Hongera sana Mtumishi wa MUNGU YESU WANGU nakupenda
@alexyohana47082 жыл бұрын
Nimebalikuwa na comment yako mtumishi 🙏🙏🙏
@KibongeWaYesu2 жыл бұрын
Shukran sana kaka yangu MUNGU akubariki Sana
@theopistamwayeya17642 жыл бұрын
Amen
@lusajokasege9717 Жыл бұрын
Hongera mtumishi
@MariamFrank-v1x Жыл бұрын
Asnteeee kibonge wa yesu kazi nzuri❤
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Hongera sana mdogo wangu kazi nzuri
@KibongeWaYesu2 жыл бұрын
Ameen Shukran sana 🙏🙏
@lilianmuthiani608 Жыл бұрын
Tiktok brought me here and wow❤ Kuokoka is fun indeed
@meshackntoga15662 жыл бұрын
Mdogo wetu - Safi saana,,,,,,,,, Afadhaliiiiiiiiii
@rosemarybandio5991 Жыл бұрын
ndio kwa sana, wimbo mzuri kila wakati
@meesfome12002 жыл бұрын
Huu wimbo jamani sijui Ata niseme nini💕💕💕
@KibongeWaYesu2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@alexyohana47082 жыл бұрын
Kakipand hak ka misho ni kakali baraaaaaaa
@jrbitama2 жыл бұрын
Hongera sana kaka
@ObbyAlpha2 жыл бұрын
Kakaaaaa uzidi kubarikiwa sanaaaaa
@ozanasylvester36632 жыл бұрын
Milele Bwana sikwachi 💃🏽
@barakamagawa86872 жыл бұрын
Bro zidi kubarikiw sana usiache kumtumikia Bwana kamwe
@DorcasJackson-i5j3 ай бұрын
Ninakubali sana Dogo Kibonge WA Yesu Yesu wangu NAKUPENDA🥰
@alkhaleed16352 жыл бұрын
Hongera Ankoo👋
@amospius16602 жыл бұрын
Big up san kaka 🙏🏻🙏🏻🙏🏻ujumbe mzur san
@malickkasuga48052 жыл бұрын
That is kibonge I know wawooo this is another hit
@bloodofjesus75422 жыл бұрын
Kiboooooo 🔥🔥🔥🔥
@pretty_witney81242 жыл бұрын
Kazi nzr sna keep going
@harunimwakaseghe2822 жыл бұрын
Papaaaa kibo
@BarakaWaya2 жыл бұрын
Barikiwa Kibo Melodies fundi wa melody
@jamesmikoma90822 жыл бұрын
Nc kaka nakubali
@alexyohana47082 жыл бұрын
Yani kila mda nauludia hu wimbo barikiwa sana mtumishi kazi nzuli
@papaamnzava43192 жыл бұрын
Salute mingiii
@miriammsuya44542 жыл бұрын
Ubarikiwe kiboonge
@hobobenson52642 жыл бұрын
Jamani huu wimbo unatakiwa uwe na views zaidi ya milioni moja...bonge la wimbo tujitahidi kushea
@KibongeWaYesu2 жыл бұрын
Ameeen
@abrahamcharles69282 жыл бұрын
Nakubali kaka
@KibongeWaYesu2 жыл бұрын
MUNGU AKUHUDUMIE UNAPOTAZAMA NA KUSIKILIZA WIMBO HUU🙏🙏👇kzbin.info/www/bejne/iGrNlICmpKyHgK8
@inickhenry13992 жыл бұрын
Good song mungu azidi kukubaliki
@tunsumemwaki86252 жыл бұрын
Kila siku asubh na jion lazima nisikilize huu wimbo,nikiwa kwa gar muda wote nasikiliza huu wimbo,barikiwa sana na uendelee kutubaliki na nyimbo zako
@paskaliaelias75255 ай бұрын
AMEN,YESU WANGU NAKUPENDA
@catherinekhatambi7086Ай бұрын
Amen 🙏
@godlistenkileo83632 жыл бұрын
Tisha blood
@masterkey5362 жыл бұрын
Asante
@monicamwaiswelo77822 жыл бұрын
Weeeee kiboooooo
@barikitomanofficial9892 жыл бұрын
Niceee3
@beatricemganga2241 Жыл бұрын
Yesu wanguuu nakuuupenda! my favourite song. Ubarikiwe Kibonge wa Jesus 🙏🙏
@maggymgoma8912 жыл бұрын
Nafurahi tu
@meshackntoga15662 жыл бұрын
ANGALAUU Mungu akuzidishieee Sawa tena Safi sana- nipo hapa Dodoma ya Nkuhungu,,,,,,
@alexyohana47082 жыл бұрын
Home boy kazi nzuli
@richardpatrick83053 ай бұрын
Kaka pokea maua yako bro I salute you kibonge Wa YESU hakuna wimbo wako hata mmoja haufundishi yani bro nyimbo zako nasikiliza masaa24 unajuwa sana kakaangu daaa weee Ni noma
@maseraspia71662 жыл бұрын
Amina kaka
@danielkaicy2742 жыл бұрын
Hongera kibo
@safiqueen63662 жыл бұрын
Amena
@reginamasako9952 ай бұрын
Kwa kweli kazi nzuri sana. Si angalau...hongera sana Mtumishi
@imanimisana11922 жыл бұрын
Kibo melody
@michaelbinzi52552 жыл бұрын
Kibo Melody wewe ni Mbarikiwa kaka
@alexmwakikambako47432 жыл бұрын
Kaz nzl kaka mngu akubaliki cna
@KibongeWaYesu2 жыл бұрын
Ameeeh
@SubiraMagoha4 ай бұрын
Kibonge unajuwa kuimba mpaka unakera,❤❤❤❤ napenda sana vile unaimba
@mwaigospel10972 жыл бұрын
Fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@KuhaniMwakalambo2 жыл бұрын
Powerful bro
@tonyboy48382 жыл бұрын
Kibo melody Is good song
@KibongeWaYesu2 жыл бұрын
Thanks
@kassianmwenyasi37182 жыл бұрын
Huu wimbo haukupaswa uwe mfupi namna hii ulipaswa uwe na dk zisizo pungua 12 hivi mtamu sana hongera sana Kibonge wa Yesu kazi nzuri
@KibongeWaYesu2 жыл бұрын
Shukran Sana Kaka
@rehemajacob97412 жыл бұрын
Bwana unaimba yan unaimba mpaka raha Mungu akulinde sana
@rosemarybandio59912 жыл бұрын
Nimekubali mwanangu, wimbo unaita mtu aje kwa Yesu. God bless you and your company.
@gwakisamwakilema2 жыл бұрын
Hongera Sana, Mungu akutunze sana Live iwe live 😅
@KibongeWaYesu2 жыл бұрын
Ameen Shukran sana 🙏🙏
@neemajoseph51582 жыл бұрын
Umegusa moyo wangu hakika😊
@komandowayesu36422 жыл бұрын
Nakukubali sana pacha. Uko vizuri sana 🙏🙏🙏🙏🙏. Mungu akuinue
@KibongeWaYesu2 жыл бұрын
Ameen Shukran sana ndugu yangu🙏🙏
@brunocharles953 Жыл бұрын
Hakika umeumbwa kwa kusudi Kibonge wa Yesu. Kila wakati moyo wangu unaimba wimbo huu❤❤❤❤. For real it's my 2023 best song. Mungu azidi kukuinua brother 🎉🥰🥰🥰😘🤩💕
@renatusjoshualweganwa71192 жыл бұрын
danse danse tobina
@flova7022 Жыл бұрын
Nkinunua gari Mungu akinibariki,, huu wimbo ntakua naweka kutoka hapa mkata Hadi chalinze..kabla ya kushika barabara ya Moro road kwenda njombe Kwa mama
@gencychaniko88252 жыл бұрын
#SINA MWINGINE
@SubiraMagoha4 ай бұрын
Uwiiiiiiiiiiiii yaani nausikiliza halafu nausikiliza tenaa❤❤❤❤❤
@LuganoEdom2 жыл бұрын
Kibo melody 🎶
@gayanimwansasu2 жыл бұрын
Kali sana.... 💥💥💥💥
@luganongogo54262 жыл бұрын
Sana mzee baba
@jibunisimba4152 жыл бұрын
Dahaa hatari sanaaa
@ProducerShackvirly93722 жыл бұрын
Barikiwa 👴🎼🎶🎶
@Grandpiano2552 жыл бұрын
Bdo lidooogooo
@jamesdonard20812 жыл бұрын
Ubarikiwe kaka
@patriciazephania8262 жыл бұрын
Hongera sana kibooooooo
@nathangeor2 жыл бұрын
You did it brother
@eddydanie8142 жыл бұрын
Kiboooo Melodize 💥💥💥💥💥💥💥💥
@harounesawala2982 жыл бұрын
Kila siku nazid pata vitu vipyaa kaka kila rahel🔥🔥🔥🔥
@gwakisamwandalima3442 жыл бұрын
Milele Bwana sikuachiiiiiiiii pazuri sana
@molexkeaofficial2 жыл бұрын
Hongera bro nzuri nyengine tena🔥🔥🔥🔥
@TrinityMedics Жыл бұрын
huu wimbo unaweza kuusikiliza kutoka Tukuyu hadi Dar bila kuuchoka hongera sana wimbo mzuri sana kila kitu kiko perfect endelea kukaa kwa Roho Mtakatifu ili akifanikishe zaidi
@Odamela2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥💞💞💞💞
@mariamzabron29382 жыл бұрын
Kazi nzuriii kakaangu Mungu azidi kukutumiaaa
@boscodaud16552 жыл бұрын
the best💪
@paullangu44242 жыл бұрын
yale ulotenda kwangu yamefanya nifall in love 😊🙌
@AbisaiNicolaus2 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@williamangetila61032 жыл бұрын
Uwakika mungu anatenda sonny
@fidelfidel-jz4iw6 ай бұрын
Hongera mtumishi wa mungu ufunuo wako kweli hayo yapo ila mungu anatuokoa kwa maovu ya wanaomtumkia shetani.
@alexandermotela2 жыл бұрын
My Blood Hongera kazi nzuri
@nsajigwamwasyeba7222 жыл бұрын
Congrats God bless you
@jibunisimba4152 жыл бұрын
Tunaojua tunasemaga umeuwa jituuuuuuuuu!!!!!! Kwanini tupinge ukweliii kibo eeeee umetisha sana simba kama simba nakupa %100 hakika pendo LA Yesu tamu kuliko mapendo yote duniani kuutoa uhai sio kitu kidogo huu wimbo uwe wimbo wa taifa
@KibongeWaYesu2 жыл бұрын
Ameeen
@samisaya98192 жыл бұрын
Kibo Babaaa ya masauti Barikiwaa kazi nzuriii sanaa
@KibongeWaYesu2 жыл бұрын
Ameeeb
@lizbethsanga92602 жыл бұрын
Wooow...ninabarikiwa young bro keep fire burning
@sedekiakiza2 жыл бұрын
Waaao, blessings San ndugu kwa Kazi njema san
@KibongeWaYesu2 жыл бұрын
Ameen Shukran sana 🙏🙏
@leahmoudy7752 жыл бұрын
Hongera sana Mungu akuinue zaidi
@KibongeWaYesu2 жыл бұрын
Ameen my sister
@DorcasJackson-i5j3 ай бұрын
Mwanaume Mteule Ooooooooh I Love Jesus
@bestkimali2162 жыл бұрын
Asantee kwa wimbo mzur unatuhudumia,,Mungu akuinue zaid na n maombi yangu huduma yako ipenyeze kwa mataifa
@gellshamsimon33472 жыл бұрын
#SINA_MWENGINE
@BethtobbyAngelic-xp8bc3 ай бұрын
My all time song💞💞💞💞🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😘
@molexkeaofficial2 жыл бұрын
Boom💥💥💥💥
@salvinaseif61512 жыл бұрын
Nimeutafuta sana huu wimbo sikujua unaitwaje aseee naupenda sana naweza sikiliza siku mzima. Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
@emmanuelidongo29882 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka
@KibongeWaYesu2 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@agnesamos8632 жыл бұрын
Mungu akupandishe viwango
@imanmodern2 жыл бұрын
Hongera sana kwa kazi nzuri mwaisa,
@Mog04-r3oАй бұрын
Be blessed man of God..mziki flan unaopendwa
@newtonsimba7930Ай бұрын
Live slways so hood Bravo❤🇰🇪.
@ZuiAcad Жыл бұрын
Hii wimbo tamu imefanya nikaamka....so heartsoothing yani i just woke up kutafuta mwimbi❤❤❤
@Kingsolokotv-2 жыл бұрын
Bless
@KibongeWaYesu2 жыл бұрын
Ameen
@celinamboga58111 ай бұрын
Angelic voice woooooohoooo amazing 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Jesus come meet your son he is in love with you ❤❤❤he is making me falling for you too😘😘😘🥳🎊🎉🔥🔥🔥🔥🔥