Mungu Akubariki unapo sikiliza ujumbe huu na kutazama Video, Usisahau Ku subscribe channel yangu hii kwa Ujio wa Baraka zaidi na zaidi. Ubarikiwe sana Mtu wa Mungu. Stream and Download in All digital Platforms.
@danielmsongoleofficial3 ай бұрын
@@KibongeWaYesu Aimeeen Nabalikiwa Saan NAHII nyimbo kaka 🤚
@emmanuelmwaipopo50863 ай бұрын
Ameeen familia
@Promiseedward-ym8cr3 ай бұрын
Amen
@dennohmpole3 ай бұрын
Ameen I love this song...
@gentrinendombi7372 ай бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏
@EuniceNgotho-i4t3 ай бұрын
Wale tumetoka tiktok wapi likes ❤️♥️
@RamsonKwendo3 ай бұрын
😂😂😂😂
@SylviaKageha-ww6wl3 ай бұрын
Hey 😅
@MargaretNguyai3 ай бұрын
😂❤❤
@gracewairimu39743 ай бұрын
Wale tumetoka TikTok leteni hizo likes..hii ni my new song❤❤
@JacklineMwangi-l5r2 ай бұрын
From tiktok to search for this beautiful song
@salvation254.3 ай бұрын
Mungu ameniona na mimi, wapi likes za 🇰🇪🇰🇪
@SylviaKageha-ww6wl3 ай бұрын
❤❤
@RehemaKomba-d6tАй бұрын
Amen ubarikiwe mtumishi
@mercywatuka2 ай бұрын
TikTok brought me here 🎉🎉
@vigillennox25983 ай бұрын
Kiukweli Yesu ameni update💯💯 I was behind bars the year 2020 and after i got out i experienced rejection, hate, i was despised and labelled names. I had no shelter, no food and nowhere to call home or a friend. Even family rejected me and the pain was too much to bear. The day i realised God's hand and mercy rests upon me.. I woke up, dust off my feet. The humiliation, pain and rejection i felt became my strength and Lord, Jesus has been there to take me through it all. So, mkiona NATUMIKA niacheni jamani. Lord, Jesus your daughter is here to commit and be of service to you and only you. Mungu akubariki sana na zaidi kaka.. Umenibariki kwa kiwango fulani ni Mungu tu anayeelewa. But since jana niskie wimbo huu imenilazimu kuingia KZbin nikutafute na nimepata kuskia nyimbo zako kadhaa na nikadownload pia. God bless you, bro❤🙏
@danielmsongoleofficial3 ай бұрын
MUNGU Ameniona nyimbo Taam Saana hii
@samsonkihombo88173 ай бұрын
UWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!! AMENIONA AMENIONA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 BALAAAA LIKO HUKU KIBOOOOOOOO IMBA BABA 🗣️🗣️🗣️
@terryndanu65882 ай бұрын
I'm blessed.... Wimbo unaoleta utukufu wa Mungu 💯
@sarahmushi32293 ай бұрын
My song uuuwiii😭🙌🙌 Mungu ameniona kwel alipo nitoa na hapa nilipo ninakila sabab ya kumwambia asante. Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu Kibonge. Mungu azidi kukutumia zaid na zaidi 🙏🏻
@GIBSONESTON527-v1g3 ай бұрын
Amina kaka Mungu akubariki Sana kwa kazi nzuri
@Naomie.kerubo2 ай бұрын
Amen Amen 🙏 Yesu ameni update ❤❤🙏 More grace and favor upon you 🙏
@deusderrick45043 ай бұрын
I speak life into this song ikakupeleke viwango vingine kwenye huduma yako.Hautobaki pale ulipokuwa maana Mungu amekuona nawewe🙏🙏💫🎶
@wanguircofficial31742 ай бұрын
TikTok Hadi apa
@KibongeWaYesu2 ай бұрын
God bless u
@molexkeaofficial3 ай бұрын
Hongera kaka MUNGU akuinue viwango na viwango🙌🙌🙌🙌🙌
@gellshamsimon33473 ай бұрын
Hakika tuna Kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa hivi tulivyo ni sababu ya yeye 🙌
@emmanuelngendakumana33613 ай бұрын
Kibo🤝
@ruthmwasomola6553 ай бұрын
Mungu asante kwa wimbo uliyo kuja kwawakati kwajili yangu Barikiwa mtumishi ❤
@catherineanzetse70913 ай бұрын
Mwanzo mimi mwenyewe ndio najua kule amenitoa. Amen Amen Ameniona na MIMI
@kageniJohn7562 ай бұрын
I love this my year song 🎵 it's here❤❤❤❤❤
@Nathan_Thee_Gospel3 ай бұрын
Kubwa sanaa
@yohana_antony3 ай бұрын
Wimbo mzuri Kaka ubarikiwe sana
@producershesa3 ай бұрын
Mungu ameniona
@MrMwakalambo3 ай бұрын
Ni Mungu ashukuliwe
@pastorrichardsanga21623 ай бұрын
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu hakika ninayo sababu
@marymmbone69763 ай бұрын
Mm mwenyewe ndie naelewa kule amentoa Ameniona, amekua akiniona for long niacheni bwana,❤❤❤❤❤.
@JordanKabelege3 ай бұрын
GoD akubariki xana nyimbo yatutia nguvu na kutupa faraja tubaki kwake nasi atatuona ty what a song ❤
Mungu akuinue zaidi kaka nyimbo zako zinatubariki sanaa 🙏🏼🙏🏼🥰
@molexkeaofficial3 ай бұрын
MUNGU AMENIONA NIMEKUWA WA KWANZA 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SuzzyK-ve2ss3 ай бұрын
Imenimbaliki sana pitia kwa suzzy k
@Mrishowalengamina-bx2to3 ай бұрын
Mungu akubarik san kaka
@lisiasjoram3 ай бұрын
Umeniona mabadiliko yangu wewe KIBO umetika MUNGU akubaliki
@EsauTosh3 ай бұрын
Kaka umeua hii 🎉🔥🔥🔥 AMENIONA NA MIMI
@alexmwakikambako47433 ай бұрын
Onger sana kaz nzri sana mungu akubariki sana Kaka
@samisaya98193 ай бұрын
Mwana nzambe kazi nzuri
@jovingospel9733 ай бұрын
Naisubiria kaka kwa nguvu
@Nknevil3 ай бұрын
I love son much de songs ❤ I’m from Congo 🇨🇩 god bless you bro ❤️
@Beny_Daniel3 ай бұрын
Kazi ni njema sana mtumishi🎉❤
@GodwinSilas_3 ай бұрын
Amen. Mungu ameniona na mimi. Ninayo sababu ya kushuhudia.
@OSCARKALONGOTI3 ай бұрын
Mkuuuuuu! Hii ni Hatari
@godwinnyanja84992 ай бұрын
Ubarikiwe SANAAA Kaka zaidi ya sanaa MUNGU AKUPE mafunuo makubwa namna hii
@CharlesMadanganya3 ай бұрын
Ameniona
@andrewkihweloofficial65893 ай бұрын
Ni wimbo wa baraka sana huu hakika watuache tu wasione tumechipuka juzi ila kuna mahali ambapo MUNGU ametutoa
@menloofnjovu-x9x3 ай бұрын
blesssss kibooo
@elishageorge4923 ай бұрын
MUNGU AMENIONA MIMI MWEE❤❤❤❤
@ayubuchristian73563 ай бұрын
Amina mtumishi
@leoncehaonga97453 ай бұрын
Welcome to the music surgery globally 💥💥💥💥
@anoryjacsoon3 ай бұрын
Amen
@nicemsokwa97743 ай бұрын
Hakika ameniona na mimi kati ya wengi hakika nina kila sababu ya kumshukuru Mungu.....barikiwa sana kaka yangu
@shedrackfungo13293 ай бұрын
Ameniii🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉unajua sana my blatha
@ezekiamwifyusieliah3 ай бұрын
Yesu ameni update 🎉
@GuillainByamsofficial3 ай бұрын
Kali sana
@jean-claudeyadema51913 ай бұрын
Amen and amen 🙏🎉🎉
@nashonchana47653 ай бұрын
Kaka kibo melodizo 🎉
@eliamboka12533 ай бұрын
Blessd more
@DAUDIMACHIMU20 сағат бұрын
nimebarikiwa sana na wimbo ,nimekuja hapa baada ya kuisikia sokoni kariakoo kwenye mahubiri ya mtumishi wa MUNGU mtaa kwa mtaa ,ndio nimekuja ku google
@PatrickMwakalosi3 ай бұрын
My brother, dude langu bora la mwaka, litapata views wengi Mno 💪💪
@PRAISEALEX-hb9eo3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉😍😍
@jasirimjasirimedia79403 ай бұрын
Blessed brother 💞💞
@chantalshimi96193 ай бұрын
Very beautiful song. Ubarikiwe👏🙏
@irenemwamfupe89943 ай бұрын
Hujawahi niangusha najivunia wewe Mwanangu Mungu azidi kuachilia kibali chake kwako!
@prisilasankey3 ай бұрын
Gwa kukaja🔥🔥🔥🔥🔥
@ElizabethOdhiambo-g5gКүн бұрын
Praise be to God aki nyimbo zako zinanibamba
@Jackillyne3 ай бұрын
Amen Amen🙌🙏🙏🙏🙏
@BethaMwanjala-ps7eg3 ай бұрын
Amen sana 🙏🙏🥰
@AngelMhina3 ай бұрын
Niacheni kwakwel,MUNGU ameniona na mimi💪💪
@lemoniceke33 ай бұрын
Pengine umenijua jana ndo maana hujaona nimebadilika🥺
@ruthmambo24853 ай бұрын
Mungu akubariki sana kama kwa Wimbo huu...Jamami niacheni nimtumikie mungu,hamjui alikonotoa
@molexkeaofficial3 ай бұрын
Bado dk 1
@barakantemi27213 ай бұрын
Ongera Sana KIBONGE wa YESU .....rafiki yake na Amba mbeya Mitaa ya Isanga Karbu Tena Home kaka 🎉
@OnesmoRichard-n5r3 ай бұрын
Niacheni niacheni nitumike huyu Mungu amenitoa nisikoweza kuelezea kabisa Asante yesu🙏
@bonfaceokumu23952 ай бұрын
Wimbo mazuri sana lakini soma mandiko kuhusu mwana mume kufunika kichwa
@rebeccaatienookello7115Ай бұрын
Listen to the message not appearance
@rosenjeri35823 ай бұрын
Mungu kwa neema hii na ufunuo huu. Utazidi kuwa Mungu. 🙌
@isabellamaibini24293 ай бұрын
Amen ❤️💯💯💯💯🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Innocent-Km-z8zАй бұрын
Hakika isingekua MUNGU sijui ningekua wapi mimi jamani , nakupenda MUNGU WANGU Asante kwa kila jambo katika maisha yangu pekeangu siwezi mimi Baba ,tazama tarehe 17/11 /2024 nilipata Bell's Palsy ( face paralysis) ila Leo umeniponya nimerudi sawa kabisa kama siyo wewe MUNGU hivi ingekuaje Asante Asante MUNGU WANGU acha NIKUABUDU ,nikutukuze Baba ,Asante kunifanya shuhuda wa matendo Yako makuu MUNGU.
@christineakinyi25902 ай бұрын
Thank you for this song.2024 has been a year of much grace and favour. Thank you Lord
@eliassoingei20463 ай бұрын
Mwanazambeeee
@SteveElly3 ай бұрын
Kazi Nzuri Unatamani kusikiliza na kusikiliza na kusikiliza Blessed Kibo
@michaelfanson73 ай бұрын
Mungu aendelee kukupa mafunuo zaid barikiwa sana mkuu
@wacirairene73073 ай бұрын
Mungu ameni update, Hallelujah 🙌🙌🙌🙌
@kibomelodiespro94043 ай бұрын
God bless u boss
@BeritahWambani3 ай бұрын
Yes si rahisi mungu amefanya kazi.ya kuni update❤🎉
@Gospelmusci2 ай бұрын
AMINA MTUMISHI UJUMBE mzuri Sana mutumishi ubarikiwe Sana nakukubari Sana kaka ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💯💯💯💯💯💯💯💯💯
@IkupaMwambenja3 ай бұрын
Woooh Hongera sana pacha nimebarikiwa sanaa nyimbo hi
@ErickSingano-o8r3 ай бұрын
Barikiwa
@rwizadiocles3 ай бұрын
kaka Barikiwa sana kaka 🙌🙏
@rwizadiocles3 ай бұрын
great ata na Mimi ninayo sababu
@RachaelMawia-i1l29 күн бұрын
Can listen this song 10000 times in a day..mungu ameniona na Mimi..