Mungu Akubariki unapo sikiliza ujumbe huu na kutazama Video, Usisahau Ku subscribe channel yangu hii kwa Ujio wa Baraka zaidi na zaidi. Ubarikiwe sana Mtu wa Mungu. Stream and Download in All digital Platforms.
@ignasmwanjisi93 ай бұрын
Kaka nakukubali mnoooo❤❤❤
@Beny_Daniel3 ай бұрын
Amen amen mtumishi
@eliasalawa18313 ай бұрын
nyimbo kubwa sana hii kaka ubarikiwe sana,imenitia moyo
@eliasalawa18313 ай бұрын
Barikiwa Sana kaka
@mr_eastie3 ай бұрын
Amina
@DeoCosmas683 ай бұрын
Naombeni likes zanguu jamanii wakwazaaa leoo
@dannienimrod87133 ай бұрын
Likes uzifanyie nini? Stop being desperate bro, wewe barikiwa na wimbo, share na tuachie na wengine wabarikiwe.. ✌️
@farajaelisha4923 ай бұрын
Jamaniii uyu Kaka apewe Maua yake unakibali mbele za Mungu song zako nizamoto yaaan 🔥🔥🔥🔥🔥
@SarafinaNyamvula3 ай бұрын
Mungu akubariki kaka ,hii imenigusa moyo ❤
@wordsofhopewestpalzab48753 ай бұрын
Shuhuda la mtu binafsi laaminika zaidi. Na shuhudia makuu ya Mkono wa Muumba Mungu wetu maishani
@desaumwaweza3 ай бұрын
Ameniona na mimi
@KibongeWaYesu3 ай бұрын
Ameen
@music_with_chesed3 ай бұрын
Jamani mungu ameniona
@ElishaMulilo2 ай бұрын
Yesu ametubadilisha🙏
@molexkeaofficial3 ай бұрын
HAKIKA AMENIONA🙏🙏
@AdamMinistries3 ай бұрын
Sina Mashaka Na wewe Minister Asante kwa kutuhudumia
@KibongeWaYesu3 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@Fadhilibenard203 ай бұрын
Hongera kak 🎉
@johnsonbenny33663 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@LeonardRobertPaul3 ай бұрын
Kaka uko vizuri
@KibongeWaYesu3 ай бұрын
shukran sana🙏🙏
@michaeljengwaz43283 ай бұрын
Amen mdogo hakika ❤❤
@KibongeWaYesu3 ай бұрын
🙏🙏🙏
@Omahdepius3 ай бұрын
Kibonge kweli😊
@fenicojapheth61403 ай бұрын
Ahsante Mungu Kwa mengi umetenda kwangu
@barakaphil3 ай бұрын
Niacheni Jameni.. Mimi mwenyewe ndiye n'naejua kule amenitoa😢😢😢. Kweli Mungu ameniona na Mimi🙏🙏. Asante Kaka mkuu.
@MiriamSamuelke3 ай бұрын
Na kweli mungu amekuona..zaidi kutumika kwa utukufu wa mungu
@lucythoya8626Ай бұрын
AMEN ...WANIACHE TU NINAJUA MIMI MWENYEWE MAHUSIANO YANGU NA MUNGU...
@carolcharles2763 ай бұрын
Kama umetoka tittok piga like hapa
@MosesMlengera19 күн бұрын
Yesu anabadirisha sana, barikiwa sana mtumishi
@Elias-ut9gd3 ай бұрын
Barikiwa Sana kaka
@KibongeWaYesu3 ай бұрын
Ameen
@Elias-ut9gd3 ай бұрын
@@KibongeWaYesu pamoja sana
@AMINAJASTINI3 ай бұрын
Amen 🙏 ninayo sababu ya kushuhudia ubarikiwe sana
@_itsmanuel3 ай бұрын
🎶kumbe wanavyotazama wao sivyo anavyotazama MUNGU 🙌🙌
@GIBSONESTON527-v1g3 ай бұрын
Amina kaka Mungu akubariki Sana kwa wimbo mzuri binafs nabarikiwa Sana 🎉🎉🎉🎉
@KibongeWaYesu3 ай бұрын
Ameen ameen🙏🙏
@GIBSONESTON527-v1g3 ай бұрын
@@KibongeWaYesu natamani siku moja Kaka nifanye wimbo na wewe Kaka
@samueltsumasongs42363 ай бұрын
Ninayo sababu ya kumshukuru Mungu🙏
@SkolaRichardАй бұрын
mungu akupe viwango vya juu kila siku 🎉❤❤❤
@daudkweka2403 ай бұрын
#MUNGUÀMENIONA🎉
@GRACESEBAHENEАй бұрын
Hii nyimbo kuna siku niicheza masaa 2 .Sifa za Mungu zimejaa humu.Barikiwa mtumishi
@jordanofficial22173 ай бұрын
KAZI NZURI 🎉❤ MY BROTHER
@marionkassaila993 ай бұрын
Hongera bro unapambana sana kaka
@Beny_Daniel3 ай бұрын
Hongera sana sana mtumishi🎉kazi ni njema sana!❤
@SarahIngaiza2 ай бұрын
Hakika Mungu ameniona na mimi 🙏
@emmymwakabana2 ай бұрын
Hongera sana mdogoangu kazi nzuri sana sana Zidi kustawi
@lucykiporoza3 ай бұрын
Namtukuza Mungu kwa ajili yako mdogo wangu🎉👑🔥🔥
@KibongeWaYesu3 ай бұрын
ubarikiwe sana dada yangu🙏🙏
@minguinhoalberto86843 ай бұрын
🇲🇿🇲🇿❤❤
@GAMALIELMLAWA3 ай бұрын
Mungu ameniona
@andrewkihweloofficial65893 ай бұрын
Mungu akubariki sana familia kazi nzuri sana
@KibongeWaYesu3 ай бұрын
Ameen ameeen🙏🙏
@MoryneMwendeofficial3 ай бұрын
Hii wimbo unaguza moyo wangu eeeeeh yesu nione na Mimi🙏🙏
@KibongeWaYesu3 ай бұрын
Ameeen
@SulemanKasiba3 ай бұрын
Hakika Mungu amenikumbuka na Mimi
@shedrackfungo13293 ай бұрын
MUNGU AMENIONA 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ZuhuraShabani-c1k3 ай бұрын
Ameniona na mimi😊😊😊😊😊❤❤❤❤❤❤❤❤
@StarhilPatrick3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉Utukufu kwa Mungu🎉🎉 Kibooooooo🎉
@jacksmart-cb9yj3 ай бұрын
Huyu Mungu muache tu alikotutoa acha tumuimbie tu ❤❤❤
@KibongeWaYesu3 ай бұрын
Ameen🙏🙏
@kesheninaftal3 ай бұрын
MUNGU ameniona 🙏🙏🙌🔥🔥 Ubarikiwe sana kaka
@ellyshermwasa61523 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Migapogospel6783 ай бұрын
Hata mimi mungu ameniona Siku uje utuhudumiee na mbeya 🎉🎉kaka
@asagwileofficial44923 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎶🎶🎶🎶
@Omarimhango3 ай бұрын
Hongera sana mwana chupa kali ubalikiwe sana
@stewartmwakasege3 ай бұрын
Aiseee Kaka Barikiwa sana Wimbo Mkubwaaa Huu
@ezluckvoice11103 ай бұрын
MUNGU AMENIONA🎉🎉🎉🎉
@rencymerodgers-uu7qw3 ай бұрын
Yesu Ameni update❤❤
@gencychaniko88253 ай бұрын
#MUNGUAMENIONA #GRACED🤍
@BeritahWambani3 ай бұрын
Mungu ameni update❤❤🎉🎉🎉
@officialquochezdonshwari23363 ай бұрын
Sisi ndo wale tuliotoka uzeeni kuja ujanani , Mungu ametu-update 💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@KibongeWaYesu3 ай бұрын
Ameen
@sarahmushi32293 ай бұрын
Barikiwa sana Mtu wa Mungu🙏🏻
@KibongeWaYesu3 ай бұрын
ameeen🙏🙏
@conciousclement23 ай бұрын
GOSPEL MOVIE 🚀🚀🚀✈️✈️✈️
@KibongeWaYesu3 ай бұрын
kaka🙏🙏
@Miraclegospel3 ай бұрын
Gospel miracle ❤ C.I.O SUDI G MINISTER
@jofreyfumboonline48663 ай бұрын
Barikiwa sana
@OfficialGraceM3 ай бұрын
Noma
@risandi1233 ай бұрын
Watching from A. town👍
@KibongeWaYesu3 ай бұрын
🙌🙌🙏🙏
@REGUNTREVOR3 ай бұрын
Kalii sanaaa blood.. let's continue with the good news 🎉🎉🎉❤.... kibonge all the way up..more Grace bro.....✅✅✅🎧🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟
@Mercillinah-l9e3 ай бұрын
Kama mungu amekuona ameku update nipe ❤ like
@HarunaDanielmbanzeofficial3 ай бұрын
Nafurahia mesage yawimbo huu❤
@KibongeWaYesu3 ай бұрын
🙏🙏🙏
@NsemwaJoram3 ай бұрын
Aminaaaaa
@opalamusic3 ай бұрын
Baraka 🇰🇪🔥💯
@princesymon-n5e3 ай бұрын
Ninayo sababu ya kushuhudia🔥🙏💯
@mr_eastie3 ай бұрын
Asante Sana, nahisi baraka kwa hili❤
@evansangwara9971Ай бұрын
Mimi ni Evans kutoka kenya bro na barikiwa sana na nyimbo zako barikiwa
@Vayler-d4d3 ай бұрын
Nikikumba mahali Mungu amenitoa napiga magoti kumshukuru.
@paulbunyangaki3 ай бұрын
Barikiwa Sana brother angu 🙏🙏
@Asheengaimusic3 ай бұрын
Mungu aendeleee kukutumia zaidi Bro
@shedrackmbalu3 ай бұрын
More blessing bro...neema ikuzidi
@gifftygabriel-n4z3 ай бұрын
Mungu akutunze sana my dear brother💕💕🥰🔥🔥
@julianamaximillian41203 ай бұрын
Mungu aendelee kukupa kibali zaidi hongera kwa kazi nzuri
@DrNick-hg6il26 күн бұрын
huu wimbo umenibariki sana
@ruthmwasomola6553 ай бұрын
Haki ata mimi ninayo sababu barikiwa mtumishi ❤
@GodwinZungu3 ай бұрын
Am blessed,are you?❤
@WandoPaul3 ай бұрын
🎉🎉🎉hongera sana kaka
@joshuajohn8522Ай бұрын
Wewe ni mkali sana
@mariegentinemugisha65313 ай бұрын
Kibonge tumefulahi sana na tume ku miss Burundi
@christinadavid41232 ай бұрын
Ninayo sababu yakumshukuru Mungu🩷🙏
@cyliviamwakajumilo43383 ай бұрын
Mungu ameniona❤❤❤
@ruthkavindu3 ай бұрын
Kweli wimbo huu unao ujumbe kweli 🎉🎉 congratulations bro!!
@LilianAnyanga-d2e3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤ napenda songs sana
@KibongeWaYesu3 ай бұрын
🙏🙏🙏
@alidamgeni70513 ай бұрын
Hakika Mungu aliko nitoa nisiri yangu
@johnpraisewaweruofficial48072 ай бұрын
I love this one.. Keep it up bro
@neemaemmanuel86753 ай бұрын
Mungu ameniona na mimi... thanks for the message .. barikiwa
@rwizadiocles3 ай бұрын
Hakika ninayo sababu pamoja na mapito Yote Mungu hakuniacha ila Ameniupdate