Best of comedian Joti anaupiga mwingi sana like nyingi kwa mfalme wa comedy😇😇❤️❤️❤️❤️
@darvie76532 жыл бұрын
Hahahah😂😂😂eti hat kwetu Kuna miti aje achezee ,nimecheka sana🥳🥳😂
@edithajohn96002 жыл бұрын
Tuliokuwa tunakula kwajirani tujuane😂😂😂
@nasrymahad1332 Жыл бұрын
Hahaha we acha tu
@aminaomary55679 ай бұрын
Hapo amekosea bi ubwa angechanganya asingejua kitu❤❤❤👍👍👍
@zenadaudzena28499 ай бұрын
Bi ubwa Inna lillah wainn illah
@thesoundtvonline2 жыл бұрын
Joti joti 🤣🤣🤣🤣 we msenge Kweli Jaman nawamben like zenuu
@arnhemzuid88852 жыл бұрын
🤣🤣, Andunje kwa KUDUSA mpaka umejipa uraia wa familia nyingine. Ungekoma kama Bi Mkubwa angekuwa na mwanawe Mwamba angeakikisha hata ukinawa mikono huli. Bi Mkubwa nimefurahi kukuona. Nice combination na Bi huyo mwengine , I mean Mama Andunje. You made my day.
@khalidhaminadia17412 жыл бұрын
Nimesoma Kuna ujirani mwema ndani yake, tunafaa kuishi hivi ❤️.
@mailacamillius2 жыл бұрын
Wanajua sana!! Joti ajitahidi kuweka stori za maadili kama hizi
@anthonymwambepo74412 жыл бұрын
Dahhh eti niko kwenye atua nzuri naitwa mpaka mtoto wa humu 😂😂
@Mikeys-m9w2 жыл бұрын
Jiwaze 🤣🤣🤣
@salmahabdallah72032 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Hiko kipande nimecheka sana
@barakahassan87432 жыл бұрын
Kwa kweli nimecheka Sana... Eti hatua nzuri😅😅😅😅😅
@suleimanngare67072 жыл бұрын
Yani atakama umenuna kwa andunje utafurai tu big up bro🇰🇪🇰🇪🙏🙏👌🤝
@adolphdamas31892 жыл бұрын
Ugali unaning'ong'a.... Chakula cha mbi-mdashi🤣🤣
@omarmsuya24592 жыл бұрын
Huyu mtu atanipasua mbavu km simba mchezaji wa kt chamaa
@amanimadinda60812 жыл бұрын
😆😆kaisanukia eti kitu ya bi mdashi kabisa hii
@Iammose7762 жыл бұрын
Nobody talks about this great. Nifikisheni 1k subs nitashukuru 🙏 wadau
@TALLUBOY2 жыл бұрын
alo wew dogo kumamamayo sana andunje et dagaa wamesimama wagum
@furahaangelique7752 жыл бұрын
Nilikuwa nime Miss uyu mama mnene anajua sana
@ahmedsdk67362 жыл бұрын
Tulopiga Stolo way Enzi hizo tujuane 😂😂
@ndayishimiyeelias96922 жыл бұрын
Bi Kaye anaweza Andunj
@lewiskombole29172 жыл бұрын
Ugali umettoka nchi za nje🤣🤣🤣🤣🤣
@mariaamisi2 жыл бұрын
😂😂😂
@dullah_fitness2 жыл бұрын
You're always the best bro
@erickmidomsodock87162 жыл бұрын
Siku yangu imeisha hvyooo Sina stress kabca 😆😆😂
@martinezthomas0302 жыл бұрын
Mzee kashituka😁😁ugali from somalia huu
@elishalugodisha20382 жыл бұрын
Ila we jamaa ulitakiwa uwe imataifa sana ni basi tu language barrier,u always make our days.
@coldfayahmistari2542 жыл бұрын
Kenya tunapenda Sana Mr joti🙏💯
@mkasysaidswalleh92222 жыл бұрын
Andunje toto htr...utoke kwenu uhamie kwa wenzio 🤣🤣🤣
@shabanmohammed82352 жыл бұрын
Ugali una maziwa, blueband na glycerin 😂😂😂😂
@frankenock28532 жыл бұрын
Dagaa wamesimama
@nawandafamito5002 жыл бұрын
Nimekuwa wa pili kwa kukomenti ni noma sana
@obadiakaguo1116 Жыл бұрын
Daaah hayo maisha watu tumekulia hayo home kuna 🐄 waudingo joti ni fundi sana
@kamikaziannemarie51242 жыл бұрын
Ugari umetoka nchi za nje 🤣😂🤣😂🤠🇧🇮🇧🇮
@mathiasswai70062 жыл бұрын
Nakuona CEO wa comedy TZ God bless more brother
@eggysulle79882 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣et nmefkia hatua nzuur naitwa mtt wa umu 😄😄😄😄
@wolfgangkichai85772 жыл бұрын
😆😆😂😂😂umenikumbusha mbali sana
@sabihaibrahim1432 жыл бұрын
Ulipokuwa ukidusa vijumbani
@tanzaniaseriesinswahili57002 жыл бұрын
UGALI UMETOKA NCHI ZA NJE 😄😄😄😄😄😄😄
@hafidhali43362 жыл бұрын
Joti anachekesha duh mbavu zangu mie😁😁😁
@Samyoungmusic2 жыл бұрын
You make my day jotiii ...# Andunje#Nishai#Kiboga much love from county 001...Mombasa
@Rahmah-dr9xd2 жыл бұрын
Andunje adi ugali alopika mama ake anaujua😂😂😂😂
@bantkmaca57562 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣joti uniacha oi
@khadijahbanana5602 Жыл бұрын
Nipo hatua nzuri 😂😂
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
Iii kwetu iii🤣🤣🤣🤣nime kumbukumbu mbali sana 😂😂😂🤣marafiki zang wana kuja nyumban kila cku
@grorycleophace41892 жыл бұрын
😂😂😂💪jot unajua Hadi unakela
@hemedjumaa3902 жыл бұрын
Mama huu sio Ugali nakula mwamba Nakula matofali 😂😂😂
@doreenmsafari29459 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@fatemafatema85812 жыл бұрын
Ugali umetok mpakan wa dubai maaan ht mkono unakuwa na ganz joti ww noma nimechk dagaaa wanakwam misumal🤣🤣🤣🤣
@lilianalmas59112 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Leo nimechelewa lakini Nakubali Sana Bro Jotiii 🔥🔥🔥🙌🏼
@samopemo23572 жыл бұрын
"Huu ugali umetoka mpakani huu"🤣🤣😅...joti
@timetravellor53672 жыл бұрын
Dagaa misumari
@HajjiBawazry9 ай бұрын
Uwono
@neemamapunda52962 жыл бұрын
Nakukubali sana broo
@patrickmukundichalamila30382 жыл бұрын
Eti ugali umetoka nchi za nje😂😂
@abangaabanga4677 Жыл бұрын
Joti bwana, ati aaaaa kumbe ndo plan yenu eeee 🤣🤣🤣
@janethmsogoti86772 жыл бұрын
😂😂😂😂ugali umetoka mpakani
@jolinkimaro99392 жыл бұрын
aisee raha sana. asanten. eti mtu mpka mamake anamshika kwa nguvu amtoe kwa watu kisa msosi
@osamamahmouds98279 ай бұрын
Siamn kama huyu Mama Bi Ubwa ndo hayupo Tena 😢😢😢😭😭
@johsonkazimili28082 жыл бұрын
Hahaa eti kafikia hatua nzuri mpaka nae kawa mmoja kati ya watoto wa ile familia joti ana vituko sanaa...
@jeffmastertz2 жыл бұрын
Ludisha sopa na kipande wako na talented wale jamaa
@masakaneema46182 жыл бұрын
Ujue joti ni fala wew
@aishalove45992 жыл бұрын
Ni somari na dubai🤣🤣🤣🤣🤣
@simonandrew14892 жыл бұрын
Joti you make it wonderfulll
@Notorias2 жыл бұрын
joti 4 president 😁😁😁😁
@abdulirashidi84392 жыл бұрын
Huu ugali umetoka nchi za nje
@hamadiabdallah39062 жыл бұрын
We ujui chochote wananichezea Akili hiki chakula cha bi mdashi 😆😂😂😆😆😂
@wilsonjonas54812 жыл бұрын
Ety nakula mwamba haya matofali🤪🤪🤪
@hamzasuleiman96052 жыл бұрын
Hii haichekeshi , ila kwa kuwa ni Joti wacha nichekeee 🤣🤣🤣🤣🤣 Weee nomaa dah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@meshackaloyce96622 жыл бұрын
Weeeee jott ni shida nyingine 🤣🤣🤣🤣
@selemanzuber502 жыл бұрын
Nani kaskia kula kulana kama mie 🤣🤣🤣🤣🤣
@marthinethomas30202 жыл бұрын
Mie shehe wangu 🔥🔥😂
@juma62532 жыл бұрын
Huyu mama mhuni
@nimujocentre21732 жыл бұрын
Umetoka Mpakani😂😂bwege huyuuu😂😂
@sophiangaoga74512 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@castorymakole22252 жыл бұрын
Hahaha jotiii nomaaa🤣🤣🤣
@salimjumaa81802 жыл бұрын
😂😂😂🙈Ugali umetoka mpaka au nchi za nje... hatareee! Joti hii umeua mno👌
@johanesnixon54732 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣chakula kimetoka nchi zanjeee
@eliyaharry80482 жыл бұрын
Nimeanza kucheka na comment kabla sijafikia
@johanesnixon54732 жыл бұрын
@@eliyaharry8048 🤣🤣🤣🤣
@starlonejadamskp82242 жыл бұрын
Never disappoint Jotiiii 🔥😂
@siambimungahu48222 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ugali umetoka nchi za nje
@vicentmlumba5912 жыл бұрын
Daaaaah yaaan naangalia but kabla Mama hajaingia ndani na chakula ikoo Kama naona 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌 andunje Hilo timbwili