Innalillahi wainna ilaihi raajing'uun, Allah amrehem inshalah Amiin na Mwenyezimungu ndio atujuae sisi waja wake, Allah aturehemu kwa Sote pia inshalah Amiin
@FadhilyOthmanАй бұрын
Maashal ah sheikh uko vizuri
@buheroKoziАй бұрын
Allah atuhifadhi na maisha haya
@yusufsingano6202Ай бұрын
Nduguzangu ktk imani namshukuru ALLAH pia namishuru wote mliotoa komitizenu nimejifunza kitu, usia wangu tuisome gur'an na hadithi kwa mazingatio ktk kila tukio inshaaALLAH
@abunajreenELSESANYАй бұрын
Maasha Allah baarakallah Sheikh Umezungumza vizuuri Allah akubaarik
@qurankareem582Ай бұрын
Amina, amina, amina Allah atupe mwisho mwema
@AbdulrashedalhilalyАй бұрын
Allah Akulinde na kila Shari sheikh Umesema ya Kweli Kwa hakika
@SheikaYussufАй бұрын
SUBHANALLAH. MTIHANI MZITO HATA AWE KATOA SADAKA KIASI GN KM DINI IMEKATAZA HAIFAI.SHEKHE ALLAH AKULIPE KHERI DUNIANI MPK AKHERA UMESEMA KWELII. KIUHALISIA2 MAISHA ALOISHI DIDA SI WAKUSINDIKIZWA NA VIONGOZI WA KUBWA WA DINI.
@NeighborsjiranАй бұрын
Shukran Sheikh Allah amsamehe yy na sisi. Kwa kweli hata mm nimeshaga kuona hivyo. Sikuwa nikimjua before
@UmmusumayyahHabibaАй бұрын
Shekhe wangu umeongeya vizuri Allah atupemwisho mwema
@yassinihassani2287Ай бұрын
SubhanaLLAH wadad wakiislam tubadiliken jmn hiz n zam za mwishon kabisa Kusimam qiyama...tutaenda jib nn mbele za ALLAH wallahi n mtihan na ALLAH atufanyie wepec nakutuongoza katk njia ilonyooka
@SheikaYussufАй бұрын
SWADAKTA TUBADILIKE KABURINI KUZITOOOOO
@NassoroHaji-i8kАй бұрын
Watu wanajisahau sana kama maisha ya duniani ni mpito tuu tusione ya kua tunapumua tukaishi tuwezavyo ...tuishi ya kua ipo siku tutaondoka na tutaenda kujibu kwa Allah SW..Allah atufanyie wepesi na mwisho mwema inshaallah
@wazirihamisi6484Ай бұрын
Bakwata wanaangalia sana pesa. SHEIKH UKO SAHIHI BAARAKALLAHU FIYKA
@AboubakarRashidАй бұрын
Mashallah allah akuhfadh maalm umeongea sahih
@abdillahbinsalim9361Ай бұрын
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh shekh upo sahihi allah alulipe umenena pount
@nailaomar4810Ай бұрын
Innalilah wainnailah rajiun mungu tumuachie allah kila kitu yy ndie mjuzi na tumuombe maiti mungu amrehemu
@ramadhanosman7840Ай бұрын
Jadhakalaah khayra
@5amediaonline335Ай бұрын
Mashallah Umenena maneno Mazito na Mazuri
@bikomboismail1562Ай бұрын
Allah atuongoze atuzindue...Wallah maneno yako sahihi
@OMARMOHAMED-js9njАй бұрын
INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAAJIUN
@abuhassan9552Ай бұрын
Mashaa Allah Allah akuhifadhi shekhe umeonhea maneno ya ukweli kabisa watu wanachukulia madamu ni muislamu waweza ishi vovote vile muhimu uwe muisalmu nasihivo Allah atuongoze
@SheikaYussufАй бұрын
@@abuhassan9552 Aamin
@LatifahPambeАй бұрын
Aamiyn
@Allyjumaally-ex9vgАй бұрын
mimipia nilikua miongoni mwa walio hudhuria msiba huo lakini naunga na sheikh huyu anmetoa mchanganuo mzurisana kiufupi kwa nilivyo muekewa sheikh heshma aliyopewa naviongozi hawa wakubwa wakidini kwamujibu wadini kutokana na wasifu wa marehemu hakustahili kupewa heshma kubwa kiasi hicho shekhe uko sahihi allah akuzidishie
@Hot_rod-liesАй бұрын
Mungu atupea mwesho mwema amin
@JovenaldoMarcelino-kt9kuАй бұрын
Ukweli ntupu. Báraka Llâhu Fîkum From Mozambique, Nampula
@RamadhanNdosiАй бұрын
Baraka llahu fika
@khamisdaima1455Ай бұрын
Mungu amsamehe makosa yake Dida, na sheigh Mola azidi kukupa uoni mkubwa zaidi kwakweli umeongea ukweli kabisa
@abuuzahra-fc2jgАй бұрын
Umeongea vizur Mashallah
@abuuzahra-fc2jgАй бұрын
Hata kama ktk baadhi ya mitazamo sikubaliani naww Ila lazima niwe munsif katk hili uliloongea Nikweli kabisa viongoz wa dini wasiwe na usluub huu haupendez
@MuhammadWesongaАй бұрын
Hii kweli ni mwongozo mbaya kwa jamii,maanake watu watatafuta tu umaarufu,wawe na hela na mali,waasi dini,wazikwe kiheshima na masheikh tajika,,,innalillahi wa inna ilaihi rajiun,,,huu mi msiba,hata zaidi ya kufiwa kwenyewe.
@AkitakaHuwaАй бұрын
Shukrani sana sheikh kumbe sio Mimi tu kiukweli nilikuwa najiuliza hivi hile kauli mbiu ya mufuti ya kujitambua imepotelea wapi ???????
@maisarirajab4846Ай бұрын
Ata diamond wanamsema sana lkn siku akifa ndio hao hao watakao ongoza mazishi yake
@rehemahamadi3382Ай бұрын
Muombeeni Dua msimhukumu kwa aliyofanya huwezi kujua Allah amempangia lipi
@AliKhamis-j9zАй бұрын
Umefaham shehe Alichoongea
@MillanFAHMIАй бұрын
Ajafahamu uyu labda arudie kusikiliza tena hapa ajaukumiwa mtu mana hatujui mwisho wake ulikuaje kat yake yy na mungu wake
@الزغويالزغوي-ض3نАй бұрын
KWA HILI NIMEKUELEWA SANA! INGE BIDI VIONGOZI WAKUBWA WA DINI WANGE KAA PEMBENI WATUACHIE SISI WA KAWAIDA TUSIO NA VYEO ILI WATU MFANO WAKE WAPATE KHOFU! NIMEKUELEWA JAZAAKALLAAHU KHAYRAN
@AzizaSaidBonifaceАй бұрын
Vip kama mahala penye msiba ule ambao ulihudhuriwa na vijana wengi zaid wakidijitali pali kuwa mahala sahihi kuwa kumbusha watu juu ya dini.
@KoleYasiniАй бұрын
Dhaili alikuwa anaishi mabovu sana juu ya uislamu na halikuwa yupo mbali nao sana,kwa ufupi halili ipo dhahili na haramu ipo dhaili hakunachakutafuta vyote vipo vilikuwa vinaonekana..
@omarymsusa8903Ай бұрын
Maneno ya sheikh yana ukweli ndani
@Sobo740Ай бұрын
Labda alikua na kz nyngne ambayo hatuijui
@shaunkhalid875Ай бұрын
Sheikh ujui kama alitubu kwa mwenyezi mungu kabla ya kifo chake
@SheikaYussufАй бұрын
KAMA HUJUI MAANA YA KUTUBU KAA KIMYA
@Wastara001Ай бұрын
@@SheikaYussufmwambie huyo maana watu wanadhani kutubia ni jambo dogo tu.
@AlvaroWamoroccoАй бұрын
Duniani tunajisahau sana baadhi ya masheikh wanaishi na waovu kuficha maovu yao
@mlukirashidi9279Ай бұрын
Hebu jiulize ndugu yangu siku unakufa ww shekhe anaongea ivi. Kusema ukweli binaadamu tumejisahau sana na hii dunia
@abdulshakurabdulwahab-s8iАй бұрын
Haya ukizungumza usimpointi mtu ungezungumza zungumza kawaida umumiya. Watu wanapokwenda msibani wengine huenda kwa wale wenye msiba inawezekana hata aliyefariki wewe usimfahamu. Mtu muislamu ambaye hajaukana uislamu wake hutakiwi kumsema vibaya. Uwe nahofu ya Mungu ukaja kumkuta peponi na weye ibada zako zikawa zimekataliwa. Mimi mufti na sheikh Khalid nimewasikia mbona waliwakumbusha watu kwa mawaidha mazuri. Mjuwe mtapata jukumu kwa mawaidha haya endapo watu wakawa wanawachukia na ikawa sababu ya wao kuzidi kuyaendea maasi. Weye huoni kama ni mawaidha kwetu.
@radgabbelege7234Ай бұрын
MIMI NINA IMANI VIONGOZI WA DINI PALE WAMEDANGANYWA NDO MANA HATA MUFT ANAMPA POLE KUMBILAMOTO NAHISI WALIKUWA WANAJUA MH OMAR KUMBILAMOTO AMEFIWA NA MKEWE
@AzizaSaidBonifaceАй бұрын
Kuna baadhi ya vifo au matukio ni ujumbe maalum katikati ya jamii. Mfano, kifo na mazishi ya Raisi Magufuli., kwa wenye akili walijifunza kitu kikubwa sana.
@MasoudkhamisabdallaАй бұрын
Niwachache sana wanapata hii bahati hatujui yeye na molawake kunasiri gani mazinge nikiongozi wadini mkubwa sana na anahamasisha kuslimisha watu kuliko hao unaowaona wanavyeo ktk uislamu
Naomba uniambie jee wewe ndio mtoa hukumu ya waja wa mwenyez Mungu??
@husseinsalehe6506Ай бұрын
Tuambie una uhakika gani kama alikuwa haswali? na tuambie una uhakika juu ya hatma ya maisha yake mbele ya Allah? Pia tuambie una uhakika gani kama dakika chache kabla ya kifo chake alitubia au hakutubia? Kuna siri kubwa sana na mafunzo mengi juu ya ile hadithi ya mtu alieua watu 99,na pia kuna siri kubwa sana pale Mtume s.a.w alipotukataza kuzungumzia mabaya ya marehem wetu,tusomeni tuacheni jazba za kiwahabi.
@LatifahPambeАй бұрын
Cna haja ya kukuhukumu ila itakuwa hujamsikiliza vzur shekh
@naasibabuuАй бұрын
Huu ni ukweli mtupu japokua unauma nadhani kilichowasukuma ni ile kuona viongozi wengi wa selekari pia unajua mtu kama Muft angeweza kua ni sababu ya watu wengi kuithamini dini umuhimu wa dini unaonekana tu siku mtu akifiwa au anataka kuoa kuswali haswali ila likimpata jambo masheikh wanaenda sasa mi sielewi huyu muft anania gani na huu uislamu
@AbdullahiHamadiАй бұрын
Haiwi kwa mtume na walio amini kuwaombea washirikina
@AbdulhaliimAliАй бұрын
Syo kwa ubay lkn Ila imezoeleka kwa watu wa bidaa kufany hvy
@husseinsalehe6506Ай бұрын
Tuambie ushirikina wake uko wapi? Na je unajua hatma yake ilikuwaje kwa mola wake? Je una uhakika gani kwamba alitubia au hakutubia kabla ya kifo chake?
@AbdulhaliimAliАй бұрын
@@husseinsalehe6506 hyo mtu alikuw akiswali? Kama hakuwa akiswali hyo si muislam
@ismailhassan5209Ай бұрын
Hakuna cha sheikh wa kisalafi ni kujikuza ria mtakufa nayo mtahukumiwa we jamaa kama ni sheikh baki sheikh salafii walipita na mema yao Allah ameyahifadhi . Mara mnajiita Answaru Leo hakuna answaru walishapita. Ndo maana si ajabu kwa sasa mtu kujiita Nabii Kwa Akhiri zamani imeshamili saana.
@makamenyikombo4220Ай бұрын
Unajua maana ya salafi Unajua maana ya answar sunna...
@MasoudkhamisabdallaАй бұрын
Kunakitu k8metokea nasio kawaida baada ya kutoka spitali kilichofata kapelewa msikitini na sio kwao wala kwake hii sio kawaida.
@Catherine-mh8swАй бұрын
Hivyo ndiyo vizuri au
@AlyAly-dp7ivАй бұрын
Si ivo tu shekh mpaka wakasema dida alikuwa ktk mchngo mkubwa ktk uisilam mimi nikapinga kabisa yule hana hata dalili ya uisilam hata kidogo titozo ya daimondi shekh ndio kilicho fanyika mimi binifsi niliuliza mchango mkubwa ktk uisilam masuruwali na mawigi
@MasoudkhamisabdallaАй бұрын
Kwatafsri yake hakustahili kusaliwa wate walio kwenda wamekwenda kwaimani yao huwezi kujua alikua na msaada hani kwao na wala hawajenda kuwakilisha waislamu wamekwnda kama wao.
@yusufsingano6202Ай бұрын
Nakuunga mkon wameenda kama wao, ukiangalia sura ya 109 unawezakupata majibu inshaaLLAH
@MasoudkhamisabdallaАй бұрын
Matendo yake ni yeye na mola wake naweye wanaoonekana mashehe nakumbe wanatembea na wake zawatu kwasiri hawa unawasemaje mwana hawaonekani
@sskondopoleani9616Ай бұрын
SIJAKUELEWA, MASHEIKH MBONA MNATUCHANGANYA? NYINYI NDIO MNAOSEMA MWENYE KUKOSA AOMBEWE DUAA NA WALA ASILAANIWE KWANI MJUZI NI ALLAH HUKO KUTUCHANGANYA KWENU NDIO MAANA DINI INAYUMBA.
@rukiaiddyyahaya9506Ай бұрын
Sasa kumzika mtu kuna tofauti gani marehemu hasemwi vibaya ameshaondoka achen kama hamkwenda nyamazeni sio kosa mashehe kwenda kuzika
@jumahamadomar9124Ай бұрын
Kila mtu na ufahamu wake lakini nilichofahamu mimi juu ya alichoongea sheikh ni kwamba viongozi wa dini tena maarufu haipendezi kujitokeza kujiweka mbele kwa mtu aliyekuwa muonekano wa wazi katika jamii alikuwa anaishi kinyume na mafunzo ya qurani na suna,,mfano Qurani Mwenyezi Mungu anataka mwanamke avae mavazi ya aina fulani lakini wewe katika maisha yako yote unapingana nayo,,kwa iyo kujitokeza mbele wale masheikh ni kuiaminisha jamii kwamba maisha aliyokuwa akiishi huyu mtu haina shida ni sawa tu muhimu jina tu liwe la kiislam
@jumahamadomar9124Ай бұрын
Ukifa unasemwa kulingana na matendo yako ya wazi ama ya siri yatabaki kwa Mungu ndie atahukumu ima shari au heri.. Firiaun alishakufa miaka mingi sana lakini hadi hii leo anatajwa kwa mabaya yake,Abuu Jaheel vile vile,Abuu lahabi vile vile mpaka kwenye Quran anatajwa na mke wake kama ni watu walioangamia,Abdullah Ubei bin Salul huyu alikuwa muislam lakini alikuwa raisi wa wanafiki zama za Mtume Muhammad s.a.w mpaka leo ukisoma vitabu vya sira anatajwa kwa unafiki wake na wengine wengi Maisha ni mafupi sana Tuache kuyavuruga ili tupate hatma njema vyenginevyo fainal mbele
@rukiaiddyyahaya9506Ай бұрын
@@jumahamadomar9124 hyana ulazima kama moto ni wake hakuna wa kumuokoa
@MadieMtimbukaАй бұрын
mbona mnapenda kujinasibu sana salafii, salafii ndo iwe nini au iwe nini? jinasibu kama ww ni muislam inatoshaa
@AbuuSumayyah-rh7oiАй бұрын
Nyinyi wajinga wengine sio lazima utume comments ikiwa huna neno lenye faida ktk jamii Bila shaka nilie mkusudia amesha jijua
@mashaurimvungi2232Ай бұрын
Hamna salary hapo kashapinda siku nyingi ana genge lake lipo zanzibar
Akhyu mche ALLAH mashekh wakisalafi hawajawahi kumuita shekh Abu musa. Ab hizbi na kama ipo clip tupe
@AliKhamis-j9zАй бұрын
Ww muhuni
@AzizaSaidBonifaceАй бұрын
Kwamfano wewe ungekuwa mufti au shekhe wa mkoa, na mwanao,ndugu yako ama rafiki wakaribu kaishi maisha kama huyo binti usingejitokeza?
@GhalibLindiАй бұрын
Kukuza sana mambo madogo madogo, tumeshindwa kumlingania akiwa hai, tunaangalia tulipo dondoka
@FauziaSalum-fi4fbАй бұрын
Kalinganiwa tena na video zipo na wenzake kapewa na mifano iliyo hai Allahumma ghufirlaghha warhamha
@MasoudkhamisabdallaАй бұрын
Huwezi kumuhukumu binaadamu huwezi kujua nyumayake kuna nini
@AdamChogoАй бұрын
Ina maana hao walikuwepo hawakustahl kumswalia!!? Vp angeletwa mcktn kwako ungkataa kumswalia!!? Shkh hupaswi kumjaj mtu kwa kumswalia muislam mwenzetu naona hauko sahh unaongea hivyo kufurahsha maamuma wako
@islaminmyheart9348Ай бұрын
Je! Una ilimu yoyote Ili ututolee? Au ni maneno matupu tu?
@AdamChogoАй бұрын
@@islaminmyheart9348 unaniuliza mm au aliyetoa mada
@shabaniadam7015Ай бұрын
Nani kama mtume ,nani ana elim na hekima na busara kama mtume yote hayo enzi za uhai wa mtume hajuwahi kumswalia mtu aliyekua haswali Wala aliyekua hafungamani matendo yake na dini ya uisilam so hivyo bax huyo shekh Yuko sawa sawaa ,maana usipofanya hivyo jamii haiwezi kujifunza kitu na Wala haiwezi kuona umuhim wa dini so kisheria inatakiwa iwe ivo
@sulaymanqasim6186Ай бұрын
Mimi sio salafi ila dini naijua kidogo nasasa niko saudia kimasomo Huyu shekhe yuko sawa viongozi wakubwa kama hau hawakufaa kumswalia angeswaliwa na watu wa kawaidatu ili kutoa fundisho na kuhumu yake mungu ndio anaejua
@husseinsalehe6506Ай бұрын
@@shabaniadam7015Tuambie una uhakika gani kama alikuwa haswali? na tuambie una uhakika juu ya hatma ya maisha yake mbele ya Allah? Pia tuambie una uhakika gani kama dakika chache kabla ya kifo chake alitubia au hakutubia? Kuna siri kubwa sana na mafunzo mengi juu ya ile hadithi ya mtu alieua watu 99,na pia kuna siri kubwa sana pale Mtume s.a.w alipotukataza kuzungumzia mabaya ya marehem wetu,tusomeni tuacheni jazba za kiwahabi.
@nurdinayoub2894Ай бұрын
Tokea lini akawa salafiy huyu
@MuswlihАй бұрын
Bas salaf bab yko
@أبوفيصل-د3شАй бұрын
huyu sio Salafi Na hii channel sio ya Kisalafi. Anajigonga gonga sana ktk maneno yake. Kusema Mazinge Ana mchango kweny Dini ipi au kwa kuwalingania watu wa biblia??Hali ya kuwa twajua Mazinge Ni Mtu wa Kawaida tu Hana Elimu y Dini. Hata hao uliowataja Ni Watu wa Kawaida tu wapo Ktk Dini kisiasa. Na ndo mana Tukasema Ww ni Hizbi.Huwez Kuwa Salafi.
@YusuphSulemaniАй бұрын
Naaa tukikuambia ata uyo unaemuon ndio yupo kweny usalafi wakwel nae yupo kimaslahi ya dunia utasema pia sio salaf kwakujigonga kwak zaman kukata kua na tasisi haifai ilhali imamul Alabani alijuzisha lakin yeye aliping nasasa ana tasisi ya ibun taymiyyah alikata zaman kwakusema Picha haramu moja kwamoj nasasa anakubali kua sio haramu jeee huyo vp anaejigong nae sio salafi
@أبوفيصل-د3شАй бұрын
@@YusuphSulemani wewe uliyahakiki masuala hayo kielimu au ushabiki. Kuna vtu Asili yake ni haramu lakin kwa udharura wake hufaa kwa baadh ya muda. mfano Tasis ni haramu lkn serikali haijuruhus wala haikupi kibali cha kujenga mskit mpka uwe umeusajili ktk chama fulani.Mfno wake Kuna miskit iliyosajiliwa kibakwata,Answar sunna na n.k hivyo Lau kama asingesajil basi Markaz ile ingefungwa mara moja. Picha ni haramu ktk asili ila kwa dharura. Na khitilafu iliyopo ni ktk Naqlul mubaasharah. Ungelikuwa unarejea hadith za Mtume Ungeliona yote hayo yameharamishwa.
@rahemaissa9867Ай бұрын
Innalillahi wainna ilaihi raajing'uun, Allah amrehem inshalah Amiin na Mwenyezimungu ndio atujuae sisi waja wake, Allah aturehemu kwa Sote pia inshalah Amiin
@UmmusumayyahHabibaАй бұрын
Shekhe wangu umeongeya vizuri Allah atupemwisho mwema