Mungu akubariki unapotazama Video ya wimbo wetu pendwa wa "WAAMBIE REMIX" ni maombi yangu kwako Mpendwa wangu Mungu akuongezee hatua na kukufadhili kwa kila jambo jema Maana bado anatupenda. Ubarikiwe sana kwa Sapoti yako kusambaza habari hii njema kwa wengine🙏 @Kibongewayesu
@ayoubgwasa81226 ай бұрын
Wimbo unagusa sana. Hasa ukitazama nyuma kisha ukatazama ulipo
@isayadickson3256 ай бұрын
Nyimbo ni kubwa kaka,
@paschalkiniofficial1236 ай бұрын
Kaka MUNGU AENDELEE KUTWAA UTUKUFU WAKE kwako kwa kazi hii
@abigaelmussa51836 ай бұрын
Ameeen Ameen🙏🏻🙏🏻🙏🏻🔥🔥🔥🙌🏿🙌🏿
@SarafinaNyamvula6 ай бұрын
Amen 🙏
@SifaBenigneКүн бұрын
Kweri kbsa MUNGU anatupenda❤❤
@aikamichael594529 күн бұрын
Mungu akubariki umeimba wimbo mzuri,Mungu anatupenda sana 🙏🙏🙏
@AuraDaniellah6 ай бұрын
Kama unaaamini Mungu Yuko gonga likes yako hapa🔥🔥🔥
@FaithWanjiko-bm1lh17 күн бұрын
WOW wow ❤❤,,,amen🙏
@MaryMangale-wq5obАй бұрын
Mungu ni mwema nabarikiwa n nyimb zk 🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🕊️🕊️🕊️
@SarafinaNyamvula6 ай бұрын
From Kenya, Mungu akubariki kibonge wa Yesu na Walter ....🎉🎉🎉🎉kweli Mungu anatupenda ❤wapi like yao 🎉🎉🎉🎉🎉
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Amen ameen🙏🙏
@aikamichael59452 күн бұрын
Napendwa mie😂❤🙏
@Dullahalawi6 ай бұрын
Music mzury utaongea kaz nzury kaka mungu akusimamie katika kaz zako 💪💪💪💪💯💯💥💥💥
@sangagospel92846 ай бұрын
Yoooh Kiboooo🔥🔥🔥 Congratulations My Brother Unyama Ni Mwingi Humu Ndani 🎉🎉🎉 Brother Walter Once Again Ni Balaaaaa Sanaa God Bless You All🙏🙏🙏🙌🙌🙌
@paulomkwela6 ай бұрын
Tushajua kuwa wameimba vizul nani kapendeza hapo kati ya hao wawil naitaji like
@PeterkenyaOfficial6 ай бұрын
Am loving this 🎉🔥🔥🔥🔥
@MaryZainabu-tg2qw3 ай бұрын
Amen 🙏❤❤
@christopherkinyuakarugu8249Ай бұрын
i really love this song....AMEN
@rachealkavata56976 ай бұрын
From Kenya. Good music good message. Motooo... positive energy.
@AnifaAyoub-k3q6 ай бұрын
Nenda kibo kawaambiwe waliokata tamaa kwamba Mungu anawapenda❤️❤️❤️❤️ ❤❤❤❤ ameniongeza hatua mbele nasogea🫶🏿 dis song wallah…
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Amen Amen, ubarikiwe sana
@AnifaAyoub-k3q6 ай бұрын
❤❤❤❤❤ melodizerrrr✍🏽✍🏽✍🏽✍🏽✍🏽
@rehemaaman46856 ай бұрын
Unajua unajuaaaa Tena Mungu azidi kukupa kibarii dunia nzima na ukunarikiwe mbinguni mpaka duniani🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Ameen ameen
@berylgeorges15375 ай бұрын
I like this part(wakafanya hata mataambiko ili niweze potea) he still come to find me❤❤
@djdodyh14476 ай бұрын
Ameniongeza hatua mbele nasogea
@MarianneKangene6 ай бұрын
Iyi moja ni kali, Yeah Mungu ni wa ajabu , wala ata mimi siji elewi
@janejustine92224 ай бұрын
Huu wimbo wa moto balaaa sifa zimrudie Mungu azidi kuwapa nyingine nyundo zaidi ya huu.
@mwanawamfalmetz6 ай бұрын
Kibooooo! morodz 🔥🔥🔥 like zangu Kwa pamoja
@WAMBOZIMUSICS-p6o6 ай бұрын
Merodies sio morodz😂😂😂😂
@happynesslaurance64486 ай бұрын
Melodies sio merodies@@WAMBOZIMUSICS-p6o
@MasanjaMasanja-mz3ll6 ай бұрын
Sio merodies ni melodies😂😂
@DrTiibazaАй бұрын
🎉🎉🎉kaz njema watumish wa mungu
@drewmollel22026 ай бұрын
🎵 ameniongeza hatua.. mbele nasongea..
@estherintash6 ай бұрын
From Tiktok KE gonga like❤❤
@djevok2 ай бұрын
that evening shot is 🔥🔥
@Iamnoahmoss5 ай бұрын
Brooooooo hii ime simama kabisa. Hongera sana man of God
@KibongeWaYesu5 ай бұрын
my brother🙏🙏
@Mt0t0mzuri4 ай бұрын
Nenda wambie wajue mungu ananipenda 💜💜
@KIJANAMUSIC_6 ай бұрын
Neendaaaa waaambiiieee kaka kuwa Mungu anakupenda hiiiii🔥🔥🔥🔥🔥
@aploniamalley18326 ай бұрын
Ameniongeza hatua, mbele nasogea 😊Mungu wetu ni Mungu wa maongezeko hajawahi punguza speed❤..... Keep it up familia n bro walter
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Shukran sana, barikiwa mno
@terrymakale26216 ай бұрын
My daily affirmation🙏🙏🙏🙏
@MohoroHealthcentre6 ай бұрын
Mungu awabariki...❤nabarikiwa sana na huu wimbo........mbarikiwe
@youngkeyshmusic6 ай бұрын
Good music love from kenya 🇰🇪🇰🇪 ,waambie✍️✍️
@fridarottson6 ай бұрын
Nenda Waambie Mungu ananipenda 🙏
@lwitikoasa68996 ай бұрын
Nenda waambie wajue MUNGU ananipendaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤
@hassanmwakani3 ай бұрын
Real life story Mungu Mkubwa . Jesus Christ is king
@Tumaini_Bayu4 ай бұрын
Amen amen amen Asante yesu
@Katoicog2 ай бұрын
You always bless me my brother
@JackieAnyangu6 ай бұрын
Kenya ❤❤❤
@ycbmillions36456 ай бұрын
My all time favorite❤
@derickmarton6 ай бұрын
Kibooo mmoja tuu .....🎉🎉🎉my jam my jam
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Amen Kaka angu, Mungu akubariki sana🙏
@djnine9tz266 ай бұрын
🔥🔥vijana wa mbeya on this again
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
🔥
@gaudenciamaghanga6 ай бұрын
Napenda huu wimbo sana, the melody, the lyrics, the rhyme and not to mention the production is on point👌. It's a master piece.
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Endelea kubarikiwa zaidi🙏
@JohnMasolw5 ай бұрын
good song by kibonge wa yesu kz nzuri xn ft Walter chilambo ameniongeza hatua😮😮😢🎉
@elsiejames97146 ай бұрын
From Kenya 🇰🇪 with love, this tune is on repeat, niliipata kupitia advert...naipenda sana,kwanza mahali walitegea mitego,mipaka wakaweka, matambiko wakafanya...yoote Mungu akanipigania.👏 kazi nzuri sana.
@EmelineIrankunda3 ай бұрын
Amen 🙏 🙌
@jimsjayson95172 ай бұрын
I don know y this song has not yet hit 1m views on
@gladnessdeogratius20046 ай бұрын
MUNGU MWEMA Uuuiuuhhuuuuuuu bro kama bro ubarikiweee sana
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Amen Amen, barikiwa zaidi Dada
@BeatriceMapinda6 ай бұрын
Hongera kaka❤❤
@Music-ss9ih6 ай бұрын
Perfect combo👏👏👏
@SarahSidi-io9ku6 ай бұрын
Love from Kenya ❤🇰🇪-🇦🇪, waiting for a collabo with guardian Angel🎉😂🎉🎉
@adamelfazi6 ай бұрын
Wimbo wangu pendwa❤❤🔥🔥
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki sana🙏
@Elias-ut9gd3 ай бұрын
Ameen 🙏🙏
@directorkhasi49676 ай бұрын
Director khasi seen it aaaah brother
@kesheninaftal6 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥 MUNGU awabariki sana kaka mkubwa
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Amen sana Kaka
@ministergilbertedward11236 ай бұрын
Wawoooh Wawoooh wonderful song 🎵 my family brother Mungu amekupa kitu cha tofauti Sanaa na watu wengine endelea kuwa na huo huo moyo my brother utafika mbali na utatajwa miongoni ya watu wakuu hapa duniani be blessed ❤
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Amen sana Kaka yangu napokea Baraka hizi🙏 Mungu akubariki na kukupa haja ya moyo wako pia
@komandowayesu36426 ай бұрын
Mungu akajitukuze. wimbo mzuri sana pacha 🔥🔥🔥
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Amen sana Pacha, Mungu akubariki zaidi
@godblessnehemia96856 ай бұрын
always hamjawahi niangusha katika kazi ya bwana hongereni sana mwimbo mzuri sana mbarikiwe🔥
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Amen Amen🙏
@victorsibale67556 ай бұрын
You killed it Kibo💪
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
🙏🙏🙏
@moseskapinga10166 ай бұрын
Nyimbo nzuriii imenibarikii sanaa🔥🔥
@kenjaboy80702 ай бұрын
💥💯💯💯💥💥💥
@BabaTyrone5 ай бұрын
What a great song ... blessing
@anthonymiles83043 ай бұрын
Touches the soul ✨️
@ErneuAdelinoPedro3 ай бұрын
Shamiki wa Walter chilambo, ErNeu Mozambique
@AhadiMkuyu-jo1rt4 ай бұрын
Hatar iyoo mungu ni mwema aisee homa Kali linaupako
@eliajames13876 ай бұрын
Naenda waambie me Niko kwaza kabia NAOMBA like zangu 🥰🤗❤
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
ameen
@priscasanga6 ай бұрын
💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾😁
@Mbongomusic-tz6 ай бұрын
#molandompaji #Nendawambie ❤
@araskiezgoldskies6 ай бұрын
Wa Brazil tunasubiri diga a eles Brazilian edition 🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷
@abigaelmussa51836 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏿🙌🏿🙌🏿
@araskiezgoldskies6 ай бұрын
Hakika Kibonge ni msanii pekee kwenye muziki wa injili ambaye anaweza kubadilika kwa milindimo tofauti mwaka huu ametuletea classical Christian Kizomba hizi ni miongoni mwa kazi bora za gospel kwa mwaka 2024. Ushiriki wa Walter umeendana na melody za kibo hakika wimbo huu ni tiba kiroho na kisaikolojia pia.
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
🙏🙏🙏
@DeoCosmas686 ай бұрын
Naipendaa sana hii song kila nikiplay mtu akisikiaa lazima aulize nani kaimbaa anaitakaa ❤❤❤❤
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Oh glory be to God🙏😓
@BrightoneAyubu6 ай бұрын
Nice Video A lot❤🔥❤🔥❤🔥
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Thanks 🔥
@samsonkihombo88176 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@elishageorge4926 ай бұрын
Hiii imeeeendraaa Mbaliiiii🔥🔥🔥🙌
@lizzybethmayengoh96246 ай бұрын
God love me do much ❤❤❤❤
@ayoubgwasa81226 ай бұрын
Hii imeenda kiroho na kimwili🎉❤
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@syliviaPontian6 ай бұрын
Mitegotego...... ameiyondoa🙌 Good song🔥🔥
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Barikiwa sana
@eliemoses1386 ай бұрын
Good Good Kijana wangu
@DoreenKamtupe6 ай бұрын
Ubarikiwe sanaa kaka kibonge
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Amen ubarikiwe zaidi
@rwizadiocles6 ай бұрын
Utukufu kwa Mungu Hakika Mungu ananipenda, Mungu akubariki sana kaka Kibo
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Amen Amen, Mungu akubariki pia
@AltralayTheupliftedwayne6 ай бұрын
Blessing combination
@elishageorge4926 ай бұрын
Go My Daddy make us Proud 👏
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Thanks so much son, stay blessed
@gencychaniko88256 ай бұрын
#WAAMBIE.🔥🔥........Mola ndo mpaji wa mafanikio yanatoka kwake akisema ndio
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Oh Yes🤲
@sammy_g_ke6 ай бұрын
Kibooooooo🔥🔥🔥
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Kaka🙌
@PotfaDaudi6 ай бұрын
Mungu awabariki sana kwa kazi njema!!
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Amen Sana
@harryvice776 ай бұрын
Kaka Walter umenibariki sanah kibonge umenifrahisha sanah
@godfreykoyi34886 ай бұрын
Ubarikiwe zaidi kaka hii ni baraka Kwetu 🔥
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Amen Amen
@Vayler-d4d5 ай бұрын
His love for us is constant and endless ..be blessed 🙏
@mosesaluminium81376 ай бұрын
❤🎉ngoja niwaambie
@eliabeliud4906 ай бұрын
Nenda wajue aisee bro hiii kitu Niii noma God katugea kama zawad🎉🎉🎉
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Amen Kaka, endelea kubarikiwa zaidi usisahau ku share na watu wengine
@Mishaeligospel6 ай бұрын
Hatari sana kaka❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥
@SylviaMwangunga6 ай бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌
@edenbettnasibuziege6 ай бұрын
Straight outer kenya 254 ❤❤❤❤ Kitu kali Brazza
@KibongeWaYesu6 ай бұрын
Blessed Brother
@edenbettnasibuziege6 ай бұрын
@@KibongeWaYesu tuzidi kuvunja mipaka na nira
@paschalkiniofficial1236 ай бұрын
Kaka MUNGU AENDELEE KUTWAA UTUKUFU WAKE kwako kwa kazi hii🎉🎉🎉🎉