұрын
Salam Alekum Mashaallah asante sheikh wetu na Allah akulinde uendele kutuelimisha
@rehemaseif1785
@rehemaseif1785 2 күн бұрын
Jazakallahu khair. Allah s.w akulipe kher zaidi shekh wetu. Umesema ukweli mtupu. Enyi ndugu zangu tumuogopeni M.mungu na tuogopeni siku tutakayorudishwa kwake. Tutende mema na Allah s.w atatujaalia maisha mazur duniani na akhera.
@SalumMusafiri
@SalumMusafiri 5 күн бұрын
Shukran sheikh dini inahitajiya watu kama nyinyi .
@Herson-yw6cn
@Herson-yw6cn 5 күн бұрын
Safi sana Shekhe Kishki Allah akuhifadhi. Mashekhe jitahidini kusimamia dini msikubali dini yetu kuchezewa
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 Күн бұрын
Dini yenu dhaufu
@MwamediNzeyimana
@MwamediNzeyimana 5 күн бұрын
Allahu akuhifadh sheikh wetu akuzidishiye Rehma zake akupeumrimrefu uzidi kufunguwa umma
@wouldsayeed8465
@wouldsayeed8465 9 сағат бұрын
Maashaallah, Allah akuhifadhi na azidi kukuinua, Na sema kwel Allah yuko pamoja nawe, Shekh Uko sahihi kemea, hakuna wakukemea,.... wengi wanahitaji maslah ya pesa, tunawaona sana na tunashangaza na ushekhe wao, wanaangalia dunia zao hali ya kuwa umma unaangamia wako kimy na kurushiana maneno ya dharau kwa wasema Kweli mfano wako.
@Veronicahcharles61comAsia
@Veronicahcharles61comAsia 11 сағат бұрын
Mola mlezi akuongoze inshaAllah akupe umri mrefu ili utufunze zaidi Ameen
@ShamilaAbdul-n8b
@ShamilaAbdul-n8b 3 сағат бұрын
Mashaallah shekhe langu. Tupe mawaidha shekhe. Allah atuweke mbali na shirki jamani😢
@SmilingBoardGames-jm4sj
@SmilingBoardGames-jm4sj 14 сағат бұрын
Mola Akuifazi sheikh wetu akupe maisha bora duniani akukinge na vijico❤
@ZulfaAbdallah-p9f
@ZulfaAbdallah-p9f 7 сағат бұрын
Allah akulipe shekh wangu Kwa kupinga huu ujinga na uzalilishaji wa dini yetu,,
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 9 сағат бұрын
Shekher wangu nakukubali sana inshaallah mungu akufanyie wepes katika kila jambo lako na uzidi kutuelimisha maa amuuma
@PapaabdouAli
@PapaabdouAli 5 күн бұрын
Sheikh Nurudini Kishiki , Nahapa visiwa vya KOMORO Tunakufwatiliya Vizuri , Allah Akubariki Innshaallah . Ali Adam. Visiwa vya KOMORO.
@FakhiChapozo
@FakhiChapozo 21 сағат бұрын
Safiii maalim wangu
@NaimaUssi
@NaimaUssi 4 сағат бұрын
mashallah sheikh wetu allah akubarik atupe mwsho mwema
@MwanaHamis-y4e
@MwanaHamis-y4e 2 күн бұрын
Allah azidi kukuifadhi shekh Nirdiin dunia ya sasa kira mja anaangalia jinsi gani atajiingizia kipato najifunza mengi kupitia hotuba zako japo sina elimu ya kidini ila naiifunza na Allah aniongoze ktk kuzingatia swala dunia ni Mapito
@KhadijaTwalbu
@KhadijaTwalbu 2 күн бұрын
Qut
@AhmedHImran
@AhmedHImran 5 күн бұрын
Masha Allah jazaka Allahu kheiran hili jipu lilikua limeiva wewe ukaja kulipasua na kulikamua atapona sasa na wenzie ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MariamHaroon-pu3lx
@MariamHaroon-pu3lx 5 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢shehe wetu tunakupeda sana 😢 🙏 huu ni musimba kweri😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@AsiyahNory
@AsiyahNory 4 күн бұрын
Masha Allah tabarakah rahman Sheikh wetu Allah akupe siha njema na umri mrefu wenye khery dunian hadi akhera shukran sana wallah kuelimisha umma wa kiislam Allah akulipe pepo ya juu insha Allah
@zuleikhaabdhallah-bu1sg
@zuleikhaabdhallah-bu1sg 5 күн бұрын
Umezungumza mambo muhimu sanaa jazakallah shekh wetu
@AsiaAroun
@AsiaAroun 2 күн бұрын
Amiin InshaaAllah mwambie ukweli Dunia imeisha watu watafute UTAPELI tu
@hadijasufiani6167
@hadijasufiani6167 5 күн бұрын
mashaAllah hongera shekh Kishki ww msema kweli kipenzi
@nurusalim5894
@nurusalim5894 Күн бұрын
اللهم صلي و سلم وبارك عليه. صلو عليه.
@jamalnamkuna2143
@jamalnamkuna2143 2 күн бұрын
Shekhe umeeleweka ewaaaa Allah akulipe kheri nyingi fidunia wal-akhera
@Fatima-v9k6f
@Fatima-v9k6f Күн бұрын
From 🇧🇮 mashaallah ❤
@mickdad8309
@mickdad8309 7 сағат бұрын
Mungu akupe umri shekee wangu nurdeen
@davidruhasha9670
@davidruhasha9670 6 күн бұрын
Mungu akulinde sheikh kishki, njaa za maamuma wetu zimefika pabaya
@zuleikhaabdhallah-bu1sg
@zuleikhaabdhallah-bu1sg 5 күн бұрын
Allah akulinde naakuzidishie ili uendelee kuelimisha ummah
@MbarakSoud
@MbarakSoud 2 күн бұрын
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam raahaa sana alhaamdulilaah uislam ni njiaa iliyoo nyookaa alhaamdulilaah ukweli unaaumaa waaambie ukweli waislam wako Sasa matapeli sana shida maslahiiii yaooo yaooo ya duniani huooo ni msibaa mkubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn alhaamdulilaah alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar takbir alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar takbir alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar takbir alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu wape ukweli wape ukweli haaaoooo wanafki
@BintAlly-k5r
@BintAlly-k5r 2 күн бұрын
Asant Nimekuelewa sana Allah atuongoze inshaalla
@AbdullKareem-o6d
@AbdullKareem-o6d 3 күн бұрын
Allah akup uhai sheikh kishkh kl tanzania wew ndo kiboko yao allah hajakosea kukupa ilmu
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan Күн бұрын
BARAAKA LLAAHU FIIK SHKH,ALLAH AKUJAALIE AFYA NJEMA UZIDI KUWAUMBUA HAO MATAPELI WA DINI
@AminaAli-w3s
@AminaAli-w3s 5 күн бұрын
Allah akupe umri mrefu sheikh bora utesemee jaman
@MogiAbdallah
@MogiAbdallah Күн бұрын
Ahsante sana Shekhe wangu watu wengi sahv wana act kujiingizia kipato ikiwa hawajali wanapotosha Dini yetu Tukufu 😢 Allah akujaalie Shekhe🤲🏽Nakumbuka ulikuja Madrasa yetu pale Bbt ukatufundisha Dua moja hv mpk leo nimeihifadhi ❤
@5amediaonline335
@5amediaonline335 5 күн бұрын
❤❤❤❤ SHEKH KISHKI MASHALLAH ALLAH AKULIPE JANNA Inshallah
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 23 сағат бұрын
Nakupa hongera bora uchukiwe kuliko kuulizwa siku ya kiama kwamba ulichukua hatua gani
@omarymbwana9798
@omarymbwana9798 2 күн бұрын
Shekh Namuomba Allah akulipe wallah Allah nishahid juu ya unayo fanya ktk dini yke nimetokea kukupenda kwaajili ya Allah na Allah atukutanishe peponi Amiina
@Veronicahcharles61comAsia
@Veronicahcharles61comAsia 11 сағат бұрын
Asalam aleikum sheikh yaani bado,bado,hawakaribii ataa kidogo yenye mimi najue mteule wa Allah hana kinywa,ukakasi,hatusi,wala kujipiga kifua ati naweza hakuna
@Muiana-p5b
@Muiana-p5b 2 күн бұрын
Mwenyezi Mungu akuepushe na husda na maradhi ustadhi uzidi kutuelemishi
@hajihabibumaguno2982
@hajihabibumaguno2982 5 күн бұрын
Katika mashehe wanaosema maovu wewe mashaallah
@saloomidd1084
@saloomidd1084 2 күн бұрын
Anajitahidi kusema haki
@FatmaSaid-cz4nz
@FatmaSaid-cz4nz 5 күн бұрын
Nakubali sheikh for kenya
@zuleikhaabdhallah-bu1sg
@zuleikhaabdhallah-bu1sg 5 күн бұрын
Allah akufurahishe duniani na sheria
@abdulkarimisihaka2145
@abdulkarimisihaka2145 6 сағат бұрын
Asante shekhe kwakukemea uovu huu
@astamohamed9717
@astamohamed9717 Күн бұрын
Upo sahihi sana shekhe
@MariumYusufu
@MariumYusufu 10 сағат бұрын
Allah akuifadhi shehe
@mwajohari4385
@mwajohari4385 5 күн бұрын
Naaam Naam uislam dini ya haqi,,, shukran saana sana
@HassanMsongola
@HassanMsongola 5 күн бұрын
Allah akupe heli dunian & ahela kw kua mkweli
@rehemashebani3711
@rehemashebani3711 5 күн бұрын
Asante sheikh kishki mijtapeli kweli kweli afadhali umewaanika wajitafakari wa muogope Allah
@MohammedMatimbwa-p5m
@MohammedMatimbwa-p5m 12 сағат бұрын
Hakika ALLHA ana watu wake nao ndio watakao ipigania dini yke mashaallah shekhe wetu
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary 5 күн бұрын
Wachape kisawasawa hao Shaykh, wamejisahau sana. Allah akujaze kheri habeeb
@d15355
@d15355 5 күн бұрын
Amchape nani wahabi huyu hajielewi,angekuwa na nasaba ya mtume huyu asi ngekuwa wahabi wala asingepinga mawlid vitus vinavyompinga mtume nine mashaka kwenye nasabu yake
@d15355
@d15355 5 күн бұрын
Tuna mashaka na nasaba yako kishki sababu zamani watu wengi sana walijisingizia wao ni nasaba ya mtume walikuwa wanawadanganya watu mfano mtu anatomy Yemen huko antenna Somalia wasipomjua nae anajiita sharifu au Sayyid ,na watu wanamwita hivyo sababu hawamjui alipotoka ndio unakuta kuanzia yeye na wanae wote washakuwa masharifu baada ya hapo,sasa sidi Tuna maxhaka na wewe kama ungekuwa sharifu wewe usingepinga mawlid hakunaga sharifu wa ukweli anaepinga mawlid wewe unamushkel jichunguze ,mtume alimkataa sharif Hussein wa makkah kuwa sio all bayt wake unalijua hili au unataka kujisifu tu?
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary 5 күн бұрын
@@d15355 Nawe unaona umeongea ??
@d15355
@d15355 5 күн бұрын
@@ShamsudeenOmary mimi si mfuasi wa mawahabi na wapinga mawlid kama ulivyo wewe
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary 5 күн бұрын
@@d15355 Hilo halinihusu ila umeongea maneno ya dhulma
@fatmaLubuva
@fatmaLubuva 2 күн бұрын
Maashallaah molla azidi kutumilikisha wasema kweli .sema ukweli hata kama unauma.kulhaq
@Sharrif01
@Sharrif01 23 сағат бұрын
Sheikh Nurudi Kishki spoke the truth. Alhamdulillah tuko maju na tuna mtambua kama Sheikh Nurudin Kishki. Allahu Mabarik
@AsiaMsenga
@AsiaMsenga 2 күн бұрын
Tunamuomba Allaah ataxidi kukuhifadhi na kukupa ujuzi Allaah akupe uimara zaid
@IssaJuma-jj6jx
@IssaJuma-jj6jx 4 күн бұрын
wew ni wa kwanza kuthubutu kuyasema haya asant
@HaibaAyubu
@HaibaAyubu 3 күн бұрын
Wanalaa ya Allah Hawa masharifa feki
@mzeemzee7503
@mzeemzee7503 5 күн бұрын
WAJAAL HAQ WAZAHAKAL BATWEELA ❤
@SalamaMtwiku
@SalamaMtwiku 12 сағат бұрын
Mungu akutangulie yalinikuta hoyo yakwenda kwa sharif yaliyonikuta mungu ndio ajuae sijaenda tena zaidi yakumuelekea Allah nashukuru
@bahatihamissi1161
@bahatihamissi1161 14 сағат бұрын
Shekhe Kishik ALLAH akulipe kheri kwa kuzidi kuwaelimisha waislamu wote ulimwenguni
@Omanzikra-ft5cr
@Omanzikra-ft5cr Күн бұрын
Masha allaha sheikh wangu kishki ndomana nawapendaga nyinyi masheikh wa kisunna mnapoona jambo baya linaingizwa katka dini yetu dakika2 mnalipinga kwa dalili zote takizo nihawa masheikh zetu nasasa hivi haovijana wakitakakujitokeza wanapitia kwanza kwa masheikh zetu alafu wanawapa hela ili wawapitie mbele kwasababu hawa masheikh wanawatu wengi kamavile mtu leo anamuona sheikh mazinge yumondani yao tena katikati anamtangaza yule kijana lazima mtu mwenyeimani dhaifu ataamin dah sheikh mazinge anamsadiki yule kijana muongo na anampamba imeniuma sana
@khalidaomar3232
@khalidaomar3232 2 күн бұрын
Mashallah
@ummykilongo
@ummykilongo Күн бұрын
Alihamdulilahi namshukru allah kila ninapoangalia video zako najifunza kitu asante kwa kutuongoza kwa yaliyo ya kweli shekh kishiki
@issasuleiman2995
@issasuleiman2995 19 сағат бұрын
ما شاء الله
@KhalifaAlnabhani
@KhalifaAlnabhani Күн бұрын
Alllah akuhifadhi shekhe kishiki nakupenda san san ❤
@tahyiatahyia792
@tahyiatahyia792 5 күн бұрын
Hongera xn sheikh kuwafahamisha waislam kwa kile kinachoendelea wallah msiba tena cha kustisha wanawake ndio wengi tunaopumbazwa na ujinga wa huyu kijana asieyejielewa wanawake wenzangu turudin kwa Allah tusiwe vipofu kias hicho
@mussakantumba9914
@mussakantumba9914 4 күн бұрын
Wanawake wengi wenu ni mashetani na mtakuwa motoni wengi
@mudighurayra
@mudighurayra 2 күн бұрын
​@@mussakantumba9914asta ghafirullah utaitaje wenzio mashetani wewe waombee kwa Mungu awaongoe kusema kuenda motoni wewe pia huja jijua unako elekea pia
@LATIFAJOSEPH-h5q
@LATIFAJOSEPH-h5q Күн бұрын
Alhamdullillah
@IssaIddi-b6s
@IssaIddi-b6s 15 сағат бұрын
Alhamdulilalah ALLAH atuongoze
@Ommywhity7
@Ommywhity7 Күн бұрын
Asante Sana shekhe nurdin kishq Allah akifadhi na akupe umri na afya uzidi kuitangaza Dini yake na kuilinda Dini yake
@sadakheri1795
@sadakheri1795 5 күн бұрын
Mashaallah tabarakallah allah sheikh kish tabarakallah allah akulinde sasa maneno yako saiv imefikia yote
@aishahazary4097
@aishahazary4097 Күн бұрын
Maasha Allah... Jazzakallah khayra shehe Kishki
@OmaryBakariOmary-ts3mf
@OmaryBakariOmary-ts3mf 4 күн бұрын
Allah ampe umri mrefu kwa kusimamia ukwel
@nassoromwakuchengwa6817
@nassoromwakuchengwa6817 4 күн бұрын
Ukweli huo ila ukweli unauma Asante xna sheikh kw kutufungua vichwa ( wameipata iyo)
@abdulabdu3235
@abdulabdu3235 Күн бұрын
Munguakuhifadhi shehe wetuamin
@TamoniKambanga
@TamoniKambanga 22 сағат бұрын
Alla akulipe inshaalla
@istambulahmed6664
@istambulahmed6664 5 күн бұрын
شكرا وجزاك الله خيرا وبارك الله فيك قد استفدنا جدا جدا..
@HurumaJobu
@HurumaJobu 5 күн бұрын
Sheikh kishki ALLAH akuhifadhi wewe ni mmoja ya watu mlionifanya nisilimu kwa hiyari na mlinifanya niupende uislamu siku ya kwanza kuingia msikitini nilifarijika mnoo hakika dini ya haki mbele ya mwenyezi MUNGU ni uislamu
@prochesernest5439
@prochesernest5439 4 күн бұрын
Karma uliacha ukristo ukaenda huko kwenye uislamu pole Sana maana Quran inasema hukiwa na jambo linalokuatatanisha waulize wasomao vitabu kabla Yako vya kale ni wakristo na na wayaudi 10:94 Quran
@shamzone388
@shamzone388 4 күн бұрын
@@prochesernest5439pole ndugu yangu hasara juu yako Mwache achague dini anayoipendA malipo tutayajua huko tuendako
@AsyaMbarouk-tk2gl
@AsyaMbarouk-tk2gl 3 күн бұрын
Hakika umefanya maamuzi bora kabisa kuingia dini ya HAQI
@rehemaabdallah9370
@rehemaabdallah9370 3 күн бұрын
Masha Allah ndugu yangu katika imani
@HurumaJobu
@HurumaJobu 3 күн бұрын
​@@prochesernest5439pole ya nini sasa
@AbubakarOttoman
@AbubakarOttoman 5 күн бұрын
Jazakallah khaira
@SaleheSalim-x4u
@SaleheSalim-x4u 5 күн бұрын
Safi sana sheikh kishik wakatafute kazi za kufanya kuliko kutapeli watu kupitia din
@MariamNkelame
@MariamNkelame Күн бұрын
Masha aallah Allah akulipe Kila la kher
@SuleIstighfar
@SuleIstighfar 14 сағат бұрын
Kuwa na subra inshallah kwa yote yakupatayo kwa hakika upo katika haki
@HabibuTuruki
@HabibuTuruki 5 күн бұрын
MashaAllah
@jaffarmohamed6859
@jaffarmohamed6859 Күн бұрын
Mashallah we miss u sana
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr Күн бұрын
Shekh ongea ukweli hata ukiwauma sawa tu wee tafuta radhi za Allah kwa kufikisha, watakuchukia coz umetoa code yao ya upigaj, Allah akuongoze InshaAllah
@itshero9905
@itshero9905 Күн бұрын
mungu akuhifadhi shekh wetu
@muhidinzuberi8708
@muhidinzuberi8708 Күн бұрын
Umesema kweli shekh kishk Hawa nimatapeli sio masharifu
@MariamNkelame
@MariamNkelame Күн бұрын
Allah akuhifadhi
@NoraKedir
@NoraKedir 3 күн бұрын
Kabisa shehe mkatazeni mazinge asirudi kuwa nyuma yauyo sharifu mshirikina😢😢😢😢😢😢mazinge alikuwa anapenda na watu ila mtutamkataaa kbs 😢😢😢😢😢
@abuusaidy1506
@abuusaidy1506 5 күн бұрын
Allah akulipe sheikh wangu kishki endelea kuwazinduwa waja Hawa wa Allah
@nadhirufadhili9074
@nadhirufadhili9074 5 күн бұрын
Allah akulipe jannah Ameen
@SherallyHussein-tu1nk
@SherallyHussein-tu1nk 5 күн бұрын
Baarakallah fiyk yaa Sheikh Nurdeen Shareef Kishki. Wafikishie matapeli Matope hao, kama watakuwa ni wenye mioyo( sio pampu za kusukuma DAMU)
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 15 МЛН
ЗНАЛИ? ТОЛЬКО ОАЭ 🤫
00:13
Сам себе сушист
Рет қаралды 2,3 МЛН
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 11 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
JINSI YA KUJILINDA NA UCHAWI NA WACHAWI: SHEIK JUMA KONDO BUNGO
46:37
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 20 М.
SHEIKH KISHKI AVURUGWA NA MASHARIF FEKI
29:55
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 10 М.
MCH. NDACHA AWAKABA KOO WAHADHIRI WA KIISLAMU, UST SHAFII, BAKOZI, KINYOGORI
20:44
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 57 М.
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 15 МЛН