No video

Kibonge Wa Yesu - Neno Moja (Official Music Video) SMS Skiza 8021080 to 811

  Рет қаралды 101,243

KIBONGE WA YESU

KIBONGE WA YESU

Күн бұрын

Mawazo ya mwanadamu wakati Mwingine ni ya kukata tamaa lakini Mungu anaweza kusimama na kauli yake Moja tu inayoweza kubadili hatima ya Mwanadamu na kurejesha vilivyopotea na kuhuwisha vilivyokufa. Wimbo huu ukawe wa Urejesho na uponyaji wa majeraha kwa kila moyo uliyoumizwa na kukosa tumaini Mungu akawe Msaada kwako katika Jina la Yesu. Amen!🙏
John 5:5-6
Audio produced by ​⁠‪@kstarrecords255‬
Video directed by @mrazalia
Bvg : Nuru mwaipungu
Get it on ALL DIGITAL PLATFORMS
Listen to NENO MOJA by Kibonge Wa Yesu
On Boomplay: www.boomplaymu....
On Audiomack: audiomack.com/....
©2024KiboMelodies.All rights Reserved.
#kibongewayesu #gospelmusic #NenoMoja #Semanenomoja
Verse 1
Kauli yako moja tu inaweza kubadili hatima
kauli yako inabadilisha mambo
kauli yako moja inaweza kunitengeneza
vilivyo kufa kwangu vikachipuka tena
na nimekuja hapa Mungu na uchumi wangu ulioyumba, afya yangu nafsi yangu uvihuwishe tena
kuna muda nakubali huenda sababu ni mimi mwenyewe
ule muda najikwaa kwa kufuata yangu na kukuacha wewe
uliempa ndege uwezo wa kupaa angani haya matatizo,shida kwako ni kitu gani?
uliempa samaki uwezo apumue majini haya masimango,mateso ebaba tupilia mbali
Hook:
Nikakuomba Mungu nakuomba kama kulia nimelia sana inatosha
ninakuomba Mungu nakuomba kama kuchekwa nimechekwa sana inatosha
baba Mungu wangu wee
.
Chorus:
Sema neno Moja
ninakuomba useme
nipo tayari kupokea
kwa neno lako ntapona Yesu
sema neno moja
kwa neno lako ntashinda mie
nipo tayari kupokea
baba Mungu wangu wee
sema neno moja
ninakuomba useme
nipo tayari kupokea
kwa neno lako ntapona Yesu
sema neno moja
kwa neno lako ntashinda mie
nipo tayari kupokea
Verse 2
kama batimayo nipo kando ya njia
Ooh Baba
nakusubiri useme ili nione
Ooh Baba
japo nimesikia mengi ya kunikatisha tamaa ila neno lako moja linaweza niinua tena
Nimeomba sana mpaka wanasema ninapiga kelele
ila sichoki bado nakazana kukusubiria wewe
kama kukwama nimekwama
na kiza kimetanda
nategemea neno lako nuru liniangazie
kama msaada sijaona kwa watu wadunia
nategemea ulie juu unisadie
hook :
Nikakuomba Mungu nakuomba kama kulia nimelia sana inatosha
ninakuomba Mungu nakuomba kama kuchekwa nimechekwa sana inatosha
baba Mungu wangu wee
Chorus:
sema neno moja
ninaomba useme
nipo tayari kupokea
kwa neno lako ntashinda
sema neno moja
mhh
nipo tayari kupokea
kwa neno lako nitainuka tena
sema neno moja
neno la baraka
nipo tayari kupokea
neno neno lako
sema neno moja
neno la kunitajirisha
nipo tayari kupokea
litanipa amani
neno litanifariji

Пікірлер: 579
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 5 ай бұрын
MUNGU AKUTANE NA HAJA YA MOYO WAKO KUPITIA WIMBO HUU AMEN🙏👇🏻 kzbin.info/www/bejne/qKHYZ4WtfbJ-rK8si=bQkLEmNzw-s9IWtR
@kenethtv6932
@kenethtv6932 5 ай бұрын
Amen🙏
@vicomslenses8109
@vicomslenses8109 5 ай бұрын
Amen
@megmeg2628
@megmeg2628 5 ай бұрын
amen amen 🙏
@GladysNyae
@GladysNyae 5 ай бұрын
Amina
@MescoMsigwa
@MescoMsigwa 5 ай бұрын
Amen
@noahkayofficial2963
@noahkayofficial2963 4 ай бұрын
Mziki wa wakati wangu.Wimbo umekuwa anthem kila siku nkingoja Bwana aseme neno.Natumai yote aliyoahidi kwangu ni mwaminifu kutimiza.Wapi likes za kukubali "neno moja" kutoka kwa Baba Mungu..
@ObbyAlpha
@ObbyAlpha 6 ай бұрын
Kakaangu kabisa 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
mdg ake kibo🙏🙏
@professor1992
@professor1992 6 ай бұрын
From Kenya am ohangla gospel rhumba kazi safi brother nipewe likes tukifuatana
@patricksyaluha499
@patricksyaluha499 Ай бұрын
Sema neno moja kwa maisha yangu yesu wangu. Nyimbo nzuri hii
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 6 ай бұрын
Hatari pacha 🔥🔥🔥
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
pacha pacha🙏🙏
@meddynassibofficial5552
@meddynassibofficial5552 6 ай бұрын
Huu wimbo YESU wangu.. ni zaidi ya wimbo ni INJILI ilio beba wokovu, ni maombi yenye TUMAINI la kusubiri neno la KRISTO liletalo matokeo yasio na majuto
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
ameen ameen ubarikiwe sana
@salmastephen
@salmastephen 3 ай бұрын
Kabisa umeninua tena moyo wangu pale nilipokua naelekea kukata tamaa. Amina ubarikiwe kaka Kwa nyimbo nzuri.❤
@anisetbutati
@anisetbutati 6 ай бұрын
Songiiii limepita bila kupingwa🎉
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
ubarikiwe sana baba
@elikanaernesti8440
@elikanaernesti8440 Ай бұрын
Huu wimbo umekuwa wa baraka sana kwenye maishaa yangu
@alickmtambo6499
@alickmtambo6499 Ай бұрын
Mungu anipenda God he love me
@PotfaDaudi
@PotfaDaudi 6 ай бұрын
Neno moja baba angu najiungamanisha na wimbo kukusihi Yesu wangu 🙏🏻
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
ubarikiwe sana
@NUHUONLINETV
@NUHUONLINETV 6 ай бұрын
nahitaji like jameni
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
🙏🙏
@RehemaTimoth
@RehemaTimoth 22 күн бұрын
Niko tayari kusikia Mungu wangu sema neno moja barikiwa sana kibonge wa Yesu
@evelinangulo6476
@evelinangulo6476 5 ай бұрын
Amina barikiwa sana Mtumishi wa Mungu aliye hai
@masheyn
@masheyn 5 ай бұрын
Kaka wewe fundi saana
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 5 ай бұрын
shukran sana🙏🙏
@BLESSSTEPHEN
@BLESSSTEPHEN Ай бұрын
Mungu amenijibu maombi kupia wimbo huu ❤❤❤❤
@Paul-kl4vr
@Paul-kl4vr 18 күн бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 😢
@latifajuma1705
@latifajuma1705 10 күн бұрын
Nirikuwa nayitafta sana hii nyimbo
@olipasimtowe8818
@olipasimtowe8818 15 күн бұрын
Sem neno moja MUNGU wangu
@miaoffici
@miaoffici 5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@Paul-kl4vr
@Paul-kl4vr 18 күн бұрын
😢😢😢😢sema neno moja tu my God 😢😢
@IkupaMwambenja
@IkupaMwambenja 6 ай бұрын
Nyimbo nzuri sanaa hi imenivusha kwa ujumbe mzuri
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA PACHA
@tizydorcasantony9190
@tizydorcasantony9190 5 ай бұрын
Hongera Sana my brother nyimbo nzuri Sana hiii,,, ikawe nyimbo ya Kwanza kuenda mbali sana
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 5 ай бұрын
Ameen ameeen🙏
@ritiaskayanda
@ritiaskayanda 5 ай бұрын
Big idea kibonge wa yesu
@suzanamwansasu3293
@suzanamwansasu3293 4 ай бұрын
Sema neno moja
@BenyDaniel
@BenyDaniel 5 ай бұрын
Amen Amen
@nyakatomutegeki1694
@nyakatomutegeki1694 Ай бұрын
Sema neno moja kwangu Yehovah
@ShedyBundi
@ShedyBundi 6 ай бұрын
📣💥💥💥 balikiwa mtumish kwaneno rako nita inuka neno ra baraka litanipa aman liamta nifaliji Neno moja🙏
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
ameeen ameeen
@suzanamwansasu3293
@suzanamwansasu3293 4 ай бұрын
❤❤
@ecramarajabu7330
@ecramarajabu7330 5 ай бұрын
Hakika Mungu SEMA neno Moja kwenye mapito yangu
@user-dt8xb4nf7u
@user-dt8xb4nf7u 5 ай бұрын
Sema neno moja nimebarikiwa sana mungu akubariki kawimbo katamu
@victortumain9528
@victortumain9528 Ай бұрын
Sema neno Yesu wangu
@Hakizimananoella
@Hakizimananoella 3 ай бұрын
Unanibariki sana mtumishi wa Mungu.Mungu,akubari sana
@josephalfonce4493
@josephalfonce4493 4 ай бұрын
Ninabarikiwa sana na nyimbo zako Amen
@Oliviermjaphet
@Oliviermjaphet 6 ай бұрын
Uyu bwana anaweza kweli 🙏 #God’timeiscoming
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
shukran sanaa
@Oliviermjaphet
@Oliviermjaphet 5 ай бұрын
🙏
@user-nw8hf7xm9g
@user-nw8hf7xm9g 4 ай бұрын
Yaani naupenda huu wimbo mpaka basi
@djnine9tz26
@djnine9tz26 6 ай бұрын
Ujumbe wa humu kaka , UMEONGEA NA NAFSI ZETU SISI😔🙌🏻🫡
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
Kaka kaka shukran sana
@lilycruz-sv8wn
@lilycruz-sv8wn 4 ай бұрын
Neno moja tuu baba❤😢
@abbyimbukwa3835
@abbyimbukwa3835 3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥Now my destiny is here.... Baba sema neno moja🙏
@user-vl4pr1hb8k
@user-vl4pr1hb8k 4 ай бұрын
Ameeen Asante kwayote yawe sema neno 1😢
@niyonkurualice-mf3ib
@niyonkurualice-mf3ib 3 ай бұрын
Amen
@ibrahimmwadime17
@ibrahimmwadime17 5 ай бұрын
Very nice song, glory be to God, may He send His word to heal us all with long time wounds.🙌
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 5 ай бұрын
Ameen
@BenjahOfficial
@BenjahOfficial 3 ай бұрын
Amen Amen blessings brother 🫴🫴
@hondwamathias
@hondwamathias 6 ай бұрын
Hongera saana family, good meseji , 👏👏🙌🙌
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
shukran sana family
@TingaMedia
@TingaMedia 6 ай бұрын
Wimbo Mzuriii Sana . Mungu Azidi Kukuinua Zaidi .
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
ameen ameeen kaka
@eliassoingei2046
@eliassoingei2046 6 ай бұрын
Sema neno moja Yesu nami nitapona
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
Ameen ameen🙏
@nolexkanyittahsuit
@nolexkanyittahsuit 6 ай бұрын
Dyuu hii Kali @kibonge wa YESU.#neno Moja naomba baba
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
ameeen
@mwakinegomuigizaji
@mwakinegomuigizaji 6 ай бұрын
Barikiwa mnooo mtumishi nyimbo ya dunia hii familia tunabarikiwa kwa NENO MOJA tu 🙏🙏🙏🙏🙏
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
ameen ameeen
@RobertPhiri-uu6dm
@RobertPhiri-uu6dm 6 ай бұрын
Hiyi nyimbo imenigusa kweri nakuombea wewe ulie toa huyuu wimbo mungu akubaliki sana💪💪💪💪♥️♥️♥️
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
Ameen ameen🙏🙏
@user-sl7mi8vc9b
@user-sl7mi8vc9b 6 ай бұрын
Nyimbo zako zina utukufu na unamheshimisha Mungu,✌️❤️❤️❤️🙌🙌LOCATION NZURI SANA THE LAND OF GOD WITH SON KIBO
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
Mungu akubariki sanaa
@magrethjamestz
@magrethjamestz 5 ай бұрын
Umebarikiwa
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 5 ай бұрын
ameeen ameen
@egglykhabutsi127
@egglykhabutsi127 5 ай бұрын
This song is for ne...May God just say one word to heal my life...
@BenyDaniel
@BenyDaniel 5 ай бұрын
Neno Moja TU...❤🎉
@tumainistephano
@tumainistephano 6 ай бұрын
Kibonge hongera Sana,unatuhudumia na tunapokea mioyo inainuka Tena ubarikiwe kazi nzuri sana
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
Ameen ameeen🙏🙏
@MusicTherapyForallNations
@MusicTherapyForallNations 5 ай бұрын
Sema neno moja 🙏
@marthaayuma7065
@marthaayuma7065 3 ай бұрын
Amen ❤❤❤❤❤
@charitykibande3842
@charitykibande3842 5 ай бұрын
This song keeps me moving every day, only one word is enough
@user-bn9ez5xn3e
@user-bn9ez5xn3e 10 күн бұрын
Asubuhi mchana usiku siichoki
@robertnkaragano298
@robertnkaragano298 6 ай бұрын
Hakika Brother unainjilisha sana!! Be blessed all the time!! Kwangu mie nyimbo zako zimejaa kweny simu yangu aisee na hii lazima niipakue!!
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
ameeen ameeeen
@robertnkaragano298
@robertnkaragano298 6 ай бұрын
Amen
@scolasticamaghembe1189
@scolasticamaghembe1189 2 ай бұрын
Hongera sana Mtumishi wa Mungu, kazi nzuri mnoooo
@ritiaskayanda
@ritiaskayanda 25 күн бұрын
Wimbo mzuri sana 🙏 🙏
@TUMAINIMBEMBELA7
@TUMAINIMBEMBELA7 6 ай бұрын
Fundi kama fundi
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
my sis🙏🙏
@bellatvonline
@bellatvonline 6 ай бұрын
Kaka Kaka Ujumbe Mzuri Sana, Nimebarikiwa Mno
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
🙏🙏🙏
@eddypraise5607
@eddypraise5607 5 ай бұрын
Amina🙏
@dicksonwakristo5385
@dicksonwakristo5385 6 ай бұрын
Fundi kama fundii masharaha sweet merodies uwiiii eshama yako.1000
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
ubarikiwe sana
@mnyakyusambunifu143
@mnyakyusambunifu143 5 ай бұрын
Kijana Umetisha Saana Umeupiga Mwingi Hongera Kazi Nzuri Saana Bonge la Nyimbo
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 5 ай бұрын
Nashukuru sana kaka yangu
@alicekalama3150
@alicekalama3150 5 ай бұрын
Sema neno moja asante sana mtumishi wa mungu ubarkiwe sana
@hoseabanketile8549
@hoseabanketile8549 6 ай бұрын
Sanaaaaa sanaaaa kijanaaaaaa vijana mbeyaaaaa mnanipa rahaaaaaaaaa
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
ubarikiwe sana
@priscakissa1142
@priscakissa1142 6 ай бұрын
Sema neno moja Yesu,,
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
Ameen
@noelmgina
@noelmgina 6 ай бұрын
Sema NENO moja bwana moja tuuu
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
ameeen
@Pascaline-iz1dh
@Pascaline-iz1dh 3 ай бұрын
I really love the song from DRC
@MicksonwiliamMafuko
@MicksonwiliamMafuko 3 ай бұрын
Nyimbo Iko vizur sana kaka piga Kaz
@eliassoingei2046
@eliassoingei2046 6 ай бұрын
Yes!
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
🙏🙏
@stewartmwakasege
@stewartmwakasege 6 ай бұрын
Malafyale Great Song 🎉🎉
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
shukran sana nkamu
@kstarrecords255
@kstarrecords255 6 ай бұрын
Hii imeenda💯
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
Baba baba mikono yako imebarikiwa sana🙌
@godfreymatikoo
@godfreymatikoo 6 ай бұрын
Ameen Kibonge wa Yesu, kwakwel ni wengi tunahitaji Mungu aseme neno moja kwenye huduma zetu, kwenye kazi zetu, kwenye ndoa zetu, kwenye biashara zetu ili tuweze kupokea sawasawa na mapenzi yake, Mungu ahsante kwa kuwa uko teyari kusema neno Hilo la ushindi katika maisha yetu Ameen
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
Ameen ameeen
@godfreymatikoo
@godfreymatikoo 6 ай бұрын
​@@KibongeWaYesuameen mtumishi
@T.MELODYOG
@T.MELODYOG 4 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/qGSxmJRqfLB8psksi=2HlhtzNk69H6osgL
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 5 ай бұрын
Neno lako Bwana linaliponya
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 5 ай бұрын
Ameen ameen
@chegaritofx
@chegaritofx 6 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi hii ni zaidi ya nyimbo🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
ameen ameen mjomba🙏
@user-yr3ku6sv5l
@user-yr3ku6sv5l 6 ай бұрын
Huu wimbo ni moyo
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
ubarikiwe sanaa
@okomusic255
@okomusic255 4 ай бұрын
🎉🎉🎉 kaka umetisha Sana
@simwathebarber1068
@simwathebarber1068 5 ай бұрын
Amazing bro 👏
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 5 ай бұрын
Thanks 🔥
@benwilliamTz
@benwilliamTz 5 ай бұрын
Daahhhh kazi nzuri sana kaka be BLESSED zidi kuinuliwa na Mungu
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 5 ай бұрын
Ameen ameen ndugu yangu🙏
@gwakisamwandalima344
@gwakisamwandalima344 6 ай бұрын
Sema neno mojaaaaaa
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
AMEEN
@selynaadhiambo7606
@selynaadhiambo7606 5 ай бұрын
SEMA NENO MOJA BABA
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 5 ай бұрын
Ameen
@user-lj6if8rv8d
@user-lj6if8rv8d 5 ай бұрын
Kibo melodizaaaaaaa
@ezrakayagambe5926
@ezrakayagambe5926 6 ай бұрын
Barikiwa sana kamanda kb KAZI nzuri 🎉🎉🎉🙏🙏🙏
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
shukran sanaa
@samwelImmanuel
@samwelImmanuel 5 ай бұрын
Sema neno moja nipotayali kupokea🙏🤲
@Asilasworld
@Asilasworld 6 ай бұрын
Kazi safi Brother 💪
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
shukran sanaa
@user-ye9qk4ec7w
@user-ye9qk4ec7w 4 ай бұрын
Your my best blessed artist
@user-jw6nc8pu3t
@user-jw6nc8pu3t 4 ай бұрын
Unajua unajua Tena ❤❤❤ Mungu akubariki
@user-kq9uh3bv3l
@user-kq9uh3bv3l 4 ай бұрын
Moto sana hii
@epmzmusifiwar6694
@epmzmusifiwar6694 6 ай бұрын
From Uganda 🇺🇬 Int'l Congo DRC 🇨🇩 To Tanzania 🇹🇿🔥 Ubarikiwe MTU WAMUNGU YESU CHRISTO WA NAZARETH ALIYE JUU ZAIDI MBINGUNI Ndiye MUNGU wa kweli Na Jibu Yetu Katika Maisha ❤️🥰
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
Ameen ameeen🙏
@harunnickson
@harunnickson 6 ай бұрын
Hongera sana kaka hakika Mungu aseme neno Moja nimebarikiwa sana 🎉🎉🎉
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
Ameen ameeen
@arthurclassics-kenya
@arthurclassics-kenya 5 ай бұрын
Wimbo huu una uzito wa aina yake... nimebarikiwa kwa sana
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 5 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@user-gc2ep7sc7q
@user-gc2ep7sc7q 5 ай бұрын
Ubalikiwe mtumishi wa mungu
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 5 ай бұрын
Ameen ameen
@oswardfenias9270
@oswardfenias9270 6 ай бұрын
Alooo bro hili song jemaa hakika neno Moja march Moja Mungu akubless kaka Kibo hakuna mwingine kama wewe 👏👏 K Star Mwana wa Zebedayo producer umetisha sana song limenoga sanaaa🤝🤝🙏🏼🙏🏼
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
Ameen ameeen
@officialtonlick8486
@officialtonlick8486 5 ай бұрын
barikiwa sana mtumishi wa MUNGUnapokea baraka sana
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 5 ай бұрын
Ameen ameen
@user-yb8jl4ni7z
@user-yb8jl4ni7z 6 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
🙏🙏🙏
@benanto_tz
@benanto_tz 6 ай бұрын
Here I'm waiting for this blessings 🎉
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
God bless u
@MrBickyOfficial5
@MrBickyOfficial5 6 ай бұрын
Mungu akuzidishie nguvu katika huduma yako💥💥💥
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
Ameen
@Frank46_tz
@Frank46_tz 6 ай бұрын
Sina shaka na boss wangu @kibongewayesu kazi ni nzuri sana... kipekee nakupa nyota 5 kaka director MR AZALIA unampatia sana ndugu yetu 🔥🔥🔥
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 6 ай бұрын
ubarikiwe sanaa
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 23 МЛН
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 10 МЛН
Kibonge Wa Yesu _ Namna Gani (Official Music Video)
3:53
KIBONGE WA YESU
Рет қаралды 237 М.
Obby Alpha - Niokoe [ Official Video ] .For SKIZA SMS 69312230 To 811
4:47
Kibonge wa Yesu - Ni yule yule (Official Music Video)
4:09
KIBONGE WA YESU
Рет қаралды 78 М.
Masanja Mkandamizaji - TULIATULIA (Official music Video)
6:50
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 1,4 МЛН
Komando Wa Yesu ft Solomon Mkubwa - WIMBO HUU (Official Music Video)
5:38