Рет қаралды 37,602
Kila hatua unayoipitia na kila kikwazo unachokivuka ni Mungu pekee ndiye Muweza wa Yote Maana Neno lake limesema "BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya" Kutoka 14:14
Ungana nami kupitia wimbo huu wa "NISINGEKUWA HAPA" Tumrudishia Mungu sifa na Shukrani kwa yale yote aliyotutendea na ambayo hajatenda tukiwa na Imani kwake yakuwa Atatenda kwa Wakati wake tusipo zimia Mioyo.
Audio Produced by: Mixing Doctor
Get it on ALL DIGITAL PLATFORMS
Listen to NISINGEKUWA HAPA by Kibonge Wa Yesu Ft. Godfrey Mteule
On Boomplay: www.boomplaymu....
On Audiomack: audiomack.com/....
©2024 KiboMelodies. All rights Reserved.
#KibongewaYesu #NisingekuwaHapa #GodfreyMteule